Maunda Zorro - Nataka Niwe Wako

  Рет қаралды 828,398

bongotrax

bongotrax

Күн бұрын

Пікірлер: 786
@hafidhahmed642
@hafidhahmed642 2 жыл бұрын
R.I.P Maunda Zorro Aliekuja kuangalia huu wimbo baada ya kusikia Maunda amefariki usiku wa kuamkia leo tujuane!
@samuelmmassa7213
@samuelmmassa7213 2 жыл бұрын
Pamoja (Rip)
@mpepolucy5055
@mpepolucy5055 2 жыл бұрын
Mimi
@rukiandimile5669
@rukiandimile5669 2 жыл бұрын
so pain jamani
@rukiandimile5669
@rukiandimile5669 2 жыл бұрын
R.I.P Maunda
@LambeDon_
@LambeDon_ 2 жыл бұрын
👋
@wizrocktz2088
@wizrocktz2088 10 ай бұрын
Rest in peace Maunda Zorro. 2024 Now I’m still listening this song
@Zanga93
@Zanga93 2 жыл бұрын
Kama unaangalia wimbo huu baada ya kifo Cha dada huyu like hapa 😔😔😔😔
@devothaignatus5911
@devothaignatus5911 2 жыл бұрын
Ata mm nimekuja uku nilipo ckia mcb
@abdulrazaqdullah
@abdulrazaqdullah Жыл бұрын
Mimi ni meneja wa shishi baby, mungu ashukuliwe kwa kila jambo 😭😭😭😭
@asuhpole1490
@asuhpole1490 Жыл бұрын
More blessings kaka
@albertmoris7925
@albertmoris7925 Жыл бұрын
Asee acha kaka,😭
@dismashamaro7216
@dismashamaro7216 Жыл бұрын
Beautiful soul is resting in peace.This song will Iive forever.❤
@pix_1lyrics777
@pix_1lyrics777 3 жыл бұрын
Yaani hii nyimbo inavyoanza tu unapata feelings kabs 🔥🔥,,,,, hongera kwa maunda zoro,,, 2021 tukusanyike hapa
@brianrading1828
@brianrading1828 3 жыл бұрын
I was dating a Tanzanian girl and on our first date she played me this song.. went head over heels. Big ups from kenya
@tumsifumsuya9331
@tumsifumsuya9331 2 жыл бұрын
DO¥¥¥8'qqó7u J
@Epimack_s
@Epimack_s 2 жыл бұрын
As a Tanzanian man I can tell she is a wife material just by that. Achana na hawa wa shaimbembe
@btsshorts6859
@btsshorts6859 2 жыл бұрын
@@Epimack_s 😂😂😂
@agonzakabutelana4060
@agonzakabutelana4060 2 жыл бұрын
How is it now. 😭😭 rest in peace Maunda
@lastborn6620
@lastborn6620 2 жыл бұрын
Rip maunda zoro
@kautipe2011
@kautipe2011 2 жыл бұрын
Today 14th April,maunda lost life on car accident happened last night,I will always cherish your moments, your vocal and songs you left us with Wil make us remember you until our end...rest easy My favorite singer
@mohamedadan8603
@mohamedadan8603 2 жыл бұрын
yah will surely miss her...luv da song
@rereshap9416
@rereshap9416 2 жыл бұрын
Rest in power dear
@ramsojimmykelly3379
@ramsojimmykelly3379 2 ай бұрын
Rest easy maunda 14/10/2024..8:58pm naisikiliza sauti yako tamu nikiwa 🇸🇦
@hafidhahmed642
@hafidhahmed642 5 жыл бұрын
Hakika Maunda hapa ulifanya kazi nzuri hongera,,km yupo anaeangalia na kusikiliza hili song saizi saa 7 usiku km mm gonga like tujuane!
