BREAKING: TUNDU LISSU, LEMA WAACHIWA NA POLISI USIKU HUU

  Рет қаралды 8,019

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 50
@AngelMazola
@AngelMazola Сағат бұрын
Tunamuomba mungu sana muwe salama ucku na mchana mungu azidi kuwapigania ameeen🙏🙏🙏
@gogne
@gogne Сағат бұрын
Vyama pinzani vitulie tu kwa sababu raia tupo tuna jambo letu la kufuta bunge la kijani, bunge la ndio mzee!!
@BungeyiSaiboku
@BungeyiSaiboku 2 сағат бұрын
Poleni Xana viongosi wapigania haki ya watu kutekwa
@MbokaRechadi
@MbokaRechadi Сағат бұрын
Niheri kuwa na yesu kristo tumaini la maisha ya kweli kuliko viongozi wa Dunia hii wanaboa sanaaaaa wamejisahau wanadhani wao ndio miungu wakuuuu
@mchinatz9335
@mchinatz9335 2 сағат бұрын
Viongozi wa chadema mnae moyo ingelikua ni mm nimesha acha kuwapambania wa tz siku mingi
@patrickprotas9184
@patrickprotas9184 54 минут бұрын
😂😂
@melch3097
@melch3097 33 минут бұрын
Kweli kabisa, kuwatetea wa tz, unahitaji moyo kama wa yesu
@RegnardiCharesi
@RegnardiCharesi Сағат бұрын
Tanzania mspo jiogeza mkiwapoteza watu Kama awa mjue mmepoteza amani yenu walide awa w2 wanawapenda watanzania😮
@JoannesGeofrey-qj7wv
@JoannesGeofrey-qj7wv Сағат бұрын
Poleni sana majembe yetu
@hashimkassim7043
@hashimkassim7043 Сағат бұрын
polisi imefanya kazi vzr sana hakuna hata mtu aliyezabwa hata kibao RAISI BADO ANAWABEMBELEZA hamjajua tu
@DaudiMakaza
@DaudiMakaza 10 минут бұрын
Mjinga ww unatetea cz n muislam mmelishwa matango na mishehe ynu mibeb majin
@IsayaKamomonga
@IsayaKamomonga Сағат бұрын
Namkubali sana Godbless Jonathan Lema!!! Penye mafanikio hapakosi mikiki mikiki, msikate tamaa wanaume.
@FidesferdinandikimtiKimati
@FidesferdinandikimtiKimati Сағат бұрын
Ulinzi wao uko vipi wakiachiliwa
@mindicarrashid3131
@mindicarrashid3131 Сағат бұрын
Wahangaikie nawafuasi wenu wapate zamana nawao wakalale nafamilia zao
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 Сағат бұрын
Ili tupate maendeleo naona ni bora kuwa na chama kimoja vyama vyote vifutwe ili hicho chama kijuane wenyewe kwa wenyewe
@EdwardBalloho
@EdwardBalloho Сағат бұрын
tanzania nzima mwanamme ni mbowe tu😂😂😂
@mdnsakuzi7732
@mdnsakuzi7732 Сағат бұрын
Mnafanyiwa maigizo na wahuni mnakubali kabisaaa kuwa ni wapinzani,hivi mwizi wakuku adhaminiwe kwa hati za mali zisizohamishika lissu adhaminiwe kwa kitambulisho cha NIDA kweli??
@humphreyemmanuel781
@humphreyemmanuel781 Сағат бұрын
Mungu awalinde muwe salama Kwa kutetea haki za watanzania
@sambenjamin5902
@sambenjamin5902 2 сағат бұрын
Hellow pipoziiiiii
@DicksonJaphet-fq7ov
@DicksonJaphet-fq7ov Сағат бұрын
Pambana viongozi MUNGU Awatie nguvu 🙏
@ramadhankakai7303
@ramadhankakai7303 Сағат бұрын
Lakini Tanzania mna mzaha sana..si bora mketi nyumbani kuliko kufanya harakati ambazo hata hazina faida..kiongozi wa upinzaji anakamatwa ovyo ovyo kama machinga wa kariokor😂😂😂kama hamjui hizi harakati bora mkae nyumbani. Huu mchezo hata serikali yenyewr inawaona wapumbavu. Huku kwetu Gen z walikiwasha wiki mbili mambo Ruto akasalimu amri
@CopperBelt
@CopperBelt 54 минут бұрын
Lema alikuja na mob ya Arusha moshi mbeya mwanza lakin siji kwanini hawakutoka barabarani
@DaudiMakaza
@DaudiMakaza 15 минут бұрын
Mungu yupo na nyie chadem wananch wng tumetok ccm tunaingia chadema
@thomaskwibonelwa9240
@thomaskwibonelwa9240 Сағат бұрын
Maandalizi ya haya matendo na matokeo yake viziwi, vipofu na vilema ipo siku watashuhudia haya taifa likiangamia! Kuna sehemu Kuna vuja. Na hapaonekani kwa wenye mamlaka!
