BREAKING: MCHUNGAJI KIMARO ASAMEHEWA, KOSA LAKE ni HILI, WAUMINI KIJITONYAMA WATOKWA MACHOZI...

  Рет қаралды 21,570

Global TV  Online

Global TV Online

Жыл бұрын

MCHUNGAJI ELIONA KIMARO ASAMEHEWA, KOSA LAKE ni HILI, WAUMINI KIJITONYAMA WATOKWA MACHOZI ya FURAHA...
Hatimaye sakata la Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) wa Usharika wa Kijitonyama jijini Dar, Dk Eliona Kimaro la kusimamishwa kuhudumu kwa siku 60 limefikia ukomo.
Kwa mujibu wa Askofu wa KKKT Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Askofu Alex Malasusa, Mchungaji Kimaro ameomba msamaha kwa Kanisa zima la KKKT, Maaskofu, Wachungaji na Waumini wote hivyo hana budi kumtangazia msamaha.
VIDEO CREDIT: TBC Online
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 68
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
@filorammbaga5710
@filorammbaga5710 Жыл бұрын
Msamaha huu umenitoa machozi leo asubuhi nikiangalia upendo Tv. Asante sana Baba Askofu Malasusa! Mungu akubariki na akuzidishie imani yako iliyokomaa. Pole sana Baba Askofu na mchungaji wake.Nilipata mfadhaiko mkubwa kwa jambo hili ,ni kwa nini shetani alijihudhurisha hapa kwa Mtumishi wa Mungu. Poleni wote! Shetani ameshindwa!
@kobylwaho3191
@kobylwaho3191 Жыл бұрын
nahisi machozi aisee kweli kazi ya Mungu ni ngumu
@lizzybahati3739
@lizzybahati3739 Жыл бұрын
Amen Mungu azd kumtumia zaid katika utumishi wake
@happinesscairombuja7606
@happinesscairombuja7606 Жыл бұрын
Tumeuona mkono wa Bwana Baba askofu ubarikiwe sana umeponya wengi.
@aminamwakyejo2113
@aminamwakyejo2113 Жыл бұрын
Ni kweli waislam wanatuzidi wee angalia tu mwislam anayefanya biashara ikifika muda wa ibada tu hata Kama mteja uko mlangoni hakuhudumii anawahi ibada lakini mkristo Yuko bize na biashara waislam wana displin,angalia hata mifungo yao wanafunga mpaka watoto wao lakini sisi wKristo kwalesma wangapi waaminifu kufunga
@helenmghwira6621
@helenmghwira6621 Жыл бұрын
Ni kweli kabisa wenzetu hawamwamini Yesu lakini kwa discipline wanatuzidi mno. Shida ukweli unauma sana
@lailatlailat3850
@lailatlailat3850 Жыл бұрын
Siyo kweli msilam Siyo Mungu usime unafata usimwanga mtu kwanche mwangalie kiundan alaf kufunga nakuomba Siyo tiket yakwenda mbingun ina tengemea umejiandaaje kufunga kwaiyo msipende kuwa mshabik wakila kitu ukitaka kufunga muombe mungu pia kwenda mskitin Siyo kwingia mbingun au kansan je umeokoka je unaiman je unafanya yanayo mpendaza Mungu
@gloryngowo2663
@gloryngowo2663 Жыл бұрын
Ukweli ndiyo hautakiwagi na roho za kuuwana madhabahuni zipo toka wakati Wa yesu
@godfreymunuo4626
@godfreymunuo4626 Жыл бұрын
Mchungaji kimaro Ana kosa gani katika hayo aliyozungumza!!Mwenye mamlaka ya kuhukumu ni mungu Peke yake.Kwanini askofu anasimama kuhukumu.Kwa namna hii KKKT LEADERS IS MATTER OF TIME.
@suemundati1765
@suemundati1765 Жыл бұрын
All Glory & Honour To God Almighty !
