HANS RAFAEL: SIMBA NDIO BABA WA WAARABU TANZANIA/ YANGA WANAHITAJI KUJIFUNZA KWA SIMBA

  Рет қаралды 37,209

Crown Media

Crown Media

Күн бұрын

Hii ni CROWN MEDIA, 92.1 CROWN FM & CROWN TV
Follow us on Social Media Platforms
Instagram:
Crown FM - / crownfmtz
Crown TV - / crowntvtz
Twitter (X):
CROWN MEDIA SWAHILI: / crownmediatz
CROWN MEDIA ENGLISH: / crownmediaen
Facebook:
CROWN MEDIA: www.facebook.c...
TIKTOK:
www.tiktok.com...
SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: / @crownmediatz

Пікірлер: 92
@ShabaniMchata
@ShabaniMchata 7 күн бұрын
Nakuba mwanangu hapo sawa
@SamwelMapengo
@SamwelMapengo 14 күн бұрын
Nakubali hans
@josephvenus3259
@josephvenus3259 11 күн бұрын
Simba 🙌🙌🙌 yanga hatuwawezi waarabu kabisa
@SwahibuMhina-o6n
@SwahibuMhina-o6n 2 күн бұрын
😢😢
@AhmedRawahi-i4q
@AhmedRawahi-i4q 16 күн бұрын
Nakukubali sana Jemedari
@prophetjohnmasso186
@prophetjohnmasso186 15 күн бұрын
Leo mmeokoka haleluya
@bigirumanalululouise4540
@bigirumanalululouise4540 14 күн бұрын
Simba❤❤❤
@MsamiKimaro
@MsamiKimaro 16 күн бұрын
Nawapata crown media
@mohamedibrahimu9139
@mohamedibrahimu9139 16 күн бұрын
🎉🎉🎉
@JohansenBashange
@JohansenBashange 16 күн бұрын
Yanga wanamakasiriko 😂😂😂
@GabrielWilliam-b4g
@GabrielWilliam-b4g 16 күн бұрын
Hamna wachambuzi hapo ndo maana Bocco kasema wachambuzi ni wengi kuliko wachezazi
@MgazaMhina
@MgazaMhina 16 күн бұрын
Sasa vituo si vinataka wafanya kazi
@abdallahkillo399
@abdallahkillo399 10 күн бұрын
Wacheza😂😂
@IsmailBakari-e1g
@IsmailBakari-e1g 16 күн бұрын
Eti alhilaly nae ni mwarabu🤣🤣🤣
@RizzikMsingiri
@RizzikMsingiri 16 күн бұрын
Uzur mshajielewa kama wapiga stor wa redion hata Mimi nitaomba kazi apo kwenu
@abicotv4897
@abicotv4897 14 күн бұрын
Wanaendaga kupiga story kama wapo kijiweni
@HusseinHussein-f7n
@HusseinHussein-f7n 16 күн бұрын
wew hansi ndo wakusem kuwa yang wajifunze wew si ndo unaewapa matokeo bila mpira kuchezwa yani apo unaona Ata aibu
@abicotv4897
@abicotv4897 14 күн бұрын
Uyu jamaa baada ya kuingia CROWN MEDIA chini ya ALI KIBA ambaye ni shabiki wa SIMBA aliamua kuacha uchambuzi akawa mtu wa kijiweni.... CROWN MEDIA NI KIJIWE CHA STORY NA GUMZO ZA MPIRA AMBAO HAUNA MWELEKEO
@kingngeche
@kingngeche 7 күн бұрын
wa sirori simba butiama tuko pamoja
@CharlesFadelis-te5fp
@CharlesFadelis-te5fp 16 күн бұрын
