HARMONIZE ,AMPIGA KIJEMBE DIAMOND ,"HUWEZI KUSHINDA GRAMMY KWA NYIMBO ZA KUSALIMIA"

  Рет қаралды 82,458

BONGO 24

BONGO 24

Күн бұрын

Пікірлер
@ymoneyofficial848
@ymoneyofficial848 Ай бұрын
Sjawai kumuona harmonize Yuko happiness kama Leo big up
@mhogomchungu7882
@mhogomchungu7882 Ай бұрын
Yupo happiness ndo nn?
@humbleshoal
@humbleshoal Ай бұрын
@@mhogomchungu7882 Yaani ana furaha
@ernestofrerelembus3316
@ernestofrerelembus3316 Ай бұрын
​@@mhogomchungu7882😂😂😂😂
@jismmy123
@jismmy123 24 күн бұрын
Kata fudhii dwanzi😂😂😂​@@mhogomchungu7882
@claudineali3561
@claudineali3561 Ай бұрын
Ukienderea hivo mungu akupe unacho muomba Hamonaise umeacha majivuno ongera sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
@AlexJumanne-ls5gm
@AlexJumanne-ls5gm Ай бұрын
Anapenda sana mademu huyu mwamba
@ClaptoneKeiza
@ClaptoneKeiza Ай бұрын
Bombooo clattttt .umesema utashinda tuzo za grammy 2025.alafu ukasema huziwezi tuzo kwa kusalimia wtu je we utashinda kwa kukooa🤣🤣
@Blackgiant_tz
@Blackgiant_tz Ай бұрын
Umelia sana au?
@EzekielMwaipopo-m4o
@EzekielMwaipopo-m4o Ай бұрын
😅😅😅 kichaaa uyooo
@NgasaMaduhu
@NgasaMaduhu Ай бұрын
Kunywa maji man machozi Yana chumvi chumvi😅😅
@justinmwenda7449
@justinmwenda7449 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉commasava is just a greatings😁😁😁😁🙌🙌🙌🙌
@BeneditoSamuelModestoMod-hz9wz
@BeneditoSamuelModestoMod-hz9wz Ай бұрын
I'm from Moçambique Harmonize ni Atari sana. Nakuomba uje Moçambique
@joesplatnumz
@joesplatnumz Ай бұрын
Inshallah iwe kheri uje ushinde Grammy award coming years Harmonize
@ShamsudeenOmary
@ShamsudeenOmary Ай бұрын
Sasaa inshallah inatoka wapi??
@joesplatnumz
@joesplatnumz Ай бұрын
@ShamsudeenOmary Kwa babaako
@ShamsudeenOmary
@ShamsudeenOmary Ай бұрын
@@joesplatnumz Mnaleta habari ya Allah kwenye masuala ya kipuuzi kisha mnakuwa viburi, sasaa wazungumza kitu gani !!
@presentertelence1679
@presentertelence1679 Ай бұрын
😂😂 Bongo Kuimba Bado Sana Harmonize Pekee ndo Ana ubunifu
@alphablondponera2367
@alphablondponera2367 Ай бұрын
Ubuni 😅😅😅
@JosephLaizer-o7u
@JosephLaizer-o7u Ай бұрын
siku sote salam inapewa kipa umbele ila kwene mziki salam haina tija ni mistari ndo inakutambulisha kuwa wewe ni nomaa siho salamu konde u is better than mwambino
@shawn-the-first.1643
@shawn-the-first.1643 21 күн бұрын
Jeshiiii love❤❤❤
@hassanikobelo3688
@hassanikobelo3688 Ай бұрын
Bongo mnapenda kiki saana😂
@DominicMakamba
@DominicMakamba Ай бұрын
Huwezi Pendwa na Kila mtu bro kikubwa do what makes you Happy. Mungu akutunze
@simbaedouardo8499
@simbaedouardo8499 Ай бұрын
@@DominicMakamba Amen
@CharlesMboya-gq1wh
@CharlesMboya-gq1wh Ай бұрын
Mashabiki wanataka lavu
@LutenganoCharles-d7t
@LutenganoCharles-d7t Ай бұрын
Malesia wapi kavu huyo kaanza na ki8ngereza lkn kamaliza na kiswahili hcho kidada cha kinondoni mkwajuni malesia siku hiz wanatumia lugha ya kishwahili au sio ??
