Who else is here 2024 safari Bado tuweke kiburi na madharau pembeni
@kuscyri.a10 ай бұрын
I'm here even in 2024
@reen621210 ай бұрын
Mimi hapa
@CatherineAdhiambo-mi1nc10 ай бұрын
❤Mimi hapa
@JacklinNanikki10 ай бұрын
Nko sasa ivi
@nancyokoth473410 ай бұрын
And you can guess why😊
@jamesmaina83288 ай бұрын
Woke up with this song today in my heart and head i had to listen to it 3/04/2024
@PatrickNkurunziza-b7p6 күн бұрын
Asante mungu kwa upendo wako ila safali bado mungu naomba unishike mukono hapa nilipo siwezi kuhaishi pecke yangu ❤❤❤❤❤
@njerimuigai27038 ай бұрын
This song came up to my heart today. Listening and feeling blessed. Mungu anisaidie nikae vizuri na yeye na watu wake sababu safari bado. 26/04/2024@ 9:42am
@JamesMaina-ke6bz7 ай бұрын
Ukowapi njeri?
@PatrickOchieng-qc5uf6 ай бұрын
Humble your self down and God will lift you up
@BramuelSimiyu9 ай бұрын
I remember in 2021 when I used to struggle a lot, and when in deep prayer, God told me that he will put me above my peers. Because he is faithful and he is not a man to lie, He fulfilled his promise. I see myself now and for sure, God has given me an upper hand in so many things. Every time I listen to this song, it reminds me to stay humble regardless of what I have. May God grant me a heart of humility for the rest of my life. God gives grace to the humble but opposes the proud (James 4:6).
@diananekesa45432 жыл бұрын
Hii wimbo inanikumbusha tarehe 20 mwezi wa saba mwaka huu saa 10:40 nikimwangiwa maji chafu na kijana ya boss yangu . 😭😭😭😭😭
@farajasaimoni21612 жыл бұрын
Pole sana 😭 mamy duniani kuna mapito mengi Sana🙏
@damariskamene78952 жыл бұрын
Pole Sana Aki
@maliayeei27742 жыл бұрын
Wueh hii umecram adi time.😭😭😭Been there I feel your pain... I'm sorry you went through that
@MamaSamKK2 жыл бұрын
What the hell is he! Pole sana, siku moja utafanikiwa. Watakusalimia kwa heshima.
@maikoally4168 Жыл бұрын
Usijali.. Tables turn..
@bukuruphilibert86582 жыл бұрын
Wimbo unanikumbusha nilipokuwa chini now I'm a boss safari Bado tuheshimiane wapendwa
@beatricelameck80502 жыл бұрын
Ameni
@lydiamusimbi6941 Жыл бұрын
Heyyy
@mercykerario.396510 ай бұрын
Hi boss
@andekilecostantin30724 ай бұрын
👏👏👏
@joytella9523Ай бұрын
Amen, Glory to God 🎉
@dollydolliiee47092 жыл бұрын
Yaan hii nyimbo siezi maliza siku bila kuiweka inanifunza mengi,aki tuombe mungu Sana atupee macho na akili za kirohoo tuweze kufahamu ndani yetu Kuna rohoo Gani,Amen🙏
@evodiekarumbu86652 жыл бұрын
Mimi ata dix fois par ça me ramène aussi dans le droit chemin
@annacharles9032 жыл бұрын
Óóoó up to
@lewisondieki74462 жыл бұрын
Amen
@lewisondieki74462 жыл бұрын
Amen
@bukayomwasi47312 жыл бұрын
Amen 🙏🙏
@delvinemachuka90203 жыл бұрын
Safari bado, mungu niondolee majivuno, kiburi, madharau , na mapuuza Amen🙏🙏🙏 if you watching 2021 december give a like and God shall bless you
@boifacematasia32172 жыл бұрын
Safari bado
@jumannebusega Жыл бұрын
Naipenda sana hii nyimbo
@annsimiyu8428 Жыл бұрын
Safari bado. Still Watching in 2023
@JudicaelleGatali Жыл бұрын
Safari bado yes It Is true 🙏🙏🙏❤️💯 true, ni mwema sanaaa thank you so much pour le rappel 🇨🇬🇨🇬🇨🇬
@honorenihorimbere7922 ай бұрын
Who else is still enjoying this gospel music in October 2024?🎉🎉🎉
@joytella9523Ай бұрын
November here
@rabeccanafula8702 Жыл бұрын
Kuna daktari tumedate after kutoka kwake nikipiga simu anaiangalia tu ,,, but mwishowe ameniacha but safari Bado,,, ipo siku mungu atanipea mwanaume wa maana
@Annie.8176 Жыл бұрын
I remember nikiwa kwa basi from nairobi to isiaya nilisikiriza ika nifunza mengi sana nikaenda KZbin nika download lazima siku haishi bila kusikiriza 🙏🙏
@skynetcybercafe18235 ай бұрын
Kama umefika hapa baada ya kusikia habari kuhusu kifo cha huyu bigwa piga like, Long live Bonny
@derrickkiptoo19185 ай бұрын
Upuuzi. Ulimuua au?
@misheckngore12095 ай бұрын
Tuko wengi
@misheckngore12095 ай бұрын
Tuko wengi
@venahonwonga7105 ай бұрын
Nko hapa
@venahonwonga7105 ай бұрын
Nimesikia vibaya nikisikia bad news Leo nasikiza nyimbo zako usiku wote.uishi cku mingi bro
@MamaSamKK2 жыл бұрын
Huu wimbo una upako wa juu. Shukrani kwa Mwaitege na Bukuku. Love you both. Perfect collaboration
@febroniamsoma17810 ай бұрын
Shukrani kwa Roho mtakatifu aliyewaimbisha
@redman62822 жыл бұрын
Nilifikiri nimefika,kumbe Safari bado mungu nipe nehema🙏🎀
@HusseinAbdi-xi3mg Жыл бұрын
Am a Muslim but the song really inspired me alot while i was in training,,, so any time i listen I remember my C.O FoLEa ,,, it was the first time I had the song and I got the courage to end my course.
@ElizabethChuma-vd5nl25 күн бұрын
Who else is here 2024 bora kujijusha sikuzote safari bado
@vastikataliko68462 жыл бұрын
Mungu nisaidiye niweze kutambuya ya kwamba safari bado ndani ya maicha yangu piya ni weze kuhechimu wengine.mungu akubariki papa bony kwa iyi maubiri kupitiya nyimbo
@misheckngore12095 ай бұрын
Who else is year after receiving some Bad News about Bonny mwaitege , may God keep you long sir , safari bado
@espoirbyamungu80062 ай бұрын
Ubarikiwe 2024. Congo Kinshasa 🇨🇩⚔️
@josephkaaymusau62382 ай бұрын
Huu wimbo unifunza maisha ni safari tuwe na heshima kwa watu wote
@Blessed-toshareКүн бұрын
Tunaelekea 2025 bado ni hit song🔥
@AcizaNtamushigo5 ай бұрын
Wimbo huu Mara kwa Mara unatufunza menge kuhusu maisha, Mara majivuno Mara kiburi, Aarau tunasahau kwaba safari hatuja maliza.
@CosmasKipkemoi-g3r2 ай бұрын
Inanikumbusha babangu akikataa kunilipia fare ya kuenda chip kufanya exam 6 years don't the line I loose hope in him😢😢😢
@estherbarbra2 жыл бұрын
This song always take away my pride ....i have learned alot in this song..my dear sisters and brothers let's keep praising the NAME of God 🤲🙏
@charleskomakech91882 жыл бұрын
This song really has great lesson to we who are still struggling with lives . God bless you and my sister.
@naluzzirobinah64042 жыл бұрын
Very true
@estherbarbra2 жыл бұрын
@@charleskomakech9188 be blessed to 🙏🙏
@NdakiNginila-fl7ku Жыл бұрын
Ninabarikiwa sana na wimbo huu
@LYDIAHKWAMBOKAONSONGOKwamboka2 ай бұрын
Thank bony mwaitaingwe and your sister Bahati for good song.❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@VictorKahangwa2 ай бұрын
Twende pamoja nawe Yesu , safari peke yangu siwezi
@_Caleb_ke2 жыл бұрын
Safari ingali Bado ..Mbali na changamoto hizi za ujana nina Imani nitafika .Amina
@naluzzirobinah64042 жыл бұрын
Am learning that i should not despise people, i should keep honoring The Lord and respect people cause i need them along my journey. You are teaching me Swahili Mr Bony, thru your songs. Blessings man of God
@petergondwe518 Жыл бұрын
Y0tŕ51
@bristahautokenya2730 Жыл бұрын
True journey is longer
@lynnetshiko Жыл бұрын
E
@lynnetshiko Жыл бұрын
Heshimu everyi.
@brianinima7 Жыл бұрын
@@lynnetshikodl L L l /
@alextorah923710 ай бұрын
Watching from Nairobi,Kenya this song humbles me kweli safari badoh
@marywanjiru75782 жыл бұрын
Wow !!!!what a song am out of word😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭May God show us mercy coz in life is another story of its own............. all we want is to worship God in spirit and truth through christ Jesus but life hufanya watu wa change .. I love bunny's songs kwanza song ya matendo.much love from 🇰🇪
@williammutua76932 жыл бұрын
Kiburi inayonesha kuwa ci vizuri kutofuhoro mungu kwani yeye mungu pekee barikiwa sana
@nicky-eu8ln Жыл бұрын
On behalf of my ancestors, family, friends, church mates and my wicked landlord that this is a certified master piece which even the children yet unborn shall listen to.
@AnnaKillo-bo7cx Жыл бұрын
Osooii
@NAFULACONSTANCE-i2h Жыл бұрын
The way I this song mungu ndio anajuwa even if am sad and stressed I just come down after listening to.
@MelodyAlusaBoychild2 ай бұрын
Huu wimbo hunifunza jambo mbarikiwe
@cynthiajelimo95302 жыл бұрын
This song is so touching 🙏🙏be blessed Mr.Mwaitegee and Bahatii Bukuku
@alexmambwe-z6e Жыл бұрын
ubarikiwe mwaitege, hii nyimbo imetufunza mabo meng sana kwenye huu uso wa dunia
@JudicaelleGatali Жыл бұрын
enseigne-moi ta Voie, conduis- moi dans le sentier de la droiture afin que je ne tombe pas. Oh! Oh! Éternel car le voyage est encore long , apprends-moi à bien compté mes jours ici terre. ❤❤❤🇨🇬🇨🇬🇨🇬 Congo Brazzaville
@mteulwa606822 күн бұрын
Mungu wangu nikisema nitaonekane nasafisha njia yangu kwa wanadamu wezangu,ila mpk nipo hapa Baba ni wew .SHAGGY nipo USA
@LilianMasha-u2n9 ай бұрын
Safari bada kweli mungu pamoja na mm kila hatuwa nifike salama 🙏🙏🙏🙏🙏
@El-roy-ki5rz7 ай бұрын
Hello friends,help me believe that the journey has not yet ended. Tuendelee tu kumheshimu Mungu na wanadamu wenzetu. God Bless You All 🙏
@sergentambwe68045 ай бұрын
Cette chanson est pour moi une réussite totale de ma mère pour tout ce qu'elle voulait que je devienne .Et ce que je suis aujourd'hui. La famille. fierté de ma
@nicholaskamadi77742 жыл бұрын
Sijawai hata!tharau mtu;BT mm nimetharauliwa.toka kwa ndugu Dada,hadi mke wangu.
@douglasmayiani1010 Жыл бұрын
Take heart brother 😢 ipo siku
@IreneChepoghon5 ай бұрын
We rebuke the spirit of death in Jesus name may the servant of God live to proclaim the greatness of God.
@estherkondo2515 Жыл бұрын
Nyimbo tamu sana Mungu awaongeze zaidi na zaidi mbarikiwe sana miamba yauimbaji wa nyimbo Injili.
@esternombo97836 ай бұрын
Ee Mungu nakuomba unijalia hekima na utii huku nikithamin watu maana safari yangu badoo🙏🙏
@gudilakimaro90646 ай бұрын
Ni lazima kuishi vizuri na watu na pia kumkumbuka Muumba wako kila siku maana safari baaado.
@assumptamwende-vv4vt Жыл бұрын
Aki bonny umeinua io bbilia yko ikafanya niaze kuimis ile yngu yotee,,,hadi ntakua natembea nayooo wallae na popote nilipo🙏
@aughstusmasila86732 жыл бұрын
Amen amen bro barikiwa sana wimbo safi sana mtumishi wa mungu amen 🙏🙌
@annewanjikunjeri87492 жыл бұрын
Funzo kubwa kutoka Kwa huu wimbo .... Glory be to God 🙏
@melvinniceanyango29193 жыл бұрын
Safari bando.....!nimebarikiwa na huu wimbo,niki wimba ninabarikiwa mno ubariwe, mwaitege pamoja na bukuku!
@stellahh5832 жыл бұрын
Haki wapendwa tusiwe na dharau kwa wengine safari bado inaendelea.huwa.nabarikiwa na huu wimbo sana
@ekaalemathew8340 Жыл бұрын
Even when am walking when I hear this song playing. I just stop and listen the message it gives. This song is a blessing to me.
@ReubenNzuve-e1i Жыл бұрын
The song gives me a strong courage always
@Annie.8176 Жыл бұрын
Amen
@StanleyOchieng-pu5bd Жыл бұрын
Amen 🙏
@catherinekhaunya3045 Жыл бұрын
Mungu tusamehe kwa madharau.Hakika hatujafika.Safari bado.Uwe nasi.
@andrewshomi98342 жыл бұрын
Eee Mungu naomba unipiganie katika safari yangu maana maadui wamekuwa wengi kuifikia meza ya karamu yako
@FaithOdoyoAtieno4 ай бұрын
Hata kama tuna dharauliwa,hao wanatudharau wajue safari bado.Maisha yanaweza yakabadilika 😢. What goes around comes around in the name of Jesus Christ we'll succeed 🙏🙏🙏
@VIBESWITHCRAIG10003 ай бұрын
Here in 2024 and still feel blessed with this song. I believe God is doing great things in my life through this song
@ceciliakaari782 Жыл бұрын
Be humble in life, safari bado. Hujafa hujaumbika ati!