@razosashirafu2217
@razosashirafu2217 3 жыл бұрын
2021
@rehemakasebele4232
@rehemakasebele4232 2 жыл бұрын
2022 baad yakifo
@ibrahimuhossa7334
@ibrahimuhossa7334 3 жыл бұрын
Daaaaah yn cn ht cha kusema mn dhairi wimbo umejieleza kwahisia kbsa ,yn mwanamke makini upndwa na mwanaume Aliyemakini always❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@KisakaIjumaa-u7q
@KisakaIjumaa-u7q 3 ай бұрын
Kama bado mpenzi wa nyimbo hii gonna like 😢
@mulangobaraza3706
@mulangobaraza3706 2 жыл бұрын
Always will be one of my favourite musicians of all time, Maunda. This song, 'Nataka Niwe Wako', no doubt your greatest hit yet, has been my tonic every night. I've lived with the pious hope that I would meet you someday. After last month, however, it's unpleasantly clear that it would never be. I'll cherish memories of you all my life, though. Always in my heart from Kenya. R.I.P
@josephissara3599
@josephissara3599 2 жыл бұрын
This is one of the best songs I have ever had.....Rest In Peace Maunda Zorro!!!!!
@btsshorts6859
@btsshorts6859 2 жыл бұрын
Daaaah Yaani Tanzania Tunapoteza Wasanii Wazuri 😓😥😥😭😭 Pumzika Kwa Amani Mrembo
@jeniphajeremiah8008
@jeniphajeremiah8008 2 жыл бұрын
daahhh 😭😭😭
@crershawmafia1009
@crershawmafia1009 7 жыл бұрын
The sweetest bongo flava song that i've ever heard in my entire life. This song makes my skin hairs pop up, the beat immerses in my soul and my entire body shivers. It never bores me ever. i remember back in the days when it came out used to replay it throughout the day. Asante Maunda Zorro kwa hili ji hit la kufa mtu. Come back and give us more pls!
@missykalele5520
@missykalele5520 2 жыл бұрын
She is not around this time.REST IN ETERNAL PEACE MAUNDA
@crershawmafia1009
@crershawmafia1009 2 жыл бұрын
May her soul rest in heaven
@mariamkizango6421
@mariamkizango6421 2 жыл бұрын
Rest in peace our dear angel Maunda Tanzania will truly miss you 🇹🇿😔🙏
@salehkhamis3063
@salehkhamis3063 4 жыл бұрын
Maunda nyimbo zako zote hiii ndo ninayo ukubali wale wenzangu na mie gonga like tujuane
@michealjoseph3207
@michealjoseph3207 2 жыл бұрын
Was my favourite song back in the days R.I.P maunda
@asiahmariam3942
@asiahmariam3942 5 жыл бұрын
Hizi ndio nyimbo sijawai kutoka hapa adi sasa 2019 itabaki kuwa nyimbo yangu pendwa daima
@maimonatalal8994
@maimonatalal8994 3 жыл бұрын
Hata mm kwakweli, naipenda hii nyimbo acha tu 💞💞💞💞💞💞💞♥️♥️♥️
@raphaelkanyandenge440
@raphaelkanyandenge440 3 жыл бұрын
Asiah Mariam true
@quecathy5060
@quecathy5060 2 жыл бұрын
Jamani Maunda Zorro R.I.P 2022 nitabaki shabiki wa nyimbo zako
@allykassim9826
@allykassim9826 5 жыл бұрын
Ungekuwepo enzi hizi za ruby na akina nandy balaa lingekuwa zito. Best song kwangu kutoka kwa maunda zorro. Nyimbo inagusa moyo, tumemisi hizi ladha. Nov 2019.
@linakabura5246
@linakabura5246 2 жыл бұрын
Rest in eternal peace Maunda Zoro...u will always be remembered through your music
@samueljoseph6542
@samueljoseph6542 2 жыл бұрын
Rest in eternal peace Maunda. You'll always be remembered🙏🏽
@RBA3569
@RBA3569 2 жыл бұрын
She's late?