@Wanjebayaz
@Wanjebayaz Ай бұрын
Baba ana Sifa uyu😂😂😂
@AbdallahKolowani-mf3fq
@AbdallahKolowani-mf3fq Ай бұрын
Geneouse music bongo claaat
@SalumuRamadhani-y4y
@SalumuRamadhani-y4y Ай бұрын
umala🎉😅😅
@nicholasvundi5133
@nicholasvundi5133 Ай бұрын
Its true people in Tanzania don't Know how to converse in English...just forcing it😂😂kenya we are blessed.Harmonize jitahidi sana hicho kiingereza sicho!
@piterasifa3757
@piterasifa3757 Ай бұрын
English imewapeleka marathon tu jirani 😂
@tusajigwe7491
@tusajigwe7491 Ай бұрын
Arrogant
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 28 күн бұрын
We are blessed ndo kiingereza gani we mkenya 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 huna tofauti na konde boy acheni lugha ya watu
@kaditomaker
@kaditomaker Ай бұрын
He's always doing good like Bongo 5❤❤
@josephvenus3259
@josephvenus3259 Ай бұрын
Diamond platinum ni level nyingine kabisa WEWE hugusi kamwe
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi Ай бұрын
Kwa kufilwa saw ila sio kimziki
@EzekielMwaipopo-m4o
@EzekielMwaipopo-m4o Ай бұрын
Kwerii ni meamini harmonize ni kubwaa jingaa salimiana na ww uone itafikaa wapi nyimboo yakoo😅😅😅
@user-jg5wf5be3u
@user-jg5wf5be3u 18 күн бұрын
Nakupenda bure harmonize you the best ❤
@BarakaHarrison-l4t
@BarakaHarrison-l4t Ай бұрын
Bombooooo claaaaaa hio nkwel kbs mtu aliendaliwa nyuma alaf mnataka ashinde grammy sheeenz saana
@imrizzy9668
@imrizzy9668 Ай бұрын
Mshamba tu huyu. Grammy haiendi hvyo kabsaa wacha chuki. Bakia kutoa contact kwa madem uanze kuliwa pesa😂
@Robinson24560
@Robinson24560 Ай бұрын
Very true bro yeye aendelee kubadilisha madem tu
@VibeScott
@VibeScott Ай бұрын
Uyu mshamba tayla ana imba maji na ana chukua grammy je komasamba sema mkono tupu aulambwi ana tafuta kiki ww hit yako ya mwisho single 😂😂😂😂😂
@Blackgiant_tz
@Blackgiant_tz Ай бұрын
Umelia sana
@ThomasBenedicto
@ThomasBenedicto Ай бұрын
Fala ww hujui mziki
@VibeScott
@VibeScott 26 күн бұрын
@@ThomasBenedicto tomasi belinda wewe sawa na yondo sister
@Jamiintv
@Jamiintv 25 күн бұрын
I'm talking to Media 😂
@EmmanuelNyinyigwa-m1o
@EmmanuelNyinyigwa-m1o Ай бұрын
Mwandishi boya kweli kweli Sasa unatoa taalifa ama unasifia
@shafee9128
@shafee9128 Ай бұрын
Sasa unateseka au
@victormalimbo1285
@victormalimbo1285 9 күн бұрын
Munanyamba tuu washenzi
@marcosjorgepadiapuka13
@marcosjorgepadiapuka13 Ай бұрын
Jeshi ❤
@ivantompoo-c9k
@ivantompoo-c9k Ай бұрын
Mbon harmo ana furah
@Henry.pius.kitelanya
@Henry.pius.kitelanya 22 күн бұрын
Kila msanii anamdawake sasahuumda ni wa Harmonize
@chitaboytz896
@chitaboytz896 Ай бұрын
Bombo class
@awiloligola7674
@awiloligola7674 Ай бұрын
Where is Nyashi😂😂
@brianwebitv
@brianwebitv Ай бұрын
Huyo mwanadada haendi 😂😂😂
@Jaxmusic-dr9uu
@Jaxmusic-dr9uu 29 күн бұрын
Amonaizi akishinda gramy nakunya njeee kweupeee
@BhaiMwadidu
@BhaiMwadidu Ай бұрын
Kwan hapo yuko wap? Sijaelewa vizuri
@rashidingole1588
@rashidingole1588 Ай бұрын
Mzungu wa buza anaomba namba baada ya biashara yake ya kuji.... Kuw ngumu
@RamadhanMohd-i2i
@RamadhanMohd-i2i Ай бұрын
Bombo Klaraaa
@imamufamily5617
@imamufamily5617 Ай бұрын