Kwanza tunamtaka Al masy aje tz
@solomonkitonka6904
@solomonkitonka6904 15 күн бұрын
😂 juma ayo anachekesha 😂
@JumaLitto
@JumaLitto 16 күн бұрын
Ila juma anacheka sana ,
@abuumuhammad7133
@abuumuhammad7133 16 күн бұрын
Simba yenyewe si Timu ya Waarabu wengi hivyo wanajuwana😂😂😂
@leejems142
@leejems142 15 күн бұрын
Mmeanz kuelew tatiz la Hans analet san ushabik mbel ya kaz simkubal kabis aendelee t kuwap kichw Yanga
@EliasCosmas-qp6gn
@EliasCosmas-qp6gn 16 күн бұрын
Tatizo wachambuzi mmekua hovyo sana mkipewa bahasha mnaisifia yanga na ingeshinda msinge sema ukwel kama kutoa makosa na kasolo zinazo igalimu timu acheni njanjaah nawachana t..🙄🔥
@GEOFREYMATHIASMAKINGILI-h4u
@GEOFREYMATHIASMAKINGILI-h4u 16 күн бұрын
Hamna wachambuzi hapo Bali ni wapiga kerere
@twaibacomputertechonline3479
@twaibacomputertechonline3479 14 күн бұрын
Wachambuzi wote Simba
@HusseinHussein-f7n
@HusseinHussein-f7n 16 күн бұрын
uyo hansi ni mnafiki2
@houmdmajid-ur9dp
@houmdmajid-ur9dp 16 күн бұрын
Hawoo wanaona Aibuu
@gulamomar6394
@gulamomar6394 16 күн бұрын
Wacha ng'ombe😮
@FIDELISMfugale
@FIDELISMfugale 16 күн бұрын
HAPA MNABISHANA AU MNACHAMBUAAA
@hindusullu3900
@hindusullu3900 16 күн бұрын
Mbona hamueleweki nyie???😅😅tufwate lipi sasa yan hata hamna misimamo lol
@hamisishabani4072
@hamisishabani4072 15 күн бұрын
SIMBA NI BABA WA USHIRIKINA.SIO KIUWEZO WA MPIRA.SIMBA NI WATAALAMU WA MAZINGAUMBWE,HAKUNA ASIYEJUA.NA NDIO MAANA WARAABU HUWA WANAKUJA MPAKA NA MAPIPA YAO YA MAJI KWA KUUTAMBUA UGAGULA WA MADUNDUKA.
@MuxxaAlly-c5i
@MuxxaAlly-c5i 9 күн бұрын
JEMEDALI...juzi goms pale umeniletea chuma Yako nzima nzima kakaaa...umefanya mpaka chuma yambele imenipakiliaa
@georgemallya4311
@georgemallya4311 16 күн бұрын
Kwa Yanga umemsahau USM alger aliyecheza nae fainali ya shirikisho.kwa simba umemsahau Al Ahli tripoli ya libya na Cs Faxien.Simba wote amewafanya kitu kibaya sana hapa nyumbani Al ahli tripoli na cs faxien.
@KennyRodger-g7o
@KennyRodger-g7o 14 күн бұрын
Huyo Geoffrey hamna mchabuzi niaminini mm
@abuumuhammad7133
@abuumuhammad7133 16 күн бұрын
Kuhusu yanga wananunuliwa mechi sana na Waarabu hawahongeki ni kawaida yao hawahongeki bahasha hazipenyi
@joshuamtinangi6958
@joshuamtinangi6958 16 күн бұрын
Ni kweli Simba ilianzishwa na Waarabu na ni yakwao. Itaendelea kujifunga yenyewe.
