KAKA YAKE DIAMOND NI MGANGA | DUDU BAYA AFICHUA MADUDU YA WASAFI VANESA MDEE KUACHA MZIKI CHANZO

  Рет қаралды 60,891

Bongo Touch

Bongo Touch

Күн бұрын

Our mission is to bring people together,entertain and educate people that's why we create content that does exactly that

Пікірлер: 199
@AsimweJackson-p3p
@AsimweJackson-p3p 27 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 dudubaya jamani❤❤
@ShabanJumapili
@ShabanJumapili Ай бұрын
Kwenye Kupigwa Miti 🤣🤣🤣🤣Konkii Michano Makavu
@EmmanuelKatuma
@EmmanuelKatuma Ай бұрын
Hakuna sehemu mwenyez mungu alisema "Jikinge namii nitakukinga" huo ni msemo wa waganga wa kienyeji!
@fatumamilimo7336
@fatumamilimo7336 Ай бұрын
jisaidie nikusaidie 🙏
@matimfuko641
@matimfuko641 Ай бұрын
Mi nishautafuta huo mstari katika biblia nimeukosa 😢😢
@stellahwilfred5762
@stellahwilfred5762 24 күн бұрын
Hongera sn kaka William
@mussamwamoto8231
@mussamwamoto8231 19 күн бұрын
Msigope kusikia Assalmalykum,maana yake ni AMANI YA MWENYEZIMU IWE JUU YAKO,sasa ukikataa ni kama kumkataa mungu na asikupe AMANI,Neno amani ni pana sana na linatawala ktk maisha ya kila mwanadamu yoyote kuanzia asubh mpaka jioni mpaka ucku.tafakari neno AMANI.
@alimwadima254
@alimwadima254 Ай бұрын
Watu wapigana miti kishenzi...either upigwe miti au upige watu miti ndio upromotiwe😂😂😂
@btylove1870
@btylove1870 Ай бұрын
Baadilisha jina la DUDU BAYA please! Wakati mwingine majina tuliojipa au kupewa ndio chazo cha mishukosuko tunayopitia kwenye life zetu. Badilisha hilo jina la dudu baya 🙏🤍
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 Ай бұрын
Brand mzee jina
@lawabidingcitizen3427
@lawabidingcitizen3427 Ай бұрын
Umemshauri vizuri, umri wa kuitwa jina la staha pia umefika kwake Godrey Tumaini. Napendekeza jina la "Bra GT", akipenda atumie jina hilo sintomdai chochote!😂
@btylove1870
@btylove1870 Ай бұрын
@lawabidingcitizen3427 Asante 🙏
@NassorMussa-sm8fx
@NassorMussa-sm8fx Ай бұрын
Dudu baya msenge kweli 😂😂
@buzanation1040
@buzanation1040 Күн бұрын
Kama mbwa wenye nini🤣🤣🤣
@LeylaaYusuph-pk5qp
@LeylaaYusuph-pk5qp 7 күн бұрын
Endelea dudu baya
@eminix2132
@eminix2132 Ай бұрын
Konki Master is real , exposed them
@salehhamad4628
@salehhamad4628 Ай бұрын
Konki konki konki
@RoseHillary-j7t
@RoseHillary-j7t Ай бұрын
. amen
@amirimasabo8709
@amirimasabo8709 Ай бұрын
Iyo kawayida sana africa..japokuwa dini zinatukataza ushirikina
@HabibKhamis-b2x
@HabibKhamis-b2x Ай бұрын
Kweliiiiii😅😅😅
@calimahad9274
@calimahad9274 Ай бұрын
Huyu kijana anae hoji mkono wake upo juu ya Dudu baya haoni kama ni makosa?