Yanii huyu mmakonde kila siku madem zake nimishangazi halafu hajawahi kuacha dem kila siku anaachwa yeye hili penzi likifika January ila yamungu meng
@makischocho4613
@makischocho4613 Ай бұрын
Balthazar wa bongo
@KidsSongsTV-s9w
@KidsSongsTV-s9w Ай бұрын
Am very very Muslim....😂😂😂 Nomaaa sana
@JechaMakameIssa-gs2bl
@JechaMakameIssa-gs2bl Ай бұрын
Ukiona ameaza kutaka kuonhelewa bc jua ana wimbo ameuwachia ama anataka kuuwachia kibaya na kizuri huwa hajibiwa kwaiyo unakuwa kama mjinga flani hv kwa sisi tusowajib wtu
@joeche4649
@joeche4649 Ай бұрын
Lakini enyewe nyimbo ya kusalimia haiwezi shinda grammy😅😂,,bomboclaaat
@Heiskmb
@Heiskmb 28 күн бұрын
Bombocaaaat😂
@cleophasmuhindo
@cleophasmuhindo Ай бұрын
Konde boy ni hatari niko mkongomani
@HASSANBAKARI-q9c
@HASSANBAKARI-q9c Ай бұрын
Very muslim??😊,,maskini ya mungu kiingereza chenyewe cha tabu dah,,
@hezronjoseph405
@hezronjoseph405 Ай бұрын
Mbona flat nyash,itakuaje,sio Mchaga uyu
@kotongomunkupahlombe8169
@kotongomunkupahlombe8169 Ай бұрын
🔥🔥🔥
@Am-vo5cu
@Am-vo5cu Ай бұрын
Ku date sio sifa. Watanzania wanawake wana shida . Wako na njaa ya wanaume kiasi hicho?
@rahiimal-shuwehdy1203
@rahiimal-shuwehdy1203 Ай бұрын
Which club he was going to?
@evansmumo3921
@evansmumo3921 Ай бұрын
Huyu dem najua amekula chuma cha konde tayari 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@nasibuomary7981
@nasibuomary7981 Ай бұрын
Choko 2 ww.
@shahamemalenga4838
@shahamemalenga4838 Ай бұрын
Unafutwaje jasho na mtu haujui kitambaa kina nn haujui unaagalia vipi usalama wako
@ecadiesel2155
@ecadiesel2155 Ай бұрын
Yeye ahende Sasa ndo tuone matope ambayo uta tuleteya East africa😂😂😂😂
@simbaedouardo8499
@simbaedouardo8499 Ай бұрын
Ndomana huwa anafeli sababu ya madem but hiyo nyimbo yakusalimiy ndo inaongoz
@TrayceMwassa
@TrayceMwassa Ай бұрын
True
@musiccaentertainment100k8
@musiccaentertainment100k8 Ай бұрын
Sasa wewe mademu hawakupendi umefanya maajabu gni
@fathers19991
@fathers19991 Ай бұрын
Wewe una nini kuku wewe
@selemaniharuni
@selemaniharuni Ай бұрын
Kwani we upendi mademu kama upendi mademu basi we utakuwa shunga pesa ananzo kwanini asiwaweke we shoga kaka
@IdarousPossy
@IdarousPossy Ай бұрын
Yaaan ni bora ungeakka kimyq ukaonekana mweny busara kuliko kuongea na kuonesha kiasi cha ujinga uliokua nao, unadhan harmo anafirwa kama wew,?yey ni lijali lazm apendwe,au unataka akufire wew,Mkundu wew
@Farajahelene23031
@Farajahelene23031 Ай бұрын
Welcome back hamo tz English up
@nicholasvundi5133
@nicholasvundi5133 Ай бұрын
Thats not English😂😂Kenyans we are the best
@RojaMwinyi
@RojaMwinyi Ай бұрын
Harmonize amelewa
@mbwanakiting7180
@mbwanakiting7180 Ай бұрын
Kwani malasia hakuna machangu
@MuyoBoy-j7d
@MuyoBoy-j7d Ай бұрын
😂❤🎉
@ayoubSwed-q5s
@ayoubSwed-q5s Ай бұрын
good konde
@donlee9992
@donlee9992 Ай бұрын
Do you know iam angle😂😂😂single again
@last6301
@last6301 12 күн бұрын
Gad is God 😂
@NassorBarwan
@NassorBarwan Ай бұрын
mdada mwenyew haeleweki tako wala baja
@flavourboyke
@flavourboyke Ай бұрын
Hii ni uongo malacia ya wapi,,, hii ndio ujinga huwezipata huku kenya
@raymondclaud6026
@raymondclaud6026 Ай бұрын
Sasa kenya mna msanii gani mkubwa??
