MKE WA MCH IPM AFUNGUKA KUHUSU KANISA LA IRENE UWOYA | KUNA NAMNA YA KUMWBUDU MUNGU

  Рет қаралды 11,714

Bongo Touch

Bongo Touch

Күн бұрын

Пікірлер: 82
@princeabuu8297
@princeabuu8297 8 ай бұрын
Hakuna cha uzungu wala nini apo huwezi kuitangaza dhambi peupe kwa kusema tuangalie moyo wake yani unatangaza dhambi kweupe na useme uko sawa wakati Mungu kasema mwili wa mwanamke wote 99% ni utupu rudi usome maandiko vizuri
@emmanuelmachibya2034
@emmanuelmachibya2034 8 ай бұрын
Hongera sana kaka #IMP una mke Bora mcha Mungu👏👏👏
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 3 ай бұрын
Kujiita Nabii ni wa uongo na dhambi utapeli. Manabii hata maisha yao yalikua tofauti hawakua na mawazo ya pesa. Na haya majigambo mitandaoni ndio unabii huo.
@samxx411
@samxx411 6 ай бұрын
Haya huyu nae pia ndo mchungaji....tarararara 😅😅😅
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 8 ай бұрын
Haijalisha malaya avae.dela tunaangalia maandiko yanasemaje mwanamke avae mavazi ya kujistiri na mavazi ya mpasayo kuvaa mwanaume mwanamke asivae na hua tunajifunza.kama familia imelelewa kizungu.ikiingia msikitin au kanisan inatakiwa ifuate maandiko usilahisishe mtumishi wa bwana
@kibouttv7148
@kibouttv7148 8 ай бұрын
Unatakiwa kuelewa kuwa kila sehemu ina aina yake ya mavazi tatizo mnahukumu watu ofcourse kanisani kuna mavazi yake, sasa vazi la kanisani uvae beach? Au ukaogelee ukiwa umejisitiri pangilia mavazi yako kulingana na sehemu unayoenda
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 8 ай бұрын
@@kibouttv7148 haipo.biblia.ya.bichi angalieni sana na anasa zenu.kuipenda dunia.kumpenda Mungu hakumo ndani dunia inapita na mambo yake yote da.jaman utapeli wa imani huo biblia inasema mavazi yampasayo mwanaume asivae mwanamke wanawake wavae mavazi ya kusitili miili yao hata kahaba ave dela harafu nimesoma neno paulo anasema lakini neno hili limewafikia mataifa ukiongea na kahaba twende kanisani anasema sina nguo za kubwa kanisani unamuliza una nguo gani suruali na vimini.lakini kanisani wana.kwaya.wanawake wanaomba nyimbo na suluali da wamesimama.milangoni kuzuia watu yesu alisema na wao.hawaingii leo kanisa haliogopi biblia linaogopa wachungaji hadi aibu
@Alunekyusa69
@Alunekyusa69 7 ай бұрын
Ndiooooo kweli kabisa
@Alunekyusa69
@Alunekyusa69 7 ай бұрын
@@kibouttv7148huko sio kuhukumu 1 timotheo 2:9
@Alunekyusa69
@Alunekyusa69 7 ай бұрын
Unahalalishe ujinga wenu wa kuvaa hovyo 1 timotheo 2:9 Pentecost mumeingiliwa kwa kujiharalishia kuvaa ovyo eti kimjazacho mtu ndicho kimtokacho
@Alunekyusa69
@Alunekyusa69 7 ай бұрын
Eti amelelewa kizungu Mungu ni yule yule 1timotheo 2:9 Kuvaa kwa heshima ndiyo wokovu wazungu sio Mungu wamewachukua akili wajijua waafrika ni nyani wanaiga kila kitu soma maandiko ndio muongozo usidanganye watu
@MillanFAHMI
@MillanFAHMI 4 ай бұрын
Kwanza utukome waislamu tumefikaje apo ukome halalisheni visivyo halalishwa ipeleke uko
@GodenBMDaniel
@GodenBMDaniel 8 ай бұрын
Hallelujah 🎉🎉🎉
@KopiscoIsaya
@KopiscoIsaya 3 ай бұрын
Usimtanie Mungu hacha kabisa,Mungu hadhiakiwi.cheza na malimwengu husicheze na Mungu,Tena Ukome kabisa
@ameenamohammed4413
@ameenamohammed4413 3 ай бұрын
eeeee mama mbona umesahau ktk kwenye zile amri kumi za dini yako 😅😅😅 bhn
@FatyucYusuph
@FatyucYusuph 8 ай бұрын
Coni km kunasababu ya kutaja waislam huna haya wewe
@UpendoLangeni
@UpendoLangeni 7 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@MaryWuantet
@MaryWuantet 7 ай бұрын
Pentecostal ni wanao amini kuna roho mtakatifu na talking in tongues
@BishiraMunga-ey6jx
@BishiraMunga-ey6jx 8 ай бұрын
Usilinganishe waislamu nanupuuzi wako wa kuvaa nguo fupi,acha tena koma zungumxia vichupivyenu mnavyovaa hadharani,tena jishikilie,acha kutetea ujinga.