@Doreen_ONLINE
@Doreen_ONLINE Ай бұрын
Sema umechoka mzeee
@TimotheoSimtowe
@TimotheoSimtowe Ай бұрын
Mtangazaji mbeaaaaa😂😂😂😂
@user-to6up4hg2w
@user-to6up4hg2w Ай бұрын
What about her husband 😂😂🎉
@EmmanuelMoses-pb1zh
@EmmanuelMoses-pb1zh Ай бұрын
Hahahaha ety waganga walipiga hela😂😂😂😂
@HamadBashir-bs5wo
@HamadBashir-bs5wo Ай бұрын
Dudu baya yuko sawa
@Kulindwa
@Kulindwa Ай бұрын
Yupo sawa kwa sehemu maana mziki sio uhuni wala sio ushetani, ila waimbaji wapo wanaweza kuwa na ushetani; kanisani na misikitini ipo miziki, kwenye hafla au shughuli za kishetani ipo miziki
@DohadrivingAcademy-lo1yy
@DohadrivingAcademy-lo1yy Ай бұрын
Matunguli😅😅😅
@blackyoungmaestro
@blackyoungmaestro Ай бұрын
Dudubaya kachoka sana, msaidieni jamani anatia huruma
@NdayisengaTatu-f2v
@NdayisengaTatu-f2v Ай бұрын
Kwani ye ndo wakwanza kwa wasanii
@BarakaDaud-qu3ec
@BarakaDaud-qu3ec Ай бұрын
Dudu baya unaongea vzr
@nikkimbishiunju2402
@nikkimbishiunju2402 Ай бұрын
Eti tusiongee kiingereza,utadhani hata unakiweza!
@LoySamueli
@LoySamueli Ай бұрын
Kumechemka
@abdimakame7929
@abdimakame7929 Ай бұрын
Pombe nyingi
@fortyyellu9971
@fortyyellu9971 Ай бұрын
Dah Fadha DUDUBAYA Jitahid bas kuzifanyia usafi izo ndev na izo nywele.. maana zinatutisha kidogo mzee... bado upo kwenye platfom mzee usijisahau bado tunakuhitaj katika ushaur na mambo mengine mengiiiiiiiiiiiii... plz bro fanya hivyo bana
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 Ай бұрын
Swagger mzee mitindo huru
@PaulWekesa-z8o
@PaulWekesa-z8o Ай бұрын
Mzee wa wivu vipi kazi ya nguruwe
@Kabeya410
@Kabeya410 Ай бұрын
ACHENI UJINGA HII NI SALAAM UNAWATAKIA AMANI WATU ILA WATU KWA KUUCHUKIA UISLAM NA UARABU NDO CHANZO CHA MATUSI KUTUKANA, YESU ALIFUNDISHA HII SALAAM ALIKUA AKISALIMIA AKIINGIA NYUMBANI KWA WATU AU AKIFIKA KUKUTA WATU ALIKUA AKISALIMIA KUWATAKIA AMANI YA MUNGU IWE KWAO AU KWAKO. UNATAKIWA USOME AU KAULIZE WATU NA USIULIZE KWA KUTAKA UBISHI BALI KUTAKA KUJUA UKWELI. HIKI NI KIARABU TU LAKINI MAANA NI MOJA TU SALAAM KUWATAKIA AMANI YA MUNGU, SASA SIKU HIZI SIASA ATI WATU ANASALIMIA ASALAAM ALAYKUM. HALAFU ANAONGEZA ATI YESU ASIFIWE AUBTIMSIFU YESU YAANI HAPO HAKUNA SALAAM NI MISEMO YA KANISA HAKUNA KWENYE BIBLIA KAKUNA YESU ASIFIWE WALA TUMSIFU YESU ILA KUNA AMANI YA BWANA IWE KWENU YAANI ASALAAM ALAYKUM. MAFUNDISHO YA MUHAMAD NA YESU NI HAYO. KAKUNA KUBALANSI NI UJINGA TU. WATU WASOME. HALAFU MTU ANAKOSA HOJA ANATUKANA DINI AU ANASEMA OOO WAISLAMU WANAFUGA MAJINI AYA GANI NA WAPI UMEONA MAJINI YANAFUGWA KAMA KUKU USHAHIDI HAKUNA ILA STORY ZA KUCHAFUA UISLAM. ILA KTK UKRSTO KUNA MAPADRI MASHOGA LIVE KABISA NA WAMETIA WANJA WANAONGOZA IBADA NA PIA KANISA KATOLOKI PAPA YENU KARIHUSU NDOA ZA MABASHA NA WASENGE. KANISANI ILA UPUUZI HUO KTK UISLAM HAKUNA. NA MTU AKIFANYA MWENYE JINA LA KIISLAM HUO NI UFIRAUNI WAKE DINI INAKATAZA. USHOGA ILA UKRSTO UNAUNGA MKONO MASHOGA NA WASENGE.