@AshaMfaki
@AshaMfaki Ай бұрын
​@@raymondclaud6026sisi wakenya hatuendi Kwa p Diddy
@BarakaHarrison-l4t
@BarakaHarrison-l4t Ай бұрын
Harmonize n mkenya d6026
@remmyalfred6736
@remmyalfred6736 Ай бұрын
🇹🇿🇹🇿Kuna watu TZ wanafeki mafanikio kuanzia wasanii ndio maana si watu wa kusaidia jamii fanya kwa huyo anayejitangaza mitandaoni ndio utaona umaskini wake, watu wa nje ndio wana mafanikio ya kweli coz wanasaidia jamii, watu wanaofanya kazi kwa wazungu hususan wanalipwa vizuri. Lijitu ambalo linajitangaza lina maisha mazuri angalia ndugu zake au wafanyakazi wake au kwao utakuta wamechoka, wapo kujitangaza vitu hewa vingine wanapata kwa njia ambazo si halali ndio maana huwa wanajielezea na kujitetea tetea au kutuma watu wa kuwatetea waonekane wako vzr, hizo zote ni roho za choyo na tunakuza kizazi cha maigizo kufeki maisha vijana wanaiga wanakuwa na maisha hewa. Kama una maendeleo saidia jamii hakuna anayehitaji kujua maendeleo yako ya MATANGAZO yanayokunufaisha wewe yasiyosaidia jamii kuondokana na umaskini.
@jramadhanmgonja6110
@jramadhanmgonja6110 Ай бұрын
Punguza hasira, wazungu. Hawatusaidii Chochote amka Wewe Ni Punda. Bora Huyu Kwa Kua hachukui madini Yetu, Wala haendi kuidhinisha mikataba ya ukandamizaji Watz mmelogwa na Nani?????? Mtu anaandika Maelezo Mengi ila Upuuzi Mtupu
@chelahkenyah3596
@chelahkenyah3596 Ай бұрын
Mbona mim siombwi picha
@Yaziduchalla
@Yaziduchalla Ай бұрын
Mbn yanawatok san
@chelahkenyah3596
@chelahkenyah3596 Ай бұрын
Et nipe naul yakurud kwangu jinga hii kwan umeitwa na mtu
@omarchaijefwa729
@omarchaijefwa729 Ай бұрын
Huyu sio muislam tuwe na haya Juu ya nn
@jamesoduororawo8379
@jamesoduororawo8379 26 күн бұрын
What does bumbaclot mean? Bumbaclot is Jamaican slang equivalent to “douchebag” or “motherfucker,” often used as an interjection to express disgust or dismay. It’s also spelled bumboclaat or bomboclaat, among other spellings.
@emanuelmoshama3899
@emanuelmoshama3899 Ай бұрын
Asifuhahie kugutwa jasho wengine wanalichukua wanaenda kufanyia kazi
@DianeManirakiza-vt5bl
@DianeManirakiza-vt5bl Ай бұрын
Namimi nilihisi hivo hivo
@steveouko7537
@steveouko7537 Ай бұрын
Kama kuna mtanzania 'mjinga,kumbaff;mshamba'mchawi na amekosa adabu na keshima sio mwingine ila ni harmonize!!takataka tuu
@SleepyBeachHammock-xr8mb
@SleepyBeachHammock-xr8mb 27 күн бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅 harmo n ka maji ata ukikataaa lazima utayatumia tuuu ata kwa kuoshea vyombo.!!!!!!
