MKUTANO WA BRICS SIRI YAKE NI HII, FAIDA YAKE KWA NCHI ZA AFRIKA, VIPI TANZANIA?

  Рет қаралды 48,136

Crown Media

Crown Media

Күн бұрын

Пікірлер: 204
@yusuphmtipa1478
@yusuphmtipa1478 15 күн бұрын
Ameongea kiswaili safi kabisa kwasisi waswaili tunao msikiliza nimefurai kumsikiliza safi sana ivyo ndo tunaitaji croun juuu 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇷🇺
@ibrahimally7637
@ibrahimally7637 25 күн бұрын
Wanao mpenda Vladimir putin naomba like zenu hapa uraaaaaaa
@yeyemkulu8743
@yeyemkulu8743 Ай бұрын
Africa tukiungana na kua na sauti moja , tutamlazimisha mbwamwitu ale mbogamboga ❤❤🎉🎉
@MsangoDiesel
@MsangoDiesel Ай бұрын
Tulishindwa kumuunga mkono Gaddaf nchi za Africa sisi Ni wanafiki na warabu
@athumanikadaika5817
@athumanikadaika5817 Ай бұрын
Sio mbwa mwitu simba kabisa atakula nyasi. Ila kwa sharti la kutokumuogopa simba atakama ndo mfalme wa nyika natuache unafiki.
@kwisa4899
@kwisa4899 Ай бұрын
Urisikia wapi maskini wakaungana?
@hamzafishten9560
@hamzafishten9560 Ай бұрын
Kaka haitowezeka viongozi wengi niwanafiki wajipenda wenyewe na faida zao tu
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 Ай бұрын
Hilo lilikuwa linawezekena zaidi kipindi cha nyuma kuliko hivi sasa. Sasa hivi viongozi wote wa Africa ni mapuppets wa magharibi na pia ni waoga sana
@faidamuhamed3011
@faidamuhamed3011 Ай бұрын
Crown naiona mbali aiseeeee maana sikuiz nilisha aacha kusikiriza bbc tangu zuhura na kikeke wakimbie
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 Ай бұрын
Halafu uzuri crown iko kihabari zaidi Tena habari nzito siyo kuchamban chambana Kama nyingine
@athumanikadaika5817
@athumanikadaika5817 Ай бұрын
Ndo tofauti ya taaluma na mipasho. Huyo Salim kikeke ni mwanataaluma wa hiyo fani na ni mkongwe na CV yake kubwa kimataifa kama mzee Charles Hillary vile...
@zuberympulo6564
@zuberympulo6564 Ай бұрын
Leo huyu mchambuzi kachambua vyema kuliko apo Awali maana apo Awali aliegamia sana upande wa Kimagharibi ila kwa sasa baada ya kusemwa kajilekebisha very nice 🎉
@victorsanga2229
@victorsanga2229 24 күн бұрын
Islamists
@MichaelJohn-lb6uu
@MichaelJohn-lb6uu Ай бұрын
Vijana tusiolewa chochote mnatufundisha vingi kupitia kasri la kekeke hongereni sana crown
@kahemachowdry7346
@kahemachowdry7346 Ай бұрын
Hongera sana Kikeke kwa kuraribisha Mchambuzi wa kutuelimisha
@ramadhanmazije3882
@ramadhanmazije3882 Ай бұрын
Heeeh.Mbona kama Naskiliza BBC❤
@DeodatusRenatus
@DeodatusRenatus Ай бұрын
Tofautisha propaganda na reality, anachoongea apo mzee ndivyo ilivyo , tatizo waafrica tunapenda kuficha ukweli kwasababu y ushabiki na elim ndogo
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 Ай бұрын
Hakika umoja ni muhim kupigwa Gadafi😢😢😢😢😢 Africa tulichemka kuacha akapigwa asante mzee
@obyigogo9920
@obyigogo9920 Ай бұрын
Brazil.Rashia.India.China.Southafrica.
