THANKS FOR WATCHING PLEASE KINDLY SHARE AND SUBSCRIBE . Follow Brother Nassir On Instagram ...
Пікірлер: 691
@hindusaid26962 жыл бұрын
Masha Allah I loved this song when am I was a Christian but now Alhamdulillah am a happy muslim I love brother nasir songs mashaAllah mungu akupe afya na akupe umri mrefu inshaAllah
@YaziduMwinyi-qo7xk Жыл бұрын
Màashallah ukhty
@NasmaAbuu-x5w10 ай бұрын
Mashallah
@chefdennisjayden11113 жыл бұрын
I am a Christian but I just love the message,, Allah bless you brother Nassir
@suleimanmwatondo45882 жыл бұрын
Welcome to Islam bro.
@mohdalliy656 Жыл бұрын
Mshllah nice Nasheed
@husnathymuya4839 ай бұрын
Mitindo yhnujsfa rasta
@cyrilologe3 жыл бұрын
I'm not a Muslim...but I really enjoy your songs... masterpieces. Keep blessing us
@suleimanmwatondo45882 жыл бұрын
Welcome to Islam
@abdul-azizhaji9602 жыл бұрын
👣🦶
@abdul-azizhaji9602 жыл бұрын
z,,
@abdul-azizhaji9602 жыл бұрын
🍰v 🍰g
@abdul-azizhaji9602 жыл бұрын
g,,. 👣ft
@waleedhamed28643 жыл бұрын
MaashaAllah nimefurahi sana kuisikia hii nasheed nakumbuka zamani sana tukisoma tulipokuwa madrasat, SubhanaAllah nzuri sana nasheed hizi kusikiliza zikiwa hazina music na tutafurahi sana iwapo utaendelea nazo nyingi zinatupa elm. JAZAKAALLAH KHEIR
@ahmedkarama35625 жыл бұрын
MashaAllah nzuri afadhali kuangalia hizi kuliko kuangalia za diamond na za lavalava na za mbosso
@aly4realclassic6535 жыл бұрын
Kwel
@khadijaosmaan18245 жыл бұрын
Kweli walahi 😥😥👍👍
@aminasaid76575 жыл бұрын
👌
@ramahaji93424 жыл бұрын
Sema za bongoflaver nzima acha chuki
@mgenisuleiman564 жыл бұрын
Tena sana
@husny04 Жыл бұрын
This never gets old Mashallah 2024 listeners let's gather here ❤
@halimaali115711 ай бұрын
Inanikumbusha miaka ya 1999,2000 wakati tupo chuoni. Never gets old
@Badooyusuf7 жыл бұрын
mashallah brother Nassir tuna shukuru sana kwa anasheed zako zatupa mafunzo makubwa biidhnillah mungu atakujazi killa LA kheri
@travertineahzim4076 Жыл бұрын
This nasheed will never get old....I found ...am an adult now still listening to it💗💗💗
@MohammedLy20233 жыл бұрын
So sad! Brought back many memories of how beautiful n peaceful our time was! May Allah grant us Husnl khatima
@shambaroismail1367 жыл бұрын
Masha Allah this nasheed reminded me of the days when i was young at our local madrasa for tahfidh with ustadh ibrahim...kila time nkisikiza nalia brother walai nmeipenda yangu yote
@zobidaal44235 жыл бұрын
Masha Allah Allah akuhifadhi na maradhi madogo namakubwa mitihani midogo na mikubwa pia aluongezee kipaji brother Nassir uzidi kututolea nasheed mpya kwani tunapenda sana nasheed zako
@lolooman91705 жыл бұрын
Brother Nasir mimi lulua naomba unitungie Qaswaida ya ilo jina lulua maana limependwa na wengi ilo issim lulu tunga Qaswaida lulua mansoura Hongera yako iyo Nashid zako ninzur rudi nashid kule unaelimisha jamii kweli
@masoudabdalla80707 жыл бұрын
hii nashed ndio iliyonisukuma nikufuatilie brother Nassir Hakika Allah akujaalie kila la gheri na akujaalie nguvu kuendeleza kazi zako