@SmilingChocolateStrawber-zd5lc
@SmilingChocolateStrawber-zd5lc 7 ай бұрын
Sasa mnamwabudu Mungu yupi huku mkitukana wakristu ? Yaani ninyi hapo hamna kitu mnashangaza ni Mungu yupi mnamwabudu kwa matusi mnavyotukana Daah labda mmmmh
@nuruabraham3769
@nuruabraham3769 7 ай бұрын
mbona nyie ndio mnaongoza kuvaa vichupi ebu angalia wasanii wenu wanaojiita waislamu wanavaa nguo za kujistili kipindi cha mwezi mtukufu tuu kwani hao ni wakristo? Embu tuache udini muhukumu mtu kama mtu ukisema masuala ya udini basi kote kuna kasoro hasa katika uvaaji.
@Alunekyusa69
@Alunekyusa69 7 ай бұрын
Kabisa tena asirudie yeye aendelee uvaaji wake hovyo
@Alunekyusa69
@Alunekyusa69 7 ай бұрын
@@nuruabraham3769hao ni waigizaji wanajitamnulisha tu kuwa wao ni waislamu ila kuvaa kwa sitahaa ni vema sana 1Timotheo2:9
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 7 ай бұрын
Yaani ungejua hao mnaosema wanajistiri mambo yao usingehukumu mtu.acha kila mtu asimame kwenye imani yake.kitakachotufunga wote kwa Mwenyezi Mungu ni Matendo yetu na Imani nahivi vitu ndo Dini yenyewe nasio jina
@andolinasikitu9200
@andolinasikitu9200 3 ай бұрын
Niligunduwa waliyo mtusi uyo dada ni waislamu tu ivi nyinyi wailsamu mnafikiriaga kuvaa mavazi marefu ndo kumjuwa Mungu au ndo kufika binguni 😏😏😏
@yaqubabdi9532
@yaqubabdi9532 8 ай бұрын
Prophet gani ,huyu anatafuta tumbo lake tu
@nomar3708
@nomar3708 8 ай бұрын
Mungu gani huyo amekuwa mtoto eti na watu waje kumbadilisha nappy zake alizozikojilea na kuzinyia. Myself wakristo wapumbavu sana😂😂😂😂
@amanimaphie5309
@amanimaphie5309 7 ай бұрын
Those are your words
@samsonchikuni531
@samsonchikuni531 7 ай бұрын
Mungu na akusamehe hulijui ulisemalo
@CelinaPhilipo
@CelinaPhilipo 7 ай бұрын
Kwan wakristo hua wanawakosea nn waislam mana mara nyingi sana waislam hua mnawakashifu wakristo Kila mtu na iman yake bc na ww amin kwa iman yako na sio kuiongelea vby din ya mwenzio
@CadiaOnesmo
@CadiaOnesmo 7 ай бұрын
Wangekuwa wapumbavu usingejishugurisha nao maana kiuhalisia mtu mpumbavu hakusumbui ila kwako wewe naona wanakuumiza kichwa inamanisha hata upumbavu wao unakitu wanacho kuzidi ndo maana una chuki zidi Yao huwezi kumchikia mtu asiyekuzidi kitu point 2note
@FekiHappy
@FekiHappy 3 ай бұрын
Angevaa yy utupu basi tuone mfano
@kadijaa7771
@kadijaa7771 4 ай бұрын
Irene ni binadamu lkn Irene amekosea sana tna sana hilo vazi sio mchezo atubie na aache kama mwaona urongo mm si muhukunu lakni majibu atayapata na mutaona hta kama mtachelewa
@AzizaHamisi-o6z
@AzizaHamisi-o6z 8 ай бұрын
Huna lolote hakuna kitu apo wasaka pesa tu
@Alunekyusa69
@Alunekyusa69 7 ай бұрын
Kabisa mijinga kweli na mume wake wanasema eti kuuza sigara au pombe kwa mtu aliyeokoka lasivyo utakufa masikini Heri ufe masikini uwe na Mungu kuliko kufa na pesa na jehanamu uende na hela zako
@frankchipasura1814
@frankchipasura1814 6 ай бұрын
So usake na wewe falaaa wewe
@AllyMazinge-k6x
@AllyMazinge-k6x 8 ай бұрын
Unaona hali hiyo jiandae mtumishi naona unampromot wife haoni ya waliokutangulia shusho
@abi-onlinetv4181
@abi-onlinetv4181 2 ай бұрын
Usitutolee mfano waislam na hizo dini zenu za kukaa uchi na kupora Mali za watu kwa njia ya Sadaka. Uislamu ni dini ya hoja, ya heshima dini yenye misingi kutoka kwa muumba mwenyewe.