@SilasPole
@SilasPole 20 күн бұрын
Asante kikeke wa kuludishia BBC. Tanzania
@anuarymyekakimolo4785
@anuarymyekakimolo4785 Ай бұрын
Very nice Mzee nimekukubali dakika chache but you made sense
@hamiszubeir242
@hamiszubeir242 Ай бұрын
Jamani mi Nina shida ya kujua jina la huyu mzee mchambuzi mwenye mvi maan anamadin konk aise😮
@gharibalhusni2716
@gharibalhusni2716 Ай бұрын
Abdulkarim Atik ndio jina lake mtaalam wa siasa za kimataifa 😅
@hanspop6961
@hanspop6961 Ай бұрын
😂😂🎉
@mack_vita_onyango8409
@mack_vita_onyango8409 27 күн бұрын
Asante Salim
@ImlashaZawadi
@ImlashaZawadi 23 күн бұрын
Brics ni umoja wetu pamoja na afrika wote tuungane na Tanzania wenda tukajiondoa kwa manyang'au na tukawepo katika sehem ya ulinzi bila kutegemea mabebelu."
@danielmacharia9603
@danielmacharia9603 28 күн бұрын
Mnachambua vizuri sana nawapata nikiwa Kenya Nairobi 🇰🇪
@believeboy2150
@believeboy2150 29 күн бұрын
Inaibiwa Africa aibiwi libya 😢😢😢point moja
@suleim505
@suleim505 29 күн бұрын
BRICS: HESHIMA ITAWALE KWA KILA MTU👍
@adorchmassimba4413
@adorchmassimba4413 27 күн бұрын
Hii ni mbaya sana inaigawanya Dunia itakua kama vita ya kwanza ya Dunia na ya pili ndiko tunakokwenda kiukweli Hakuna mwadamu au Taifa lolote litakalo weza kuleta usawa na Amani kwa wanadamu hapa Duniani wataigiza tu mwisho wa siku ni uwadui na vita tu na umwagaji wa damu za watu wasio na hatia mwenyezi Mungu tu aingilie kati hili swala na mgawanyiko wa mataifa ktk jina la Yesu Amin
@anny19988
@anny19988 26 күн бұрын
Kwahiyo watu waendelee kukubali unyonyaji wa Marekani? Kama vipi aue wote sio kulazimisha kusujudiwa..
@fidelismasaka2735
@fidelismasaka2735 29 күн бұрын
Ila putin ni mwanaume ....akuna anaemuweza ....watu mashuhuli wanaitwa na vita vinapigwa kama kàwa
@SimonShoo-m4b
@SimonShoo-m4b 28 күн бұрын
Acha ushabiki sio simba na yanga iyo
@dennislihepa2247
@dennislihepa2247 21 күн бұрын
Crown ni bombaaaaa
@muhitira
@muhitira 18 күн бұрын
Bricks poa Sana chombo kilicho subiriwa kwa ham,Mimi Ninauza vyuma vya scrape,je Nende Uckein ao izrael ?IRAN Nayo lnawa kaanga kwelikweli Douuuui😂❤❤❤
@yaronaWilliam
@yaronaWilliam 28 күн бұрын
Wataazisha mfumo wao, BRICS lengo lake ni kuondoa hegamony ya Marekani, hivyo usibeze Bricks, Teknoligia inakuwa, wanaweza kuwa na swifst ya kwao.
@MahmoodAhmed-yt9me
@MahmoodAhmed-yt9me Ай бұрын
Kipindi bora zaidi lakini ubora huu umepatikana kwa kuwanawatu bora wenye fikra bora hongereni sana kwakuwahabarisha wananchi na kwa kutoa elimu
@yusufumwasha548
@yusufumwasha548 28 күн бұрын
Safi🔥🔥🔥🔥🔥
@SalumMajorhood
@SalumMajorhood Ай бұрын
Kwl kbs baba angu unaongea kwl ❤❤❤ wape wajielewe hao
@thebabilon7
@thebabilon7 Ай бұрын
Nimefurahia sana kukifatilia kipindi hichi kizuri sana time tunaelewa ulimwengu unaendaje asante sana baba kikeke tunakupenda sana 🎉🎉🎉🎉
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk Ай бұрын
Mungu ndio kila kitu marekani huwezi kushinda vita ya kuzuia Brics isisonge mbele watakwama tu
@bogoheidaso2628
@bogoheidaso2628 Ай бұрын
Urus ni habari nyingine kidunia
@williamuphilipo2120
@williamuphilipo2120 28 күн бұрын
Nzuri sana
@GodenBMDaniel
@GodenBMDaniel Ай бұрын
Ulimwengu wa mashetani G7 umeanguka, BRICS ulimwengu mpya, wahaki, Amani, ushirikiano, upendo.... , Wafrika fursa hii.