@mohayussuf2057
@mohayussuf2057 Ай бұрын
Duh noma momo
@stanastana3199
@stanastana3199 Ай бұрын
Amemtibu dube sahii anafunga balaa
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 Ай бұрын
​@@stanastana3199😂😂😂
@SKY-fk3fz
@SKY-fk3fz Ай бұрын
Salam aleikum maana yake salama na amani iwe juu yako
@Brunn-mh2bq
@Brunn-mh2bq Ай бұрын
Kwa hiyo wasemaje sasa
@swedibokat9931
@swedibokat9931 Ай бұрын
Waandishi wengi wanao muhoji huyo tahahira dudubaya ni wapumbavu pua yanamuhuliza maswali ya kipumbavu na yanajibiwa kipumbavu , wabongo wengi stupid sana yakhaani kwakweli
@MoneyMaker-z5p
@MoneyMaker-z5p Ай бұрын
Hy mwarabu
@AbdulAbdul-v9s
@AbdulAbdul-v9s Ай бұрын
Dudu baya jamani mumsaidie ata nywele akanjowe
@fadhilially7357
@fadhilially7357 Ай бұрын
Uyu asaidiwe jamani afu acheni kwenda kumuoji daah
@thetas08
@thetas08 Ай бұрын
Tatizo la wabongo wengine hawapendi huyu jamaa cuz la kwanza kakaa kwenye hiyo industry ya music anajua Siri zote so anaposema ukweli mabogasi yanaponda ukweli ukweli na uongo itabaki uongo ili huyo jamaa asilimia 90 anaongea ukweli tena bila kupepesa macho ndio maana mziki WA bongo mwisho east Africa period danganyeni mtakavyodanganya music WA bongo east Africa kwisha wala huko west Africa hamkariibii mpaka mapiano juzi juzi TU yametupita cuz mpo personal life sana ya kufatanafatana kuliko kuimba na kupeleka bongo flavor far
@IkoUwasi-it6qy
@IkoUwasi-it6qy Ай бұрын
Kwani Kuna sheria lzm muziki wetu ufike huko zamani wakongo walitawala tz mpk media lkn Leo wapo wapi waganda Burundi Kenya nk Leo wapo wapi huyo dudu baya enzi zake c alikuwa yupo juu Kuna mtu alikuwa anamfikia Sasa hivi siyo wakati wake atulie tu angeongea hayo kipindi ana hit anakuja kuongea now ameishiwa kipindi dudu baya yupo juu nakupenda mpenzi Cheka kidogo we ulikuwa unamjua mond au billnasi au chino au marioo lkn now kaona watu wanatamba ndio kabakia hivyo tatizo wasanii wazamani wamejaa wivu chuki husda mbona ulaya wapo waliotamba zamani lkn huwezi kusikia mambo kama haya hata wakihojiwa
@JustinAbiud
@JustinAbiud Ай бұрын
Kweli kaka ila unatakiwa kutambua wabongo tunapenda uongo kuliko ukweli mtu ukiongea ukweli wanakchukia ila ukidanganya ndo wanakuunga mkono😂
@paulinewangila-cs6ys
@paulinewangila-cs6ys 29 күн бұрын
​@@JustinAbiudWATU WANATUMIA MAMBO MENGI SANAA HAPA BONGO ILI MAMBO YAENDE
@DpN-rk8xz
@DpN-rk8xz Ай бұрын
Kweli dudu baya kiboko yote kweli unachoongea
@mohayussuf2057
@mohayussuf2057 Ай бұрын
Huyu Ricardo momo ni mganga
@stanastana3199
@stanastana3199 Ай бұрын
Ndio,unaona vile hata dube anafunga sahii,kwa ajili ya momo
@homologouschromosomes5272
@homologouschromosomes5272 Ай бұрын
Who is Ricardo moma?