@kiwangodaniel1302
@kiwangodaniel1302 Жыл бұрын
Siwaelewi! Askofu anaabudiwa kuliko mungu anaombwa msamaha asamehe. Ni ajabu. Ukweli unauma sana. Kimaro kuwa MAKINI NA HAO WANAOGAWA MSAMAHA KAMA MUNGU. WAKIAMUA U USIWEPO ITAWEZEKANA PIA.
@lailatlailat3850
@lailatlailat3850 Жыл бұрын
Mm niseme tuu amna ukweli mm niko na hawo waislam wanamathaif kibao
@julianapeter9893
@julianapeter9893 Жыл бұрын
acha kupoteza watu kuomba msamaa ni kitu cha kawaida ata kwenye mahandiko ipo
@barakandabunganie6585
@barakandabunganie6585 Жыл бұрын
Sasa tunaanza kusali kama kawaida glory be to God hongereni sanaaa kwa uamuzi huo
@sayunikihunrwa4949
@sayunikihunrwa4949 Жыл бұрын
Asante yesu ,yamekwisha yesu aliyabeba pale msalabani ! Nia haikuwa mbaya na Asanten viongozi kwa busara.
@caroouma3885
@caroouma3885 Жыл бұрын
Asante Yesu
@paschalpaul3862
@paschalpaul3862 Жыл бұрын
Hananja alisema kwa wengine hakuna msamaha lakini kwa huyo ni maigizo tu hakuna kitu hapo, ahsante hananja tumeelewa nini kilichopo KKkkt
@joramkimario9321
@joramkimario9321 Жыл бұрын
Ni baada ya bango lake kupandishwa au mlikuwa na mpango wa kumsamehe
@magreth7981
@magreth7981 Жыл бұрын
Niliwazaa hilo pia !
@stellajoseph9334
@stellajoseph9334 Жыл бұрын
Mtangazaji nakupendaga Sana ,umetulia !
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 Жыл бұрын
Pole mchungaji nadhani utakuwa umejifunza huwezi kuwa mkubwa zaidi ya taasisi mchungaji hata kunawili kumeondoka
@japhetdaudmaneno8440
@japhetdaudmaneno8440 Жыл бұрын
Utukana mamba kabla hujauvuka MTO,au unatukana wakunga wakati bado unazaa,pia unanyea kambi unayoishi pale na kula hapo 🤔🤷
@matildamwakatuma1206
@matildamwakatuma1206 Жыл бұрын
Mungu amemsamehe why mnaendelea kuyaongelea na kutoa maoni acheni Bwana ametenda
@christinamnzava9689
@christinamnzava9689 Жыл бұрын
hapo ni usharika wakinyerezi sio kijitonyama
@charlesinosent1911
@charlesinosent1911 Жыл бұрын
Wakikuzingua tena fungua kanisa lako sadaka zote ziwe chini yako mi mwenyewe ntakuwa muumin wako
@japhetdaudmaneno8440
@japhetdaudmaneno8440 Жыл бұрын
Yesu akamwambia Petro,ukiongoka utawaimarisha wengine,unasema eti wakristo si waaminifu huku wewe ndiye mkristo,hiyo inakaaje🤔
@elinemakundi5011
@elinemakundi5011 Жыл бұрын
Nashangaa cha moto kakipata sasa mdomo utakua na break, atajitafuta, kuna kitu natafakari siku ya mwisho wachungaji maskofu Wainjilisti, maparishiweka nk lazima mtatoa hesabu ya mwisho kwa YESU, km kweli yy aliwatuma kufanya kz yke, au mnafurahisha macho ya watu, lkn nafsini mwenu kuna kamungu kenu mnachokitumikia mnampaka YESU mafuta kwa mgongo wa chupa ole wenu siku yaja mtalia na kusaga meno 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥moto wa milele unawasubiri, si wote akili zao zimepigwa ganzi, msituletee mizengwe YESU atakuja kuchukua kanisa lake wala milango ya kuzimu alitalishinda 👈
@japhetdaudmaneno8440
@japhetdaudmaneno8440 Жыл бұрын
@@elinemakundi5011 Mungu si kigeugeu,Leo aseme hivi kesho vile leo kungelikuwepo, wakristo kweli -maana Stefano, Yohana mbatizaji na wengine wengi hawakuwa na kauli mbili, maana neno linasema ndiyo yenu na iwe ndiyo,na hapana yenu iwe hapana
@theafricaiknow6615
@theafricaiknow6615 Жыл бұрын
Ni maajabu sana mchunga kondoo kusifia kondoo wa jirani kwamba wamenona. Si na yeye alishe kondoo wake ili wanone kama wa jirani
@maryemanuel6122
@maryemanuel6122 Жыл бұрын
Hivi mtoto wa jirani akijitahidi nashindwa kumwambia wangu hebu jitahidi uwe bora?na kumpa mfano kuwa flani anafanya hivi..vile ujifunze kwake?