@richardyusuphmsongolomakat2049
@richardyusuphmsongolomakat2049 29 күн бұрын
Mythology
@joycedimoso8648
@joycedimoso8648 29 күн бұрын
Samahan kaka yangu sio kwaubaya naomba nikueleze kitu pengne hujui au unajua Urusi ni mbwa mwitu aliyejivalisha ngozi ya kondoo kwa nje unaweza sema mwema sana lakin ukirudi kwenye unabii wa biblia kitabu Cha torat Cha Ezekiel 38 mrusi sio mtu mzuri biblia imemuita gogu ambaye ataunda umoja wa kijeshi na mataifa yaliyotajwa kwenye unabii huo ilikumpiga mwizrael namataifa hayo ni Iran kipindi Cha biblia iliitwa Uajemi Putu ambayo sasa Inaitwa Libya Dedan ambayo kwasasa ni Saudi Arabia Lebanoni bado Lebanoni mpaka Leo kushi kwasasa Inaitwa Ethiopia Torgama Uturuki na Sheba kwasasa Yemen na Gomeri kwasasa Syria na Mesheki na Torgama yote hii ni miji iliyopo ndan ya Uturuki na Sinimu ambayo ni china yaleo ila unabii huu wa china upo kwenye isaya nitakutumia Aya yake ukasome pia ukipata muda malizia 39 Ezekiel uone majeshi hayo yatakavyofanywa na Mungu na Israel atayashinda unabii unatimia tunaona zile nchi zimeshaanza kuunganisha majeshi Yao kama unabii unavyosema nazile nchi ambazo bado hazijajiunga nazenyewe zitajiunga ilikutimiza unabii huo kifupi brics ni umoja wa shetan ktk siku za mwisho kama hujui neno lamungu utajikuta upo upande washetan bila kujua mpango wa Mungu ktk hizi siku zamwisho tuwe makin sana na tuomben mwisho mwema sote.
@joycedimoso8648
@joycedimoso8648 29 күн бұрын
Kipindi biblia inaandika unabii huo nchi hizo zilikuwa zinaitwa majina hayo lakin zimebadilishwa majina ya nchi na majina ya baadhi ya miji ndan ya nchi hizo
@joycedimoso8648
@joycedimoso8648 29 күн бұрын
Bila kusahau Edomu kwasasa Jordani na Misri na Iraki
@ChristianChuwa-cy1du
@ChristianChuwa-cy1du 29 күн бұрын
Sahivi ni multpower
@hansiempire5093
@hansiempire5093 Ай бұрын
Aisee hii ni Kali Sana..kikeke u a so amaizing
@3kingsmusictv873
@3kingsmusictv873 29 күн бұрын
Mzee anaelezea vzr
@ImlashaZawadi
@ImlashaZawadi 23 күн бұрын
Ila huu muungano wa makundi makundi utatufaa ila kivita ni mbinu za kusaidia hapa tupo kupeana kimisaada.
@fauzkhamis757
@fauzkhamis757 Ай бұрын
ZANZIBAR IT 8S THE TIME TO CHANGE THE POLITICAL SITUATION... WE JOIN THE BRICS.
@DaudiMazengoMasterDTEM
@DaudiMazengoMasterDTEM Ай бұрын
Hapa ni home kweli. Kikeke hebu watrain na waandishi/watangazaji wa media zingine ili nao wawe wanashuka mavitu. Kikubwa vijana wasome na kufuatilia habari.
