Asante Mchungaji kwa moyo wa unyenyekevu. Hakuna aliye mnyenyekevu alishidwa kitu/ mahali popote na siku yoyote. Mungu akuongezee mchungaji kimaro. Hiyo sio adhabu, ni Muda wa kumtafuta Mungu 🙏🏻🙏🏻💕💕❤️❤️🔥🔥👍🏽👍🏽💪🏽💪🏽💪🏽 Mungu asikupungie kwa moyo wa upendo na Kuwaheshimu wakubwa na viongozi. Heri wenye moyo safi maana watamuona Mungu.Asante baba Askofu kwa hekima yako.
@consolathambuya2239 Жыл бұрын
Heshima na unyenyekevu, utii na uvumilivu ni silaha nguzo muhimu sana kwa binadamu. Hakika Mungu azid kutukuzwa na Hongera sana baba mchungaji Kimaro kwa unyenyekevu na ustahimilivu uliouonesha, Baba mchungaji Malasusa pia hongera sana 💛🙏🙏
@godwintenesi3307 Жыл бұрын
Daah!,Nimeipenda sana hii,Hongera sana Mch.Kimaro kwa utulivu wako kipindi hiki,na hongera Baba Askofu Malasusa kwa kutuliza KANISA.
@yusuphchankwa4759 Жыл бұрын
Daaaaaaaaaaaah mpaka namuonea wivu mchungaji kimaro yaani naona baraka nyingi sana kutoka Kwa Mungu Ongera Sana kwa usindi mnono umemushinda shetani.
@happymollel3507 Жыл бұрын
Heri wanyenyekevu wa moyo mana watamwona bwana mch kimaro MUNGU anapenda watu kam ww njia ya mbinguni sio rahic na ww umemshinda shetan ubarikiwe na huduma yako YESU ailinde amen🙏🙏
@nsibwenekaswaga6267 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mchungaji. Wewe ni mchungaji wa mfano. Nilihisi utaibuka na kanisa jipya. Umemshinda shetani kwa nguvu zote!!!
@mariamusaulo4429 Жыл бұрын
Pole mchungaji wetu tunakupenda, hujakosea, watu Wana tafsir tofauti
@berthanixon6184 Жыл бұрын
Mungu akubariki mchungaji Kimaro kwa ushujaa ambao Mungu ameujazandani yako lkni pia niseme Askofu Malasusa kunakitu kikubwa cha kujifunza toka kwako ubarikiwa katika hili wewe pamoja na familia yako ukarimu upendo na unyenyekevu vizidi ishi nafsini mwako barikiweni washarika wote
@gracekunambi7438 Жыл бұрын
Heri wenye moyo safi mana wao watamwona Bwana. Mchungaji Kimario umefanya kitu kikubwa sana mbele za Mungu. Unyenyekevu ndio ukristo. Barikiwa sana.
@tumain9428 Жыл бұрын
Tuna kitu cha kujufunza kwa mchungaji huyu
@brianmac5116 Жыл бұрын
Huo ni unyenyekevu wa hali ya kimbingu kwa kweli. Mungu akubariki sana mjoli wa Bwana Kimaro.
@MsAggie5 Жыл бұрын
Amina 🙏
@amosnnko7792 Жыл бұрын
Amen man of God nimekuelewa unaunyenyekev San baba Mungu akuinue na kukulinda san
@thabithamagnus638 Жыл бұрын
Eliona kweli wewe umeiva kiroho! Hongera sana hujakosea hata nukta,msema kweli daima ni mpenzi wa Mungu! Ni lazama uhubiri kwa mifano ya kweli,Endelea kusema kweli
@silashemed4849 Жыл бұрын
hakika nimefarijika sana, Mungu Awabariki wakuu wote na Mch. kimaro Blesss
@jistomalila2748 Жыл бұрын
Wakristo tuendelee kujitafakari kwenye suala la uaminifu. Kazi ya mchungaji si kusifia bali kusema neno ili tupone.
@MsAggie5 Жыл бұрын
Mtumishi WA kweli lazima awe na BUSARA na HEKIMA na UNYENYEKEVU ndio maana nakupenda Mchungaji Eliona Kimaro. Barikiwa sana, we miss you on Morning Glory.