@emmadora7848
@emmadora7848 16 күн бұрын
Poleee
@LazaroLetema-z3w
@LazaroLetema-z3w 9 күн бұрын
Naangalia jemedali sijui amevua na kuvaa miwan mala ngap duh
@RoberMkongwa
@RoberMkongwa 16 күн бұрын
Kwani Kuna shida Gani kutoshinda na kushinda ipo CK midomo mtaifunga kimya
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 15 күн бұрын
Jemedari ndio anajua mwenyewe lakini huyo dogo mnafiki huyo wakushoto nae niwale wale
@SwahibuMhina-o6n
@SwahibuMhina-o6n 2 күн бұрын
ubaya ubwela
@revocatusCharz-bx5df
@revocatusCharz-bx5df 16 күн бұрын
Mbona anacheka Cheka Sana huyo mchunguzeni
@AbisnaRashidi
@AbisnaRashidi 15 күн бұрын
Wachambuzi wa hii redio wengi wao mashoga Kuma mae nyie
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 15 күн бұрын
Sema huyu mtoto huwa ana mapenzi na yanga kabisaa na huyu mwengine kushoto kwa mchambuzi mkubwa
@saidmasoud9004
@saidmasoud9004 16 күн бұрын
HANS VIPI😂
@FanicyKibiki
@FanicyKibiki 16 күн бұрын
Raphael. Amunamuchambuxi. Apo. Unazunguka. Kama viazi. Vipo. Kwenye. Sufuriaaaa
@JafariKanju
@JafariKanju 16 күн бұрын
Aise nyie ni wanafiki wakubwa haswa huyo Hansi tena kigeugeu
@Mwassah
@Mwassah 11 күн бұрын
Uyu jamaa kitendo chakukaa namatahila jofreya na jemedali nae kawa chenga alivokua wasafi alikua hachambui hovyohovyo ivo mchambuzi ambangile jamani yule jamaa anajua bwana weeeee
@GabrielWilliam-b4g
@GabrielWilliam-b4g 16 күн бұрын
Warabu gani hao
@asifznz
@asifznz 16 күн бұрын
YANGA KAMFUNGA AL HILAL KWAO,YANGA KAMFUNGA ,USM ALGER KWAO,YANGA KAMFUNGA CLUB AFRICAN KWAO,
@MgazaMhina
@MgazaMhina 16 күн бұрын
Watu wanasema hapa nyumbani
@JafariKanju
@JafariKanju 16 күн бұрын
Hamna wachambuzi hapo ni wachang'ombe tu hao
@mamohamed1252
@mamohamed1252 15 күн бұрын
Mzungumzaji nakuheshimu Timu za kakaskani sio huyo mw3ngine Eti Waarabu. Huo ni ubaguzi. Sasa tuseme Waarabu dhidi ya yawaafrika. Huo ni ubaguzi na ujinga
@fredrickpeter6623
@fredrickpeter6623 16 күн бұрын
Kipindi Cha wachambuzi wa Simba
@sabatoager
@sabatoager 16 күн бұрын
simba babalao 😅😅
@hassanrashid-l3u
@hassanrashid-l3u 14 күн бұрын
Simba ni baba lao na ndo mama lao wa kuwapitisha wenzao fainali
@EliudMawela
@EliudMawela 16 күн бұрын
Dube na msonda ni mzigo jamani
@LameckMichael-r3h
@LameckMichael-r3h 16 күн бұрын
Wehans nimatakokwer wewe siulisema simba ni under dog kwayanga? Leo umeumbuka😂😂😂
@GodfreyKarino
@GodfreyKarino 16 күн бұрын
Hii crown wachambuzi Yani sio wachambuzi kabisa wana chambua kinafki sana mtasikilizwa na wanafki wenzenu
@salehkhamis3000
@salehkhamis3000 15 күн бұрын
Wew utopolo hamtak ambiwa ukwel ndio shida yenu had mnafel Yan nyie hat kwny ujinga mnataka sifa tu
@GeorgeSagumo
@GeorgeSagumo 15 күн бұрын
Mnakula poshoyabule kabisa
@WilfredWilfred-v5q
@WilfredWilfred-v5q 16 күн бұрын
Toka apa hans mnafiki wewe
@AthumanMatembezi
@AthumanMatembezi 16 күн бұрын