@Thekidp3702
@Thekidp3702 2 жыл бұрын
@@RBA3569 Yea
@kudason
@kudason Жыл бұрын
@@Thekidp3702 that’s sad to hear. Love this song. What happened to her?
@Thekidp3702
@Thekidp3702 Жыл бұрын
@@kudason She was sick 😔😔😔
@roselynepambo5757
@roselynepambo5757 Жыл бұрын
No she wasn't sick. She was involved in an accident
@aminaolver5128
@aminaolver5128 2 жыл бұрын
Pumzika kwaamani maunda wangu 😭😭😭 uliimba nyimbo ilio ishi hata baada yakupumzika kwa muda Mungu akutie kauli thabiti AMEN 😭🙏
@KibweOnlineTv
@KibweOnlineTv Ай бұрын
TAREHE 04-11-2024 PINDI WIMBO UNATOKA NILIKUWA NA MIAKA 15, DAAH HAKIKA LIFE INASONGA MBELE NI JAMBO LA KUMSHUKURU MUNGU TU KWA HII ZAWADI YA PUMZI, HUU WIMBO UTAISHI MILELE NA VIZAZI VYETU VITAKUJA KUUFURAHIA🎉🎉🎉❤❤🙏🙏🙏
@mapigoalan
@mapigoalan 2 жыл бұрын
One of my best music production and artist ever MAUNDA HELEN ZORRO R.I.P
@shyfettymtunda4935
@shyfettymtunda4935 5 жыл бұрын
I can't get enough of this song, it's my favorite of all the time tangu umeachiwa kwa hewa kwa mara ya kwanza till now! Watching this in March 2019😍
@jaynaan1592
@jaynaan1592 5 жыл бұрын
Ni kwel ujaongopa na isitoshe nilibaatika kukaa mtaa 1 na maunda zoro nilikuwa namkubali xana hasa kwa nyimbo hii
@maimonatalal8994
@maimonatalal8994 3 жыл бұрын
Nyimbo nzur, namkumbuka maunda kila cku! Cjui yuko wapi huyu dada
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 2 жыл бұрын
She passed away last night 14/04/22😭😭😭
@valeriaally4770
@valeriaally4770 3 жыл бұрын
Am listening in 2021 the best song ever, old is gold
@idditoufiq649
@idditoufiq649 3 жыл бұрын
Hii miziki imepotea inabidi tuifate hukuhuku
@lekajr9160
@lekajr9160 3 жыл бұрын
waaah nimeamini kuna muziki na kuna mziki mzuri❤️🇰🇪 2021/10/27 Alhamisi saa nane dakika arobaini
@monicaisaya6143
@monicaisaya6143 2 жыл бұрын
Leo nimeamka nawewe maunda wangu mackin niangalia hizi nyimbo nawaza hata hukutegemea kama utaondoka2022 hakika mbinu za Mungu hazichunguziki pumzika kwa amani watoto wako mackin🙏🙏😭😭😭❤️❤️
@gladnesskivamba4720
@gladnesskivamba4720 2 жыл бұрын
I don't get enough of her song! Rest in peace dear mau😓😓
@foroforoy2554
@foroforoy2554 2 жыл бұрын
One of the classic songs of all times in bongo flava. Mikono safi ya Allain Mapigo, na sauti kamili ya Maunda...Mungu akuweke pema bibie. Tupo kwenye foleni
@missme5851
@missme5851 6 жыл бұрын
Yess... My favourite... Anaemjua Maunda msihii aanze kuimba tena! So beautiful
@paqchatygaga7276
@paqchatygaga7276 2 жыл бұрын
Walokuja kuangalia baada ya kifo cha maunda zorro tujuane 😭😭
@AmakaTyson
@AmakaTyson 2 жыл бұрын
RIP Maunda Zorro,,,, You will always be alive in your beautiful music,,,,
@stevenmeshack467
