Nampenda niffer hivo hivo ana maono makubwa yaan mansha Allah Mungu amuongoze ktk maisha yake ktk maisha strong supper women❤
@ChristinaOnditi-el3xoСағат бұрын
tatizo la kuchangisha kimekuteteresha Mwanangu,pole sana lkn mungu ni mwema limepita,hadi umepoteza Nuru yako kabisa, nakupenda usijali wewe ni mshindi AMEEN. ninachoamini hukua na Nia ovu, ni moyo wako mwema sana juu ya nchi Yako ila ni Ivo kutokujua taratibu,pole na hongera Kwa kua huru
@juliusjkalela9164Сағат бұрын
Binafsi nmefrah xana maana hakufanya vby tuachilie kua mm namkubali xana niffer ila hata isingekua hivyo yeye alifanya kama kusaidia hakua na nia mbaya ila watu wanaomuandama waache kabisa big up xana sst ❤️
@HekimaPatient58 минут бұрын
dhaaa huyu mwanamke ni mjuaji sana kumuoa huyo ni shida saana
@awatifalghanim110620 минут бұрын
Mashaallah wewe SI 😮😮MTanzania BONGO 😂😂😂 hutaki unafik unazungumza kwa makini ni mtoto ulopata malezi. Lakini Watangazaji ni waongo sana na kupenda kuchocheya mabaya. Loooh
@MaliackyLaizer3 сағат бұрын
Uyu msicha anamashauzi😏😏😏
@Nawal.Ahyaan5 сағат бұрын
Waongo sana nyie waandishi maana interview ya zamani sana
@AidathRweyongeza7 минут бұрын
Mnamchukia mtoto wa mwanamke mwenzenu acheni husda achane roho za kwanini mara anazarau mara kalienda kakarudi acheni unafiki hizi roho ndo maana mnakoswa hela fungueni roho kwa mwenzenu ila na nyinyi mfunguliwe
@OmanOman-ru4eu11 минут бұрын
Mbwa nyie hii ilikuwa ya zamani
@CecileNtakirutimana-p5p5 минут бұрын
Nikweri wivu wanao
@MedsonMmkubwa4 сағат бұрын
Nifa jasiri acheni roombaya
@Maiko-d1s7 сағат бұрын
Kajizi haka kadada😮😮
@AbdulMainda6 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂
@LawiyaMohamed4 сағат бұрын
Mna muhusudu tuh
@awatifalghanim110630 минут бұрын
Kiswahili hiki ni cha wapi???? (Janga )😂😂😂 ndio maana hayeshi hayo majanga. Wacheni kutumiya majanga
@FahadyKajugus-v1y6 сағат бұрын
Dada yangu waambie sisi ndio wahaya daadek tunapanda kibmw wao wakiwa navyo huwa wanapiga kelel
@ubunifulifestyle34925 сағат бұрын
Na umalizie kua ninyi ni makahaba
@LyidiaRupia5 сағат бұрын
Ww n bikra@@ubunifulifestyle3492
@SalumuRamadhani-y4y9 минут бұрын
Wai Dubai sasa ukaludishe afya yako
@NtamamiloGibson2 сағат бұрын
Humu nchini msanii mwenye mafanikio ni Diamond tu aliyetoa fedha kwa ajili ya watoto wenye shida ya Moyo. Hawa wengine akiwemo Nifer ni wahuni wakwepa kodi na wauza K
@Am-vo5cu2 сағат бұрын
Akili nikama Nywele kila mtu ako nazo. Niffer ana akili
@qilil77 сағат бұрын
video ya kitambo haaaahaaa
@NgoshaZedonnyСағат бұрын
Kwan nifer hzo pesa alizochangisha angepitisha bila kush2kiwa angezipeleka zote sasa? Karbia mil 30 zote zngefika kwa wahanga? Siku zote ukibanwa pale ulipotaka kupitia lazma upate vxngzio so hako ni kajizii na kama anajtambua kwann uchangshe watu bila kibaliii? Mpambanaji hanaga vmaneno vya kejeri hivooo
@asiansky97677 сағат бұрын
Waongo hiyo interview ya kitambo acha ushenzi mbwa nyie
@miriamkusula81666 сағат бұрын
Mtangazaji muongo huyu .. hii interview ya zamani
@JokhaSaid-e1c10 минут бұрын
Niffer pole na sasa hi I umewajua wanafiki wa Mitanni wakija dukani kwako usiwauzie hata sindano wala usiwape mkono ni watu wabaya saaaaaana pitia ytube utawajua
@veterinarytips8059Сағат бұрын
vijana wa hovyo sana tittle tafauti na content tafauti
@alimohamedali98247 сағат бұрын
Huyo muhaya mwizi amewaibiia watu wengi
@shabanimbega407 сағат бұрын
Huyu ni mjinga na hata wewe unayezungumza mjinga, angalia mada ni ipi huna na tofauti na huyo na unayeongea naye wote wapumbavu badala ya kuongea maendeleo mnaongeo mambo yenu binafsi.
@TwaribuBob3 сағат бұрын
komenti🤝🙏
@ananiamwatebela31594 сағат бұрын
Mwandishi unaongea sana mpe mda mhusika sio unsongea sana
@johannesssamsonambogo41257 сағат бұрын
SWALI LA KUJIULIZA NI KWAMBA KAMA WATU AWAMPENDI KWA KUSEMA UKWELI KWA MAKOSA YAKE, UO MSAMAHA AMEOMBA KWA KOSA GANI?
@goromamussatvonline7 сағат бұрын
Bado ajasema tultaka mpka aseme
@malkavoice25706 сағат бұрын
Mnadanga na kudanga inawalipa 7bu mmeamua kupiga hela za mjini na ujanja ujanja mwingi wajinga wengi mmewashika masikio. Lkn na ninyi acheni ushamba acheni kuchit sana mtafilisika mapema dadeki!
@FatimaFati-pu4lb6 сағат бұрын
Unakihele hele ww
@Am-vo5cu2 сағат бұрын
Bongo Touch wacha upuzi. Niffer anasema ako na mahusiano tena ati anadharau wanaume . Wanini hao wanaume kama ako tayari na mpenzi wake. Wacha ujinga wewe media
@Whoisthismantalking4 сағат бұрын
Hii chanel nimebonheza kitufe kilichoandikwa "don't recommend channel" Bonyeza vitufe vitatu kulia juu. Nimefanya hivyo kwa sababu ni waongo.
@collinsulomi10083 сағат бұрын
Hii channel yakijinga, mnapotosha watu, hamna akili nyie
@issashabani-c7r7 сағат бұрын
Kwenda huko msenge wee yeye mwenyewe ana roho mbaya tu huyu kuma la mama yake