Story ya kuzaliwa naipenda Sana 🥰🥰🥰🥰🥰🥰 God abariki nyimbo zako bonny
@ShadrackDaudiКүн бұрын
My best Gospel artist in east Africa
@melvinniceanyango2919Күн бұрын
❤❤❤❤Blessing Tanzania.
@MaxwellBurudiКүн бұрын
God bless you
@ilungaamedeo9665Күн бұрын
Kweli félicitations vraiment
@GetrudeRashid-be8bsКүн бұрын
Naupenda huu wimbo,,kila nikisikilza huu wimbo unanikumbusha mbal mnoo,pokea maua yako🎉🎉🎉
@obbyguy255Күн бұрын
Mungu akubaliki
@dominicnyabuto714Күн бұрын
EV DOMINIC NYABUTO from kenya remix ni tamu
@DonKibundaКүн бұрын
Maman yangu huku mama yangu kila wakati n'a milele n'a milele
@DonKibundaКүн бұрын
Aksati sana
@DonKibundaКүн бұрын
Toujours dans le bon fr boni mwatege
@GloriaKimanziКүн бұрын
Ni ukweli
@GloriaKimanziКүн бұрын
Wacha mathura bwana😂😂
@peteryohana891Күн бұрын
Barikiwa mwana wa MUNGU 🎉🎉
@lionofjudahtv8796Күн бұрын
Uko juu kaka
@yamfashijerosette7094Күн бұрын
👍👍👍
@isubangalatv1450Күн бұрын
Pamoja utukufu kwa Mungu
@profandrebaluteКүн бұрын
Wakwanza leo, naomba like wapendwa.
@HariytAsd14 сағат бұрын
Tafakari maneno ya nyimbo acha kuomba like zinakusaidia nn
@papatomaso4874Күн бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa MUNGU kwa kazi nzuri
@AcizaNtamushigoКүн бұрын
Kiburi inaongeza Nini katika maisha? Tunasau kama kiburi ni kaburi
@AcizaNtamushigoКүн бұрын
Wimbo huu Mara kwa Mara unatufunza menge kuhusu maisha, Mara majivuno Mara kiburi, Aarau tunasahau kwaba safari hatuja maliza.<<tuache kuwazarau wengeni wapendwa....
@naomiseni1182Күн бұрын
Who still watching this today 8th 7 2024 ❤
@ClaudMwakalasya-pz1mw2 күн бұрын
Mungu akutunze broo
@ClaudMwakalasya-pz1mw2 күн бұрын
Pastor ujawahi kukosea MUNGU mkuu akuzidishe nakupenda mnooo
@user-fi6zv9sb5r2 күн бұрын
2025 mko wapi
@jakobongwara30382 күн бұрын
Ukosahihi safi
@SystTimwanga2 күн бұрын
Hakika Mungu ni muweza wa yote azidi kukutunza siku hadi siku kwa kutuhuburia mambo mema🎉
@irivuzimanadelachance19582 күн бұрын
Waa Kwanza kuuakilish. Waa burundi
@juleskasambo98512 күн бұрын
Kazi njema baba ubarikiwe, naishi kongo
@Victorc.2 күн бұрын
Messages always speak the truth GOD Continue Blessing you Bonny mimi nishabiki wako kutoka kenya kwa zaidi ya miaka 19 hadi waleo bado napenda mziki zako
@Victorc.2 күн бұрын
Amen ukweli mtupu ❤❤
@davidmutua49982 күн бұрын
2024❤,safari bado kweli
@davidmutua49982 күн бұрын
Hakika tunapendwa❤,2024 niko hapa bado
@CalmBlini-ln3sf2 күн бұрын
❤asante yesu❤
@user-zm4wd7fm7w3 күн бұрын
Amen 🙏
@user-dd7lh7fs8n3 күн бұрын
Wimbo msuri mungu akubariki sanaa
@JustaMartinsEduardo3 күн бұрын
Mungu Wetu akulinde na alinde kazi yako,ubarikiwe Sana Nipo Mozambique 🎉
@MagdalenaMagaga3 күн бұрын
Nakupenda sana mama yangu ee MUNGU nguvu ambao hawana mama wanapo kuwa wanausikiliza wimbo huu
@LoveNyango3 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤😭😭😭😭😭🙏🏼🙏🏼🙏🏻🌹🌹
@ELIAShamis-dr6nd3 күн бұрын
Amen
@BennyAlly-ue5cz3 күн бұрын
Ameen baba
@francoisesifachishugi-vn4fv4 күн бұрын
Jamani huu wimbo mauwa kwenyu watumishi wa Mungu Salama kabisa 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