@furahamwakalukwa Жыл бұрын
Hongera sana Baba Mchungaji kwa moyo wa ushujaa hakika wewe ni mpakwa mafuta wa Mungu.
@isayakigava9283 Жыл бұрын
The only thing I like most from you Dr Kimario is your maturity.Keep going the future is promising.
@charugamba218 Жыл бұрын
Mchungaji Mungu akubariki sana wewe ni mnyenyekevu sana na ndani ya unyenyekevu wako kuna unyenyekevu pia. Kweli utii ni bora kuliko sadaka. Mungu akuongeze zaidi ya maradufu ya ulivyo kuwa mwanzo mtumishi wa Bwana Mchungaji Kimaro
@mage1799 Жыл бұрын
Amina sana lkn kazi ya Bwana kweri ni wito huna budi kuitika na huna budi kufunika kombe.... hongera na pole sana Rev Kimaro
@Papaahansmo Жыл бұрын
Ama kwel mwenye hekima habishani. Hongera sana pastor kimaro MUNGU atakuinua utashangaa.
@MsAggie5 Жыл бұрын
Umeona eeeeeh! Mungu alichompa ni kikubwa Sana huyu ni full package, busara na hekima mbele, ndo maana anafunza maadili mema
@niceayuma7256 Жыл бұрын
Mmm mungu ni mwema.asante mchungaji kimaro mungu akubariki na azidi kukuinua Kwa kazi ya mungu. Asante maaskofu wote Kwa kumsamehe mchungaji kimaro mbarikiwe sana
@gracenkembo8318 Жыл бұрын
NDANI YA MOYO WAKO MUNGU ANAISHI.KWELI MUNGU NI MKUU SANA
@mercyshepherds7206 Жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe. Tunaamini Mungu ana njia nyingi za kumprove mtumishi wake. Hakuna asiyejaribiwa swala ni jinsi gani mwanadamu anavyolipokea hata Yesu alijaribiwa. Na watu wa duniani waliongea sana na hawakujua Ndani ya Yesu kuna Mungu. Utii ni Mungu yuko pamoja na mtiifu. Shetani Ameshindwa. Hallelujah
@judyjudy3513 Жыл бұрын
Asante baba Askofu mungu awe nawe daima sku zote za mahisha yako 🙏🙏🙏
@judyjudy3513 Жыл бұрын
Asante yesu mungu yu mwema hakika umejibu mahombi yetu nikupe nini mungu chakukupendeza Asante yesu 🙏🙏🙏🙏🙏
@monicamtenga Жыл бұрын
Mchungaji kimaro uko vizuri Sana hakuna kitu kuzuri Kama kujielewa nimependa Sana unyenyekevu wako,umejishusha sana, ubarikiwe mno utafika mbali Sana..
@tunakisiwekamnyoge8061 Жыл бұрын
Ubarikiwe mchungaji kimaro mungu akubariki
@yasintakayuga-eo8ws Жыл бұрын
Hongera kwa unyenyeke mtumishi ,Yesu ndiye mwl wa unyenyekevu barikiwa sanaaaaa
@kefamjwanga8043 Жыл бұрын
Ukomavu mkubwa wa imani huu, barikiwa sana mtumishi wa Mungu
@johnmtemi1613 Жыл бұрын
Hii ndo Mungu anataka kusameheana Mungu akubariki askofu Malasusa Kwa msamaha
@ednakudoja7599 Жыл бұрын
Mungu anakupenda sana. Endelea kumtumikia Mungu wako aliyekufikisha hapo ulipo na kuheshimu maelekezo ya Roho Mtakatifu.
@MsAggie5 Жыл бұрын
Amina 🙏, anaheshimu maelekezo ya roho mtakatifu na ndo yalimfanya adui aamue kumuona kama yeye ni mkosa, lakini tunamshukuru Mungu kupitia roho mtakatifu na vipaji vyake Kwa kumpa hekima na busara kuomba msamaha ili yaishe.
