Kocha ana wajibu wa kuzungumza na kumsahihisha Che Malone ili aondokane na makosa hayo ambayo yanajirudia. Nina hakika atakaa sawa. Mchezaji huyo anafanya kazi kubwa na nzuri isipokuwa tu kasoro hiyo inamtia doa. Bado tunamhitaji na anatufaa, ana nishati ya kutosha na umri unamruhusu. Washabiki tuache benchi la ufundi lifanye kazi na Che Malone, washabiki tukae pembeni tushije tukamzomea na kumuondoa mchezoni kisaikolojia. Ni maoni yangu tu.
@SalimAl-mahrooqi12 күн бұрын
Kweli kabisa tanzania ndio mwesho wake ni robo finally kweli ❤
@hamidmussa83813 күн бұрын
Kwni wanaingia wangapi fainal na mshindi mmja.
@anithawidambe754313 күн бұрын
NYIE WACHAMBUZI WAONGO HV HZ HABARI ZA MISHAHARA YA WACHEZAJI HUWA MNAZIPATA WAPI?MAANA MSHAHARA WA MTU NI SIRI YAKE KM KUNA MTU ANAVUJISHA HZ HABARI ANAWAKOSEA SANA WACHEZAJI WETU
@anithawidambe754313 күн бұрын
USHAURI WANGU NI KUWA NYIE WAJUMBE CHE MALONI APEWE ONYO KALI. NA ASIURUDISHE MPIRA KWA KIPA WAKE. ILA AMEANZIA WAPI?MBONA MARA YA KWANZA ALIKUWA ANACHEZA VZR?SASA HAYO YAMEANZIA WAPI?