@stevenmeshack467 2 жыл бұрын
🙏🙏 Asante dada pumzika salama we Missing you forever ❤
@allansipendi6579
@allansipendi6579 2 жыл бұрын
Unique voices and pure talent. May her soul Rest In Peace
@jacksonbarth5280
@jacksonbarth5280 2 жыл бұрын
Am crying for this beautiful soul💔
@antonywambua1820
@antonywambua1820 5 жыл бұрын
Much love from Kenya 😘😘😘the beat just fuckin cool,the sweetest beat I've heard in 2019,big love
@moviesvilla6846
@moviesvilla6846 2 жыл бұрын
R.I.P Maunda zorro... We will always remember you.... Listening this 2022, April the day of your death😭😭
@mozmudi3446
@mozmudi3446 2 жыл бұрын
Dah inauma Sana 😭😭😭😭😭😭😭
@babab12twelve91
@babab12twelve91 2 жыл бұрын
ngoma nzur Sana nimekuja kuichek baada ya kufarik dunia pole Sana wafiwa
@michaeljm2739
@michaeljm2739 2 жыл бұрын
Ananikumbusha Bali sana jamani 😭😭😭😭😭😭😭😭
@rahmaally3340
@rahmaally3340 2 жыл бұрын
Innalillah wa inna ilayhi rajun mungu ailazé roho yako mahali pema peponi aamiine 🙏🙏🙏🙏
@josemitimingi8048
@josemitimingi8048 Жыл бұрын
Nimerudi tena hapa 2023 kwa mdogo wangu maunda zorro. Ulale salama Iko siku tutaonana tena mungu ni mwema sana😭😭😭
@swahilipopup
@swahilipopup 2 жыл бұрын
Rest Easy Maunda your music will live forever in our hearts• 💔
@tildahongkong6086
@tildahongkong6086 2 жыл бұрын
Pumzika kwa amani Queen maunda zoro 😍🙏🏼😭😭😭 tutakukumbuka daima milele mbele yetu nyuma yako sister 🙏🏼😍😍
@warrenkineni2964
@warrenkineni2964 2 жыл бұрын
your songs will always remain at our heart...rest in peace legend 😢
@beatricekinyaha679
@beatricekinyaha679 2 жыл бұрын
Rest in peace Maunda....I listen to this song in 2012 and it was amazing ..still feeling the same this year!
@shedlenatra8924
@shedlenatra8924 2 жыл бұрын
dah nyie dunia hii maunda dah Sasa kwann umetuacha wakati bado tunakupenda jamn dah
@nellyflo9736
@nellyflo9736 2 жыл бұрын
😭😭This beautiful soul ameenda kupumzika kweli kaburi,n tajiri
@TALLUBOY
@TALLUBOY 2 жыл бұрын
Hatal kutoka 2005 mpaka Leo 2023 bado ngoma kali R - I- P dada yetu kipenzi tutakukuta kwa uwezo wa maulana😭 aame
@saraissa9327
@saraissa9327 Жыл бұрын
Anaye sikiliza huu wimbo 2023.tujuane hpa 😥.....R.I.P Maunda😔... you'll always remain in our hearts 😭💔
@victormbuthia1786
@victormbuthia1786 2 жыл бұрын
Daaa pole sana mrembo uliutumia wakati vibaya uliipenda dunia kuliko Mungu.Mungu akuhurumumie sana nakuonea huruma sana pole ulimkataa Yesu enzi za uhai wako leo sijui utajitetea na nini
@nguwababra4963
@nguwababra4963 10 ай бұрын
As if u know where u'll head when u die,,,,kazi ya Mungu Muachie Mungu mwenyewe
@Sammy_vlogs786
@Sammy_vlogs786 2 жыл бұрын