@DanielNyandwi-k9u4 ай бұрын
Ingelikuwa wanadamu tunamasikio Sawa hatungekuwa nakazarau kuwengine kabisa . merci sana kwa maonyo
@meshackanord976 Жыл бұрын
Daa,hiii nyimbo hatar mungu atusaidie tuwe na utambuzi LA sivyoo tutaishia kuwa watumish wa bwana hewa.
@d-maxScarlageKe Жыл бұрын
Father, I want to live in the shadow of Your wing. When life is hard, and I don’t know what to do, help me remember that You are with me and that I am never alone. I cannot live without You. I cannot face tomorrow without the promise of Your presence. Today I choose to walk and live under the protection of You, The Most High. In Jesus' name. Amen.
@happynzisa64632 жыл бұрын
Safari bado,,Asante Kwa wimbo huu unanifunza mengi...Mungu tusaidie
@Lovergal0423 Жыл бұрын
Maisha ni safari ndefu asante watumishi wa mungu… napitia mawazo mazito 😢but i know God hears prayers.
@barakamasha17392 жыл бұрын
Kwakiburi nilichokuanacho mm baraka mungu anisamehe barikiwa muhubiri.
@Jennifer-j4dАй бұрын
Safari bado,Mungu tuondolee kiburi ata wakati hatujifahamu kabisa,naomba
@brothermo9343 Жыл бұрын
Watoto wa 2000 hii imewakuza paka leo 2023 ila safari ndo kwanza 😅😅😅😅
@MussaHojaji8 ай бұрын
😂😂😂 2024 sasa❤🎉
@BuhendwaFreddy-x2o5 ай бұрын
😂😂
@CareenLawrencia3 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣
@VincentBoturu2 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@willymurithi2143 жыл бұрын
My two favorite ministers of the gospel. Keep spreading the Word of God through your beautiful melodies. Lot’s of love from Nairobi, Kenya.
@alexsimiyu5772 жыл бұрын
Ddddddddddddzzddddddddddddddzzddddddd
@naomimiona3672 жыл бұрын
Together as well amina
@joycebruno3123 жыл бұрын
So nice be blessed and keep on preaching the word,of God through gospel 🙏 am in mombasa Kenya
@Melab.tv707W Жыл бұрын
I love this song to some extend I even so g it everywhere,, wedding,burial,circimsion and any other ceremonies... The vocals are superb...We ass Kenyans we salute you Bonny Mwaitage....Keep blessing us....
@lemuelkilalo3089 Жыл бұрын
Hutapata kama hii kwa watoto wa siku hizi,mikelele tu.Mungu akubariki mt.Mwaitege.
@JudicaelleGatali Жыл бұрын
Safari bado yes It Is true 🙏🙏🙏 💯💯 true ni mwema saana thank you so much pour le rappel 🇨🇬🇨🇬 🇨🇬❤❤❤
@miriamemmanuel1866 Жыл бұрын
Huu wimbo unatufundisha watu wengi Sana I love this song
@mercylineseme2757 Жыл бұрын
True bado tunaendelea safari. Mungu tupe nguvu ya kuendelea na safari Amina
@yvettecizamihigo2 ай бұрын
wimbo una nijengaka sana barikiwa mtumishi wa MUNGU
@enockmkristo85804 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi🙏 kama sisi tuanavyo barikwa na huu wimbo. Amen
@ChisengaCarol7 ай бұрын
Watching and listening from lusaka Zambia 🇿🇲 I love this song so much
@MorJessy-z7b3 ай бұрын
This message goes to current governor of tharaka nithi . continue grabbing people's land God is watching you But one day God in heaven will be proven by his believers.
@paulchurchill Жыл бұрын
My highschool physics teacher 2017, deputy principal Adipo despite how he used to criticize religion, but when he saw the class out of concentration he could tell us, ' madungu zangu safari bado'
@GraceIsaya-z3i11 ай бұрын
Me mwaka 2024naisikiliza hapa
@Haji-yr9db6 ай бұрын
Mimi pia naisikiza apa
@abelngenda7671 Жыл бұрын
Nikisikilizaga huu wimbo kiburi cha uzima huwa kinaniisha kabisa😢
@PaulGitua11 ай бұрын
From chokaa feeling blessed by this song, keep up❤❤
@AbdulYassin-y9r21 күн бұрын
Safari badooooooo MTUMAINI MUNGU USIMWACHEEEEE MUNGUUU