@DullyThe_Africana
@DullyThe_Africana Ай бұрын
Kuma wewe baba ako kama anaswaliii ndo uletee uxengee angalia nafc yak n matendoo yakoo
@ZiyandaMhlana
@ZiyandaMhlana Ай бұрын
Bombrockra in Jamaica language is not good kwakishwahili
@Officialfadhilkhan4
@Officialfadhilkhan4 Ай бұрын
Pesa sio kila kitu, Uhai ndio kila kitu😂😂
@hemedabdallah6657
@hemedabdallah6657 Ай бұрын
Konde anajuwaa
@banjiushindi9059
@banjiushindi9059 Ай бұрын
Ninakubali Konde boyi
@sulleymernmannarah7930
@sulleymernmannarah7930 Ай бұрын
Hakuna mmakonde mshamba 😂😂
@chelahkenyah3596
@chelahkenyah3596 Ай бұрын
Demu wa mtu huyu
@azimioalbertongellangella8970
@azimioalbertongellangella8970 Ай бұрын
Tatzo hana mzgo
@nestor_nyb
@nestor_nyb Ай бұрын
mmakonde mshamba
@minhokid
@minhokid Ай бұрын
mwandishi kama bwabwa unavoongea
@AziziHamisi-b1d
@AziziHamisi-b1d Ай бұрын
Mmakond m1 t
@Peterchila-un2lx
@Peterchila-un2lx Ай бұрын
Kwaiyo Kama nimmoja kazaliwa peke yake mtwara masikini wewe
@AziziHamisi-b1d
@AziziHamisi-b1d Ай бұрын
@Peterchila-un2lx ndo ninae mjua mm wengine siwajuw
@Peterchila-un2lx
@Peterchila-un2lx Ай бұрын
@AziziHamisi-b1d masikini wewe
@NgoshaZedonny
@NgoshaZedonny Ай бұрын
Kweli GRAMMY ni tuzo kubwa af tuzo za watu wakubwa wanaojulikana kidunia so mond kama domo atulie na ajkusanye tena ku2nga nyimbo za maana sio kucopy tuuu
@rabikekitashu88
@rabikekitashu88 Ай бұрын
You're totally crazy,,
@Peterchila-un2lx
@Peterchila-un2lx Ай бұрын
Acha chukiiii mbwa wewe 🐕 🐕 🐕
@sulleymernmannarah7930
@sulleymernmannarah7930 Ай бұрын
Sasa Ngosha hyu Mmakonde hta MTV Hana unatarjia awe nominated
@NgoshaZedonny
@NgoshaZedonny Ай бұрын
@sulleymernmannarah7930 Kwa hapa tz bado msanii wa kufika huko kwa sasa tutegemee labda miaka mitatu mbele na focus zao zionekane za ubunifu hasa mziki wetu wa hapa ndo unatakiwa uonekane zaidi sio mziki wa wenze2 kuuendeleza kama haya mapiano hayawez kutupeleka mbali maana yake ni copy m2pu kutoka kwa wenzetu mfano kama nyimbo ya jux ololufemi hyo kwa haraka iko vzr ila ukiichek na kuielewa full copy za Nigeria asa hapo utaomba uwe mmoja ya wanaowania tuzo za Grammy? Bado sana ila kuuza mziki ktk mitandao hapo sawa watafaidi
@IbrahimPaul-t5g
@IbrahimPaul-t5g Ай бұрын
Kwel na ww matako yanakuwasha sas huyo mnayemtaka awe huko kwny grammy hawamjui ndo man wanamtaja mond ss nyie mangese mnasema nn🖕🏽🖕🏽
Какой я клей? | CLEX #shorts
0:59
CLEX
Рет қаралды 1,9 МЛН
Маусымашар-2023 / Гала-концерт / АТУ қоштасу
1:27:35
Jaidarman OFFICIAL / JCI
Рет қаралды 390 М.
JISOO - ‘꽃(FLOWER)’ M/V
3:05
BLACKPINK
Рет қаралды 137 МЛН
STEVE NA NDARO WALIVO VURUGA NDOA UTACHEKA
16:04
Ndaro Tz
Рет қаралды 743 М.
KJ Spio, Konshens, Harmonize - MESSI (Official Video)
3:33
KONSHENS
Рет қаралды 249 М.
Какой я клей? | CLEX #shorts
0:59
CLEX
Рет қаралды 1,9 МЛН