Kindly follow our Instagram for daily updates: / cheka.tu
Пікірлер: 419
@user-yk6dg4kl3s
Kama unampenda chali gonga like
@raphaelmramba45735 жыл бұрын
Ukumbi uko maeneo gani hapa dar???
@kilazajr37205 жыл бұрын
mtaacha lini kuchekesha mnahusisha mambo ya Mungu??
@lekutadavi52175 жыл бұрын
cheka tu inapanda kwa kas mno! we thank lord inatengeneza nafas kwa vijana wenye vipaji! the problem n kwa rang! tafuta rang nzur ya kuvutia na kuonekana kwa wote! thnks
@mnazareth_tour2555 жыл бұрын
mwanaume Na gorofa 3 wa kawaida saaaana🔥🔥🔥🔥umeua Mr.beneficial
@shukulujaji28494 жыл бұрын
Acha ujinga kumhusisha mungu na ujinga Wenu huo
@cuthbertmarkyshirima96475 жыл бұрын
Nilikuwaaa sijacheaa ila nimecheka hap mwshon ulivyookota pesaa
@user-zj7sg4vn9w
Nice Sana yuko og Sana mtu wetu😅😅😅😅😅😅
@xyz-tv4om2 жыл бұрын
2022 and am back here for Mr Beneficial, man is funny ....miss his shows
@catherinemuthina35745 жыл бұрын
Napenda izo....Malugha zenyu from Kenya....respect chuga
@allyilo58315 жыл бұрын
Nakukubali mutu ya vicheko kwa miwatu from Australia
@johnfaustinechannel7465 жыл бұрын
Yesu Kristo
@mzeeabdallah53955 жыл бұрын
Nakubaky kinyama chali yangu mambo ni yentedee akata babaa
@hasyno98055 жыл бұрын
Umelipenda ilo lingoma basi dole gumba hpa
@siphajacson71554 жыл бұрын
Iseee we charii umetisha😀😀😀
@johnymaridadi98075 жыл бұрын
chalii uko vizur ila maneno ya mungu yatumie vizur
@daudimgwambo72005 жыл бұрын
Wapili leo kuacha comment mama kitu kikali Sana big up brayan
@subrynerysegerow13235 жыл бұрын
Mko vzur sana tunaipenda cheka tu na inazid kila kukicha saf sana