Hii ndio Bss yang bora kuliko zotee. Everyone deserves to be a winner.... #Talented
@agnessjohn84046 жыл бұрын
yaani huyu aloangusha wigi anajua sana kanichesha kweli kaangusha wigi lake nakuvaa haraka haraka
@malaikaangel44876 жыл бұрын
Yupo poa sana ktk kuimba amedamshi
@swaleheismail465 жыл бұрын
Hahahaha kumbe we unapenda vtuko show
@zainabujaphary99096 жыл бұрын
Sarafinaaaa I wish wewe ndo mshindi wa bss 2018,mwaka huu lazima tuchukue wanawake
@luseshelomwangole35996 жыл бұрын
Hihihiii aa wapi
@enockmwasomola10865 жыл бұрын
Mpo vzr nyote
@ngasalakonkmaster57345 жыл бұрын
bongo star search mko juu sana nawakubali sana
@denisgerald50016 жыл бұрын
Saraphina you are my favourite bss talented singer, pliz don do Swahili songs, your talent is on English songs. hizo swahili zinaficha talent yako. Wewe unaweza sana kuliko hata unavyofikiria. natamani saaana! ushinde pia watu watambue kiundani kipaji chako. kazia nyimbo za kimamtoni, utashinda! much love and respect 2 yeu!
@lailatyabdallah17236 жыл бұрын
Safaphine ndio mshind BSS 2018🙌
@omariismail64846 жыл бұрын
Mpaka ss cjajua mshind kwa kwel wote wakali.🔥🔥
@kuruthumujuma52846 жыл бұрын
More congrations kwako regina😘😘
@josealute3236 жыл бұрын
Kama na wewe umeshangaa kusikia madame Ritha akisema hamjui Mandy gonga like hapa
@hatamimnimempendabulejaman15965 жыл бұрын
Mtangazaji huyu anafananaga na banana zoro
@lydiathadeous66446 жыл бұрын
Bodaboda respect man unajua kuchana honest na stage unajua kuimilikii na una energy amazing mpaka madam Rita kaona hilooo una energy ya ajabuuuu ! Salama banaaa 😂😂😂
@feyndungu55676 жыл бұрын
Big up bodaboda .ulikuwa umekalia talent
@babuysalum85986 жыл бұрын
Wwooowww so wonderfull Julius
@ahmadimpili54566 жыл бұрын
Huyo Sarafina apewe pesa zake tu
@beautyibrahim84286 жыл бұрын
Hahaha umeonaaa ee alaf anasaut kama vanessa yaan huyu pacha wa v money
@MrCullture6 жыл бұрын
Nampenda sana huyu dada yaani anajua kabisa
@joycemosha4446 жыл бұрын
Macha macha. Kaka uko juu yani.. mambo ni motooòo.. tuwakilishe kilimanjaro...
@japharyunajuampakabasmzulu76205 жыл бұрын
Wemaaaa apa uliimba ....tnx mama ntilie
@NonoNono-qp3zu6 жыл бұрын
Mshindi asangwile au sarafina mtaniambia😁😁
@wavinonoclassic12746 жыл бұрын
Nono Nono kwel aisee
@bahariahusen13496 жыл бұрын
asagwile
@simonmalley27106 жыл бұрын
Mshind sarafina/julius macha
@bdkexecutive6 жыл бұрын
Asagwile
@yuniabeli84926 жыл бұрын
Nono Nono aswaa umejuaje
@praxedadominic98646 жыл бұрын
Saraphina ni 🔥
@phyinajonathan80826 жыл бұрын
sharz nakukubali kinoma ila Julius we ni nouma
@zenadaudzena28496 жыл бұрын
Master J mzuka kama wote 🔥🔥
@naomiandrewandrew76856 жыл бұрын
Julius konk fire
@renaldachami47366 жыл бұрын
Shazymelody yuko vizuri sana,ila ana wapinzani,Macha,na Sarafina.!Tatu bora yangu,Shazymelody,Sarafina,Macha
@emmanuelraymond89206 жыл бұрын
Sarah umetisha sana
@hassanmakacha39426 жыл бұрын
Bodaboda noma Sanaa tishaambaya
@nickidoofficial29066 жыл бұрын
mimi sijui jinsi ya kupiga kura ningejua wewe julius unakula yangu
@onesmokleva65986 жыл бұрын
Nickido official andika bss namba ya mshirikki tm kwenda namba 1567
@barakamsuya76605 жыл бұрын
Nickido official mambo
@hildpaul78233 жыл бұрын
Mie mwenyewe nataka salama anijaji maana anakuoa ukweli i love u salama 🔥🔥😘
@ommykiza65483 жыл бұрын
Wabodaboda mzuka very good 😍 wema 👌
@lydiathadeous66446 жыл бұрын
Saraphina 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@mwajumahosseni48026 жыл бұрын
Wote wakali jamani,kila la kheir🙌🙌
@lovenesbtweleve49076 жыл бұрын
Jamani huyu boda MUNGU amsaidie sana bro kipaji unacho😘😘😘😘😊😊😊
@babuysalum85986 жыл бұрын
Uko vzr julius
@shabanmaine90556 жыл бұрын
Babuy Salum
@zawadihamza62396 жыл бұрын
Sarafina you're the best
@sharifalopa89105 жыл бұрын
I still here2019,bongo star search 2018 kuliko Jana umetisha bro
@agnessjohn84046 жыл бұрын
jamani huyu ndo huyu macha boda Boda kapendeza kweli alafu anajua kuchana balaa kila la heri mungu amsimamie jamani
@bahariahusen13496 жыл бұрын
Agness John pamoja sana mkubwa anaweza
@rehemashafi48096 жыл бұрын
SAnA uyu macha anajua na kweli katumia km wcb msafini nomaaaaa sana🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌🙌👍👍👍👍👍
@wambungetv84196 жыл бұрын
Agness John huyu boda nooma sana
@mitodaud18206 жыл бұрын
Agness John aseeeh ckuwah jua km huyu mkali HV jmn daaah yupo vzr,kwel kila mmj hapa n mkl mbn kaz
@djudjuejiju85985 жыл бұрын
@@rehemashafi4809 ..