Kama siku tano kabla ya kifo chako nilikua naskiliza nyimbo uliyoimba Na Squeezer. Nimetoa chozi kusikia habari ya kifo chako. Daima nitakukumbuka Maunda Zorro. Nakupenda sana Na hii ni nyimbo yako ninayoipenda kuliko zote. Pumzika kwa amani Dada angu. You are a One of the best out there. You are a legendary musican. 11/February 1986-14/April/2022
@voevosty5653
@voevosty5653 6 жыл бұрын
Such a classic . 2018 Gonga like twende Sawa
@JescaMahenge-jf3eh
@JescaMahenge-jf3eh 29 күн бұрын
Dah! Nitakukumbuka sana maunda. Huu mwimbo unanikosha sana❤
@rii001-b3j
@rii001-b3j 4 ай бұрын
fundi aliyepimzika na ufund wakee 🔥🔥 2024
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 2 жыл бұрын
R.I.P MAUNDA ZORO😭😭😭😭14/04/22 a date to remember mama😭😭😭
@crershawmafia1009
@crershawmafia1009 3 жыл бұрын
I used to put it on replays wayback in 2007, very sweet melody with fine lyrics! Mpaka leo sijauchoka nazidi kuuona mtamu tu
@Abik8no
@Abik8no 2 жыл бұрын
Maunda Zoro you made it amazing 😍😍😍 Rest in eternal Peace of God. Tanzania will always cherish your music God given talent. We'll always miss you Queen 😭😭😭😭
@mariamwakabuta1034
@mariamwakabuta1034 4 жыл бұрын
Nakumbuka enzi zangu nilipokuwa bongo wakati uwo wimbo wa Maunda Zorro , ray c,lady jaydee,banana Zorro,wako wengi tuuu...dah yaani hawo watu walikuwa na ujumbe mzuri baraa haki ya Mungu nawapenda sana...nipo ufaransa bado nawapenda wanamuziki wa kwetu dah inauma 😭😭😭 tume toka mbari 💗jamani lkn bado tupo pamoja🙏 🇹🇿 for in love ❤..dans l'amour tout jour...je 🌷🇹🇿❤🙏🤜 PAMOJA
@maimonatalal8994
@maimonatalal8994 3 жыл бұрын
💞💞💞💞💞
@flipflop8409
@flipflop8409 3 жыл бұрын
Lakini Kiswahili chako bado hakijakomaa vizuri. Hapo ni “BALAA” sio “ BARAA” “MBALI SIO MBARI” “WAKATI HUO SIO ‘UWO’ “
@husseinnkuna4260
@husseinnkuna4260 2 жыл бұрын
Pumzika kwa Amani dada yetu umetuachia burudani tunamis sana uwepo wako😭 mungu akusamehe makosa yako🙏
@nassorali1202
@nassorali1202 2 жыл бұрын
Kufa ukumbikwe dahhh alivyokua hai niliona ngoma ya kawaida sana ila now bonge la hit r.i.p maunda we love ❤️ u forever💯
@mrishomhagama3969
@mrishomhagama3969 8 жыл бұрын
It will remain as hit song forever and always
@ezrarobart8032
@ezrarobart8032 4 жыл бұрын
Video za kutomban
@ameenaameena1224
@ameenaameena1224 2 жыл бұрын
R. l p
@abdallahmunga6886
@abdallahmunga6886 2 жыл бұрын
Mungu akulaze mahali pema pepon 🙏🙏🙏 maunda zorro
@josephmuhasa8817
@josephmuhasa8817 2 жыл бұрын
Rip ulinikonga kwa nyimbo hizi sasa umetuacha maunda asante.
@mussathobias988
@mussathobias988 6 ай бұрын
Maunda zorro mungu akupunguzie adhabu ya kaburi co Kwa nyimbo hzi tamu ulizotuachia
@kikoadventures6933
@kikoadventures6933 2 жыл бұрын
Rest easy Maunda Zorro. Thank you for ur service, real appreciate.
