Barikiwa Sana mchungaji umenifundisha vitu bingo Sana sahv nimekuwa mwalim kwa vijana
@Mercy-t8f3 ай бұрын
Napenda kusikiza pst mgogo yeye usema ukweli siku zote
@JanetsinyaАй бұрын
Unanibariki sana❤❤❤
@SimonWataboraАй бұрын
Amen Amen
@JastonMubimba Жыл бұрын
Hongera sana mchungaji kwa mafundisho yake
@jantsjefta83819 ай бұрын
Amina mchungaji barikiwa sana
@mussaagnes-vy9wc Жыл бұрын
Nimebarikiwa Sana
@maliamuissa7240 Жыл бұрын
Amen
@petermbeya4170 Жыл бұрын
Leta ikiwa full maana imenibariki sana,,,,ameeen Peter kutoka Kenya
@marywachia3533 Жыл бұрын
Nafuatilia from Kenya..nabarikiwa Sana mchungaji
@wemapatrick3303 Жыл бұрын
@@marywachia3533 the wq
@Ulumbukinidemba123 Жыл бұрын
Hapa wakenya kama Mimi Kwa hiyo video @1:46 hawajui LUMBUKUWENI.....Kwa kingereza LUMBUKUWENI maanake FIRST LOVE...
@danielmwadomukavuta7816 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana pastor. Umegonga. Ndipo
@mathewyamo6115 Жыл бұрын
Kenya tunakupata Sana ubarikiwe mchungaji,,,❤
@romanjanuary2167 Жыл бұрын
Umenibariki sana mtumishi wa bwana
@JohnKidamaa5 ай бұрын
Amen mchungaji nabarikiwa sana
@wangecimurage3742 Жыл бұрын
Watu wajitume. Waache uvivu.Mchungaji tunakupenda haswa sisi wa Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪.
@davidopiyo4064 Жыл бұрын
Pst. Wanibariki Sana. Ipo siku utakuja Kenya Shimoni. You are a blessing to the whole world more so Kenyan
@janephephahKhabayi6 ай бұрын
Wow very true it has blessed me may people listen to this and follow be blessed pastor
@ngollokante Жыл бұрын
Pastor ajengewe Sanam posta
@fidelerutebuka279 Жыл бұрын
Pastor Mungu akubaliki Sana Sisi unatukenga sana
@neemamaganga9774 Жыл бұрын
Mungu atusaidie tuwe na mioyo iliyonyenyekea. Ukiwa una unyenyekevu Mungu huondoa kiburi,majivuno,hali ya kukubali kukabiliana na mazingira .Mungu atusaidie.
@igira8758 Жыл бұрын
Ni kweli kbs Mtumishi wa Mola
@geraldopaa6527 Жыл бұрын
let God bless you with all of the above powerful prayers
@silviak1776 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏
@peteroyando1627 Жыл бұрын
Amen I'm being blessed.
@justinefelis-jo6ex Жыл бұрын
Huyo mama mweusi kasuka vizuri kweli .
@DurenymomanyiАй бұрын
Kweli kweli 😢😢😢
@sierhamututa555 ай бұрын
Jambo mutchungaji una nibariki sana baba endelea mbele tu
@leahinasikitishasanaphirip22125 ай бұрын
Endelea baba tupone
@SAIDIYAA-dp1rj9 ай бұрын
Ubarikiw pasta
@marywachia3533 Жыл бұрын
Ameen pastor mgogo you really bless people
@nassradaniel953 Жыл бұрын
Ahsante kwa mafundisho mazurii
@seranaomi6209 Жыл бұрын
Asante kwa mahubili majuli yanatujenga sana kiroho
@esaumoiseskomba-gs4py Жыл бұрын
Mungu hakubaliki baba
@henrykasikao8573 Жыл бұрын
Barikiwa Sana Baba Mchungaji kwa mafunzo yako
@elishapaulo5455 Жыл бұрын
Ee Paster Daniel Mungu akusimamie katika safari zako
@gloriousfrancis8201 Жыл бұрын
imetosha sasa watu kuwahubiria yaliyo ya Dunia sasa waambie watu watubu wamludie Mungu wayaishi maisha matakatifu yasiyochangamana na dhambi waambie wanawake waache mapambo waambie wanaume wavae mavazi ya kuistiri miili yao na sio mavazi ya ushoga.saa imefika Mwana wa Adamu yuaja mawinguni na utukufu mwingi wa Babaye na Hasira ya Mwanakondoo.
@purity13411 ай бұрын
Somo nzuri
@elambuhaga7750 Жыл бұрын
Aminaa🤝
@shadrackjacob800 Жыл бұрын
Mtumishi unaongea ukweli na kweli tupu ! Mungu akubariki.
@christinafrancis8452 Жыл бұрын
😹😹😹😹nakukubali Sana pasta, unahubir ukweli kabisa yaaa jina la bwana libalikiwe😂😂
@simonmuikara3749 Жыл бұрын
Ukweli pastor wangu
@simonmuikara3749 Жыл бұрын
Pastor ukija Kenya nitakuona wapi .???
@vincentwandera9189 Жыл бұрын
Ukweli kabsaa
@kennekitesh-wk7nj Жыл бұрын
❤❤❤
@estermgata9617 Жыл бұрын
Kweli Mgogo kuna kipindi cha kupanda na kuvuna. Wakati wa kupanda vumilia
@danielekakoro5265 Жыл бұрын
Jameni dada mm ni mkenya ila kiswahili chenu kitamu kweli lakini bukuu inamaana gani
@danielekakoro5265 Жыл бұрын
Kusoma number inamana gani
@bonifacembilinyi5576 Жыл бұрын
@@danielekakoro5265 Buku - ni Tsh 1,000 Sio kiswahili sanifu , ni slang ila inatumika sana
@danielekakoro5265 Жыл бұрын
@@bonifacembilinyi5576 na c hiyo ni pesa mingi sana haswa apa Kenya
@bonifacembilinyi5576 Жыл бұрын
@@danielekakoro5265 Kenya ni hela ndogo sana , kama ksh 54