@nisilesanga36025 жыл бұрын
Wote walikuwa vzr lkn sema bahati ndo msimu wa mtu🙌
@hosianaelfuraha99496 жыл бұрын
Da!!!!Jilias unaweza isirudi nyuma br
@semsisamwel88136 жыл бұрын
Bss ya mwaka Huu ilistahili kuonekana ITV au Clouds.... washiriki wanatalent kubwa sana....wanaweza kuwa hired popote pale kwenye tasnia ya muziki
@costantinechasama50616 жыл бұрын
The best BSS so far. Wote washindi.
@arafazakir41506 жыл бұрын
Machaa cjui umekuja kufanya nn bss ww wakwenda studio moja kwa moja💪 napenda mzuka wa master j😂😂😂😂😂
@rahmaramadhani39936 жыл бұрын
Yaani we acha tu
@arafazakir41506 жыл бұрын
@@rahmaramadhani3993 anajua mpaka anaboa
@paulinanyululu25706 жыл бұрын
Regina nimesoma na u sikujua Kama unakipaji kiasi hiki. I love u regina
@gracegilbert28826 жыл бұрын
wallah humu ndan ushindan ni mkubwa sana kusema na ukweli humu wote ni wakali
@najmamohamed60606 жыл бұрын
Kwakweli
@mitodaud18206 жыл бұрын
Grace Gilbert kbs
@mwallongopouline48626 жыл бұрын
Mwaka huu pasua kichwa mana wote wananchanganya wako vizr
@zainabujaphary99096 жыл бұрын
Bigup wema I like you bigup
@mariamqueen26566 жыл бұрын
Wooooooooow she so beautiful and she have nice voice 3
@khamismsoma86985 жыл бұрын
Namkubali sana uyu mina vituko vyake.. kwa kweli nimeburudika nae
@zainabujaphary99096 жыл бұрын
Bigup Kendrick you did it,I like it
@sallyraidan68676 жыл бұрын
Wema sumari wew shida
@mitodaud18206 жыл бұрын
Dada wema n nomaaa thanaaaaah
@rosetteenock60436 жыл бұрын
The sec one duuh basi tuu 💝💝💝
@queensebastian91836 жыл бұрын
sarafina yuko vizuri sana
@tausimwambujule16426 жыл бұрын
Alieimba Ukimuona yuko vzuri
@elianasomrema75303 жыл бұрын
Julius macha Alifanya vizuri jaman
@nicolemukunde42046 жыл бұрын
Love this show so much
@sharifalopa89105 жыл бұрын
Wema umetisha kuzd wote wimbo mkali umetulia big up to u dada
@devothamalugumalugu75936 жыл бұрын
Mm najuaga majaji ni wanamziki yan ma Profesional wamziki sasa Hawa siwaelewagi kabisa
@helennollah52526 жыл бұрын
😃😃wema Leo kachangamka hatal
@zabronnkoy49085 жыл бұрын
Minna Ally bana 😁😁
@hassanmakacha39426 жыл бұрын
Bada boda ndio mzuka wangu jaman khaaa wanikuna mtimaaa
@mussakhatibu28086 жыл бұрын
Sarafina Anachukua hizo Milioni
@nassormohamed68055 жыл бұрын
Uko powa sana
@salmadalaquimane53036 жыл бұрын
Mi washirk nawashaur muache kuimba nyimbo ya mboso AKUNA wa kuweza maadh yake
@najmamohamed60606 жыл бұрын
Aki tena kumbe pia ww umeona
@Nestory_nest_C6 жыл бұрын
Kwa sauti gani ambayo ishindikane kuimbwa
@elizabethkizota54906 жыл бұрын
Rafudhi plz ameshauri vzr
@suleimanramadhan66 жыл бұрын
So sweet Talent Hongereni Sana washiriki love you all
@frdadaud9915 жыл бұрын
km umemwelewa asegwile akiokota wivin chap kwa haraka gonga like twende sawa
@magrethmhagama66886 жыл бұрын
sarafina waooooo mambo ni moto
@princessfathamy97875 жыл бұрын
Nampenda salama she know how to talk
@babuysalum85986 жыл бұрын
Asagwile noma sanaaaa