@hassanbilali1697
@hassanbilali1697 28 күн бұрын
Mzee mambo yamebadilika sana Leo hii sio wakati tena wa umwinyi na utwana. Bila kupuuza mawazo yako kumbuka technology inakua na nchi za BRICS sio wanyonge . Vikwazo ndiyo njia ya ukombozi kwa mataifa yaliyotengwa huku wakijivunia umoja wao Watafika mbali sana
@mwasoprince3459
@mwasoprince3459 23 күн бұрын
Ila mtafute sound truck nzuri bhana
@AlexKabona
@AlexKabona 29 күн бұрын
Naombo hicho kipindi kiwe kila siku mana kinavutiya hasahasa sis wakazi chasasa tena mkiongezee mda🎉🎉🎉🎉🎉
@Galilayatz
@Galilayatz Ай бұрын
Wacha Mungu ote ni saa ya kukesha tukiomba na kusoma sana neno maana hiyo ndiyo mipango ya mwisho ya Mpinga kristo kwenda kuanzisha rasmi balaa lake
@FranckDaniel-cc5rg
@FranckDaniel-cc5rg Ай бұрын
Putin akili kubwa,alafu ww kikeke nna wasiwasi na ww maana umetoka bbc vibaraka wa magharibi,jitahid ufanye kaz kwa ufanisi usijekutuletea propaganda kama ulizokua unafanya bbc
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj Ай бұрын
Akili huna hata 1 kabisa we jamaa.
@IshipalemyPasko
@IshipalemyPasko Ай бұрын
​@@GeorgeAkasha-zx2rjwe ndo hujui kitu
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj Ай бұрын
@@IshipalemyPasko Aisee una simu ila unakuwa mbishi, daah sawa mkuu
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 Ай бұрын
Unataka atoe habari za kukufurahisha ww et eh watu wengine bhana😂😂
@clyvanboss
@clyvanboss Ай бұрын
​@@GeorgeAkasha-zx2rjanachosema kipo sahihi asilete propaganda
@eliamkamba6899
@eliamkamba6899 18 күн бұрын
Africa tuungane jamanii. Tutakuwa na nguvu ya kucontrol uchumi wetu wenyewe
@kingdully2367
@kingdully2367 Ай бұрын
amefundisha history ya A level anima kwa dakika tano..🤣🤣🤣 akili kubwaa Sanaa
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 12 күн бұрын
HONGERENI CHANAL YA CROWN KWA HABARI SUPER KIKEKE NA ZUHURA MMEFANYA NIMEAMA BBC😂❤🎉❤🎉
@HamisiHemedi-u8k
@HamisiHemedi-u8k 28 күн бұрын
Nyang'ao Marekani kwisha habari yake itakua vizuri Dunia itakua mahali salama
@mwasoprince3459
@mwasoprince3459 23 күн бұрын
Maiki zenu zinakoroma mseti vizuri
@donaldmgunda4970
@donaldmgunda4970 Ай бұрын
Dollars,ipo kwenye heka heka😂😂😂
@barakasimon2075
@barakasimon2075 14 күн бұрын
Ktokuchagua upande huo ni unafiki tanzania inatakiwa achague upande wa urusi
@mirajiramadhani8128
@mirajiramadhani8128 27 күн бұрын
Mr Boxer from zanzibar crown juuuu
@ProsperajemFelix
@ProsperajemFelix Ай бұрын
crown 👑
@jacksonmsendo3478
@jacksonmsendo3478 28 күн бұрын
Mzee ana madini ya kufa mtu🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@inezaabbas7586
@inezaabbas7586 28 күн бұрын
Nafuatilia nikiwa Burundi 🇧🇮 yani crown zaidi ya BBC tunawaelewa sana
@elvisnzovu8282
@elvisnzovu8282 Ай бұрын
Mzee!, anaelezea vizuri sana kwa kweli. Kikeke ndie anamharakisha
@PamelaGodfrey-q9b
@PamelaGodfrey-q9b 15 күн бұрын
Tanzania atufungamani na upande wowote
@vaskosamweli3556
@vaskosamweli3556 27 күн бұрын
Kma Brics imesha pitishwa bas Pi, naiona mbali maaana ina nchi zaid ya 230
@PaulSando
@PaulSando 29 күн бұрын
Dop interview. So gooood
@jabiraxmed7898
@jabiraxmed7898 Ай бұрын
Urussi uchumi wake umekuwa sana na huyo mzee wenu urussi yupo na kila kitu mawasiliano kila kitu Urussi yupo na satellite zao zinaitwa glonas na urusi tayari yupo na mfumo wake wakusafirishia pesa china yupo na mfumo wake
@oscarkallinga8343
@oscarkallinga8343 29 күн бұрын
Uposahihi mzee but kwasasa wanatumia mfumo wa swift wa china.na mpaka sasa nchi 150 zinautumia huo mfumo.