@godlistendiah3563 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mtumishi wa MUNGU Hata iweje unyenyekevu pekee unamfanya MUNGU amuinue mtu endelea kunyenyekea tuu na MUNGU akuinuektk huduma yako amen
@esterkiyongo2316 Жыл бұрын
Kweli nimeamini Mch Kimaro unahekima sana na unajua kujishushaa Mungu atusaidie sana wotee tufike Mbinguni
@hyacintagugu7 Жыл бұрын
Baba mnyenyekevu Sana huyu jamani loh.Mungu akutunze tu..
@poolkingservices6928 Жыл бұрын
Mungu awabariki mno. Ni maamuzi mazuri sana na yanatuonyesha ni jinsi gani maisha na mafundisho ya Yesu mwenyewe alivyotufundidisha. Sasa ninyi mmekuwa nuru kwa ulimwengu. Mch Kimaro ameonyesha mfano mzuri. Sii wengi wanaweza kufanya hivyo. Baba Askofu. Mungu akubariki mno. Hiyo uliyotumia sii hekima ya kibinaadamu bali ni hekima kutoka kwa Mungu mwenyewe. Ubarikiwe sana. Ila sasa, kanisa lifundishe upya suala la uaminifu. Hili si la kufumbia macho. Mbarikiwe
@laurashao2618 Жыл бұрын
You are blessed, heritage wenye moyo safi maana ufalme wa Mungu ni wao..🙏🏾❤️
@noelashoo6043 Жыл бұрын
His Voice is in pain but umefanya vizur kuna Cha Kujifunza Mungu anakupenda na Tunakupenda.
@MsAggie5 Жыл бұрын
He's in pain Kwa sababu anajua inside out hana kosa ila ni bora atumie BUSARA yaishe.
@lilianbenjamin3163 Жыл бұрын
Amen, barikiwa, Mungu wetu anawajua waliowake, hawezi kukuacha tulikumiss
@kiulajoseph9194 Жыл бұрын
Hongera Sana ndugu yangu kwa kukiri ambalo ulikua unalijua lililo kusababishia na kutafakari nawala sio kwa mihemko ya mitandao yetu kazi ya mungu iendelee kusonga mbele Amina
@MsAggie5 Жыл бұрын
Hajakiri kosa na wala Hana kosa ni Kwa hekima na busara zake ameona bora yaishe. Hata kosa kuwafundisha vijana maadili mema
@vanessakimaro1313 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏 ubarikiwee Sana mtumishi wa BWANA YESU kristo.hongera Sana.
@nancyg8664 Жыл бұрын
Mchungaji anajiamini mpaka raha.
@gabrielinterschool3539 Жыл бұрын
Mungu ni mwema wivu fitina hasikuwa. Na nafasi mbele za Mungu machozi ya wanawake yatima wajane yalikuwa mengi Sana Asante Mungu. Kwa yote
@sabrinaandrew4245 Жыл бұрын
Baba wewe Ni kiongozi uliye letwa na mwenyezi mungu.Bwana yesu Akuifadhi chini ya mbawa zake.Amen&Amen
@melkisedekkaijage2777 Жыл бұрын
Ukweli haukai katika kundi. Ukweli siku zote husimama peke yake. Message sent
@hidayaswai3119 Жыл бұрын
Ooh Lord! Thank you kwa matendo yako makuu. Your alive Almighty
@neemasanare3474 Жыл бұрын
Mungu akubariki
@misschagga8042 Жыл бұрын
Nimelia sana leo japo mimi ni mkatoliki lakini nampemda sana mchungaji Eliona kimaro.
@judyjudy3513 Жыл бұрын
Umehonae mpendwa ata na mimi pia hakika mungu yu mwema kila wakati
@neemarweyemam7021 Жыл бұрын
Haya ndo mamlaka ya Ponsio Pilato,Mungu akujalie moyo wa unyenyekevu zaidi Rev.Kimaro
@zeranchimbi2808 Жыл бұрын
Nimefurahi sanaaaaaa na nimefurahi sanaaaaaaa tena sanaaaaaaaa Mungu akubariki sanaaaaaa
@mchungaji Жыл бұрын
Baba mungu akuinue kihuduma sana majaribu ni mtaji somo lako imenifanya leo naedelea na kaz maana ulifudisha kunyenyea naona mungu ananiinua somo langu ni isaya 60;11
@braysonsamwel5532 Жыл бұрын
Amina Mungu akubariki sana mch kimaro
@dicksonulotu7427 Жыл бұрын
Imeisha hiyo,wewe ni nani ukatae,hongera Mchg kwa kuomba Msamaha,mnao shadadia endeleeni na kushadadia ipo siku mtaelewa.
