BREAKING: MAHAKAMA YAAMURU MKE ASIMAMIE MAZISHI YA TAJIRI WA MADINI ARUSHA

  Рет қаралды 16,157

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 82
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 6 сағат бұрын
Hongera sana mumy, na pole sana kwa machungu unayopitia na bado yanaendelea Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu. Yote hayo wanataka Mali wakati una watoto jamani Tafuteni Mali zenu Acheni kuwaza Mali za wafiwa
@EdnaMbowe
@EdnaMbowe 6 сағат бұрын
Pole Dada na hongera kwa kupambana pamoja na majonzi ulionayo. Mungu aendelee kuwa Mtetezi wako
@audaxbizimana8084
@audaxbizimana8084 6 сағат бұрын
Kumbe wake zetu wanahangaika tukifa😢😢😢😢😢😢😢😢
@sheckycobb5240
@sheckycobb5240 6 сағат бұрын
Ukimpenda na kumjali atakupambania sana tu
@lucypeter7804
@lucypeter7804 5 сағат бұрын
Habari ndo hiyo🤣🤣🤣🤣
@MayleenDonaldharris
@MayleenDonaldharris 5 сағат бұрын
Tunahangaika sana baby
@salomewandya7257
@salomewandya7257 4 сағат бұрын
Kama ulikuwa nae pamoja kwa shida na Raha atakupambania hadi mwisho
@Bahati-v4m
@Bahati-v4m 7 сағат бұрын
Duuuh kweli huyu mke na alikuwa mme wake kweli siku za mwisho
@ramajuma5620
@ramajuma5620 7 сағат бұрын
Hyu mwanamke akifa moja kwa moja peponi maan anatambua anachofany wenyew walishaongea na mume wake mke wangu ee nifa nizike paleee na mke kasema mumewangu nikif nizike pale msiwangilie
@Jane-h1f6s
@Jane-h1f6s 7 сағат бұрын
Amelia sana na ni mzazi wiki ya pili atakuwa analia tuu ache ni maneno
@sheckycobb5240
@sheckycobb5240 6 сағат бұрын
Na mtoto mchanga???
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 6 сағат бұрын
​@@sheckycobb5240yaa,anamtoto mchanga
@homeandaway2811
@homeandaway2811 4 сағат бұрын
​@@sheckycobb5240yes
@IreneMacha-g8o
@IreneMacha-g8o 7 сағат бұрын
Mwanamke ataiacha familia yake na kuungana na mume so hao i mwili mmoja wanasikilizana nakupanga yao mwanaume kanunua sehem yak na kasema azikiwe hapo kwani shida ipo wap... mda mwingine wazazi nao wanazingua mtu kesha toka under 18 kaowa a anafamili watoto anamji wke why wazaz wapange anazikwa sehem fulaniii, mke keshasema bhasiii na ndo maagizo aliyoyaacha
@JoyceLucas-zk7nv
@JoyceLucas-zk7nv 5 сағат бұрын
Cheka na furahi na ndugu wa mume ngoja ufiwe na huyo ndugu yao, mh, hutokaa uamini kitakachotokea.
@joycefrances4516
@joycefrances4516 7 сағат бұрын
Simama mwanamke,hakuna kuonewa tena sasa hv,walitaka waanze kuku control,wakunyang"anye na mali ,ndugu wa mume acheni gubu,mkae kwa kutulia,hayo mambo ya kizamani kuoneana wakat Mme hayupo yamepitwa na wakati,acheni.mambo haya ya aibu
@IreneMacha-g8o
@IreneMacha-g8o 7 сағат бұрын
Ila wazazi bnaa...sasa marehe keshasema azikwe sehem fulani wao wanapanga kwingne utadhani huyo mtoto alikuwa ni under 18, vtu vingene bhnaa
@vibetz9991
@vibetz9991 7 сағат бұрын
Kwenye Hera mambo hayawezi kwenda easy easy😂
@samsonkivuyo9548
@samsonkivuyo9548 5 сағат бұрын
Hera ndio ni nn tena??.
@CatherineRegan-u2o
@CatherineRegan-u2o 6 сағат бұрын
Acheni kuongea uyo nitajiri mkubwa nando mkurugenzi wa mgodi wa California uwezi jua kuna maagano gani ndomana mke akasema azikwe alipo taka ao matajiri wa madini so mchezomchezo
@FortunataNguma
@FortunataNguma 7 сағат бұрын
Sheria imefuata mkondo wake Mungu akupe kibali Ndugu waache viere ere mjifunze hapo wanaume
@WilsonEmmanuel-bs6op
@WilsonEmmanuel-bs6op 7 сағат бұрын
Yan mm ninavohon hapo watu wanaangaika kwasababu ya Mali igekuwa hana Mali wasige msumbua maleem wagemzika popote
@bahatirobert1009
@bahatirobert1009 5 сағат бұрын
Tunajufunza mengi kwa kweli ndugu aisee
@JoyceLucas-zk7nv
@JoyceLucas-zk7nv 5 сағат бұрын
Wanawake tukifiwa na waume tunanyanyasika nakuchukiwa na ndugu wa mume utafkiri tumehusika kwa kifo hicho. Ila duniani hakuna haki haki iko kwa Mungu.