@MkemiaKadongan
@MkemiaKadongan Сағат бұрын
Mungu awepamoja nao
@IllahRashid
@IllahRashid Сағат бұрын
Hivi ni kwl aliacha kaz bbc
@PeterDaudi-z2z
@PeterDaudi-z2z Сағат бұрын
Daaa tunaishi nch ya ajabu sana
@AleiHadji-js3ed
@AleiHadji-js3ed 2 сағат бұрын
Tanzania Nchi ya Ajabu Sana Ktk makubaliano Tunakubaliana Wote Ktk vita Pekee yako😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😂😂😂
@abdallakassim8114
@abdallakassim8114 Сағат бұрын
Viongozi TU je raia wa kawaida
@kudramzee5769
@kudramzee5769 Сағат бұрын
Na hao wengine mmewaachia au
@FadhilyOthman
@FadhilyOthman Сағат бұрын
Wangewaweka tu wakawauwa kazi kutia hasara taifa na na police wao ovyoo mi
@JoshuaJaphet-f9u
@JoshuaJaphet-f9u Сағат бұрын
Kwan walikuwa wanamakosa sasa😢😢
@DaudiMakaza
@DaudiMakaza 12 минут бұрын
Kuanzia utekaj uvyoanz mm meamia chadem jpo baba angu n ccm na anapiga pesa uko ila mm rasm nazama chadema cham bor kwa xx
@Zanzibar-e4h
@Zanzibar-e4h Сағат бұрын
Vyama vya siasa vifutwe wabak ccm vyama vingi ndio nini kupotezeana muda na ccm hawataki ushindani.kutaka kumiza watu kugeka watu kuuwa watu ndo nn turudin chama 1 .
@robertzamani5612
@robertzamani5612 2 сағат бұрын
Mwamba huyo
@AleiHadji-js3ed
@AleiHadji-js3ed 2 сағат бұрын
Kuanzia Leo hiii Sitaki Siasa nimepanga nao pamoja ilaaaaaa wameniacha na mwanangu😂😂😂😂😂😂😂😂
@SaidHassan-ot3un
@SaidHassan-ot3un Сағат бұрын
Inakera ila siku watakapota akili kuwa walichukuwa wakikililia viongoz ni hakki hali itakuwa ni mbaya mnoo na hakuna wakuongea tena ni nchi ya watu waajabu sijawahi kuona.Ningeliwashauri viongozi watulie tu maana sisi tunaotetewa hatujakua teyar
@charleselijah-vq3hq
@charleselijah-vq3hq Сағат бұрын
Ni wagonjwa wakameze madawa jamani wasije wakafa bure Aksante Maafande wet kwa Uzalendo.
@gililwise
@gililwise Сағат бұрын
Utakufa wewe na watoto wako .wangekuwa ni ndugu zako wanauwawa usingesema hayo maneno .pamoja na ubabe wa mafarao haukuzuia Wana wa Israeli kuondoka utumwani misri.maana Mungu aliwapigania kwa kuwa kilio na machozi Yao ya kuonewa na kunyaynyaswa na kuuwawa na majeshi ya farao😂 yalifika mbele ya Mungu aliye hai ameen
@Joppa555
@Joppa555 Сағат бұрын
😂😂😂Kila mtu mfu mzee usiwe whack kwa level hiyo😊😊, sad enough unaweza ukadondoka wew wao wakawa bado wako hai, hakuna kosa kikatiba so kutoka ilikuwa lazima either wakanywe dawa au wakale bia😂😂😂
@StevenNyanguye
@StevenNyanguye Сағат бұрын
Hata mzazi wako anameza dawa ya msongo wa mawazo kwa maisha magum
@Joppa555
@Joppa555 Сағат бұрын
@@StevenNyanguye 🤣🤣🤣Easy..sema we mzaee unaonekana akili kiduchuu tako ndo kubwa😁😁😁
@KamiliKapeta-yr3uc
@KamiliKapeta-yr3uc 2 сағат бұрын
Nyie wavuta bangiamkomenti
@TygerPixels
@TygerPixels 2 сағат бұрын
Fikiria unachoandika kwanza
@Mariam-w9s3b
@Mariam-w9s3b 2 сағат бұрын
Vp wale bendera yafata upepo
@abuialmarjibi979
@abuialmarjibi979 Сағат бұрын
​@@Mariam-w9s3b😅😅😅
@StevenNyanguye
@StevenNyanguye Сағат бұрын
Hujawa sawa kiakili
@Mariam-w9s3b
@Mariam-w9s3b Сағат бұрын
@@abuialmarjibi979 unacheka we si umeona kukamatwa kwa mbowe na Binti yake mawakili washafika na ata awajalala Leo Leo wametoka mbona wale masikin kama Mimi sijasikia ata kutajwa kama una akili timam utaelewa ni michezo tu itabaki pale pale tafuta ule na familia Yako acha kufata mkumbo
@BarakaSimon-xy9mp
@BarakaSimon-xy9mp Сағат бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Makamanda people's
OYUNCAK MİKROFON İLE TRAFİK LAMBASINI DEĞİŞTİRDİ 😱
00:17
Melih Taşçı
Рет қаралды 11 МЛН
The Joker wanted to stand at the front, but unexpectedly was beaten up by Officer Rabbit
00:12
Players vs Corner Flags 🤯
00:28
LE FOOT EN VIDÉO
Рет қаралды 52 МЛН
Johnson Sakaja - Mimi Ndio Gavana Nairobi, Sio Gachagua!!
16:28
Radio Maisha
Рет қаралды 21 М.
How to win a argument
9:28
ajaxkmr
Рет қаралды 559 М.
FID Q ASHANGAA KUTOSWA SHOO NA KUPEWA HARMONIZE, AWEKA KINYONGO?
17:17
MKE WA MBOWE ALIVYODAKWA NA POLISI LEO AKIZUIWA KUTOKA NYUMBANI
1:48
Harris, Oprah Winfrey host a virtual campaign event in Detroit
2:05:10
Washington Post
Рет қаралды 124 М.
OYUNCAK MİKROFON İLE TRAFİK LAMBASINI DEĞİŞTİRDİ 😱
00:17
Melih Taşçı
Рет қаралды 11 МЛН