@ebenezermachange1073 Жыл бұрын
Wow jambo Jema sana Mungu amelifurahia.Oo Glory to God
@yolandaliyoya1839 Жыл бұрын
ATUKUZWE MUNGU ALIYE HAI ALIYEUMBA MBINGU NA NCHI NA VITU VYOTE VINAVYOONEKANA NA VISIVYOONEKANA .ASANTE YESU SIFA KWA YESU. 🙏🙏🙏👏👏👏♥️♥️♥️
@danielmungure Жыл бұрын
Pole sana mchungaji yote hayo ni mapito
@ndenlimbishoo Жыл бұрын
Sifa na utukufu ni kwa Mungu aliyeenda kusimama na kumwonekania Dr Kimaro
@esterkiyongo2316 Жыл бұрын
ila anae samehe dhambi ni Yesu peke yake 😭😭😭nimelia ila Mungu anajua kwanini nimelia watu hawapendi ukweli wanapenda unafiki
@hamzaswaibu9470 Жыл бұрын
Yesu hawezi kusamehe dhambi anayesamehe dhambi ni Mungu mmoja tu
@ombenkallenge1924 Жыл бұрын
@@hamzaswaibu9470 pole sana ndugu ,hata kuquran katk shahada zile tatu yesu ndiye atakayekuja kuhukumu dunia ,pia yeye ni njia ya ukweli na uzima . Ndugu endelea kukaa huko huko kwenye uislam ndio baadaye utajua kumbe na wewe ni mpinga kristo 😊🤣
@evanslaffa4514 Жыл бұрын
@@hamzaswaibu9470 Yesu ni mwana wa Mungu nafsi ya pili ya Mungu
@johnmtumishi373 Жыл бұрын
Mbarikiwe watumishi wa Mungu maaskofu wote na pia niwapongeze kwa hekima hiyo. Pia nimpongeze mchungaji Kimaro kwa unyenyekevu Mungu akutunze akulinde ktk Jina la Yesu Kristo Bwana amina .2Thesalonike 3:5,16-18
@vidalyuki4916 Жыл бұрын
Amina hiyo ndio hekima mungu akubariki
@rehemapatrick1544 Жыл бұрын
amen MUNGU akutie nguvu you true man of GOD
@rebeccakiloba Жыл бұрын
Amina Acha. Mungu aitwe mungu
@mariahyera3737 Жыл бұрын
Shida sisi wakristo hatupendi kuambiwa ukweli. Kalini ukweli utatuweka huru. Wenzetu waislamu wametuzidi kwa mengi.
@charleskuyeko4400 Жыл бұрын
Hiyo ndiyo hekima ya Kimungu. Mungu wetu ameinuliwa. Shetani ameshindwa.
@ottirie7412 Жыл бұрын
MUNGU.Nimuweza.mchungaji.🙏🙏😭😭
@bettykasase1267 Жыл бұрын
Kimaro Mungu atakuinua kila iitwapo leo,wewe ni mshindi
@miriamdavis3893 Жыл бұрын
We are happy because God is with you and with us Go Go Go kimaro
@hasnaally1713 Жыл бұрын
Mimi ni Muslim namuombea kwa mungu huyo mchungaji mungu amuonyeshe haki na njia ya kweli ili akakutane na mola wake mlezi tena ni wa haki nae Allah
@EvanceEdwine7 ай бұрын
Hiyo aliyo nayo ndo njia yake iliyo sahihi
@amranimnkeni4911 Жыл бұрын
Mr kimaro pastor umekomaa kiroho, ila ulisema ukweli, hata iwe vipi vijana wakikristo wanahitsji ukombozi
@drdd774 Жыл бұрын
Kama Mungu anasamehe kwanini viongozi wasisamehe? Asante kwa hili Dr kimaro.