@wardamunguakuzidishew9399
@wardamunguakuzidishew9399 2 жыл бұрын
Kwa kweli kifo ni fumbo mungu ailaze rohoo yako pema peponi🤲🤲
@ngongopaul4417
@ngongopaul4417 6 ай бұрын
Rip dada,, baada ya kifo chako hakuna alieziba pengo lako kwa wasnii wa kike,, ulikuwa wewe, shaa na ray c baaasi.. Tutakukumbuka daima ❤❤
@ARMANIDIORFILMDIRECTOR
@ARMANIDIORFILMDIRECTOR 6 жыл бұрын
so much love with this song it reminds me of my first date, my gf used to call me in the middle of the night and tell me to tune into the TV when this song played at night @ 5/4/2018
@allykassim9826
@allykassim9826 5 жыл бұрын
Hahahahahaha. Nimekusoma.
@mwashindagadwa3264
@mwashindagadwa3264 2 жыл бұрын
Kipindi hiki nimemfia mtoto mmoja wa Mkwajuni Mbeya.... Kwa sasa ni mke wangu na watoto Lukuki. #RIPMaunda
@kautipe2011
@kautipe2011 2 жыл бұрын
It's 2022 and still the heat song, who's listening 🎧
@gigyabdul2994
@gigyabdul2994 2 жыл бұрын
R .i.p maunda 😭😭😭😭
@ashasaid6928
@ashasaid6928 2 жыл бұрын
Rip sis...
@pendorose8056
@pendorose8056 2 жыл бұрын
😪😪😪 nakumbuka nilikua aipenda naiimba hii nyimbo kila saa ilikua 2009 ilikua ya motooo sanaa....Rest in peace Maunda
@EliTaarifa
@EliTaarifa 2 жыл бұрын
Rest Easy Maunda, this song reminds me of great memories I had in those years
@AffectionateHorse-zp8wo
@AffectionateHorse-zp8wo 4 күн бұрын
😢😢 Chini vinaenda vipaji vya kweli😩😭 from 2008 to 2024 December 12❤
@sadikigwajima3224
@sadikigwajima3224 2 жыл бұрын
Ata siamini ndani ya macho y angu 😭😭 pumzika kwa amni maunda mbele halo nyuma yetu
@duwemei2062
@duwemei2062 2 жыл бұрын
2022 nimekuja kuucheki huu wimbo baada ya kusikia maunda kafariki RIP
@khatrikatau1482
@khatrikatau1482 2 жыл бұрын
Dhaaaa naumiasanamoyo wangu juyako maunda zorro siaminikabisakama umefariki pumzika kwamani nasitunafwata ,
@edwardkamau475
@edwardkamau475 Ай бұрын
R.I.P Maunda Zorro, You Were Indeed A Talented Bongo Artiste.
@ruthkisiangani4799
@ruthkisiangani4799 2 жыл бұрын
What a loss ,such a legendary voice.R.I.P Maunda
@hassanimohamedi4929
@hassanimohamedi4929 8 жыл бұрын
daa nice song inanikumbusha mbali saana kuna kituo cha redio walikuwa wanapenda kuipga saa kumi na mmoja asbh
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 2 жыл бұрын
Lala salama my dada nyimbo zako daima nitaendelea kuzipenda😭😭😭😭
@mercyjoakim829
@mercyjoakim829 2 жыл бұрын
Rest In Peace Maunda...you gave us the best moments with your sweet voice, go sing with the angels girl💔💔💔
@dinameena601
@dinameena601 2 жыл бұрын
Duuuh ..R.I.P maunda tuendlea kusikiliz nymb zako
@manfredtegemeo4687
@manfredtegemeo4687 18 сағат бұрын
Rest in peace my sister
@josephatmakuka4860
@josephatmakuka4860 2 жыл бұрын
Dahhhhh pumzika kwa amani mrembo
@teddylameck3355
@teddylameck3355 2 жыл бұрын
Napenda sana nyimbo za uyu dada pumzika kwa amani dah
@geraldsanga7093
@geraldsanga7093 2 жыл бұрын
Tutakukumbuka daima milele Maunda Zorro.........REST IN PEACE.