@homeandaway2811
@homeandaway2811 4 сағат бұрын
NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE 📌
@kelvinmasungakilunguja7539
@kelvinmasungakilunguja7539 7 сағат бұрын
Ongera dada MUNGUautie nguvu mpumzishe mmeo na wafukuze wote kwenye Mali kaa na ndugu zako wapambane na Hali zao
@ElinahStephano
@ElinahStephano 6 сағат бұрын
Ndugu tuheshimu ndoa za watu bhan
@DicksonRichard-gj7qb
@DicksonRichard-gj7qb 6 сағат бұрын
Kibiblia kulia aisaidii kwa mtu aliyekufa, kinachotakiwa wewe uliye hai nikutengeneza na mungu kabla ujafa, lakini sio kila wanaolia ni maumivu ya watakavyo hishi baadaye
@KoleYasini
@KoleYasini 7 сағат бұрын
Upuuzi mtupu,mke. yupo na bonge la faraja..
@judyngowi391
@judyngowi391 7 сағат бұрын
Ulitaka akae uchi ndio ujue kafiwa
@TyaleMkoma
@TyaleMkoma 6 сағат бұрын
Kweli wao wenyewe wamemfanya kuwa hivi. Ameona kumbe akilia tu anapokonywa haki za msingi.
@asiamalonji5962
@asiamalonji5962 6 сағат бұрын
Au ulitaka anyeeeh et
@AnaraelMpungu
@AnaraelMpungu 5 сағат бұрын
Mmm.mungu.mkubwa.ndg.nishida
@omarymbaraj8072
@omarymbaraj8072 4 сағат бұрын
ila Nyinyi Wabongo Nooma sana.
@domymerinyo8165
@domymerinyo8165 6 сағат бұрын
Mke wa marehemu huko anajiita ukoo wa baba yako, sijatafuta mali za kurishisha ukoo mwingine mimi heri ndugu zangu wachukue mali
@farajaMezza-qn4be
@farajaMezza-qn4be 6 сағат бұрын
Pole sana, maana unadhani ndugu zako wanauchungu na watoto wako kuliko mama yao! Naomba Mungu mke wako aone hii na awe na kazi Ili ajijenge, maana mawazo yako ni ya kizamani sana, kumbuka kuwa mwanamke hata acha watoto wako wateseke kamwe!
@ThomasMichael-w3b
@ThomasMichael-w3b 7 сағат бұрын
One Sasa ulakuwao was Mali umewaumbua Kwanzaa sio nduguwake marehem hao
@smartonlinetv5144
@smartonlinetv5144 7 сағат бұрын
Mbona tabasamu kubwa sana Kwa huyu mama? Mume hata hajazikwa mke yupo na tabasamu kama lote
@GraceMarine-vo9hu
@GraceMarine-vo9hu 7 сағат бұрын
Ukikaa na marehemu muda mrefu moyo huwa unakuwa mgumu, ukumbe huyu marehemu anawiki nadhani inaenda ya pili sasa toka afariki, wamelia n.k hadi machozi yanakauka, na ukizi gatia huyu mama walitaka kumpitisha gizani, so yeye angeendelea kulia basi watoto wake wangeweza hata kukosa haki zao za msingi
@sheckycobb5240
@sheckycobb5240 6 сағат бұрын
Alishalia sana,anatanasamu ushindi,akirudi kuzika atalua tena,kila jambo na wakati wake
@Ajijji12
@Ajijji12 5 сағат бұрын
Safe
@jacklinelyimo7407
@jacklinelyimo7407 4 сағат бұрын
Bora ufe maskini mali zako wanakutesa nazo binadamu bwana
@alakomba6830
@alakomba6830 6 сағат бұрын
akina jombaaa kwenye hili mnatia aibu
@joyceraphael2586
@joyceraphael2586 7 сағат бұрын
Bora lakini Mbona umekauka hivyo? Mkavu utadhani hujafiwa
@judyngowi391
@judyngowi391 7 сағат бұрын
Ulitaka afanye nini ndio ujue amefiwa,
@emmadora7848
@emmadora7848 7 сағат бұрын
Haikuhusu shoga wewe
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 7 сағат бұрын
Ukiwa huna hela unakuwa na roho ya makasiriko. Tafuta hela
@NtamamiloGibson
@NtamamiloGibson 6 сағат бұрын
Ulitaka atembee uchi mpumbavu wewe
@EdnaMbowe
@EdnaMbowe 6 сағат бұрын
Mungu anakuona sio maneno ya kumwambia mfiwa na hujui analopitia
@hanifamziray277
@hanifamziray277 6 сағат бұрын
Aibu yao watajifunza
@MussaBakar-p2p
@MussaBakar-p2p 5 сағат бұрын
Mbona hamkufika mahakamani kama mnahaki matapeli nyie mnatamaa na mali washamba nyie
@Fatima-v9k6f
@Fatima-v9k6f 7 сағат бұрын
Apo ni sw
@MsevenSaudisaidi
@MsevenSaudisaidi 6 сағат бұрын
Mbona mke Hana majonxi
@mwajabumunna6398
@mwajabumunna6398 6 сағат бұрын
Kashalia kachoka Sasa yupo kupambana ili amzike mmewe
@jumarajab5316
@jumarajab5316 7 сағат бұрын
mtu hajazikwa mke wa marehem yupo kawaida kabisa kichwa wazi mungu nisaidie nisije kuoa mke wa hivi
@judyngowi391
@judyngowi391 7 сағат бұрын
Kwani wapi imeandikwa afunike kichwa, tamaduni zako za kiislamu sio zetu
@Afsa-z2v
@Afsa-z2v 7 сағат бұрын
Namsifu kwa ujasiri angejifanya kulia angebaki na machozi atalia aisha zika hongera kwa kuwA ngangari mpaka kimeeleweka
@estermagige366
@estermagige366 7 сағат бұрын
😏😏
@emmadora7848
@emmadora7848 7 сағат бұрын
Toka hapa ,nani kakuambia Kila mtu anataka mkewe afunike kichwa ,get lost with your nonsense alllaaa
@vaikaayagadiel520
@vaikaayagadiel520 7 сағат бұрын
Akifunika.kichwa mume atafufuka?
@ZainabZuberi-h3p
@ZainabZuberi-h3p 6 сағат бұрын
Mhhh!mbona yuko.kawaida jamani mume wake au mhhh
@philipombwambo1980
@philipombwambo1980 6 сағат бұрын
Ulitaka anye au
@veeJesus
@veeJesus 6 сағат бұрын
😂😂😂​@@philipombwambo1980
@msigwazakayo6878
@msigwazakayo6878 6 сағат бұрын
ukifiwa na mtu mwenye hera huwezi lia. utalieje wakati na huku unahesabu miladi alio iacha marehem
@samsonkivuyo9548
@samsonkivuyo9548 5 сағат бұрын
Kiswahili hiki, duh
@SauliBasso
@SauliBasso 7 сағат бұрын
Mtu anafariki wengine wanaanza kulilia mali zake watapataje
@jerryjohn8030
@jerryjohn8030 7 сағат бұрын
Duuh mke mkavu kabisa
@mussaphilemon8612
@mussaphilemon8612 7 сағат бұрын
Sasa ulitaka alowe hapo mahakaman, Kuna Kipindi majonzi unayaona hayana tija zaidi ni kufanikiwa kile kilichopo Mbele yako.
@judyngowi391
@judyngowi391 7 сағат бұрын
Ulitaka aweje, acheni umbea
@luciangole6876
@luciangole6876 7 сағат бұрын
Napenda lugha yake,ni mnyenyekevu.pole mama
@MagdalenaMatiko
@MagdalenaMatiko 5 сағат бұрын
Du ulitaka awe mbichi unazijua ndoa za matajiri wewe,hapo kapumua
@ramadhanishabani807
@ramadhanishabani807 7 сағат бұрын
Nyie mawakili mnaleta taratibu za kijinga swala lakifo mtu anatakiwa alike na ndugu zake kimila zao, huyo mwanamke anajua nn ujinga mtupu
@emmadora7848
@emmadora7848 7 сағат бұрын
Wewe ndio mjinga Kwa sababu darasa huna ila unatumia hisia tu
@TyaleMkoma
@TyaleMkoma 6 сағат бұрын
Ni kweli. Hata kama ni Mila anatakiwazkama Mke halali ASHIRIKISHWE NA KUELEKEZWA.
@anethmollel6564
@anethmollel6564 6 сағат бұрын
Mjinga wewe na hao ndugu wa marehemu,mtu ana mke na watoto kwanini wasishirikishwe wao kwanza!!!!! Unajua Sheria za familia na ndoa!!!!
@sheckycobb5240
@sheckycobb5240 6 сағат бұрын
Anajua sana ndio maana mumewe alimuonyesha azikwe wapi na hakumuonyesha ndugu
BINTI ALIYEFUNGWA KAMBA KWENYE BASI, POLISI MORO WATOA UFAFANUZI
2:24
Остановили аттракцион из-за дочки!
00:42
Victoria Portfolio
Рет қаралды 3,9 МЛН
А ВЫ ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?? #shorts
00:20
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 50 МЛН
Остановили аттракцион из-за дочки!
00:42
Victoria Portfolio
Рет қаралды 3,9 МЛН