@kerubodelvin65723 жыл бұрын
My daughter sings it daily, her favorite nasheeda, love it maashaallah
@shamnamomar24457 жыл бұрын
this is the best nasheed ever bettter than maher zain BROTHER NASSIR IS THE BEST brother nassir nashheed zako nzuri sana nimezipenda sana kilasiku naziskiliza
@lencerotieno22553 жыл бұрын
Mashalla ,Allah akubariki na sauti uzidi kuimba
@BrotherNassir8 жыл бұрын
ASSALAAM ALAIKUM.. YOUR SUPPORT WILL BE HIGHLY APPRECIATED LIKE SUBSCRIBE AND SHARE TO ALL kzbin.info/www/bejne/j5qco4aqp86teNk
@zainabhassan91577 жыл бұрын
Brother Nassir Waaleikum salaam bro, naweza kupata wapi CD yako? I really love your Nasheed
@zainabhassan91577 жыл бұрын
❤
@نجمهالعلي-د5ض7 жыл бұрын
Brother Nassir maa sha Allah
@kaifush40077 жыл бұрын
i am from india ....i dont understand words but lyrics is nice ...nd voice is melody
@saidbwanaalimwanaharakati75082 жыл бұрын
Mashallah..I remember it in my olden days in my local madrasa..we use to sing this nashid
@jamilaamry93302 жыл бұрын
jamani watu wengine wamejaliwa kuimba Allah atujalie sote inshaAllah
@zainabungoda50606 жыл бұрын
Masha Allah ...viewed in 2018 .18 .May. da second day ov Ramadan month ...Allah akujaalie rehma na Amani Brother Nasser.duniani na kesho akhera...Amin
@faidamwalim47794 жыл бұрын
Masha Allah Mungu akupe kila la kheri dunian na kesho akhera
@MashaAbuu5 ай бұрын
Mashaallah nasheed inanikuumbusha utoto Allah akuhifadhi na atupe mwisho mwema
@zaynaahmady86434 жыл бұрын
Mashaallah brother naasir kaswida zako zina nifundisha sana Allah akujaalie her
@hemedmkubwa19615 жыл бұрын
Brother rudia huku unapendeza sana wallah tunakupinda sana kqa nasheed mziki unapoteza
@rahmamohamed31115 жыл бұрын
A mother to the most beloved one of the almighty Muhammad s.a.w be will be with him in jannah in sha Allah
@aminamahamud93333 жыл бұрын
Shukran Nasheed for taking us back to those old days. MashaAllah
@mawondomawondo9412 Жыл бұрын
MashaAllah. I love this. It reminds me when I was a child. We use to sing it everyday. MashaAllah
@masoudabdalla80707 жыл бұрын
Hii anashed imenisukuma nikufuatilie mno brother Nassir Allah akuzidishie ujasir na akulipe kila la gheri
@abuuhaythamhajji14747 жыл бұрын
sichoki kuisikiza wala kuitazama kiukweli uko vizuri sana kwa utunzi brother nasir ...
@aishaabubakar57496 жыл бұрын
Yh mashaallah
@sharifatuma99456 жыл бұрын
mashaallah Nassir upo juu Allah azid kukuongoza uzid kipaj anapenda sana
@shukranishuu32143 жыл бұрын
Mashaalah .......brother nassir ......never give up may Allah reward u
@suneinadegoldengirl55705 жыл бұрын
Mashaallah brther Nasir u hv a swt voice hrt touching one mungu akuzudishye ❤️🥰
@mskhatoro15822 жыл бұрын
huyu ndo brother nassir yule wa sasa tumebadilishiwa
@zanzibarmusicexperience74917 жыл бұрын
Mungu akuzidishie ndugu yangu zina ni gusa sana
@chefhalimah40853 жыл бұрын
Mimi nalea mimba yangu kwa dhiki sana,hii qasida yanifanya niwe na subira sana.