@pascalmsuyajr.7980
@pascalmsuyajr.7980 3 жыл бұрын
Kama unacheki hili goma 2021 ..wew ni legend 🔥 🔥
@twahasmartguy6587
@twahasmartguy6587 2 жыл бұрын
Njia moja atuna ujanja
@MrDubbz05
@MrDubbz05 9 ай бұрын
I listened to this song back in 2010. It was one of my favourite song. So sad you passed away. R.i.p maunda zorro
@victorialucas4476
@victorialucas4476 2 жыл бұрын
😭😭😭😭 lala salama dada
@SaidiChopa-tz3wh
@SaidiChopa-tz3wh Күн бұрын
Kipenz chetu mungu azidi kumpumzisha....maunda😢
@blazedemontez6211
@blazedemontez6211 2 жыл бұрын
Nani amekuja hapa baada ya taarifa za kifo cha MAUNDA ZORO R.I.P
@marineusmutongore
@marineusmutongore 2 жыл бұрын
Nimeumia Sana jaman Maunda. Mungu akupe pumziko la milele.
@rehemakasebele4232
@rehemakasebele4232 2 жыл бұрын
Umeondok na kasaut kazuriii jamn rip
@liliannyakundi6244
@liliannyakundi6244 3 жыл бұрын
2021 from Kenya 🇰🇪🇰🇪♥️ we love tz music iko juu tu Sana tumeirank
@ndambuki
@ndambuki 2 ай бұрын
Your death hurts me..this specific song bagged me a hubby years ago..thankyou for your music hope you join heavens choir your vocals were everything
@BlackTakaTeso
@BlackTakaTeso 2 жыл бұрын
Dada arikuwa anajua kweli kuimba hii nyimbo huwa napenda kuiangaria kila wakati napenda sana kifo hakuna uluma pumzika kwa amani dada
@eliamhiro4737
@eliamhiro4737 Жыл бұрын
2023 aweke like
@mozmudi3446
@mozmudi3446 2 жыл бұрын
Dah inauma Sana Lala Salama Maunda 💔💔💔💔💔💔😭😭😭😭😭😭
@nathanaellutevele
@nathanaellutevele 2 жыл бұрын
Thank you Maunda. Tangulia salama dada.
@swaumuugata4166
@swaumuugata4166 2 жыл бұрын
Inna lilah waina ilaih rajiun pumzika kwa aman my sister 😭😭😭😭nazipenda Sana nyimbo zako
@rehemabryson5101
@rehemabryson5101 2 жыл бұрын
Pumzika kwa amani maundazoro tutakukumbuka daima
VUMI -Tatizo Umaskini
6:24
Mziiki
Рет қаралды 490 М.
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 154 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 38 МЛН
SIMAMA UKATIKE-Sponky (official music video)
2:16
SPONKY KE
Рет қаралды 130
kidum ft juliana - haturudi nyuma (Final Video)
4:42
Kidum Kibido
Рет қаралды 4 МЛН
WATU NA VIATU - NYOTA NDOGO
4:31
kitalifa
Рет қаралды 867 М.
Amini - Robo Saa
5:29
EastAfricaTube
Рет қаралды 367 М.
USI AT  BEYOND ALL LOVE REHABILITATION BADO ANAENDELEA POA (+254716040507)
57:15
Banana Zoro - Zoba
7:43
Swahiliwood
Рет қаралды 1,3 МЛН
Joel Lwaga - Olodumare (Official Lyric Video)
3:07
Joel Lwaga
Рет қаралды 6 МЛН
VUMILIA -UTANIKUMBUKA(officialvideo)
4:31
Hassan Kundamayi bin Tambwe
Рет қаралды 191 М.
Uhali Gani
4:06
sumz81
Рет қаралды 1,2 МЛН
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН