Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
@hekimasuleiman8955 күн бұрын
Mimi binafisi napenda amani, tusibaguane, tuoane,tupendane, tuheshimiane, kila mmoja aabudu anachotaka paspo kuvunja sheria, niseme tu: nachukia sana udini, nachukia sana ukabila spendi vita, kwanini mnauwa watu. acheni wafe siku wakizeeka
@RosemaryMwaipopo-qd4vw9 күн бұрын
Duh Atari sana mungu aepushe hii vita Sasa mnahambiwa ruwarda anausika watu hoo unauwakika yani uwongo leten habari zenu tuone ukweri wenu
@TwizeyimanaPasical29 күн бұрын
Huyu anasema uwongo anataka like na pesa kwenye KZbin
@walker-969 күн бұрын
Wameuteka kweli Acha ubishi kijana
@AbduliHalim-o2y9 күн бұрын
Hawa jamaa wanasonga mbele sabababu serekali inaonekan itatesa raiya hata nchi yetu ya Tanzania inatakiw owe makin na raiya wasiwanyanyase maskin wa mungu anafunguwa biashara Kodi zaidi ya sita ukienda hospitali dawa inanunuwa maji tunalipia watoto wangu wanasoma ilala lazim ulipie chakula hujalip watoto wanapigwa na viongiz wa juu wanjuw Ila hawaingilii swala hili kwaiyo serekali wasipo kuw makini hata Tanzania raiya watachoka
@Kendrickray20249 күн бұрын
Rwanda unailetaj hapa kwanini?? Only M23 fatiria wache uchawe
@KamanaMangolwa-xe8de9 күн бұрын
M23 ndo Rwanda yenyewe na ipo siku mtalipa mnachokipanda broo
@michaelthobias99679 күн бұрын
Wafrica wapo kimya hapa huoni mashehe wakiandaa vipindi kupinga vita hii ya wafrica utaona watu wanarushiana maneno kuhusu palestina na isirael utafikiri sisi africa hakuna machafuko
@NtagolekwaHugugu9 күн бұрын
Kwann mashekh......?? makafiri mnashida sana
@salumualoyce56209 күн бұрын
Wewe kweli ni choko kwani maaskofu na mapadri wamefanya nini kusaidia kumaliza hiyo vita?
@hekimasuleiman8955 күн бұрын
Mashekhe bwana mkichokozwa hamwezi kukaa kimya hata kidogo! lazima mkibu
@TwizeyimanaPasical29 күн бұрын
Sasa wewe unasema vyitu hawujui unajuwa kama Hawa NIWA nya Rwanda nyinyi washenzi kbx
@tipechegekimacho38939 күн бұрын
M 23 itafika Hadi Kinshasa aisee
@MunyongeTembele9 күн бұрын
nawaomba wote ambaye munafatilia hii media tafadhali hii niya uwongo sana alafu musiwe munafata abari humu
@benimlisa60569 күн бұрын
Hii taarifa sio ya kweli... Kuweni updated
@Muremyi9 күн бұрын
Tupe ya ukweli wewe😂
@Ibrahim-t5z3v9 күн бұрын
Nikweli na wanajeshi 13 wa un wamekufa
@Montana12-v2c9 күн бұрын
Kivipi ??
@henryking60709 күн бұрын
@@Ibrahim-t5z3v Kama Congo wamekufa hao 13 basi juwa Rwanda wamekufa 2000
@wimulizatina59626 күн бұрын
Fatiria vizuri habari @@henryking6070
@SumaneGael9 күн бұрын
Weye unatangaza habari ya M23 naweye ni M23
@MukarusineEsperance9 күн бұрын
Rakini rwanda mnaisingiziha . Ni m23 tu .