Uyu jamaa nilijua hajua kuna ck nilimsikia anasema Chelsea anachukua ubingwa katkat kuna makelele nkajua mpuuuz hajui kit
@mariajames5558
@mariajames5558 12 күн бұрын
Yaan nyie wanafik Tu hamueleki
@amosmacompyuta1015
@amosmacompyuta1015 16 күн бұрын
Huyo Hans fukuza hapo mara simba underdog hili jinga hili
@boscomwanisongole9173
@boscomwanisongole9173 16 күн бұрын
Kumbe hawa nao ni wasenge yani Leo wanaongea hiki kesho kingine ivi mnajielewa kweli
@Eliaskasanya-hm5yk
@Eliaskasanya-hm5yk 16 күн бұрын
Wacbambuzi wa mchongo hawa. Wana akili kama za mbuzi tu. Mbuzi hata umpeleke kwenye majani mazuri kiasi gani atakuwa anahama hama tu. Ijumaa waliiponda sana Simba, leo wanaisifia
@JamesKasongo-m8b
@JamesKasongo-m8b 16 күн бұрын
Hhhhahhh😂
@LouisKatunda
@LouisKatunda 16 күн бұрын
Wachambuz wanafki hawa 😂
@CharlesFadelis-te5fp
@CharlesFadelis-te5fp 16 күн бұрын
Wambie owo utopolo wajue
@LidyaJoctan
@LidyaJoctan 16 күн бұрын
Leo mmenyooka wnyw
@tiffan2807
@tiffan2807 12 күн бұрын
Kachambuee wewee
@MwanaishaKhamis-j6e
@MwanaishaKhamis-j6e 15 күн бұрын
heshima kwk hans rafael salot
@GoodluckHaule-p7h
@GoodluckHaule-p7h 16 күн бұрын
dogo acha ujuaji, simba alipigwa 3-0 na Raja casablanca hapa bongo
@MgazaMhina
@MgazaMhina 16 күн бұрын
Watu wanazungumzia Takwimu za jumla kati ya simba na yanga wakicheza na timu za kaskazin/waarabu yanga wamepoteza sana kwa mkapa/nyumbani
@selemanisabihi5994
@selemanisabihi5994 16 күн бұрын
Una chambua kwamiemko jemedali ana kucheka kinafki😊
@VIP-correct-score270
@VIP-correct-score270 15 күн бұрын
Wachambuz wa mchongo
@SebastianSabatho
@SebastianSabatho 16 күн бұрын
Baba wa Waarabu kwa kombe lipi?
@LameckMichael-r3h
@LameckMichael-r3h 16 күн бұрын
Ubaya ubwela kama unabisha jinyeee ule😂😂
@matongorodispensary7736
@matongorodispensary7736 16 күн бұрын
Leo nimecheka sana nimerudia hii clip mara 5
@shafisaggaf1889
@shafisaggaf1889 16 күн бұрын
Wachambuzi wa mchele
@GFashion-o4e
@GFashion-o4e 16 күн бұрын
Hans kibok
@jamalimwaseba494
@jamalimwaseba494 16 күн бұрын
Wachambuzi wa mchongo wana lipwa mishahara ya bure
@elliyawilliam2521
@elliyawilliam2521 16 күн бұрын
Hans Rafael huelewek
@gerryemanuel4170
@gerryemanuel4170 16 күн бұрын
Achen ujinga nyinyi, kukaa kwenye media musijione munaelewa soka, alafu pia soka ni mchezo wa wawazi, raja alishafika hapa ilikuwaje, Ile gm ilikuaje??
@JacobMihama
@JacobMihama 16 күн бұрын
Unahasira kuma wewe😂😂😂
@JosephEmmanuel-eb7gj
@JosephEmmanuel-eb7gj 16 күн бұрын
Moja Kati ya ngapi?
@kastongailo2199
@kastongailo2199 15 күн бұрын
We ndo boya kabisa
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН
LECHA BOY NA BUNAYA MICHANO LIVE NDANI YA TRANSFORMER EFM
13:23
Lecha boy
Рет қаралды 2,1 М.
EXCLUSIVE INTERVIEW NA KIBU DENIS AKIZUNGUMZIA SAFARI YAKE YA MAISHA YA SOKA
1:06:07
AFARTANKII (40) QISO OO UGU SAAMEYNTA BADNAA_2022 iyo 2023_ SHEIKH MUSTAFA.
3:26:03
IFTIN BROTHERS STUDIO
Рет қаралды 2,6 МЛН