Putin anasubili wanze ili asije akaonekana yeye nimbaya wakione Cha moto
@jumanneselemani21726 ай бұрын
WAAFRICA TUJIPANGE TUACHE KUWATEGEMEA WAZUNGU HUU NI WAKATI WETU WA KU,ALISHA CHAKULA CHA KUROAHA.
@ShabaniNuru-o1y6 ай бұрын
Sahihi ulaya kutachafuka soon
@ga2revocatus916 ай бұрын
Ruto na samia wakikusikia mmmmmmhhh
@golebenson45976 ай бұрын
@@ga2revocatus91😂😂😂 biggest point
@SelemaniIssah-p2gАй бұрын
@@ShabaniNuru-o1y tujipange pia kutengeneza vidonge vya ukimwi
@SumuuKijoka6 ай бұрын
jamani hawa machoko hata waungane vipi mrusi ni shauri kubwa watauwawa sana hao nato
@USAIDforRichardMooresAgency6 ай бұрын
Stop Fighting Help Homeless people ✌️
@RamaTraceur6 ай бұрын
Angalizo ‼️ Hatutaki wakimbizi Africa. Mkae huko huko na Ma nyuklia yenu..watu tushaanza kutoka kimaisha.nyie mna mchokonoa putin. Ngoja sasa awashe moto.🤔🤔
@jonfredkewe34516 ай бұрын
Umenivunja mbavu
@HASHIMUMKUNDA-pz1wd6 ай бұрын
😂😂😂
@zebedayokatamaduni96766 ай бұрын
Acha Putin awashe na wao wawashe😂 tuone.
@Princemahamba-m3p6 ай бұрын
Marekani hapoi
@User-mo9ox6 ай бұрын
Na Urusi ishambulie ulaya
@liberatusjackson50456 ай бұрын
Ajidanganye😂😂😂😂😂
@kassimkhalid11856 ай бұрын
@@liberatusjackson5045Ulaya pamoja na Mungu wa Marekani watapigwa na Mrusi...Mimi naishi Marekani kwa hivyo huwa nafatilia habari za wanajeshi walio staafu wakisema kwa hivi sasa Mrusi ndio mbabe wa dunia...Media vikupa kama CNN,NBC,BBC, huwa hawatangazi ukweli kwa sababu wanakontroliwa na Serekali
@sbboymkaliofficial91086 ай бұрын
@@liberatusjackson5045 ivi unajua ulaya nzima na NATO ata ziungane hazifikii nyuklia za urusi ulaya yote ufarasa ujerumani UK USA pamoja na nchi zote zina miliki nyuklia 5,000 Kwa jumla na urusi pekee Bila kumuingiza china au Korea anamiliki nyukli 6500 Kwao lazima wajipange pia urusi moja nikubwa kieneo kuliko inchi yoyote Dunia maana ndani ya urusi kuna see Ni usiku uku seem nyingine Ni mchana kwaiyo urusi Ni nchi kubwa sana ndugu yangu ndo maana wao Wanaumiza kichwa jinsi ya kuishambulia urusi wasije wakakurupuka Wakachakazwa urusi sio siria au Irani au Iraq urusi sio muarabu Ni Mzungu mwenzao Kwao lazima waende Kwa tahazali sio wajipeleketu 😂
@ClementLeonard-h9m6 ай бұрын
Ndiyo
@MarokeMaroke-e3n5 ай бұрын
Hamna busara yoyote kati yahizo nchi ulizo taja mtangazaji hao ni vichaa tatizo hamja liweka wazi ulaya inategemea afrika kwahiyo afrika inaenda kujitambua kwamafunzo kutoka urusi hapo ndipo chuki imeanza namchochezi mkubwa ni mfaransa nahuyu ndio chungu nakino chamauwaji nababa la materorist.
@MichaelMathew-j3f6 ай бұрын
Pigeni tu ili mziki uwe mtamu. Sisi kazi yetu ni macho tu.
@daudimaniseli7596 ай бұрын
brother....NGANO na MAFUTA vilipotea,,huwez kusema YETU macho nakwambia huto ENDA hata CHOONI...mafuta, VIPULI, usafir,SIMU /network vyote hivyo huto PATA...ulikatika mkongo wataifa massaa 3 TU tulitafutana sasa wakilipua KABISA huo mkongo SINDIO WATU WATA Baki hoi.
@MichaelMathew-j3f6 ай бұрын
@@daudimaniseli759 wapige tu ahhh kwani nini sanasana? Waache wapige tu
@kwisa48996 ай бұрын
NATO wanahaha,vijana wa kujitolea kutoka usa wamekimbia
@mohdrajab58186 ай бұрын
Wana malengo yao kupekeka majeshi ucraine lakini watambue kama Urusi atawaonyesha,,,,
@ObadiahMsyani6 ай бұрын
Mchambuzi bado saan hajawa waz kabsa
@HusseinSaguti-sj9nh6 ай бұрын
Mazungu ovyo sn Yameungana kwakumuogopa urusi 1 tu Aambiwa umoja wakujihami Woga umewajaa yanachojua ni wiz tu
@DaudFataki6 ай бұрын
Ufaransa wanamchukia mrusi kwasababu ufaransa uchumiwake upo africa kwaiyo anajua putin kalitibua
@donaldmwahalende48416 ай бұрын
Kweli
@Chettymlambalipsi-lb9km6 ай бұрын
Hawa watu nishawachoka kwanini wasianzishe vita kamili kama wanaiwaza urusi
@komuhsengo97966 ай бұрын
Na urusi iruhusiwe kuipiga ulaya nukes na jarobuni muone😂
@Omarimakuka6 ай бұрын
Wamefeli
@OmaryMwigula6 ай бұрын
Zina maeneo madogo na idadi kubwa ya watu 😮 ukipiga unauwa wengi
@kwisa48996 ай бұрын
Macron akili ndio maana alipigwa na mayai
@RamadhaniBendera-j1s6 ай бұрын
tena alipigwa hadi makofi
@ramadhanhassan52856 ай бұрын
Huyu ufaransa ni mke wa marekani na nimiongoni mwa wachochezi kwenye huu mzozo
@donaldmgunda49706 ай бұрын
Usisahau ujeremanii na wengine wengiii
@sultanmohammed86346 ай бұрын
Ulaya hawezi nakama watazimishwa Ulaya maneno tuu wa najuwa kuwa mrusi sio michezo Ulaya ifutwa kt map ramani
@adiaygo85462 ай бұрын
Kenya tayari wanapelekwa ujerumani wakawe msitari wa mbele vitavya tatu vya dunia vikianza😅😅
@EmanuelIdd6 ай бұрын
Mungu wa mbinguni atangulie kwenye hilo
@RespinaRuben-qi6te3 ай бұрын
Rais wa ufarasa ana asira na urusi maana putin ameisadia sana nchi ya buknafaso, kwahiyo razima awe na asira ila kwa urus mmmh
@ArsihubKimonje2 ай бұрын
Ukraine inalazimishwa kupigana wazungu
@Rune-m6i4 ай бұрын
Ukimaluza ukweni under kongo
@didaslunkoto6 ай бұрын
Ulaya isipoishambulia urus, China itaivamia Taiwan, Iran itaishambulia Israel na Korea kaskz itaishambulia Korea kusin. Hivyo ulaya ifanyea haraka kuishambulia urus ili na wengne waogope
@simonmwashambela32336 ай бұрын
Dah kweli hicho kitu akiwezi tokea kwa mzki wa putini awawezi kabsi wameshindwa
@YohanaPetro-xv9tp6 ай бұрын
Ao Wahuni Wamaghalibi Kilasiku Putini Anawakalisha Vikao Viva Putini😂😂😂😂😂😂
@ClementLeonard-h9m6 ай бұрын
Viva
@msukumamnywamaziwa27856 ай бұрын
hapa PUTIN/RUSSIA iwachape na hao NATO
@yaronaWilliam6 ай бұрын
Ulaya mnatpigwa nukes, acheni upuuzi!
@ArsihubKimonje2 ай бұрын
Watanzania hapo ndomuamini kuwa us na NATO ndiowanao vunja amani ya Dunia hii xo nimashetani hawataki amani
@adamchaka-vl7yk6 ай бұрын
Mikwara hiyo,kwani wameshakaa mara ngapi!.Putin piga manyang'au hao.
@ZahorSalum-h9q6 ай бұрын
😂😂😂😂😂azisheni mumalizwee .nass tupate nafasi .yakupungua kuibiwa
@ClementLeonard-h9m6 ай бұрын
Wachawi wote waungane Russian tupo tayali kupigana na yeyote na WA Africa msiokuwa upande wa Russian ni watumwa na bado mnatawaliwa huraaaaa team Russian
@RajabuLuhendama6 ай бұрын
Yani urusi ikubali wakati nyie ndo mmefeli kweli akili hamna yani msipokuwa macho ukraine imeenda. Yani nyie endeleeni kujikuna. Pesa zenu zinaenda bila usaidizi wowote nyie kaeni chini NATO yenu mmeishiwa mbinu akili hamna
@Felix-e6t4m6 ай бұрын
abari za jioni WD je nitapaje kuwa mshirika wenu natamani sana kuongea na ujerumani
@komuhsengo97966 ай бұрын
2:44 sio maeneo madogo Bali zitapotea kabisa, patriot ndio nini😂
@ShehaHaji-k8t6 ай бұрын
Urusi ypo tyr kimazungumzo ulaya kiburi
@rahmajaffar7946 ай бұрын
Sasa hatari inaanza kuzidi yarabi wape nguvu wanaotetea haki na wasiopenda batili. Mungu wetu tuepushe na kila shari inayotokana na waovu na wadhoofishe kwa nguvu kubwa wanaokusudia kufanya fujo ndani ya dunia hii.
@matukutajuma1566 ай бұрын
WAZUNGU WANAMALIZANA SOON
@HappyatHome-bn8wm6 ай бұрын
ulaya wanategema afrika kukua kiuchumi. kinachofanyika hapa, ni hasira zao dhizi ya urusi pale nchi nyingi za afrika ambazo zimekuwa zikinyonywa na magharibi kugeukia urusi. hasa afrika magharibi ni makoloni ya ufaransa, na ndo yamekuwa akikuza uchumi wa ufaransa. kwasasa ufaransa ipo hatihati kufirisika. sasa wanataka kumpiga mrusi kutuma ujumbe. kitu ambacho mrusi hatokubari. uchumi wa dunia utakufa. hapa itabaki uchina kama taifa kubwa na afrika itaanza kukua kwa kasi. hapa natabiri
@andrewpeter74926 ай бұрын
Na ufaransa wapo vizuri kijeshi
@miruhongin6 ай бұрын
Kwa nini watume Ukraine siwa pige wenyewe
@zebedayokatamaduni96766 ай бұрын
Kama Putini anajua mamluki wa Ufaransa wako Ukrein aishambulie Ufaransa sasa😂😂😂😂,
@Rune-m6i4 ай бұрын
Kawasiidiye kongo
@StephanoMoses6 ай бұрын
Wacha wamchokonoe putin . Aki switch button ON kwa ile broofcas ya nuclear control ulaya nzima watazima majivu maana ni mara 💯 ya Hiroshima na Nagasaki
@hamzafishten95606 ай бұрын
Wamangaribi ni mashetani wanapenda vita
@RichardLufyega6 ай бұрын
Kama urusi haitakubari kufanya mazungumuzo itakuaje
@EmmanuelGwisu-dy4ck6 ай бұрын
Macron unapeleka wapi nchi Yako?