@ApendekiCiza8 күн бұрын
Toka pale nanyiye njo muko natupiganisha
@ljmarketlakhshov368 күн бұрын
Wenye kufaidika na haya machafuko ni nchi ngozi nyeupe husasani magharibi... Naamini sio kongo tu hata jumuiya ya Afrika mashariki nayo wanaitaka... Rwanda ninamashaja kama ni kweli anahusika, ila nadhani anasakiziwa kaa la moto kama walivyomfanyia Gaddafi Tuwe makini sana na uhusiano wetu na watu wa magharibi
@KhalifaMshana8 күн бұрын
Wewe mkuda acha usenge wako mimi mida hii nipo goma tokea tr22 January m23 bado hawajakamata goma wapo njee vijijini huko
@JosephBidii-k6i8 күн бұрын
Mtangazaji ni mjinga kama umoja wa mataifa ..... ila siku moja congo kutazaliwa ibrahim traore apo ndo kitaeleweka
@godwinkileo77028 күн бұрын
Sasa Rwanda alikua anakataa nini wakati leo anaonekana kuwasaidia
@makhanguwakhutu24088 күн бұрын
Mwaka huu lazima congo itagawanywa tutsi empire hima empire
@PhilipoMwita-b2x9 күн бұрын
Chisekedi alikataa mazungumzo sas wacha mchapwe 😂😂😂
@benimlisa60569 күн бұрын
Hacheni uwongo...
@janethfelicie67829 күн бұрын
Alisema hacheki na wowote sasa kimemlamba 😂😂
@GeraldRuhumuliza9 күн бұрын
Eti na Rwanda... Unauhakika.? Potosha tu.
@Araplimosnr9 күн бұрын
Wasarenda ni kiswahili ya wapi? 😅😅 Sema kujisalimisha ❤
@blessedggithinji61929 күн бұрын
Woi Jesus take over🙋🏼♀️🇰🇪
@DanielGaspel8 күн бұрын
Msicho kifahamu kuhusu Congo na Askari wa Congo.. Tatizo kubwa ambalo M23 wanajivunia ni Nidhamu tu. Jeshi la Congo Halina nidhamu na istoshe hawana motisha ya kupambana na adui
@tvsunshin9 күн бұрын
Rwanda
@ErrishaAuto9 күн бұрын
Safi Sana m 23 kwani serikali ya congo kinshasha imepigwa garika Kwa sababu ya upofu wa kujigeuza mungu watu Kwa kutoa uhai wa vijana maskini ambao imesababishwa na serikali m 23 tumen hata namba ili tuchangie kidogo tulicho nacho kusapoth harakati zenu za kuchukua serikali
@benimlisa60569 күн бұрын
Hakuna kitu kama icho
@festohaule97169 күн бұрын
Afrika, Afrika, Afrika pole sana kitovu changu!!!
@titongajilo19349 күн бұрын
May 23
@PastoryManjale-q9f9 күн бұрын
😢
@songadeemusiq89059 күн бұрын
They did all they could and win but those fools did one blander touching UN solders they will leave to regret
@henrybovick939 күн бұрын
Je? Tanzania 🇹🇿 Kenya 🇰🇪 Uganda 🇺🇬 Burundi 🇧🇮 mmekimbilia wapi kama pia nyinyi hamhusikii pia?
@samwelmwangi91859 күн бұрын
Vita yao haituhusu, watakula matunda ya chuki miongoni mwa jamii za Mashariki mwa Congo na jamii nyingine. Jeshi dhaifu la Serikali ni chanzo cha machafuko huko Mashariki mwa Congo. Askari wa Rwanda wamehusika kwa kiwango kikubwa katika eneo hilo. 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@CharlesModest-dl6pp7 күн бұрын
Hii ndio mahajabu ya Dunia . M23 wapatao 6000 wamepiga wanajeshi 160000 wa Kongo.
@AmadiAbadi9 күн бұрын
Kagame mungu akuzidishiya maisha marefu
@petermasanilo7329 күн бұрын
Ulakafa wichaye wa mbwa wee
@NsanzinezaIssa9 күн бұрын
Ameen
@wimulizatina59626 күн бұрын
AMEN AMEN AMEN.
@hekimasuleiman8955 күн бұрын
@@petermasanilo732 kuki none
@MohamedMunga-k5w9 күн бұрын
Keep going m23
@EcaStephane9 күн бұрын
Bwege kabisa et wame iteka goma mpaka yesu atakavyo kuja aita wezekana kamwe
@khalilyjuma8139 күн бұрын
Congo hawana Jeshi
@MartinAlverio9 күн бұрын
Daa ee mwenyez mungu vita congo itaisha lini?
@jojigeorige10568 күн бұрын
Ni mpaka madini yatakapoisha Congo DR
@ziporanangolo93979 күн бұрын
May the Lord bring peace
@hudumablack93399 күн бұрын
Congo inakosa Mtu mmoja, SHUJAA MZALENDO katika kuiongoza Nchi. Wakongo wanasubiri tu tangazo la vita dhidi ya Rwanda, nani atoe tangazo?
@aloycesamba9989 күн бұрын
Ni Nani wakumfunga paka kengele
@thadeusmahendeka44669 күн бұрын
Ukisoma Katika Historia yao utagundua kwamba ni wazuri sana katika kugeukana so wakusema hilo unaloshauri anaogopa ata snitchiwa.
@hamisdodi-cu7bu9 күн бұрын
Magaidi.awafai.kuongea.nao.
@saintability49859 күн бұрын
Sasa watatangazaje vita na rwanda wakati kikundi kidogo tu Kama hicho kinawapiga?
@JeanBaraka-pu5xo9 күн бұрын
felix unapana kongo ndomulikubaliyana kabila
@theafricanhauler33969 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂 Lukuta
@henrybovick939 күн бұрын
Mimi sijakubali ila nilazima nifie pia kwenye shamba la mapigano sud kivu Kinshasa nyinyi hamjuwi hii vita mmependa maisha yenyu Bila kupenda Congo 🇨🇩 yetu ?
@langistany68119 күн бұрын
Mbona una weka title za uongo. Wewe Mtangazaji wa namna unae Tangazia watu habari za uongo. Goma ina tawalia na serekali. Hacha uongo
@habari-249 күн бұрын
Izo ndo habari kutokea huko, Tutaendelea kuwaapa taarifa zaidi kadri tutakavokuwa tunazipata
@omaryadam68848 күн бұрын
Acha uongo,
@allysimu68569 күн бұрын
Gaidi anashilikiana nae kwani un wanakazi gani au ndokusema kondoo kaponzwa na mkiawake timua wafaransa kama kwingine
@hamzafishten95609 күн бұрын
Aca congo bbc hajacukua goma
@YamunguMatamya9 күн бұрын
Taifa lina kila kitu lakini limekosa hata zana za kivita za kisasa,Nchi ina raia zaidi ya million 100,inasumbuliwa na taifa lenye watu million 18,ama kweli DRC halina viongozi
@Shijajohn50849 күн бұрын
Eti wanasema hawataki kutumia siraha kubwa sababu wataharbu sana na kuuwa baadhi ya watu wao, haha ni ujinga kweli.
@frankwarembosaloon53169 күн бұрын
Africa HOVYO kabisa
@andrewsifuna56739 күн бұрын
Kenya tutaingia huko kuwafurusha wote
@kanobayirelambert84009 күн бұрын
Bado kitaeleweka tu!
@KelvinEmersonSteven9 күн бұрын
Duh hatari sana
@kavakurejeanBaptist-nk7jz9 күн бұрын
M23 songa mbere
@MatendoMenganyi-xq8lx9 күн бұрын
Rwanda wanataka Tena vita ya kuwamaliza, wamesaau vilivyo uana
@Drgbjiumd9 күн бұрын
Funga kinyua, wako wanawadanganya kilakitu ni rwanda na nyie mukaitika
@Clemence-t8z9 күн бұрын
achakutudanganya unachokiongea tofaut unakichwa cha habari
@musalaben90809 күн бұрын
Habali za Uongo kbsa
@JacksonMartin-pb2vq9 күн бұрын
Taarifa za uongo hizo
@Leodimk-n5c9 күн бұрын
Karwanda na udogo wake kanaisumbiaje.mchi kubwa km Congo? 😊😊
@daddynamombas38989 күн бұрын
Kagame anajifanya anawapinga mabeberu kwa mlango wa nyuma ndio wanasaidia congo, alafu hata operations zao zoote zinalipwa na haoahao mabeberu hata kwa majeshi ya walinda amani
@basilisamsaka84699 күн бұрын
Mmmmmh vita ni mbaya jmn
@AbdalahMtambuka-rh1dp9 күн бұрын
miji usio kuanaofu yamungu niupuuz mtumtupu
@livingstonemulamu64689 күн бұрын
DRC is not serious about its security. How can a poor Rwanda walk over its Goma defenses?
@Tresormimbula9 күн бұрын
Exactly but at the same time if Congo fight back they will get sanctions but soon I believe Congo will have to officially declare a war
@FeliciaWilfredy-u7n8 күн бұрын
Sasa hayo magodoro wanakimbia nayo ya nini jamani! Wayaache Tu wanusuru nafsi zao jamani. MWENYEZI MUNGU AWAOKOE JAMANI
@Tresormimbula8 күн бұрын
@@FeliciaWilfredy-u7n if I could translate it I could respond to you
@MatungeElias9 күн бұрын
Unachokisema katika title ya habari na unachoeleza ndani ya habari ni incompatible" ultimatum and total surrender ni vitu viwili visivyo na maana sawa
@HussainMaula-f9b9 күн бұрын
Hawana uwezo huo
@johnmalembo64649 күн бұрын
Nchi yao wameiuza kwa mabeberu vibaraka hao viongozi
@HanifaOman-oo4pl9 күн бұрын
Wanazambi hao m23 kuwazurumu mji wao
@karimmveyange2809 күн бұрын
Inasikitisha sana. Yani SADEC majesté hayana nguvu kwa M23?
@Shijajohn50849 күн бұрын
Shida wakitumia siraha kubwa eti wanaambiwa hamna hizo siraha haziruhusiwi, si ujinga huo
@bahatijuma82339 күн бұрын
Kabla SADEC hawajaenda jeshi la Congo watakuwa wapumbavu Sana,yaan jeshi la Nchi nzima mpigwe na kikundi cha watu wachache??Yaan Nchi inatakiwa ipate viongoz wa kijeshi wenye misimamo mikali wanaoweza kujitoa kwa ajiri ya Nchi na kulisafisha jeshi kutoa hizo impurities zilizomo au bas tu
@venancembwaga-uw6kb8 күн бұрын
Congo inaitaji raisi asiyetaka depromasia,awewakunyosha m23
@habimanaamani9 күн бұрын
Ebu acha kupoteza watu na ujinga wako eti M23 na Rwanda ?kwani unauhakika?
@kanobayirelambert84009 күн бұрын
Hilo neno na Rwanda huyo upotoshaji sema ni waasi wa congo
@shukurumsebaloli9 күн бұрын
Sio waasi wakongo niwanyarwanda acheni ujinga
@sureking74889 күн бұрын
Ww ni mnyarwnda naona unatetea nchi yako
@MarySemkiwa9 күн бұрын
Hao ni RDF sio M23. Waasi wanatoa wapi anti air missile
@SylvesterKameo9 күн бұрын
@MarySemkiwa Hakuna waasi walioweza kushinda nguvu ya wananchi. Awe Kagame na RDF yake, iwe ni M23 na vibaraka wao, watashindwa. tu. Dunia inataka amani! 0:43
@rogerabdallah4399 күн бұрын
Bola wachukuwe tu
@JOHHMike9 күн бұрын
We kaongo Rwanda ausiki na waasi
@GODENGUVULUTV9 күн бұрын
Rwandais et son militeur et le M23 cet son des manteur pur luvunu lokuta nde armed na bango willy ngoma lokuta ndoki
@GODENGUVULUTV9 күн бұрын
M23 des mansonge sur mansonge
@AllyMohamed-w5x9 күн бұрын
Waongo washenz nyie
@kavakurejeanBaptist-nk7jz9 күн бұрын
Sema m23 wameuteka mji wa goma Rwanda inauwezo wa kuteka congo yote ni m23 wameuteka mji wa goma
@ShalomOdua9 күн бұрын
Tu rêves jambe en l'air . Avec votre petite ville qui vous sert de pays, vous allez souffrir.
@justusmukurasi43839 күн бұрын
So mauaji Kwa raia yasiwepo.please
@theafricanhauler33969 күн бұрын
Unaamini huu uomgo 😂😂😂
@josuebashizi23639 күн бұрын
Bongo
@MosesGahutu9 күн бұрын
mbona muna isingizia Rwandan halafu na ww acha kuitaja Rwanda 🇷🇼 ata ww huna uhakika
@nyembobea72859 күн бұрын
Kiukweli hata mimi siamini kama rwanda inahusika na vit hii nadhani kuna haja ya kuiangalia ufaransa kwa macho mawili
@mutabarukajohngas53719 күн бұрын
Acha kuanza na title za uongo
@PhilipoMwita-b2x9 күн бұрын
Gaidi nigaidi kwako wewe.. kwawengine ni mpigania UHURU will ngoma chapa hao
@viviananita55868 күн бұрын
Please switch off the music
@ManigabeDarius9 күн бұрын
Le rwanda qui es considerent comme l'un des île du pays comment ça ? Par volonte ntre gouvernment
@Moïse-p6s9 күн бұрын
Fause information, le tirant du M23
@IndalesioHenery9 күн бұрын
Hao ndio wachochezi watu wa maghalibi
@jeps.e43059 күн бұрын
Wapewe share Yao waende...why pour innocent blood
@GuelordBuyu-zc8zh9 күн бұрын
Continue de rêvé Kinshasa
@augustinemainde9 күн бұрын
Ujinga tupu mnaisambaratisha nchi yenu
@zahirallyzorro39409 күн бұрын
Sio kweli
@EricDaniel-do5rw9 күн бұрын
ACHA ujinga wewe na news za uwongo
@RAMPA_Dee9 күн бұрын
Congratulations my brothers and sisters M23
@onesphoryndomba61159 күн бұрын
Wanawaua watoto wanawashindwa hao m23 ni aibu kwa nchi
@issalyanali41195 күн бұрын
Hii channel ipo kipropaganda sana ,,,
@henrybovick939 күн бұрын
Sasa sisi sud Kivu tutaingia hadi Rwanda
@THENEWWORLDB9 күн бұрын
Problem is people not look the root of the congo situation those citizen of congo they are victims because of their nature and speaking kinyarwanda call beligium to come to fix this problems caused to reduce borders congo leaders even not realize uganda we have Rwandese ,tanzania kagera but they are living peaceful why congo leaders
@AllyKeitaBungali9 күн бұрын
Hawa jamaa wanapendwa sana
@augostinodaves54239 күн бұрын
Narudia tena, raisi wa DRC imuombe Raisi PUTIN na vijana wa umoja wa SAHEL waksaidie kupambana na wavamizi kutoka mchi ya RWANDA- M23
@gerrymimi93879 күн бұрын
Kwa nini tunairuhusu Rwanda kufanya uhalifu na uharibifu huu? Ni kweli nchi zote za eneo hili tumeamua kuwatelekeza wananchi wasio na hatia?
@THENEWWORLDB9 күн бұрын
Did you realise those innocent peopl3 speaking kinyarwanda living in congo because of colonisation
@PascalChimatu9 күн бұрын
Asa nanyie umoja wamataifa wasenge kwann msimpige ivi huwa mnakazi gan umoja umoja mbona hatuon mnacho kifanya ndoma laiya wakongo wanawatumuaga hamna kazi
@KisagasiLuyangi9 күн бұрын
Wakati hao uongozi wa mataifa ndio wanaoifanya congo isitulie
@RuganintwariJeanJacques9 күн бұрын
Ni wakongo wenyewe kwa wenyewe
@Dddma4559 күн бұрын
Rwanda itajutia matendo yake. Maovu inayofanyia inchi ya CONGO.
@ChizaJean-z7d9 күн бұрын
Hio ni m23
@wakayakaya69 күн бұрын
Kongo ina mali inashindwa kutumia mali yake kuimaliza Rwanada na kundi lake