@dismasstanslaus5985
@dismasstanslaus5985 Жыл бұрын
​@@maryemanuel6122imeongea pointi kua ule ni mfano tu wa kawaida sio kwamba hatufai ila baadhi yetu tunkosa displn sas anatuma ujumbe alafu mna coti vibaya ni ushmba tu
@Chemba67
@Chemba67 Жыл бұрын
Kusameheana ni jambo jema, hii dunia ya sasa ya utandawazi watu wengi uhukumiwa kimakosa hivyo ni busara kutafakari na kujipa muda (udhuru) kabla ya kuhukumu. Nimefurahi kusikia kua amesamehewa.
@Baba-JJ
@Baba-JJ Жыл бұрын
Yaani kama kuna kitu huwa sikipendi ni kuogopa ushindani. Kwahiyo mtu akisema waislam ni waaminifu na wakristo si waaminifu hilo ni kosa? Onesha kuwa wewe ni mwaminifu tofauti na madai ya mchungaji, kwani tatizo liko wapi? Kila mtu ana uzoefu wake kwenye maisha na mengine huwa ni changamoto tu huwa tunapeana hata kama kwenye uhalisia halipo hivyo ila ni katika kuweka msisitizo wa wazo unalotaka lizingatiwe.
@dismasstanslaus5985
@dismasstanslaus5985 Жыл бұрын
Imeongea na wewe inaakili nyingi san kimaro ameonewa kwasababu ni kia nauelewa mdogo lile si loss ni kia anaweka msisitizo tu baas
@joycemosha1898
@joycemosha1898 Жыл бұрын
Kosalake nini mnamwonea mchungaji hana kosa lolote water wa kanisa hawafai ilitoke kariKooo mambo ya uongo yuko vizuri sana mm nilishangaa sana asiombe rather kakosa nini
@peaceisrael8158
@peaceisrael8158 Жыл бұрын
Au basi
@abbiecox1
@abbiecox1 Жыл бұрын
hela si mchezo siku hizi ukiwa kasisi au mchungaji au sheikh ukikosea na kutimiliwa maana yake ukale gerezani huko mtaani kunanuka choo na njaa
@bigjizee4130
@bigjizee4130 Жыл бұрын
Askofu anatangaza msamaha wa dhambi?
@elinemakundi5011
@elinemakundi5011 Жыл бұрын
Acha liende nyuma ya pazia kuna giza nene, hao ujuana kwenye makutano yao siku ya mwisho 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@jayjay4313
@jayjay4313 Жыл бұрын
Sasa kosa lake nini!? Jinsi inavyopozwa itakuwa mkuu kafumwa tu. Semeni tujue ili Liwe somo basi. Lasivyo haikuwa na maana kupeana misamaha hadharani na wengine tukubali tu bila kujua kosa nini.