@jescamasika6620 Жыл бұрын
Nimekupenda tu kwa kuwa mnyenyekevu na zaidi kutumia Muda huu kutafuta USO wa Mungu
@mamawinne3507 Жыл бұрын
Mungu wetu ashukuriwe kwa hekima yao na Mch wetu kukubali kushuka na viongozi kumtangazia Msamaha Amaniii tunayo sasa Mungu ametenda
@MsAggie5 Жыл бұрын
🙏
@mcback4384 Жыл бұрын
Nasubiria recap ya pastor Nanja kama kawaida 😁😁😁😁🤣
@julianagowele9163 Жыл бұрын
Inauma sana.mlimdharirisha sana mchungaji. Kwani alikosea wapi ktk hayo maneno. Alikuwa anatuweka wazi . Mwacheni aseme ukweli
@adkajisi4536 Жыл бұрын
Hujaelewa alichoongea mchango. Kimaro
@janeisaya4921 Жыл бұрын
Sijawahi kukomenti ila leo nimetoa machozi ya furaha kumuona huyu mtu anaomba msamaha nimependa ameonyesha unyenyekevu wa hali ya juu .nyenyekea tu mungu atakukweza tu kwa viwango vikubwa zaidi ya hvyo.kweli umemsikiliza mungu
@beatricehenry6776 Жыл бұрын
Eti huyu mtu anaitwa mchungaji Kimaro ,tuache figisu Ni wakati wa kupindeka na kuvunjika Zab:51 :17
Baba Askofu Mungu akubariki sana akupe moyo wa uvumilivu ktk mambo Magumu
@EK-kp2np Жыл бұрын
Shetani atafungua kesi polisi mwaka huu💪🏾💪🏾Jina la Bwana lihimidiwe🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@isayakihongile4921 Жыл бұрын
Huyo aliyekaa kwako masaa 4 ndiye aliyetumwa akwambie uombe radhi lakini ukweli ulishausema huna baya mchungaji na mwenye kusamehe ni Mungu nasi askofu piga kazi maisha yaendelee usiache kusimamia ukweli
@jackmabirangacharles9398 Жыл бұрын
Umeonaaa
@dicksonkilupa2258 Жыл бұрын
Kweli kabisa hakuwa na kosa alisema ukweli unaoumiza
@davidkadenge1902 Жыл бұрын
Makosa sana Aya hiii Nini sasa kanisa inapotea kweli Yani mutu kusema ukweli nimakosa duuuu pole sana mchungaji
@jannyjmamdak2570 Жыл бұрын
Nimekupenda tu kwakuwa mnyenyekevu ila zaidi endelea kuutafuta uso wa Mungu 🙏
@theopistamwayeya1764 Жыл бұрын
Amen
@arthurkasiba751 Жыл бұрын
Safi sana...nimependa ulivyolifanyia kazi
@wilfredaxwesso7394 Жыл бұрын
Ndugu zangu jambo la kuhubiri injili haihitaji vita vya kimwili kama wengine mnadhani alichokifanya mch kimaro kwa kujinyenyekeza ni unafiki,hapana hapana hapa hamjaelewa na hamtaelewa ila Mungu awe jibu tosha kwenu.Mch kimaro nikiri wewe ni shujaa na Mungu wetu ni mwaminifu akupiganie katika maisha yako na hata jaribu lolote lile Mungu apigane kwa niaba yako ameen.
@rahabumwaipopo8249 Жыл бұрын
Pia apunguze kuyaandama makanisa mengine ya kikristo si vema kujihesabia haki sana na kujihisi kuwa ni bora kuliko wengine. Sisi wote ni wa Mungu mmoja wewe tumika kwa Mungu kama ulivyo wito wako ulioitiwa na Mungu.
@mariakibwana3700 Жыл бұрын
Mchungaji Kimaro Mungu akubariki kwa unyenyekevu.
@geophreymarika9574 Жыл бұрын
Umeiva kiroho,na Mungu ataendelea kukupa wakvu,Tulikuombea mno kwa kuwa ulikuwa unatuelekeza ktk Nuru na ukweli wa neno la Mungu.