@loner_wolf
@loner_wolf Ай бұрын
WANAFUNZI WAKIKETI KWA HOFU WA YA WAYAHUDI YESU AKAJA AKASIMAMA KATIKATI YAO , AKASEMA "" amani iwe juu yenu "" . YAANI ASALAAM ALEYKUM .😅😅😅😅 hiyo Bwana Yesu asifiwe HAIPO KTK MAISHA YA MIFIWA MWENYEWE WALA KTK BIBLIA sijaona mtu akisalimia eti BWANA YESU ASIFIWE😅
@moodyzanzibar4336
@moodyzanzibar4336 Ай бұрын
UKRISTO HAUKATAZI SALAAM WACHA KASUMBA YA KIJINGA MWANDISHI /AMANI YA BWANA IWE JUU YAKO NDIO MKRISTO HATAKIWI KUIPOKEA ?????
@abdillahiabdallah7530
@abdillahiabdallah7530 Ай бұрын
bwana ee ustake kulainisha na kupaka mafuta bwana Amani ya bwana ndo nn? tafsir umetoa wap
@alimwadima254
@alimwadima254 Ай бұрын
Watoto saivi wanapigana miti km mbwa wenye fungus😅
@shabaniduduma8885
@shabaniduduma8885 Ай бұрын
Kwanini huwa mnawahoji watu waliochoka na mateja?
@smadon5638
@smadon5638 Ай бұрын
Huyu ana matatizo ya akili😂
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi Ай бұрын
Kuma la mama akoo kwaiyoo kusema watu kwenda kwa waganga ana matatizo ya akiliii Kuma la mama akooo
@LolyFadi-t8b
@LolyFadi-t8b Ай бұрын
Vanessa ni dada wa rocha rocha wa Bss
@safiam5338
@safiam5338 Ай бұрын
Sasa miye nauliza kitu kimoja kama waganga wote wanauwezo kwanini wingi wao maskini ?jamani ni meuliza tu
@mfanisifoundation6904
@mfanisifoundation6904 Ай бұрын
Mtangazaji hujielewi
@WazyKilima-z3v
@WazyKilima-z3v Ай бұрын
Wewe mwandishi ni mshamba sana, kwa hiyo wewe uwezi kuitikia salamu?
@SashaSalum-dl6ni
@SashaSalum-dl6ni Ай бұрын
tanzania.tuna wandish Bora na Bora wandish .ssa Tanzania tuna Bora wandshi.maan wanahoji umbea umbea tuu
@hassanhamza9247
@hassanhamza9247 Ай бұрын
Ata Ulaya na Marekani vipo vipindi vya udaku na zipo magazine za udaku labda kama uwe Sio mfatiliaji tu
@Fantastic.-gm1eo
@Fantastic.-gm1eo Ай бұрын
Wcb wote mashoga, D voice naye kaanza kulembua na kusuka baada ya kuingia wcb
@Karimchembela
@Karimchembela Ай бұрын
Mtangazaji we ni kuma nini
@HuseniMsumba
@HuseniMsumba Ай бұрын
UNGEENDA KWA WAGANGA USINGEACHA MUZIKI TUMEROGWA WEWE,
@ladislausmoris9638
@ladislausmoris9638 Ай бұрын
Tunaenda kupoteza huy baba si muda mrefu mashoga tyr amesha mmaliza afya yake mmmmm mungu msaidie tunampenda
@ELIFASMADEBHO
@ELIFASMADEBHO Ай бұрын
UKRISTO, UISLAMU HIZI ZOTE NI DINI ZA WAGENI KUTOKA NJE SYO ASIRI YETU WA AFRICA SISI BORA HT SERIKAL INGEZIFUTA
@Onge-shabani1994
@Onge-shabani1994 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂Dudu baya bwana 😂😂😂😂
@ShabanMohamed-e9l
@ShabanMohamed-e9l Ай бұрын
Wewe dudu bwana hebu acha kywafunga kamba watu kisesa kwenu kabla ume enda Kwa wa ganga malangapi jamaa yangu muogope mwe Nyezi mungu Bora useme Sasa hivi huendi nitakuelewa it mimi na waganga mbalimvali niwa leka shi nanho
@newgeneration2721
@newgeneration2721 Ай бұрын
Wewe unazingua badala utuletee muhusika unatuletea mtu mwingine ameongelee maswala yasiyo muhusu
@ElirehemaMbise-zm3pm
@ElirehemaMbise-zm3pm Ай бұрын
Wewe Dudu baya umeishiwa kila kitu mpaka mawazo
@CastorinaAmandus
@CastorinaAmandus Ай бұрын
uyo kaishiwa mwambie akatibiwe mchafu
@alantonio855
@alantonio855 Ай бұрын
Mwandishi lofa ya mtu
@hamisially-c4x
@hamisially-c4x Ай бұрын
Konki naona pombe inammaliza uso uso unaanza kuvimba
@nameiztv7870
@nameiztv7870 Ай бұрын
Mbona mdogo wake bado anafanya mziki.