@roseafrael75
@roseafrael75 Жыл бұрын
Unawaza kufumaniwa tuu ndo tatizo,,, wala kosa siyo hilo ndugu fatilia clip zake kuna maneno aliyaongea ambayo hakupaswa kuyaongea ndo kilichopelekea kusimamishwa.
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 Жыл бұрын
Mbona kasema mwenyewe kuwa aliongea maneno ambayo yalifanyiwa usanifu na wataalam wa computer hivyo kusambazwa crip yenye uchochezi Kati ya Wakristo na Wailsam.
@roseafrael75
@roseafrael75 Жыл бұрын
@@gibsonjosephat6352 si ndiyo, sasa wengine wanawaza kufumaniwa tuu
@danielmarunda153
@danielmarunda153 Жыл бұрын
Unavyoona Eliona Kimaro ni mtu wa kufumaniwa?
@gilliansiara3324
@gilliansiara3324 Жыл бұрын
Kakosa nini??¿???????
@victorishengoma4599
@victorishengoma4599 Жыл бұрын
Kwani alifukuzwa si alikuwa likizo
@bigjizee4130
@bigjizee4130 Жыл бұрын
Kusema yale maneno ni dhambi?
@westmanmoses541
@westmanmoses541 Жыл бұрын
Tukiri wazi kuwa yale maneno hayakuwa rafiki kwa sisi sote. Basi kwa kumhurumia ahame kituo tafadhal
@nikemsongo6931
@nikemsongo6931 Жыл бұрын
Ndyo yalikuwa ya uchochezi.. tu
@chrispinedward6356
@chrispinedward6356 Жыл бұрын
M
@levinajackson2773
@levinajackson2773 Жыл бұрын
Asante Yesu. Tunamshukuru sana Mungu Kwa ajili ya mtumishi wake. Damu ya Yesu izidi kukufunika. Familia yetu tunaungana na wote waliofurahia urejesho wako.
@rachelelias1923
@rachelelias1923 Жыл бұрын
Amina shetani wa kufarakanisha kanisa ameshindwa. nimelia kwa Furaha mimi..
@judyngowi391
@judyngowi391 Жыл бұрын
Alikosea nini
@joycemanase7585
@joycemanase7585 Жыл бұрын
Mungu akubariki baba askofu ww ni baba wakiroho
@goodlucknjau77
@goodlucknjau77 Жыл бұрын
Matumaini yangu ata kuwa ame jifunza kupitia hili jambo
@westmanmoses541
@westmanmoses541 Жыл бұрын
Wakristo sio wema ila waislam ndo wema. Hakutakiwa kusamehewa.amewadharau sana kondoo wake
@jacquelinempondela5895
@jacquelinempondela5895 Жыл бұрын
Mungu anatusamehe madhambi yetu; kwanini yeye kimaro hasisamehewi?. Rudi kwenye sala ya Baba yetu aliyotufundisha Yesu kristo. Pia Yesu anasema samehe mara saba sabini
@lahabesheuya1257
@lahabesheuya1257 Жыл бұрын
Huu ndio ukristo
@helenmghwira6621
@helenmghwira6621 Жыл бұрын
Kondoo wakikengeuka wanakuwa wabaya kuliko mbuzi. Mchg alisema ukweli mtupu.
@lailatlailat3850
@lailatlailat3850 Жыл бұрын
Ww mtu akikukosia amsamehe mara 70 elf
Эффект Карбонаро и нестандартная коробка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 10 МЛН
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 13 МЛН
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 10 МЛН
Ushuhuda wa mama kifaru akisimulia Rev.Dr.Eliona Kimaro
17:16
KKKT - DMP Usharika Wa Mbezi Beach
Рет қаралды 316 М.
Mchungaji Kimaro aomba msamaha madhabahuni
5:36
Upendo Media
Рет қаралды 19 М.
MCHUNGAJI KIMARO AKUBALI YAISHE , AOMBA RADHI ASAMEHEWA
7:27
MwanaHALISI TV
Рет қаралды 15 М.