Kwa kweli hili ndo tatizo la sisi Wa africa except Nigeria and South Africa! Mbona hatupendi vya kwetu! Mbona hatuawapromoti wasani wa kwetu? Diamond angekua na support yetu angekua mbali zaidi lakini Kijana anajitahidi kwakweli! Mungu azibariki hustles zake,Mungu akubariki wewe unaependa maendeleo ya wenzio!
@elizabethchabluma-zw5qzКүн бұрын
Ndungu sisi tuna roho mbaya atupendi kumuona mtu akifanikiwa baadhi ya wasanii na mashabiki zao wanatamani kumuona diamond aanguke wamesahau kuwa ametoa ridhiki ni mwenyezi Mungu.
@Farida-jx5nz23 сағат бұрын
Hasa harmonize ni msanii mshamba haijawai tokea Tz ...... Yani ana jelous vby mnoo
@jamilaathumani5481Күн бұрын
Alafu watu hawajuwi tu kitendo Cha Daimond kwenda duniani Yani kwanza anatutangaza Tanzania na anafungua njia...sema mahetas hawajuagi tu...kiukwel Daimond ni lulu yetu na nihazina yetu ..mungu atutunzie Daimond wetu... Daimond wetu akifungua milango basi nasisi tunatoboa...ilo nijambo kubwa sana lakujulikana na travel Scott... mashalah mashalah mashalah Daimond..mungu akujalie Kila la heri
@ramayonline2281Күн бұрын
There you go Diamond Platnumz 💯✈️🌍
@MwombeKevinКүн бұрын
🎉🎉 Diamond platinumz super star ✴️✴️
@kelvinmvoyi-j1eКүн бұрын
Diamond platnumz one love brother Kenya 🇰🇪
@espoirwebukabandu12 сағат бұрын
🇨🇩mumu katae Simba Ila sisi tupo Congo fans🇨🇩labda mututowe moto
@goodluckandrea342119 сағат бұрын
Diamond platnumz Simba 🦁🦁🔥🔥
@TonnyJuma-m1pКүн бұрын
Ni yeye diamond kaka🖐️🖐️
@MulangaliroMagalabahaКүн бұрын
True bro 🎉🎉🎉🎉🎉
@EmmanuelduseigneurEmmanuelduseКүн бұрын
Oh là là Diamond Platnumz le meilleur de tout le temps Boss des boss 🇨🇩🤏
@AliyMbega-x6xКүн бұрын
Huyu jamaa huwa namuonaga bwege lakin kuna mda anaongea pont sana
@SaidTsuma-je8dv21 сағат бұрын
simbaa🔥
@JustinKapanza23 сағат бұрын
Diamonde 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@IssaTayari19 сағат бұрын
Simba 1
@AbdulSindano15 сағат бұрын
❤❤❤❤😊
@JosephEl-MwitaКүн бұрын
Harmonize alikurupuka na ustaa ila angebaki kwa diamond, kwa kweli angefika mbali. Shida Harmonize alichangalikiwa na mashabiki Sasa ivi hata mziki wake umepoa lakini simba anazidi kumuonyesha kwamba "bado sana"
@DaxixSeenКүн бұрын
Noma❤
@LilGida-d3j21 сағат бұрын
Nakubal WCB
@castel_ac15 сағат бұрын
mke wamtu sususumu unategemea travis ataplay hii uchafu
@CrintonJohnКүн бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥👐
@KizaBaungeheritierКүн бұрын
Mpaka wanyooke
@hamisibakari342Күн бұрын
CHAWAAAAAAA PUNGUZA SIFA SALAM SK keshakusikia😂😂😂😂
@ramayonline2281Күн бұрын
Apo hamzungumzii Manager anamzungumzia msanii anayeitwa Diamond Platnumz
@JacksonKachilaКүн бұрын
❤❤❤😮
@KizaBaungeheritierКүн бұрын
Wataisoma namba
@mrmagic1788Күн бұрын
Chief godlove mbona haujamzungumzia
@Killer_wayne227Күн бұрын
U.S.A Gan ya Buza or ????
@sudistar4985Күн бұрын
❤❤❤🎉
@ChristianKalunga-s4wКүн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@johnmichaellukindo2118 сағат бұрын
We sasa hivi umekuwa chawa, sio mwanahabari😢😂
@VictorMwashanula-z6w17 сағат бұрын
We fala sana usie penda ndugu zako
@ShabanKatagila-gy8tk23 сағат бұрын
aloo mondi sio mtu wakawaida wabongo niwanafitu
@JonasNzanzuКүн бұрын
Na penda haka ka jama
@VeroniqueNgoy-f3qКүн бұрын
Kaka mbona unatuaminisha😂 ukweli ni kwamba Diamond ni msanii wa Africa tu
@josephmetu719123 сағат бұрын
Asili ya mziki wa amapiano ni South Africa lkn si bongofleva msikilize master J ndo utajua bado sana
@alexshabani2012Күн бұрын
Je unajuwa nini anachokifanya
@zanzibarboyzanzibar509Күн бұрын
Usiseme EastAfrica mana Prezzo ni Msanii wa Mwanzo kumiliki Chopper, jaribu kufanya Research kwanza
@vuaikhatib9995Күн бұрын
Huyo sio mziki kununua chopa pesa anazo toka na asubuhi
@unclepwechnov138123 сағат бұрын
Prezzo wazazi walikuwa millionaires so he has inherited a lot whilst Diamond katokea ghetto life hivyo hapo alipofika ni selfmade.
Mond balaa ila kichwa mvirigo anampondaga mtu anayemupendaga
@KhamisLilosКүн бұрын
Simba
@shabanJuma-fe6wfКүн бұрын
Ukiona ww unaumia na mafanikio daimondi ww ni mchawi ,, Watanzania wengi wana roho mbaya wivu wa kifala,,chuki .
@zanzibarboyzanzibar509Күн бұрын
Hiyo Dolla Elfu 40 kutoka TZ to London hau Germany sio Ndani ya TZ punguza Kusifia Duh
@justindaliusКүн бұрын
😂😂😂Duuh Sijui Diamond akifa utatangaza nini😢Maana ndio topic yako ya Kila Siku. Inamana bongo Hakuna shughuli za Sanaa zingine zinazofanyika? Hakuna wasanii chipukizi ambao wanapaswa kupewa airtime? Maana Kila Siku unaongelea swala ambalo watu wanajua na wanaona. Hebu babilika bro. Kwa stahili hiyo hutoboi.. Utaishia hapo kwenye background yako ya bongo
@AntonyRudibukaКүн бұрын
Ata ungelikuwa wewe ungemzungumzia nani tofauti na huyo mwamba
@unclepwechnov138123 сағат бұрын
Channel ameifungua kwa gharama zake na hiyo ndiyo biashara aifanyayo, hapo ujue anaweka contents ambazo zinamlipa. Hata wewe unaweza kufungua channel yako na hakuna atakayekuwa anakupangia kwenye biashara yako ya YT.