@michaeljames3480
@michaeljames3480 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@michewenionlinetv
@michewenionlinetv Ай бұрын
Njoo Pemba tukupe mvuto wakaz zako
@OmaryShop-f6w
@OmaryShop-f6w Ай бұрын
Wasanii wengi wanaliwa sana huyo jamaa nimkweli
@Kulindwa
@Kulindwa Ай бұрын
Suala la kuliwa hata wadiokuwa wanamziki wapo wanaliwa; hatahivyo hii ni shutuma isiyokuwa na ushahidi wa wazi
@HamisiHassan-oy6xz
@HamisiHassan-oy6xz Ай бұрын
Kwani dudu baya ananenepa mashavu tu
@user-mq2ip3dh4v
@user-mq2ip3dh4v Ай бұрын
Uandishi wa habari unataka elimu kubwa. Ukitaka kuwa mwandishi lazima uwe unajua vitu vingi, yaani Huyu haelewi Asalam alaikum ni Salam tu na sio uislam. Huyu mwandishi is very shallow
@cdeegwau551
@cdeegwau551 Ай бұрын
We mwandishi choko kweli, una element za kishogaa pimbi wew
@HamisiHassan-oy6xz
@HamisiHassan-oy6xz Ай бұрын
😂😂
@MzeeKigogo_
@MzeeKigogo_ Ай бұрын
Sio lazima kuitikia salam ya majini
@MoneyMaker-z5p
@MoneyMaker-z5p Ай бұрын
Siyo si tumekupa ukimwii kuwa mpole
@cdeegwau551
@cdeegwau551 Ай бұрын
@@MzeeKigogo_ sawa dini ya mashogaa..😁
@MzeeKigogo_
@MzeeKigogo_ Ай бұрын
@@cdeegwau551 ile ya wafuga majini sio?!
@spartachize122
@spartachize122 Ай бұрын
Asa mbna ata bwana yesu asifiwe hajaaijibu?
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 Ай бұрын
Hata mimi sijamuelewa😅
@swedibokat9931
@swedibokat9931 Ай бұрын
Kuna siku pimbi, alimpa ushauri mzuri tuu, huyo lofa dudubaya aende kwa mr manguruwe akafanye kazi, sababu dudubaya kazi hana, basi liliwaka kama moto wa kifuu, eti aliwezi kufanya kazi kama hoyo😅..bwege weee
@Kulindwa
@Kulindwa Ай бұрын
Mziki sio ushetani ila wahusika ndio wanaweza kuwa na ushetani, lieleweke kwanza hilo
@adelinibrahim9283
@adelinibrahim9283 Ай бұрын
Mwizi haamini kwamba kuna mtu asieiba duniani,anajua wooote wezi. Sishangai kufagiria wewe mziki wakati matusi yake uhuni wake uko wazi pole sana. Chukua hii mziki unaharibu moyo na wewe huwezi kuka ukaangalia hata na watoto wadogo kama unamawazo hayo nawonea huruma kizazi chako
@Kulindwa
@Kulindwa Ай бұрын
@adelinibrahim9283 Si kila mziki unanena matusi ,si kila kisu hutumika kumchoma mtu
@RaphaelKoinasei
@RaphaelKoinasei Ай бұрын
😅😅
@P2004-cQ
@P2004-cQ Ай бұрын
Leave Diamond alone ffs Africans be happy for each other
@myaudimazarahu3532
@myaudimazarahu3532 Ай бұрын
Mtangazaji nakuunga mkono usiwe mtumwa wa runga
@shabaniduduma8885
@shabaniduduma8885 Ай бұрын
Acha gongo na mataptap mzee unakwisha eti
@michewenionlinetv
@michewenionlinetv Ай бұрын
Unganga upo dudubaya usikstaye wewe vip
@HarunakiongoziMohamed
@HarunakiongoziMohamed Ай бұрын
Tafuteni hela. Mpunguze kujieleza
@husseinabdallah5718
@husseinabdallah5718 Ай бұрын
😂😂😂😂
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 Ай бұрын
HIVI DUNIA HII NANI ASIYEJUA KUWA NGOMA HIZO NI MBAYA? ILATU MMEKARIBISHWA NA SHETANI,WAKAFANYA HARAMU KUWA HALALI.HATA KIPATO CHAKE NI HARAMU