@rosemziray6081 Жыл бұрын
Mungu awabariki watumishi wetu
@veronicastuart4532 Жыл бұрын
Utukufu kwa Mungu,...hiyo ndio hekima
@Bboycp Жыл бұрын
Kuna bro mmoja hapo mbele amevaa miwani suti nyeusi na tai ya blue i bet ni mnafiki sana huyo
@polycarpykavishe9001 Жыл бұрын
Hahaaaaz kumbe umemwona eee ww ni mm kabisa
@humphreybilly7437 Жыл бұрын
Mungu Ufanya yaliyotushinda.
@MsAggie5 Жыл бұрын
Amen
@mabugamussa2860 Жыл бұрын
Ulikuwa sawa Sema tuuu hawataki kuambiwa ukweli
@simonlulenga7062 Жыл бұрын
Safi sana una akili sana.
@jafarimsigwa277 Жыл бұрын
Mungu amejibu maombi, aibu kwa shetani na baraka wake.
@zainabuyassini3095 Жыл бұрын
Uyu mchungaji nimempenda sana. Maana Alisema kweli. Kikubwa ni kuiga tabia za wenzetu. Ili kujiletea maendeleo ya taifa. Kumuoga muisilamu sio vibaya
@nampendaelimelami7740 Жыл бұрын
MUNGU Mwema ww Mungu anakuandalia vitu vizuri mbele yako so songa injili isonge mbele,
@mrchangestv Жыл бұрын
Ukweli ukisemwa ni kosa. Inapaswa tubadilikee. Sioni kosa hapooo la kuomba msamaha
@siaammo1104 Жыл бұрын
Ukweli unaumaaa
@siaammo1104 Жыл бұрын
Binafsi sioni kosa. Hii nikama ule msamaha wa nape na mwenda zake. Kuna mda inabidi ukubali tu maisha yaendelee
@shilwamsokwa5946 Жыл бұрын
Hongera kwa ushindi
@simonlulenga7062 Жыл бұрын
Wewe Mtumishi wa Mungu Dr. Kimaro, acha unyonge Mbinguni hakiingiagi kilicho kichonge. Wewe ulikuwa shujaa kwa kufundisha ukweli! Imekuwaje umegeuka nyuma? Shetani amewezaje kukufadhaisha wewe chombo kiteule cha Bwana? Umetshwa na waandishi na Mafarisayo wa dini yako! Pole sana, wanakuzuia kwenda Mbinguni ile hali wao wenyewe hawataingia! Inaniuma sana.
@edsoneliah3719 Жыл бұрын
Amegeuka nyuma kivipi? mwenyewe amejua alipokosea ndo maana ameomba msamaha.
@priscaalphonce1662 Жыл бұрын
Unyenyekevu Ni jambo jema
@exalttarimo5083 Жыл бұрын
Wenye macho ya rohoni tushajua kabsaa kasimama hapo chukizo la uharibifu, ila kimaro umetumia vema ujumbe usemao usishinde na waovu, wewe ni jembe kimaro na tunajua mungu anasema ndani yako, bariwa saana hapa kz moja tu tutazidi kumwambia mwenye dunia yake afanye jambo flan tu
@josephlorri431 Жыл бұрын
Kumbe... mimi ni Christian..ndugu zangu katika Kristo tuseme ukweli. Itoshe kwa leo
@TheSalma1999 Жыл бұрын
Sasa kwa vile nyinyi ndio mna control aseme nini basi hatakuwa free kuhubiri akihubiri mtampa adhabu adhabu tena haya kuanzia sasa muwe mnamuandikia cha kusema maana akisema kingine mnamfungia Yani dunia hii watu wanapenda ku control Mungu ndio mkuu anapenda mtu aongee ukweli haijalishi kamkwaza nani hamna kuremba
@julianagowele9163 Жыл бұрын
Kabisaaa. Tutakosa lile neno alilopewa na Mungu kwa kuogopa adhabu. Eee Mungu tusaidie tupate wengine km KIMARO
@saramss7262 Жыл бұрын
Bwana yupo maguguu na ngano zitaonfolewa tuuu kafanya kosa gani mpka yafikiye mchungajii anaomba msamhaa kama MTOTO mdogo yupo MUNGU anawaona huo usharika wenuu