@bakarimlely.68926 жыл бұрын
Macha nishida nakukubali Sana pambana
@dharaphylutavi6 жыл бұрын
sarafina, Julius, mzee Wa Wigi wameua xnaaa
@sumiahsumi66676 жыл бұрын
Julius unaweza bro +257
@ibrahamkalu90696 жыл бұрын
Julius bodaboda utaacha from +254 nakupigia kura
@nicholausjpsuguru85335 жыл бұрын
Huyo jamaa alievaa wigi alieimba wimbo wa less wanyika kurayangu chukuwa maana ninoma rohoyangu kwaaaaaatuuuuuuuuuu
@lilianwilliam54554 жыл бұрын
P
@FatmaFatma-kt1or6 жыл бұрын
Boda boda love you uuuu
@iddykiondo20315 жыл бұрын
sijui Nimechelewa wapi Kura yangu Julias
@sallyraidan68676 жыл бұрын
Wema sumariiiii ni fireeeeeeee
@fredrickkinyaha87356 жыл бұрын
Jaman kaskazini na tz nzimaa mpigieni kura juliasi ashindee
@deboraelias18625 жыл бұрын
Yaaani huyu kaka nikiboko
@hamisimnyeheri21556 жыл бұрын
Wow watching from Kenya sarafina Uko mbele sana unaimba kama Vanessa mdee
@helennollah52526 жыл бұрын
Congrats ticha abu
@zaiwatanga5726 жыл бұрын
AnAjua wema
@praxedadominic98646 жыл бұрын
Naona saraphina anafanana sn sura na wolper
@veneminja30766 жыл бұрын
Macha big up mungu akutangulie
@chantalmurekatete54725 жыл бұрын
Tuma bss 11 kwenda 15670❤️❤️❤️❤️❤️🎵🎵
@chantalmurekatete54725 жыл бұрын
Tuma bss 3 kwenda 15670😍😍😍
@gmaemba226 жыл бұрын
Jamani mimi kwanza niwapongeze wazamini na waandaaji wa BSS.. Maana najua ni kazi ngumu ila naona kwa huu mwaka pamoja na wazamini mlikua nao mmepunguza gharama za show yenyewe.. Kuanzia kuyatangaza online na kwenye TV zetu.. Mimi nadhani ndio tunajiweka sawa. Ningependa kuona kamera zinakua nyingi hasa kwa watazamaji... Kuwe na msisimko wa kutosha kwani hamuoni hizi show kwa wenzetu jamani.? MADAM RITA naomba sana unisikilize mawazo yangu uyaangalie ili show hii iwe global hebu tujitahidi kwenye maandalizi. Msiwabanie watazamaji na zile mbwembwe za maandalizi. Staging lights, ukumbi na nafasi kati ya bandi na wasanii iwe kubwa... Am so happy for what you do but that's my only problem in this year. Once again thanks for making this possible I hope one day I will be guest in the show.. Ngoja tuchange ili tusupport the show... Thanks
@yusuphmagori53226 жыл бұрын
asagwile lov ming mingi kwako mungu akupe wepesi
@yusuphmagori53226 жыл бұрын
kwel hmna namna lakin wote mnaweza htr
@salummohd36946 жыл бұрын
Hongeren washiriki wot mm napenda music na pia napenda kuwaona vijana wenzangu wakifanya kitu kweny maisha yao
@eldanashon24756 жыл бұрын
Julius yuko vizuriiiii
@zainabuyasin81896 жыл бұрын
aaa mwanza mkoo juuuu sijui nani ataokota milion hamsib
@saidahj25436 жыл бұрын
Kazi ipo pambano limekaza...master j is funny
@HASSANHASSAN-tp6cy6 жыл бұрын
bodaboda oyooooo ishindeee
@salmadalaquimane53036 жыл бұрын
We we we sarafina mmmmh
@peteroriva62986 жыл бұрын
Kweli unahaki uko active sana bigup Sarah michael
@rodgersgingila93676 жыл бұрын
dah.. kura ndo tatzo.. ila wote wakali... nyota iko kwa bodaboda.. sarafina.. wema