@DelightfulMacawBird-tl5hf
@DelightfulMacawBird-tl5hf Ай бұрын
Hivi wewe mtangazaji kwani ukiitikia salamu utakufa au utabadilika jinsi, mtu nakutakia Amani eti mimi mkristo chefuuuu
@johnmeshack4431
@johnmeshack4431 Ай бұрын
Sasa wewe ni mkirsto na mbona uitikii njaa mbaya😊😊
@FrederickThadeo
@FrederickThadeo Ай бұрын
Ndio mana wamekulogo yesu alikua na waki na luka wewe bani dudu bata ukashifu waganga futa kauli zako
@FeisalKhatija
@FeisalKhatija Ай бұрын
Bro Fanya mpango umuokoe mwanao kule coco beach shaur yako watu wanapga tu mshipa
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 Ай бұрын
Mwanae Gani mzee
@FeisalKhatija
@FeisalKhatija Ай бұрын
@jaffjeff6912 bro muulize baba ake anajua each and everything
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj Ай бұрын
​@@FeisalKhatijaDuuh mshipa tena?
@GeofreyIsaac-c1x
@GeofreyIsaac-c1x Ай бұрын
Mbone boyfriend wake mwanamziki? Tena wa Hollywood nyumba ya shetani. Kama ka okoka, basi aokoke ukweli
@swedibokat9931
@swedibokat9931 Ай бұрын
Angalia hili bwege linavyoongea bila adabu, alafu linajiliza eti mtoto wangu analogwa na ndugu, hadi mama yake mzazi anamshutumu, sasa aklli mbovu kama hiho, maongezi kama hayo unategemea watoto watajunza nini kwa libaba kama dudubaya?..yakhaani jamaa sio zima kabisa kichwani, linajifanya linaamini yesu, alafu hapo,hapo linaamini uchawi na kuogopa, boya sana dudubaya
@MeshackGERD
@MeshackGERD Ай бұрын
Msaidien kwanz hy brother anaumwa
@Kenya101-y2t
@Kenya101-y2t Ай бұрын
WaKenya sio wajinga, tullijua Diamond ni mshirikina.
@dokatudima2738
@dokatudima2738 Ай бұрын
Ushoga,Uchawi iko very common in Tz
@stephenmwaniki2803
@stephenmwaniki2803 Ай бұрын
Sio TZ pekee Hadi huku 🇰🇪🇰🇪🇰🇪kwetu wapo
@dokatudima2738
@dokatudima2738 Ай бұрын
@@stephenmwaniki2803 labda Kwa kikuyuni,the northern Kenya is safe place
@stephenmwaniki2803
@stephenmwaniki2803 Ай бұрын
@@dokatudima2738 lakini Hawa wachenzi wanajua kujificha sana ujue na umbaya ni,wako kwa Kila dini wakristo waislamu wapentecosto na wengineo
@moodyzanzibar4336
@moodyzanzibar4336 Ай бұрын
WEWE MTANGAZAJI WACHA KUKASHIFU DINI ALI KIBA NI SHEKH WA DINI GANI??? NI SHEKHE ANGEKATA VIUNO KWENYE STAGE???? UMEMUONA LINI SHEKH MKUU AKAKATA VIUNO KWENYE STAGE /HAWA WASANII NI MAKAHABA NA MAMALAYA NA MAWAKALA YA MASHETANI /SIO MASHEKHE
@alexander19077
@alexander19077 Ай бұрын
Dudu mbona kaisha hivi ile body chuma imepotea
@mwendajumbe6816
@mwendajumbe6816 Ай бұрын
Hata jina lake baya , napata wasiwasi kwa tabia yake ya kusema habari za watu kila kukicha hii ni tabia ya mashoga na vile aliishi chini ya mapadiri wasiooa
@SonitajoseDonita-tm5ex
@SonitajoseDonita-tm5ex Ай бұрын
Hili litangazaji hovyo amepataje Kazi hii ,hujui maana ya Salam alykum???? Tafuta Kazi nyingine dogo.