@SahimSalim-l5f
@SahimSalim-l5f 8 ай бұрын
Umlii eehh
@AbubakaliShabani
@AbubakaliShabani 5 ай бұрын
Wewe ni mshenzi et
@mulolemary1317
@mulolemary1317 8 ай бұрын
Kwasasa ukitaka utajiri funguwa kanisa tu utapata utajiri
@salisali3738
@salisali3738 7 ай бұрын
👌🏽👌🏽👍🏽👍🏽
@kadijaa7771
@kadijaa7771 4 ай бұрын
Kabisaa 😂😂😂😂
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 7 ай бұрын
No dhehebu sioe dini na sasa hivi sioe wale wa zamani. Suala la nguo kwa kweli tunapaswa kuvaa vizuri hata kama si hijabu .
@DaimonMwapelele
@DaimonMwapelele 8 ай бұрын
Shenz kabisa achen kumchezea mungu, achen kabisa mkataen shetan aliewatuma kuharbu din ya mwenyez mungu
@AzizaHamisi-o6z
@AzizaHamisi-o6z 8 ай бұрын
Idadi ya manabii inaongezeka hamuwezi kua manabii
@judithfimbo3743
@judithfimbo3743 7 ай бұрын
Ulokole sio dini jamani.
@MongiAron
@MongiAron 4 ай бұрын
Kitu naweza kosowa kwa muke wa prohete yakwamba wokovu haikamilishwe na mazingira ili tuishi kimaandiko tusipake zambi mafuta yaani ni vigumu Ku kosowa mutu ki mavazi wakati mwenyewe una nyele bandiya kichwani? Wake wa watumishi waache kupakaa zambi mafuta kufatana na tamaa Zao ao style Zao.
@ssalimsalim3864
@ssalimsalim3864 4 ай бұрын
Daaaah!!ndugu mtangazaji hiyo nyota ya Libya inatoka Tripol au wapi au ?maana umengangania tu Libya it's Libra not Libya damn!!
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 8 ай бұрын
Mcha Mungu hana umri mtumishi mbona wengine wanawake wanaimba wamevaa suluari jamani tusilahisishe madhabahuni wa nje achana nao walio ndani wakemewe
@MariamMgovano
@MariamMgovano 8 ай бұрын
Mmmmmh
@issapagali1330
@issapagali1330 6 ай бұрын
WAISLAMU WAMEINGIAJE HAPO?ELEZEA UKAFIRI WAKO. PUMBAV WAHED.
@AllyMazinge-k6x
@AllyMazinge-k6x 8 ай бұрын
Kina shusho kwa ni mariam alivaa wigi au alitembia uchi tusubiri mungu hakuwaruhusu hao kusimama mbele ya wanaume nguvu hizo wanatoa wapi apm jeje hajui au pesa tu
@samxx411
@samxx411 6 ай бұрын
Ati wamelelewa kizungu ndo mwalimu hiyo anafundisha na anao watu wanamfuata...je maandiko yanasemaje???? Mwalimu sio maoni yako kutoka kichwani mwako...unapoteza kondoo
@ThabitaMirumbe
@ThabitaMirumbe 7 ай бұрын
Dada tunashukuru ila hapana hiyo kitu unazungumza kwa kuwa nguo ndefu ni vazi ya heshima wewe uvae fupi uende kusali kahaba nae avae fupi akajiuze je kuna utofauti gani kati ya wewe na huyo kahaba hapana tunapaswa kuwa tofaut kwa kila jambo mwili ni hekalu lako hiyo itabaki hivyo nuru yako itawaangaza vip hao wa gizani
@albertinamichael6123
@albertinamichael6123 7 ай бұрын
Muonekano wako ndio unakutambulisha ulivyo mpaka ndani.
