Amen mama but naye aachekusema watumishi wengine na asiwahukumu coz hiyo ni kaz ya Mungu yeye afundishe kwel ya Mungu watu wafate na si kuwasema wengine kuwa ni matapel
@sekikigosi82654 ай бұрын
Barikiwa sana ma Mtumishi.
@aishaomary44984 ай бұрын
Mrembo mashaallah ❤❤
@SaidiRashidi-y2u4 ай бұрын
Kwa hiyo nyie ndo watu wa mungu mke wa mtume subirini mufe mutamjua mungu na mutajuta
@tausipaschel15511 күн бұрын
Acha mkorogo ni ubaki kama MUNGU aliyekuumba uzuri ulionaoni wa bandia mama
@hashimchaoga95663 ай бұрын
Maprophet wa ukweli walikua 25 tu nao hawakua matajiri wala hawakutoza watu pesa lakini sasa ni wa uongo na wafanyabiashara tu
@Mwasame_Official14 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 prophetess 😂😂😂😂mnawatapeli watanzania hadi lini???? 😮😮😮 baba mungu yupo na atajitetea mwenyewe, na matatoa hesabu ya mambo yenu yote.
@AkimuWaziri-u9b3 ай бұрын
Mbona amejichubua?
@DOREENISMAIL-g9d4 ай бұрын
Mmmh hapana hata kama ni mimi ningetamani Tufe wote
@zebedayokatamaduni96764 ай бұрын
Mke wangu chuma ndiyo nini? Acheni mbwembwe nyie
@ramadhanhassan93084 ай бұрын
Duu mjini shule
@DOREENISMAIL-g9d4 ай бұрын
Waislam hawapendi hyo
@zebedayokatamaduni96764 ай бұрын
Nimekula hasara mb zangu maana mnaongea Utoporoo
@BakariKassim-s7l4 ай бұрын
Ww mbwa unajiita mtume ww ngoja ukutane na ALLAH wewe kafiri mmoja ww rudi kwa ALLAH kabla hujachelewa
@KelvinMrema-y9i4 ай бұрын
Mungu ni mungu tu awe allah awe nan lakn ikiwa unamwabudu muumba wako yatosha.
@twiseghekisilu88454 ай бұрын
Allah wako ndo kakutuma kuita watu mbwa??
@elizabethkadzila6034 ай бұрын
Waita watu mbwa wewe wafunzwa na uislamu na Allah wako kutukanana
@vaikaayagadiel5204 ай бұрын
Hayakuhusu
@amiriforjesus86893 ай бұрын
Huyo Allah gani anaye wafudisha kutukanana siwezi hata kumwamini