@miruhongin6 ай бұрын
France iko naongea myaka bili sasa washa sahidia kilakitu wali tumaba wa pigana Ukraine wali ishia wapi
@aidandamian25666 ай бұрын
Macron ana hasira makolon yake meng urus ameyaingilia
@cholophone42216 ай бұрын
Putin anasubiri wajichanganye tu awashe moto ulaya
@AziCure6 ай бұрын
Ulaya ipigwe,, URAAAAAAAA to Russia
@kafwimbimilambo85566 ай бұрын
Ulaya atakiona
@josepheriah59776 ай бұрын
Mwisho wa urusi umefka sas
@meckmussa18406 ай бұрын
Ata Mimi naona, watamchapa tu.
@jacksonmwakatika23726 ай бұрын
Vita ikapiganwe USA sio nje ya USA tuone ujasiri wa nchi hiyo kujilinda na kuwalinda raia wake.
Tutawapa kibarua cha kupalilia kahawa wauni tyu Hawa VIONGOZI waafrika wafanye utopolo
@qassimislam52916 ай бұрын
URUSI pekee anawasumbua Hivi CHINA atakuwa wapi kweli nimesahau KOREA nawale jamaa waliopata msiba wanyekauli mbiu ukitupiga tunapiga hapohapo wa IRAN mmmh 😂😂😂
@absm80846 ай бұрын
Mmetuchosha bwana
@SalumMusafiri6 ай бұрын
Russia itawakosowa hao wa magharibi kwa vile watajutiya
@HusseinNkuna6 ай бұрын
ila putin ni kiboko yani nchi za ulaya na amerika zote zinashindana na mtu mmoja tu😀😂😂
@emanuelmaraki97586 ай бұрын
Putin ana lolote nyie mnaeshabikia urusi ngoja muone chamtemakuni
@meckmussa18406 ай бұрын
Urusi atapata kipigo kikubwa sana
@CharafimalisalimoAli-qw3hk6 ай бұрын
SASA MNAOGOPANINI ??? INGIENI MUONE KIDUDE ANACHOTEMBEA NA PUTIN. MANA HAWAJAONA KAZIAKE. MMEZOWEA KUWAUWA WAARABU NA WAAFRICA. PUMBAVUZENU INGIENI MAZIMA NATOOO😂😂😂😂
@AwezaeKishaba6 ай бұрын
Duuh urusi anasumbua myamba vichwani mwao
@MaugadoMaugado6 ай бұрын
vita ya 3 as coming
@miruhongin6 ай бұрын
Mtatu mtoto na nyinyi wa kubwa mupo
@HajiMwanz-to3vg6 ай бұрын
Viva putin viva afirika
@AllyMtawa-n3h6 ай бұрын
Tumewachoka wajinga nyie, kila siku makelele tu silaha hamtoi na mrusi hamumuwezi mnakazi ya kutumalizia bando tu. God Bless Russia....
Ndio, unacho kisema ni kweli NATO wananguvu, ila sio kwa MRUSI. Ujuwe Kama wameharibikiwa sana uko Ukraine, ivyo wana hasira sana ,na kama wangekuwa na uwezo wangekuwa wamekwisha ishambulia Urusi. Kumbuka ilivyo kuwa Iraq na sehemu zingine.
@meckmussa18406 ай бұрын
Atachapwa huyu putin
@JohnValle-xn1dx6 ай бұрын
Putin ameshafeli anabidi akubali kishindwa , akilazimisha ataangamia mwenyewe maana hata wa Rusi wamesamchoka pia
@hamisisalum61166 ай бұрын
Duh, we jamaa vipi? umetoka usingizini au?
@meckmussa18406 ай бұрын
Ngoja afundishwe adabu
@raymondmushi90196 ай бұрын
Hongera sana ufaransa kwa kufanya maamuzi ya kupeleka wanajeshi huko ukreini.na wengine wa nato wafanye hivyo.huyu puting anataka kuiabisha nato.hiyo haikubaliki.lazima apigwe.