@gracekiondo2541
@gracekiondo2541 Ай бұрын
Dudu baya wewe umeishiwa na unamwa nenda Hospital haraka
@kobajumakuziwa9976
@kobajumakuziwa9976 Ай бұрын
Wewe mwandishi wacha ujinga inaonyesha hukusoma asalaam alekum ni lugha ya kiarabu maana yake amani iwe juu yako msenge we kwani asalam ni dini huo ukristo ni chama cha waroma Freemason ukisomea upadri lazima ufutwe uwe shoga pumbavu
@barakajonas3209
@barakajonas3209 Ай бұрын
Ataa waisilam wote wanafuga majini wao ndiyo shida wanye hii dunia sheeezii sana
@therevolutionbrandtanzania4909
@therevolutionbrandtanzania4909 Ай бұрын
Achakumpagia mtu chakufanya nasio kila salamu yakuitikiwa punguza povu din zenyewe zimeletwa izi ila unashupaza shingo kutetea mambo ambayo uhusiani na chimbuko lake
@Allyhujjat
@Allyhujjat Ай бұрын
Msenge kweli kweli uyu mtangazaji
@janemwakapesa5569
@janemwakapesa5569 Ай бұрын
😂hasira mbaya, Ushoga unaongoza wapi , ushawahi chunguza ushoga ni wakina nani wanaongoza dah. 😂 chunguza kama ni waroma wakristo ama Waislamu chunguza brother 😂
@janemwakapesa5569
@janemwakapesa5569 Ай бұрын
Usitukane dini ya Kikristo mjibu mtu sio utukane Ukristo
@moodyzanzibar4336
@moodyzanzibar4336 Ай бұрын
WEWE MWANDISHI ACHA MAMBO YA KISWAHILI SWAHILI /UNAONEKANA HUKO VIZURI BADO
@Hgd-jk6lh
@Hgd-jk6lh Ай бұрын
Dude mbaya mbona uso umevimbaa😢😢
@shabaniduduma8885
@shabaniduduma8885 Ай бұрын
mtangazaji ni choko wewe
@fortunatusjuma6763
@fortunatusjuma6763 Ай бұрын
Kwan apo ndan A/C Amna mbna dudu anazid kuswet
@MenTPL
@MenTPL Ай бұрын
Huyu kawa chizi tayari, Sioni kuwa zinapanga kweli akilini, Ao mzee kasha pagawa😂😂 Waandishi wa habari acheni uchonganishi, mnatafuta story kwa watu siyo, hii ni roho mbaya, inabidi dudu baya akubali kuwa mda wake siyo tena
@user-to6up4hg2w
@user-to6up4hg2w Ай бұрын
Yesu he's just human being just like you must be mugu
@swedibokat9931
@swedibokat9931 Ай бұрын
Mwandishi boya na kakutana na boya na chizi mwenzake
Tundu Lissu: "Hakuna tena kuimbiana mambo ya maridhiano  yasiyokuwepo"
32:08
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН
Гениальное изобретение из обычного стаканчика!
00:31
Лютая физика | Олимпиадная физика
Рет қаралды 4,8 МЛН
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН
JUMA LOKOLE ATANGAZA HADHARANI KUA SHOGA/ MKE WA DIAMOND.....
10:10
TOP LEVEL Tz
Рет қаралды 127 М.
DUDU BAYA AFICHUA MADUDU YA SARAH WA DIAMOND, WAMEFANYA UPUUZI
25:37
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН