BONY MWAITEGE - MWAMINI MUNGU (Offiicial Music Video) SMS SKIZA 9840973

  Рет қаралды 674,296

Bony Mwaitege Official

Bony Mwaitege Official

2 жыл бұрын

MWAMINI MUNGU ni wimbo ambao unalenga kukutia moyo na uweze kuziamini njia za Mungu kuwa yeye hachelewi wala hawahi.
Kupitia wimbo huu(mwamini Mungu) tunakukumbusha kutenda mema ,muda wako upo unakuja,usiwe na haraka kwa kuziangalia hatua za jilani yako.Mungu akubariki unapobarikiwa na ujumbe huu..
BONY MWAITEGE - MWAMINI MUNGU OFFICIAL VIDEO
Kwa Neema ya Mungu kazi zangu zote sasa zitapatikana katika channel yangu hii, nikuombe sana kuungana na mimi kwa hatua nyingine mpya kabisa.Mafuta ambayo Mungu ameyaweka ndani yangu ni wakati mwingine wa kukuvusha ...
Pia unaweza kuwasiliana namimi moja kwa moja kwa simu namba:-+255 753 582 739.
MUNGU AKUBARIKI SANA.

Пікірлер: 366
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 2 жыл бұрын
Asante sana ndugu zangu MUNGU WA MBINGUNI AWABARILKI SANA. kwa unyenyekevu kabisa naomba nisaidie kusabambaza kwa watu wengi zaidi.
@savioursifaelimwabukaoffic144
@savioursifaelimwabukaoffic144 2 жыл бұрын
Keep up daddy nice work
@calvincedolomanmusic
@calvincedolomanmusic 2 жыл бұрын
Nafanya hvyo nikiwa kenya,,,am so amazed at your work, I wish nikutane na wewe siku moja, nami ni mwimbaji mdogo wa nyimbo za injili
@joshuaissayaofficialtz.4660
@joshuaissayaofficialtz.4660 2 жыл бұрын
Naomba namba zako baba
@johnkazimoto9078
@johnkazimoto9078 2 жыл бұрын
Mtumish wa MUNGU me nakuombea MUNGU akubarki sana na pia me nakuombea MUNGU aendelee kukupaka mafuta yake ya upako ili unavyo toa nyimbo ipate kibali kwa watu wooote, kwel me nyimbo zako uwa zinanigusa na kunibarik kwhyo ni lazma na ww ubarikiwe na MUNGU kwa kuwa unaimba nyimbo za kuwabarik watu saana ubarikiwe sana mtumish wa MUNGU
@johnkazimoto9078
@johnkazimoto9078 2 жыл бұрын
Pia me nitakutafu kwajli ya harusi yangu uje uniimbie nyimbo moja ya nguvu mtumish wa MUNGU
@ChegveraenerstMagufuli-wl5nc
@ChegveraenerstMagufuli-wl5nc 5 ай бұрын
wakwanza leo naombeni likes zangu 🙏📖📖🔥
@lightfinekagoni3047
@lightfinekagoni3047 2 жыл бұрын
Listening nikiwa hapa Qatar hizi nyimbo za bony mwaitege zinanitia nguvu sana Mungu abariki kazi ya mikono yako
@williamjoseph5284
@williamjoseph5284 2 жыл бұрын
Hakika huu wimbo unatia moyo sn ubalikiwe sn kwa wimbo mzr
@rehemamkumbo2082
@rehemamkumbo2082 Жыл бұрын
Bwana yesu apewe sifa mtumishi wa Mungu ubarikiwe kwa kazi yako yakumtumikia Mungu
@Jameshakizimana-oo1gs
@Jameshakizimana-oo1gs 9 ай бұрын
Baba Mungu awe mbele yako
@joan4162
@joan4162 Жыл бұрын
Mbwana yesu hasifiwe napenda nyimbo zako zote
@chrissakubu3526
@chrissakubu3526 2 жыл бұрын
ansant kwawimbo muzuli mtumishi wamung bonny
@user-wp5sw1bo6t
@user-wp5sw1bo6t 7 ай бұрын
Aki Bony Mwaitege ana nguvu za Mungu
@ongalajuliet
@ongalajuliet Жыл бұрын
Napenda sana kusikiza nyimbio za bonny zinanifuza mengi sama
@caridahcarrie9908
@caridahcarrie9908 2 жыл бұрын
Hata Kama si Leo naamini hipo siku ntabarikiwa
@amanigeorge-xe2gb
@amanigeorge-xe2gb 11 ай бұрын
Asante Mungu kwakumutumia bony , nimepokea, naamini katika kazi yangu nayofanya Mungu atanibariki tu
@GoodluckAmos
@GoodluckAmos Жыл бұрын
Hatujakusahau mtumishi ulituachia pesa hapa mpakani mwa rwanda na tz rusumo ulkuw uktok congo🥰 Nataman nije kanisan kwak kukutembelea naomba mawasiliano yako tafdhl jins ya kufika
@phellowmmbunitv6077
@phellowmmbunitv6077 Жыл бұрын
Pongezi na baraka tele kwa kazi na huduma unayoifanya
@esthermutali7270
@esthermutali7270 Жыл бұрын
Maisha ni Foleni kila siku inasongea kweli kweli…Ipo siku nitafanikiwa 🙏
@faithmutie9790
@faithmutie9790 2 жыл бұрын
Fanya hivyo pia kwa zile nyimbo za kitambo zingine hii kazi nzuri sana
@Gospel434
@Gospel434 2 жыл бұрын
Namwamini MUNGU is dood song YESU AKUBALIKI SANA
@ClaudMwakalasya-pz1mw
@ClaudMwakalasya-pz1mw 2 күн бұрын
Pastor ujawahi kukosea MUNGU mkuu akuzidishe nakupenda mnooo
@mamy8220
@mamy8220 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤ iposiku😢😢😢NAMWANI😢😢😢na mm nitafanikiwa Kama wengine😢😢👏
@LuciaTimothy
@LuciaTimothy 4 ай бұрын
Hapo kwa gari nagojea na mikono miwili😊❤
@bahatimwansasu291
@bahatimwansasu291 2 жыл бұрын
Hakika kaka nitafanikiwa
@jacksonsimon4453
@jacksonsimon4453 2 жыл бұрын
Namimi naamini ipo siku nitafanikiwa
@Geitaprezident25
@Geitaprezident25 2 жыл бұрын
Moto kbsaa 🎤
@mcabrahamomoding
@mcabrahamomoding 2 жыл бұрын
Amen....barikiwa ulipo🙏 ....IpoSiku utafanikiwa
@marie-laurene.
@marie-laurene. Жыл бұрын
Kazi nzuri. Hongereni sana ndungu.,🇨🇩🇨🇩
@matridalusajo3125
@matridalusajo3125 2 жыл бұрын
Mungu akubariki sana pstor🙏
@bonifacekilonzo4587
@bonifacekilonzo4587 2 жыл бұрын
Boniface mwaitenge to the world
@komandowayesu3642
@komandowayesu3642 2 жыл бұрын
wimbo mtamu sana. Barikiwa sana kaka mkubwa🙌🏽🙌🏽🙌🏽🔥🔥🔥
@rv.anicetomari9166
@rv.anicetomari9166 2 жыл бұрын
Wimbo mtamu kabisa komando wa yesu naomba watsap number yako. Kaka
@evelynwangai2112
@evelynwangai2112 2 жыл бұрын
Ni kweli Mungu hawai wala hachelewi. Nilikuwa nimebanwa sana na kitu cha kazi. Nikawa tayari kuchukua uamuzi mgumu sana Lakini siku tatu tu kabla ya kuanza hatua za huo uamuzi, Mungu Akaniwahi. I won't follow in silence🙌.
@mabitajunior
@mabitajunior Жыл бұрын
Kazi ya Mungu izidi kuendelea mbele,pongezi mtumishi wa Mungu.
@wilonjabikey8274
@wilonjabikey8274 2 жыл бұрын
Uyu ndugu yangu anajuwaga kuimba sana nyimbo za injili
@willyavas7501
@willyavas7501 Жыл бұрын
Hakika Mungu hachelewi ,kilakitu na wakati wake,hee na Mungu si kama binadamu
@alinasankey4285
@alinasankey4285 2 жыл бұрын
Nimebarikiwa sanaaa na wewe toka nyimbo zako za enzi na enzi unafanyika baraka kwangu
@mhubirimophat1562
@mhubirimophat1562 Жыл бұрын
Napenda Nyimbo zako sana.mimi pia ni Muimbaji kutoka kenya.kwakweli unanibariki sana kaka.
@merinahkaona7235
@merinahkaona7235 Жыл бұрын
imenigusa Sana hii.daah ngoja nikaze kumwamini Mungu barikiwa Sana mtumishi
@loyalforumtv
@loyalforumtv 2 жыл бұрын
Tangia 2005 nkiwa lakwanza ,, ubalikiwe Sana MTUMISHIIII
@barikimzava3530
@barikimzava3530 Жыл бұрын
Kaka bonny Mungu akubariki sana 🙏🙏
@AbalaKinyua
@AbalaKinyua 2 жыл бұрын
Kuna siku utafanikiwa
@lucyyeusikifyas6553
@lucyyeusikifyas6553 2 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na wew bony mungu akupe maisha marevu sana mungu anizaidie napenda kuja kuwa kama wew napenda sana sitaki zako nauimbaji mim sam simba nikiwa makambako
@jacqmorah7865
@jacqmorah7865 2 жыл бұрын
Asante mutumishi was Mungo kwa ujumbe mzuri
@glaudiahchesang1380
@glaudiahchesang1380 Жыл бұрын
Amen mtumishi wa mungu nyimbo zako huwa sinani bariki sana
@jeuxendroid9740
@jeuxendroid9740 2 жыл бұрын
Wa kwanja apa from butembo drc
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 2 жыл бұрын
Mungu akutimizie haja zako
@jeuxendroid9740
@jeuxendroid9740 2 жыл бұрын
@@BonyMwaitegeOfficial amen
@kobylwaho3191
@kobylwaho3191 2 жыл бұрын
ila hausisimui kama maisha ni foleni wa zamani .
@omaryayoub2838
@omaryayoub2838 Жыл бұрын
Mmmm kweli utukufu wa MWISHO........🙏🙏
@Mzena4343
@Mzena4343 2 жыл бұрын
Kaka naamini huuu wimbo umeniimbia Mimi naamini ipo siku nitakuwa muimbaji mkubwa Kama ww Kaka ,,😭😭😭😭😭😭
@busingejuliet2665
@busingejuliet2665 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙌🙌 thanks 👍 bony mungu akubariki 👍🙏🙏
@olphamoraa6683
@olphamoraa6683 2 жыл бұрын
Amina mungu asante sana nimetafuta sana nyimbo zako born kwa kweli nimefurahi sana kukuona 🙏🙏🙏
@samuelcharo491
@samuelcharo491 2 жыл бұрын
Nyimbo yakubariki na kutupea tumaini la kuendelea mbele. Namwamini Mungu iko siku na mimi nitafanikiwa.
@lyn254
@lyn254 2 жыл бұрын
Amen 😭😭 ipo siku .
@OptimisticOffroadCar-gx2bg
@OptimisticOffroadCar-gx2bg 11 күн бұрын
Asante mtumishi naendelea kubarikiwa hapa
@lusejiadorothy3551
@lusejiadorothy3551 2 жыл бұрын
Mimi Nina Imani ya kuwa Kuna siku mi pia nitafaulu 🙏🙏🙏
@johnmshan4017
@johnmshan4017 2 жыл бұрын
Ameni balikiwa pia mtumishi wa Mungu kazi zuli sana
@neemalulungen6541
@neemalulungen6541 Жыл бұрын
Mungu akubariki zaidi na zaidi......Umenibariki sana ninaomba collabu
@perpetuambizo1518
@perpetuambizo1518 2 жыл бұрын
Yes,ipo siku ya Kila mtu Amini tu
@rosekadzokadzo1401
@rosekadzokadzo1401 2 жыл бұрын
Amen... Nitafanikiwa tuu... Nasubiri in Jesus name
@boazimaganga
@boazimaganga 2 жыл бұрын
Kaka heshima kwako sisi Kama mashabiki wako bado tuna kiu kuu Tunaomba kwa mungu ujio wako uwe wa kututolea kiu yetu
@MchungajiNewton-jl9qs
@MchungajiNewton-jl9qs Жыл бұрын
❤❤❤nashuku saana ntumishi wa Mungu kwa nyimbo yako nzuri
@sandraajwang8107
@sandraajwang8107 2 жыл бұрын
Hakika IPO siku ... Barikiwa mtumishi
@agstinolwila88
@agstinolwila88 2 жыл бұрын
Kazi nzuri bonny mwaitege ubarikiwe
@maishacenter-eastafricatv3976
@maishacenter-eastafricatv3976 2 жыл бұрын
Bado Yupo, bado sijachelewa ❤️❤️
@walterongaga
@walterongaga 2 жыл бұрын
Barikiwa sana ndugu mwaitege
@lewisonchweri4138
@lewisonchweri4138 Жыл бұрын
I salute you mr bonny. All the way from Australia Sydney.
@jescamwita8667
@jescamwita8667 2 жыл бұрын
Amina ubarikiwe sana Baba yangu mpendwa
@samsonmwaipaja5231
@samsonmwaipaja5231 2 жыл бұрын
Ninzuri sna kaka by kabata barikiwa
@milkaluvanga8117
@milkaluvanga8117 2 жыл бұрын
Nimeguzwa mahali Mungu akubariki
@paulineanyango8477
@paulineanyango8477 Жыл бұрын
Amen ubariwekwa nyimbomnzuri zabaraka🙏🙏😭😭
@coloneljoseph7448
@coloneljoseph7448 Жыл бұрын
hongera sana bony kwa wimbi wa tumaini
@nellymillicent1714
@nellymillicent1714 2 жыл бұрын
Nyimbo zako zanifanya nizidi kuendelea
@bigmum9825
@bigmum9825 2 жыл бұрын
Listening right away from Damascus Syria hakuna siku nakosa kuskiza nyimbo zako💗💗Amin Amin Amin keep up
@tinahdianah1876
@tinahdianah1876 2 жыл бұрын
Nyimbo zako znantiamoyo wakati wa changamoto kazini kwangu,,nakuskiza nkiwa saudi
@ab3ab313
@ab3ab313 2 жыл бұрын
Amen
@gracethomas683
@gracethomas683 2 жыл бұрын
Aisee huwa sijawahi waza kama kuna MTanzania anaishi Syria japo najua Saudi wapo Mungu awatunze na kuwafunika katika Imani ya Yesu kristo
@victorsumuni2203
@victorsumuni2203 2 жыл бұрын
iv uko syria mmefikaje jaman na mm mnipe ushuhuda
@suzanashirima3827
@suzanashirima3827 Жыл бұрын
@@tinahdianah1876 11
@michaelwanga4247
@michaelwanga4247 2 жыл бұрын
Ukweli ahadi zake sio kama za mwanadamu hakika atatenda wakati ukifika
@maryjohn5134
@maryjohn5134 2 жыл бұрын
Amina. ,ubarikiwe mtumishi wa Mungu, .,
@user-er5jc1xw7q
@user-er5jc1xw7q 10 ай бұрын
Be blessed Mwaitege nayasema maneno haya kwa imani
@abelbaraka263
@abelbaraka263 2 жыл бұрын
Mungu hawahi wala hachelewi 🤷‍♂️
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Be blessed Mtumishi wa MUNGU hakika ipo siku
@HadlineShikuku
@HadlineShikuku 7 ай бұрын
Ipo siku nitafanikiwa🙏🙏
@mowartv
@mowartv Жыл бұрын
Im blessed..........from kenya
@papatomaso4874
@papatomaso4874 2 жыл бұрын
Kazi kubwa vidio nzuri
@newtone-rn1xf
@newtone-rn1xf Жыл бұрын
Wimbo Hu umenbariki sana
@loverboyofficial7243
@loverboyofficial7243 2 жыл бұрын
Dah!Nyimbo safi pale...mistari nyororo🤩
@johnbunge3247
@johnbunge3247 2 жыл бұрын
Boni we jembe la bwana lima shamba la bwana litoe mavuno mengi bro
@maureenendesia3351
@maureenendesia3351 2 жыл бұрын
Ipo siku nitafanikiwa, amini mungu. Maneno yenye matumaini. Mungu akubariki mtumishi wa mungu.
@patriceducate9002
@patriceducate9002 Жыл бұрын
Woow a new hit I love the renewal of this song woow Mungu akubariki Sana mtumishi wa Mungu much frm 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬
@geraldlazaro4523
@geraldlazaro4523 Жыл бұрын
Nafata Mimi GL
@kiemajulius7072
@kiemajulius7072 2 жыл бұрын
The ReMix/refix is a blessing.. ulikuwa wa baraka pia Kwa mkutano wa JW Mukadi
@albertbyendatv7436
@albertbyendatv7436 2 жыл бұрын
Umekumbusha mbali saaana pasteur... hongera sana
@BenadethaSamila-gv7pj
@BenadethaSamila-gv7pj Жыл бұрын
Wimbo huu unanitia moyo kila nanapoutama, ubarikiwe sana mchungaji.
@BenadethaSamila-gv7pj
@BenadethaSamila-gv7pj Жыл бұрын
Nikweli mungu anatenda kwa wakati wake, ubarikiwe mtu wa mungu🙏
@user-po7vf6dp5b
@user-po7vf6dp5b 11 ай бұрын
Naipenda sana ile nyimbo
@user-nw7lx9tj1o
@user-nw7lx9tj1o 11 ай бұрын
My God protect you love from Kenya 🇰🇪
@Thomas-iy1rk
@Thomas-iy1rk 2 жыл бұрын
Congratulations sir good job mungu akubariki sana uko juu 🙏
@johndgurty9011
@johndgurty9011 2 жыл бұрын
Aminaaaaaa sana mtu wangu nabarikiwa
@maureenmrembo4898
@maureenmrembo4898 2 жыл бұрын
Wow nyimbo nzuri Barikiwa sana
@peterkemei5407
@peterkemei5407 Жыл бұрын
naipenda sana mungu akuongoze
@israelmwambi1571
@israelmwambi1571 2 жыл бұрын
Video Kali mziki mtam hongera sana brother
@mercylineatienoongalo2615
@mercylineatienoongalo2615 9 ай бұрын
Kwali maisha ni foleni 😥😥😥😥. The song use to give me hope in life when i was in primary. Those days life so difficult. But i thanks the almighty farther for this far. 🤗🤗🤗🤗🤗 love you so much BONY MWAITEGE. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@ezluckvoice1110
@ezluckvoice1110 2 жыл бұрын
Amen mtumishi wa Mungu kwa kazi nzuri sana
@michaeldaniell1784
@michaeldaniell1784 2 жыл бұрын
Kazi nzuri sana Mungu akubaliki sana
@merinahkaona7235
@merinahkaona7235 Жыл бұрын
nyimbo kubwaaaaaa
@alfredmazulaz2410
@alfredmazulaz2410 2 жыл бұрын
It's just a vibe 💪🏿👏🏿💪🏿👏🏿 from the original one keep going mwaitege
@phenyawuor2229
@phenyawuor2229 Жыл бұрын
God is going to change my situation from grass to grace
@damariskavolo782
@damariskavolo782 2 жыл бұрын
Letsening from Kenya
Bony Mwaitege - 'BADO NAMPENDA'  (Official Music Video) SMS SKIZA 9840971 TO 811
7:28
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 2,4 МЛН
когда повзрослела // EVA mash
00:40
EVA mash
Рет қаралды 4,1 МЛН
OMG🤪 #tiktok #shorts #potapova_blog
00:50
Potapova_blog
Рет қаралды 18 МЛН
Survival skills: A great idea with duct tape #survival #lifehacks #camping
00:27
MAOMBI YANGU Bella Kombo cover YAFIKE KWAKO AND HIYO DAMU, DAMU TAKATIFU WORSHIP BY DANYBLESS
25:33
Bony Mwaitege - 'Neema Imenibeba' (Official Music Video)
7:51
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 621 М.
Utanitambuaje
7:36
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 128 М.
Swahili Worship Songs, 2020 Video Mix
1:46:29
CyberWorld
Рет қаралды 4,7 МЛН
MUNGU KAMA WEWE HAYUPO - BOAZ DANKEN FT DORCUS AUGUSTINO
26:37
BOAZ DANKEN
Рет қаралды 257 М.
Dj James Presents Martha Mwaipaja Mixtape Volume Two (Audio Link 👇)
1:23:28
Dj James The Rockstar ⭐ TV
Рет қаралды 730 М.
Christopher Mwahangila  - SIMAMA NAMI (New Music Video) .SKIZA 5441394 to 811
6:16
CHRISTOPHER MWAHANGILA Official
Рет қаралды 567 М.
Solomon Mkubwa   Mungu Mwenye Nguvu Official Video
7:33
Solomon Mkubwa
Рет қаралды 3,9 МЛН
YALE USIYOYAWEZA BWANA ANAWEZA, ALIPO BWANA, ZUNGUMZA NAMI BWANA AND BILA WEWE YESU SIWEZI
34:14
HEAVEN SOUND ONLINE TV KENYA[MinisterDANYBLESS]
Рет қаралды 4,6 МЛН
Kendrick Lamar - Not Like Us
5:55
KendrickLamarVEVO
Рет қаралды 39 МЛН
V $ X V PRiNCE - Не интересно
2:48
V S X V PRiNCE
Рет қаралды 1,7 МЛН
Serik Ibragimov - Сен келдің (mood video) 2024
3:19
Serik Ibragimov
Рет қаралды 1,4 МЛН
QANAY - Шынарым (Official Mood Video)
2:11
Qanay
Рет қаралды 659 М.
Iliyas Kabdyray ft. Amre - Армандадым
2:41
Amre Official
Рет қаралды 685 М.