@dannypeter4951
@dannypeter4951 29 күн бұрын
Kikeke ni kama vile yuko bbc❤
@mtaasisi
@mtaasisi Ай бұрын
Mzee hajasoma nae Akiba kubwa ya mafuta Duniani Urusi ni moja wapo ila sio ya kwanza🤣🤣🤣
@johnbalu7004
@johnbalu7004 27 күн бұрын
Duuu hii ni BBC au noma san mchambuz kaelezea vizur san
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 Ай бұрын
Crown Media ina habari nzuri kuliko vyombo vingine vyenye wandishi habari feki tena waliojaa umbea na story za hovyo.
@JewsJews-c8w
@JewsJews-c8w 26 күн бұрын
Sera yetu huwezi kua panya Tunajidanganya
@jabiraxmed7898
@jabiraxmed7898 Ай бұрын
Nyie vyombo vya habari vya tanzania muko ovyo kweli hamufanyi research kwanza Argentina hawajajitoa kwenye bricks halafu nchi zote ambazo zilingizwa kutoka south afrika tayari ni wanachama .
@dennislihepa2247
@dennislihepa2247 21 күн бұрын
Hao hawana mpango wa kuzinufaisha afrika wanazuga tu
@afropanorama4730
@afropanorama4730 Ай бұрын
Apo kuna vita nyengine ya kiuchumi ipo njiani,Mungu atunusuru
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 28 күн бұрын
Vhta ya magu imekwisha😅😅😅
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 10 күн бұрын
USA wamechananyikiwa na kama unavyosema kweli vita inakuja mambo magumu
@ABDULCOSTA
@ABDULCOSTA Ай бұрын
Huyu Bingwa ANAJUA NA ANAJUA! Kikeke usije kumuacha huyo mzee! Usjaribu kuwa mbali nae kabisa! Kabisa!
@astolbenson
@astolbenson Ай бұрын
MZEE upo Vizuri
@chabrumachabruma
@chabrumachabruma 29 күн бұрын
Sio anataka kuonesha,ni uhalisia vikwazo vmegonga mwamba.acha kutafsiri propaganda za ulaya
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 Ай бұрын
Urusi kaupiga kwingi
@ahmedronga7583
@ahmedronga7583 Ай бұрын
Kipindi kikubwa kabisa, king keke mwana mfalme imani na temidayo mauwa yenu 🎉
@jabiraxmed7898
@jabiraxmed7898 Ай бұрын
Nyie tanzania tumiweni tu watu wa ulaya uganda tayari wameshakua wanasubiria na huo mfumo huhitaji dolla kufanya biashara na nchi za brick nyie tz mpaka mupate dolla hii brick ni muhimu sana kiuchumi na maendeleo ya nchi
@dennislihepa2247
@dennislihepa2247 21 күн бұрын
Kutakuwa na kaunyonyaji kingine kutoka urusi na china kwa nchi ndogo
@mrkrab42069
@mrkrab42069 Ай бұрын
USA na washirika wake wa magharibi ndio walianzisha NATO baada ya Second World War..Urusi na washirika wake waliunda Warsaw kujibu mapigo sio kinyume chake. 10:51
@Kantec-k7h
@Kantec-k7h 29 күн бұрын
Sisi Bongo tunasubilia mpango u tick then ndio tujue tupo upande gani, kwa sasa hatupingani na pande yoyote
@FredWabwire-w3q
@FredWabwire-w3q Ай бұрын
Hiyote nikunganganiya mamalakayaduniya, ahkuna mwaminifuhapo.
@MohamadHamza-hb2qv
@MohamadHamza-hb2qv Ай бұрын
Kipindi kifupi tunapenda hizi chambuzi ziwe ndefu,cc hatupendi miziki wala udaku.