@DaimonMwapelele
@DaimonMwapelele 8 ай бұрын
Pumbavu kabisa acha kutetea uovu sema neno la mungu anasema nin mnavaa kimkundu kundu mmeleta umalaya makanisan na manabii wenu wa ngono
@Alunekyusa69
@Alunekyusa69 7 ай бұрын
Kweli kabisa anatetea uvaji wa hovyo 1timotheo2:9…
@agathasungura5047
@agathasungura5047 7 ай бұрын
😂😂😂
@frankchipasura1814
@frankchipasura1814 6 ай бұрын
wewe mbona upo mkundu wazi
@carmp3
@carmp3 8 ай бұрын
Wakristo manapenda kutembea uchi na kusapoti maovu hadharan badala ya kukemea basi ilimradi muishi kwa matamanio ya nafsi zenu mnaishi juu ya shelia hamtaki kuishi chini ya shelia
@AdelinaBruno-mz2rx
@AdelinaBruno-mz2rx 7 ай бұрын
Tetea.hoja.iliyopo mezani.,acha.kuwakisanua.watu.kwa.ujumla.acha.kusema wakristo.ikiwa.kaongea.mtu.mmoj.
@EsterNdalu
@EsterNdalu 6 ай бұрын
Waislamu wangapi tunawaona wanatembea utupu akina zuchu ni wakrito?
@frankchipasura1814
@frankchipasura1814 6 ай бұрын
wanajisitiri unaowasema na wanagongwa sana kuliko hao, tunawajua sana, nenda Zanzibar kaone, acha ushamba
@zuhurasaid
@zuhurasaid 8 ай бұрын
Wachumia tumbo tu, migogoro isiyokwisha ni maslahi mnagombania nini kama sio maslahi?
@frankchipasura1814
@frankchipasura1814 6 ай бұрын
Fala wewe, fuatilia dini yako, nyie ndio ovyo kabisa
@frankchipasura1814
@frankchipasura1814 6 ай бұрын
unajisitiri halafu unagongwa kama kawaida
@salisali3738
@salisali3738 7 ай бұрын
Uongo mwengine yote hiyo nikutafuta pesa mmmmmmmmmm
@SahimSalim-l5f
@SahimSalim-l5f 8 ай бұрын
Wee mwizi tu na malaya tu
@frankchipasura1814
@frankchipasura1814 6 ай бұрын
Malaya wewe tena ni shog
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 8 ай бұрын
Kumuabudu Mungu hakutegemei wewe unataka umwabudu unavotaka tunasoma neno muabudu Mungu harisi yuko sare na kila kanisa ukimkuta anaeabudu harisi roman na sabato wote wanafanana ila wanalahisisha
@mulolemary1317
@mulolemary1317 8 ай бұрын
Tafuta zako pesa amna lolote apo
UKWELI ULIOFICHIKA NA IRENE UWOYA EPSD1
25:14
Irene Uwoya
Рет қаралды 105 М.
КОНЦЕРТЫ:  2 сезон | 1 выпуск | Камызяки
46:36
ТНТ Смотри еще!
Рет қаралды 3,7 МЛН
GIANT Gummy Worm #shorts
0:42
Mr DegrEE
Рет қаралды 152 МЛН
Air Sigma Girl #sigma
0:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 45 МЛН
NTV Live | January 2025
NTV Kenya
Рет қаралды 111
UKWELI ULIOFICHIKA NA IRENE UWOYA EPSD 2
42:15
Irene Uwoya
Рет қаралды 49 М.
MCHUNGAJI HANANJA AMTOLEA UVIVU IRENE UWOYA KUVAA VAZI LA KANZU
4:43
КОНЦЕРТЫ:  2 сезон | 1 выпуск | Камызяки
46:36
ТНТ Смотри еще!
Рет қаралды 3,7 МЛН