Kama unaamin kipaji kipo kwa ndg yetu weka like hapa 👍
@farajaMezza-qn4be3 ай бұрын
Hakuna kitu kinanizidishia hofu ya Mungu kama kumuona mtu mwenye matatizo lakin bado anamshkuru sana Mungu! Lazima tujue kuwa hata katika magumu yote Mungu ni Mungu na atabaki kuwa Mungu! Mungu akufungulie njia za mafanikio mtanzania mwenzangu! Ashukuriwe Mungu aliyekujalia kipaji❤
@tamiruyusuph98033 ай бұрын
Meseji yako imenigusa sana,,,keep it Up...!
@farajaMezza-qn4be3 ай бұрын
@@tamiruyusuph9803 thank you!
@GwakisaMwaisanga-th7uz3 ай бұрын
Amen amen
@TRACKNEWTRACK3 ай бұрын
ameeeeeeeeeeeeen
@marcodaud50893 ай бұрын
Amen Mungu ashukuriwe kwakila Jambo 🙏
@kinglayzwakuchana3 ай бұрын
Kama unaamini mungu yupo usipitipe bila like kwenye hii comment
@AmaniNasoni3 ай бұрын
Nakuon mbali sana mtoto wa Mungu tunao ungana kwa pamoja kumuombea kijana afike mbali tujuane hapa kwa like ❤❤ ishara ya upendo to
@leonardmadelemo30433 ай бұрын
Toa chochote cyo kumuombea TU,huyu anahitaji kuwezeshwa so maombi tu hayatoshi
@jovithageorge82203 ай бұрын
Jamani kama mmeguswa na na huyu dogo naomba tujuane
@Tg_tiger-i4j3 ай бұрын
𝙼𝚙𝚊𝚔𝚊 𝚞𝚙𝚎𝚠𝚎 𝚕𝚒𝚔𝚎😭😭😭𝚠𝚊𝚗𝚊 𝚍𝚊𝚖𝚞 𝚋𝚊𝚗𝚊😌😌
@yudachelango68243 ай бұрын
Halafu mkijuana inakuwaje,?
@BigKMusicProduction3 ай бұрын
mungu ata kusahidiha utafika mbali Tunakupata mpaka 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸 TANZANIA 🇹🇿 mungu atawalipa Kwa wema mnaho honyesha katika Kambi ya NYARUGUSU kuhibuwa vipaji watoto waliyo zaliwa TANZANIA 🇹🇿 hizo nidam za TZ 🇹🇿 ubarikiwe Sana #ayo tv
@edwinipastorybituro48793 ай бұрын
Duh! Mungu ni mwema dogo nilisha Kutana naye miaka kadhaa iliyo pita kisiwani Ziragula wilaya ya Buchosa pole sana mdogo wangu Mungu habariki kipaji chako 🙌🏿🙌🏿
@PaulMabondo3 ай бұрын
Wangap wameona anajua sana kiukweli tunaosuburi iyo nyimbo ya likizo itoke iyo jmos tujuane
@Bahariachora-td6tm3 ай бұрын
😂😂
@bornifacecharles22 ай бұрын
🥲🥲😱😱😭😭😭😭😭
@necciakodi3 ай бұрын
Congo kuna vipaji kweli kweli nina imani utatoboa Mungu akutangulie
@rockinstituteofhumanlifema52923 ай бұрын
Mungu Muumbaji Matendo yako nayaogopa yanatisha hayaelezeki pokea sifa kwaajili ya huyu kaka yangu❤❤❤❤❤❤
@TAJIRI0013 ай бұрын
Acheni kuomba likes kwa mambo serious 😅 Dogo afunguliwe KZbin channel tumpige support kwa ku record na ku shoot video. Ngoma tatu dogo ametoka.
@Justin_king_pro3 ай бұрын
Uki hambiwa hii ndiyo Nyarugusu camp Unabidi usi hongei Mara pili🎉❤🙏🙏🫡 Mungu aku tangulie ndugu Yang 🙏
@enockgasto98333 ай бұрын
Tupo apa tunao msapoti, hakika atafika mbali saana afu jamaa ana unique vocal! Eeh Mungu tunakuomba uonekane kwa kijana mwenzetu ...amina
@mistalbboy84323 ай бұрын
Wabembe wenzangu tujuwane 🇨🇩🇨🇩
@MsAisha-w4o3 ай бұрын
Ana kitu ndani yake huu ni wakati wako MNGU akunyanyue hapo ulipo na akufikishe pale alipopapanga upafike... guy's ~~naombeni like hata hamsini za huyu kijana ~~🥰🥰🔥🔥✅✅📌📌
@Katembo-sk4xm3 ай бұрын
Kama wewe mwana camp nyarugusu Tanzania 🇹🇿 nipe like 🤲🤲
Nakutazama kutoka kenya....Mungu akutangulie na neema zake zikushukie kaka. I love your song
@hamisskuche42833 ай бұрын
afu smart sana kichwani aisee Mungu fundiii
@Bahati-v4m3 ай бұрын
Mungu akupe macho mengne amina
@isso8463 ай бұрын
it is my prayer afike mbali kwa jina la Yesu
@shafiimdogwa14823 ай бұрын
Inshallah kila kitu Kina Sababu.
@lovenesibj3 ай бұрын
Anajua sana❤❤ Mungu amsaidie
@upendokiza60613 ай бұрын
Mungu atakuponya mtumishi wa Mungu, Nina Imani utapona na Mungu atakufikisha mbali hili akutengenezee ushuuda.kuwa na Imani tu.
@azizimohamed91713 ай бұрын
Mwenyezi mungu akujalie afya njema uwe imara ivyoivyo ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@deogratiusdesderius70533 ай бұрын
MWENYEZI MUNGU AZIDI KUKUINUA ,HONGERA SANA
@frankmmasi3 ай бұрын
Kwa nn msimtengenezee laini tumchangie na mkaenayo nyinyi mumjengee vizurii alale pazurii angarau tuchangie kwa mwezi mzimaa embu fikirieni ivyoo. #millardayo
@mfastotheking3 ай бұрын
bila shaka namba inapatikana sehemu ya description,
@penueldjuma28453 ай бұрын
Big point 🎉
@katapaj23362 ай бұрын
Nani ataesabu
@MosesMunene-j5u2 ай бұрын
Comment nilikua natafufa ni hii good point my brother God bless you ❤
@Bahariachora-td6tm3 ай бұрын
Hiyo nyimbo naisubir jmosi hyo dogo anajua sana mungu awe nae
@beatricejoseph23473 ай бұрын
Hujafa hujaumbika ,Mungu wetu ni mwema hakunyimi kila kitu.
@kelvinirichard40803 ай бұрын
Paka rahaa mungu hakunyimi vyotee mungu atakupa mtu wakukushika mkono utafika mbali namalengo yako yatatimiya mwacheni mungu aitwe mungu2 ameeeen
@shaziog3 ай бұрын
Inauma kweli ❤ nyarugusu camp
@emm33332 ай бұрын
He has already booked a ticket in Heaven he's my Hero ...kudos young man 🎉🎉
@NataliaFissoo3 ай бұрын
Usikate tamaa mungu yupo nawe
@RahimuPombekari3 ай бұрын
Mungu atakufanyia wepesi kwa maradhi yako
@HasnatMustafa-n1q3 ай бұрын
Polee sana 😢😢😢 Allah akufanyie wepesi inshallah 😢😢
@peterjosephmjaka3 ай бұрын
Nimepamiss kambini ❤ Home Land uko Vipaji vipo kambini sema MAKAZI mpuhuzi anashindwa kuelewa sifa anazipata na yeye Maana ni kitu chakujivunia kuwa na watu wenye vipaji maana lazima wapitie kwako ili wakutane nao sema sheria zake mbovu Ajifunze kitu atakuwa bora
@nataliaananias56133 ай бұрын
Anakipajj kikubwa, nyimbo zake zinasisimua, mungu amuinue
@LPBRANDSTUDIO3 ай бұрын
Mungu akubariki Sana Kaka .... Hakika naona hukuu wa MUNGU Ndani Yako.... Amen 🙏🏼
@PaulMabondo3 ай бұрын
Anajua sana tena sana anaitaj msaada
@OscarOkran-m4c3 ай бұрын
Halafu anajua kujieleza Hadi raha Mungu ampganie kwa kweli avuke maana yuko kwenye kipindi kigumu😢
@josephfrank44463 ай бұрын
Ila Kwa hili mirad ayo Huwa mnajitahid sana 🎉🎉🎉
@Ibuhofficial2 ай бұрын
Hutu dogo anaimba kama baraka de Prince.....hongera zimfikie kwa wingi sana.MUNGU azidi kusimama na maisha yake.🎉
@kevootibai23563 ай бұрын
Natamani ningekuwa na chochote kitu Cha kusupport huyu kijana ila Sina. Kikubwa ameonekana Kuna watu watamsaidia afikie malengo yake na ndoto zake zitimie
@jaychamusic48992 ай бұрын
Amazing sana big talent God bless you more MUNGU atafanya jambo kuhusu macho yako soon utaona nuru maishani mwako shalom shalom the peace of God be with more grace Bro
@JonasManeno-n1l3 ай бұрын
Mung hamutupi mjawake ukipewa kilema unapewa na mwendo mung atakujalia kaka usikate tamaa pia wew ni wasaman sana Niko pamoja na wewe 🎉🎉🎉.
@hansonie15533 ай бұрын
Hakika Mngu ni mwema🙏 yaani hua ni lazima tu akupe kitu🤝🤝
@MasokaJiko3 ай бұрын
Kama wewe mbembe nipe like yangu 😢😢😢😢
@juxo_pro_official3 ай бұрын
Nakubal sana ❤
@bonisachubwa10463 ай бұрын
Kweli wewe ni mbembe wewe unaomba like badala yakuomba kumsaidia huyo kijana😂😂😂
@MasokaJiko3 ай бұрын
@@bonisachubwa1046 🙏😂😂😂🏃 misaaada tutatowa
@BigKMusicProduction3 ай бұрын
Vipaji tunavyo nakama wewe unakubali kipaji cha huyu kijana nakama wewe ni dam ya AFRICA weka like hapo Na #ayotv imetuwekeha hapo namba za M PESA ilikwaku msahidiha 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇨🇩🇹🇿🇺🇬🇺🇸🇨🇦🏳️🌈🏳️⚧️🇺🇳🇦🇫🇦🇽🇦🇱🇩🇿🇦🇸🇦🇩🇦🇴🇦🇮🇦🇶🇦🇬🇦🇷🇦🇲🇦🇼🇦🇺🇦🇹🇦🇿🇧🇸🇧🇭🇧🇩🇧🇧🇧🇾🇧🇪🇧🇴🇧🇹🇧🇲🇧🇯🇧🇿🇧🇦🇧🇼🇧🇷🇻🇬🇧🇳🇨🇲🇰🇭🇧🇮🇧🇫🇧🇬🇮🇨🇨🇻🇧🇶🇰🇾🇨🇳🇨🇱🇮🇴🇹🇩🇨🇫🇨🇽🇨🇨🇨🇴🇰🇲🇨🇬🇭🇷🇨🇮🇨🇷🇨🇰🇨🇺🇨🇼🇨🇾🇨🇿🇩🇰🇪🇬🇪🇨🇩🇴🇩🇲🇩🇯🇸🇻🇬🇶🇪🇷🇪🇪🇸🇿🇫🇯🇫🇴🇫🇰🇪🇺🇪🇹🇫🇮🇫🇷🇬🇫🇵🇫🇹🇫🇬🇭🇩🇪🇬🇪🇬🇲🇬🇦🇬🇵🇬🇩🇬🇱🇬🇷🇬🇮🇬🇺🇬🇹🇬🇬🇬🇳🇬🇼🇭🇺🇭🇰🇭🇳🇭🇹🇬🇾🇮🇸🇮🇳🇮🇩🇮🇷🇮🇶🇯🇲🇮🇹🇮🇱🇮🇲🇮🇪🇰🇿🇯🇴🇯🇪🎌🇯🇵🇰🇪🇰🇮🇽🇰🇰🇼🇰🇬🇱🇷🇱🇸🇱🇧🇱🇻🇱🇦🇲🇴🇱🇺🇱🇹🇱🇮🇱🇾🇲🇱🇲🇻🇲🇾🇲🇼🇲🇬🇲🇺🇲🇷🇲🇶🇲🇭🇲🇹🇲🇨🇲🇩🇫🇲🇲🇽🇾🇹🇲🇿🇲🇦🇲🇸🇲🇪🇲🇳🇳🇱🇳🇵🇳🇷🇳🇦🇲🇲🇳🇬🇳🇪🇳🇮🇳🇿🇳🇨🇲🇵🇲🇰🇰🇵🇳🇫🇳🇺🇵🇸🇵🇼🇵🇰🇴🇲🇳🇴🇵🇭🇵🇪🇵🇾🇵🇬🇵🇦🇶🇦🇵🇷🇵🇹🇵🇱🇵🇳🇼🇸🇷🇼🇷🇺🇷🇴🇷🇪🇷🇸🇸🇳🇸🇦🇸🇹🇸🇲🇸🇰🇸🇽🇸🇬🇸🇱🇸🇨🇿🇦🇸🇴🇸🇧🇬🇸🇸🇮🇧🇱🇱🇰🇪🇸🇸🇸🇰🇷🇻🇨🇵🇲🇱🇨🇰🇳🇸🇭🇸🇾🇨🇭🇸🇪🇸🇷🇸🇩🇹🇱🇹🇭🇹🇯🇹🇼🇹🇳🇹🇹🇹🇴🇹🇰🇹🇬🇻🇮🇹🇻🇹🇨🇹🇲🇹🇷🏴🇬🇧🇦🇪🇺🇦🇺🇿🇺🇾🏴🏴🇼🇫🇻🇳🇻🇪🇻🇦🇻🇺🇿🇼🇿🇲🇾🇪🇪🇭
@Alvilisa3 ай бұрын
@@bonisachubwa1046😂😂😂
@goodsoundgospel9223 ай бұрын
Daaah mungu Wang akuxaidie xana my brother
@babad12882 ай бұрын
Mungu Akuzidishie kijana mwezangu kwahayo unayo pitia❤❤
@PatriceDakho3 ай бұрын
Kijana ana kipaji kikubwa sana tuzidi kumwombea tu Mungu ata tenda yake
@IssaMukucha3 ай бұрын
Mungu akae upande kijana,unaimba vizuri sana
@dismasidis89903 ай бұрын
Mungu amjalie, mimi binafsi namwona atafika mbali sana , mbali na hali aliyo nayo anajua kuimba vzr na kutumia chombo chake, dah
@PriscaBlastus2 ай бұрын
Duh hongera yake kwakuwa kakutana na watu sahihi Mungu atawabariki pale mtakapo toa kwaajili yakuinua kipaji chake baraka kama hizi nikubwa sana kusaidia mtu kwanjia hihi tofauti namutu anaekupa pesa nakuondoka TU ❤
@PriscaBlastus2 ай бұрын
😢😢
@EsthetiqueMajaliwa3 ай бұрын
Mungu azidi kukulinda ipo Siku tu🎉🎉
@GB14-b8p3 ай бұрын
Unajuwa mdg wangu na mungu yupo atakubariki kwenye kipaji chako au maisha Yako ubaweza sana mdg wangu Sina chakukupa ila tu mungu ndo atakubless amen by GB14 ⚽👈 35:19
@PatrickAroni23 ай бұрын
Mungu anakutambuwa na endelea kuwa na hofu ya Mungu mtoto wa Mungu pia ubarikiwe kwa kipaji kikubwa ulicho nacho kiukweli umenibariki sana tena sana
@aidanshayo91823 ай бұрын
Mungu akupe tumaini nafaraja katika mapito yako
@chezariboy2 ай бұрын
Amtegemee na kujikabidhi mikononi Mungu mazima asigeukie nje ya Mungu utatoboa haraka.
@SaraRobert-io8xv3 ай бұрын
Anajua mungu amsaidie maan anawez sana
@Ommyblacktz133 ай бұрын
Mungu akikupa kilema hakunyimi mwendo 😢😢😢😢
@Officialcheche542 ай бұрын
Dah huyu dogo ni mkali sana aky ningekua na uwezo ningemsaidia
@davidjoseph11433 ай бұрын
Nyimbo kali san ,mtumikie mungu kwa kuimb mungu akuinue
@GodfreyRichard-v4f3 ай бұрын
Utukufu wa mungu unaonekana
@OscarBihiye3 ай бұрын
Mungu akutie nguvu .Amen mungu ni mwema katika kila jambo❤
@rukusaisumaili65043 ай бұрын
Mungu atakufanyia wepesi kaka ❤
@ChenchiKing3 ай бұрын
Kipaj Kipo Xana Mungu Ambariki🔥🔥🙌🙌🙏🙏
@Talented_boi3 ай бұрын
Hujafa hujaumbika jamani Allah akufanyie wepesii utimize ndoto zako🙏
@ALLY_K613 ай бұрын
Dah mwenyezi mungu Akusimamie IshaAllah
@raphaelfabian7303 ай бұрын
anaweza Sana
@Riamaproduct3 ай бұрын
Mungu akufanyie wepesi kijana nyimbo yako Kali sana
@MajaliwaBitomwa-qu7mc3 ай бұрын
❤❤mungu azidi kuku Linda ndugu yangu🎉🎉
@lgdnce83093 ай бұрын
kweli unakipaji wa kwanza kumuchangia naomba namba from Netherland
@HusseinMussa-n8x2 ай бұрын
Allaahu akbar. Allah amuongoze kijana mwenzetu
@Daecotz85973 ай бұрын
Kijana mungu akuongezee barakaaa
@DamasyNdamanyoso3 ай бұрын
Mungu akutanguliye Kijana 🙏🙏🙏
@petitalrim3 ай бұрын
Ongera brother mungu akuzidishie 🙏🙏🙏❤
@Kinyangulishabani3 ай бұрын
Inaumiza sana kwakweli
@sadalahitambujr18633 ай бұрын
Watu na makarama yao Mungu amewapatiaaa sasa wenye vipaji vyao ndo hao wameingiaaa mjini sasa karibu, Mungu kashabadilishaaa maisha yako sasa hata ukiwa shimoni Mungu tyu ndiye anaweza ku kutoa huko Wakati wa Mungu ndiye sahihi.
@uiptv3653 ай бұрын
Mungu akubariki sana kijana 🙏🙏😢
@rop_254v2 ай бұрын
Kupitia Nyimbo zako Mungu Azidi Kuinuliwa Broh
@vincentauxerbius75543 ай бұрын
mungu wetu ni mkuu sana na huyu ni star ⭐ mkubwa sana namuona anakuja eeh mungu mfanyie kusudi lako likatimie kwa uwezo wako 🙏🙏
@FransisAnthony2 ай бұрын
Mim ni nan hata nisimushukuru mungu kwa afya njema natembea nafanya kaz asee hata kma tunapitia magumu lakin hii 😢😢😢 imeniumiza nimehifunza sana kupitia huyu kaka nimetambuwa kumbe kila gumu nalokutana nalo yanipasa kumshukuru mungu
@nyachikomesi3156 күн бұрын
Mungu anakupenda ipo cku utaona kama wengine ni Iman yng
@koffianodi94533 ай бұрын
Kipaji anacho Mungu mwema Atapona kwaneema za Mungu
@CharlesMelau-j5i3 ай бұрын
MUNGU akulinde tena akuwezeshe katika hali unayo pitia
@AmisiEnock2 ай бұрын
Ubarikiwe ndugu n'a mungu akujalie
@ombeninyemba64283 ай бұрын
Kigoma kuna vipaji Mungu akuongoze sana brother ,
@ChamboSaid3 ай бұрын
GOD bless you, MWENYEZI MUNGU yu pamoja nasi, tusiache kushukuru😭😭😭😭😭
@BiQLY-vf5fu3 ай бұрын
Daah mungu amtupi mja wake kweli ❤❤ Gode tupo pamoja sana ❤
@LoondoMachozi3 ай бұрын
Yes my brother gode Frey mteule
@anitavictor-ig1jp3 ай бұрын
Mungu mbariki huyu kijana, afanikiwe
@TimotheoKinahi3 ай бұрын
Mungu ni mwema atamsimamia
@Starbrunodg3 ай бұрын
Kigoma kunavipaji❤❤
@johnsonmtemi23903 ай бұрын
Duh pole sana mungu akupe nguvu katika mapito mungu pekee Ndie tegemeo letu
@TazzanAhjussАй бұрын
Nakubali sana Kipaji cha hali ya juu hata kweñye kumjibu mtu