@afyaacademy-t7n
@afyaacademy-t7n 29 күн бұрын
Marekani ni Shida
@lampadshigonko3006
@lampadshigonko3006 Ай бұрын
Nyie wote ni vibaraka vya ma gharibi... Dollar 💵 inaenda kuanguka soon
@KingMalugu
@KingMalugu Ай бұрын
Kwann watu wengine awauliz maswali ni kikeke tu
@IssaQuimeza
@IssaQuimeza Ай бұрын
Miziki mingi hatusikii
@mwinyiothman5106
@mwinyiothman5106 Ай бұрын
Mnawezaje kuikwepa Russia 🇷🇺 nyinyi
@zawadimpayo3839
@zawadimpayo3839 29 күн бұрын
Ongezeni mda wakipindi
@djsma255
@djsma255 29 күн бұрын
Nampinga mchanbuzi,
@Mahene-w1l
@Mahene-w1l 29 күн бұрын
Naomb Dj Sma Kwenye GPS Ujue Utueleweshe why umempinga Maan Mimi Kwa harakaharaka naon yupo sawa
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 28 күн бұрын
🥺💔
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 Ай бұрын
Dunia ilikuwa kimyaaaaa! hasa upande wa magharibi na baba yao mkubwa dunia inakwenda mbali zaidi kiuchumi kiushawishi n.k
@JewsJews-c8w
@JewsJews-c8w 26 күн бұрын
Sisi Tanzania tuko upande upi
@AbbMotors-pc4rx
@AbbMotors-pc4rx Ай бұрын
Hizi ndio habari tunazipenda sio makele tu mara huyu kamrudi huyu mara huyu kafumaniwa wanatuvuruga tu haya ndio tunayahitaji
@williammbuzimai5744
@williammbuzimai5744 Ай бұрын
Hapo dogo zere kachukia baraa😮😮😮
@simonishija8087
@simonishija8087 Ай бұрын
we mzee gsm ya wapi 😂? aseme GPS
@hassanlikwenangu8471
@hassanlikwenangu8471 Ай бұрын
Algebra wakacheze Mpira tu
@mohdmohd8428
@mohdmohd8428 19 күн бұрын
Kikeke mbona umeilia denge bbc
@faidamuhamed3011
@faidamuhamed3011 Ай бұрын
Sasa fanya kitu mvute xuhura hapo uoone crown itakavokua habr nyinginr
@MhinaKulewa
@MhinaKulewa Ай бұрын
Zuhura ni muajiriwa wa serikali Kwa sasa
@PamelaGodfrey-q9b
@PamelaGodfrey-q9b 15 күн бұрын
Hakuna salama uko baada ya muda mtaelewa mimi nitakuwa sipo
@harithimahmoud1577
@harithimahmoud1577 29 күн бұрын
HILI PARAPANDA LISHALIYA' AMERCA BYBY : AMERCA NI SUPER POWER DUNIANI LAKINI MWAKA HUU ATAKUWA SAWA NA SIMBA WAKUKUCHORA
@HassanDodi-j6o
@HassanDodi-j6o Ай бұрын
viongozi wa afrka kaeninchini fungeni mabano imefkamwisho tujtabue Mali tunazo
@davyadamsontz
@davyadamsontz Ай бұрын
Mbn katika zile bendera sijaiona ya South Africa?
@nellymans-f1v
@nellymans-f1v Ай бұрын
Tazama vizry
@NeemaJulius-r6u
@NeemaJulius-r6u Ай бұрын
Hii sasa ndiyo BBC ambayo sio ya mchongo hapa hawajapika habari
"STOP LYING TO RUTO,GROUND IMEENDA" GACHAGUA DELIVERS BAD NEWS TO RUTO
7:11
Kenya News Alerts TV
Рет қаралды 6 М.
Новости дня | 24 ноября - дневной выпуск
4:43
Euronews по-русски
Рет қаралды 7 М.
Long Nails 💅🏻 #shorts
00:50
Mr DegrEE
Рет қаралды 14 МЛН
FOREVER BUNNY
00:14
Natan por Aí
Рет қаралды 26 МЛН
MO DEWJI AZUNGUMZIA KUHUSU KUTEKWA KWAKE
28:50
BBC News Swahili
Рет қаралды 1,6 МЛН