@ujanjacomedy32783 жыл бұрын
Sai umeharibika brother nassir
@hosnaemam68316 жыл бұрын
Wallah Nasheed zako kalibia zote nazipenda mnoo Allah akubarik
@abdallahsuleiman.90032 жыл бұрын
Masha Allah brother nassir keep up teaching us like that
@husseinsimba79466 жыл бұрын
My best Nasheed artist ever @brothernassir nakukubali Allah atujaze khairaat Inshaallah
@alhajj94793 жыл бұрын
Brother Nassir. We need more nasheeds from you. This was your best. Wacha nasheeds za mahaba. Kwa ehsani yako.
@naimaomar25806 жыл бұрын
Manangu mungu akuhifadhi na uwenayo hiyo dini m. A
@Gaza2023-v5i7 жыл бұрын
I love the nasheed Amina kalea mimba yake bro Nasser keep up
@abdirahmanibrahim84477 жыл бұрын
MashaAllah bro nakupenda kwa ajili ya Allah
@faika55387 жыл бұрын
Mashallah unafanya vizuri sana
@militaryrasta2067 жыл бұрын
Mashallah brother Muslim kaba bolti hivo hivo unaweza.
@Halima-q5k6d Жыл бұрын
Masha Allah alaakupe maishamarefu❤❤❤❤❤
@rahmasudi7497 жыл бұрын
Shukran jazzak Allah kheyr kaswida naipenda sanaa nakumbuka madrassa walhi 30yrs ago
@ETt-r3e5 ай бұрын
MashaAllah nyimbo zako zanikosha
@fatumaathumani99776 жыл бұрын
Mashaallh umenikumbusha mbali sana mashaalllah
@jumannemashaallah.mrimbeni51036 жыл бұрын
Daah! Umenikumbusha mbali sana.Allah akupe kila la kheri.
@devotaemili91704 жыл бұрын
Brother nassir unasauti nzuri Masha Allah
@kalssambaboo97055 жыл бұрын
Nzur sana ina nyoa minywele yako wajifsnanisha nakina mondi
@mwanakomboally01846 жыл бұрын
Nampenda sana brother Nassir
@vkdjdnznzzn95076 жыл бұрын
Mashallaah kk mungu akuongoze vyema
@canabmuktar1027 жыл бұрын
Mashaallah allah has granted you beautiful voice mashaallah mungu akuzidishe
Masha Allah love this qaswida keep it up used to sing it i love it 💖💖💖
@fatumaathumani99776 жыл бұрын
Mashaallhh kipindi hicho nipo madrasa Rahim mashaallh
@ahmedkhaan40724 жыл бұрын
that nisshid tamuu sana brother nassir mashallah
@shufaayahya65548 жыл бұрын
MashaAllah MashaAllah nimependa sana yaani iko vzr sana
@aishayusuf19154 жыл бұрын
MashaAllah mjomba👌👌🔥🔥🔥
@mariamsalim14333 жыл бұрын
Masha Allah
@zanzibarsmzenji7 жыл бұрын
MASHALLAH MUNGU AKUPE KHERI DUNIANI NA AKHERA
@ayattimal7065 жыл бұрын
Mash Allah. Nimipeipenda Sana’ it was the best nasheda
@yasminsalim66037 жыл бұрын
It Never gets old... Bravo bro
@ayshaayush85398 жыл бұрын
MashaAllah Allah akujaze kher niliitafuta mda mrefu hii qaswida
@ramadhanindembo53965 жыл бұрын
Mashaallah unaweza kk
@muuali79836 жыл бұрын
MashaAllah brother nassir...
@mammbwana12856 жыл бұрын
Masha Allah historia ytu ya mtume inapndeza
@starboy-vu8iq8 жыл бұрын
Best nasheed mungu akuhifadhi mashaallah
@BrotherNassir8 жыл бұрын
THANKS FOR THE COMMENT.. PLEASE KINDLY SHARE THE LINK TO ALL - BARAKALLAH
@alatuubbinnassor67097 жыл бұрын
Brother Nassir kuna annashed ya maut nikama umetasr kutoka kwa murshd wakiarab ivi ila najarb kitafuta cjaipata ila kwenye TV inapigwa sana utanisaidiaje