Assalam aleikum kama umerudi hapa 2024 piga like na umswalie Mtume wetu Muhammad Al Mustafa SAW. Allah awazidishie na atujaalie umaah mzima. "Na walo kuja mwishoni kawashangaza Nabia" ❤❤😢😢
@hassanally4871 Жыл бұрын
Waliorudi kuiskiliza tena qaswida nzuri ya kumsifu mtu 2023 gonga like tujuane allahumma swali alayhi wasallam
@jaymwinyi69576 ай бұрын
Yani kila cku waallahi, Hakuna kama Mtume Muhammad S. A. W
@khatimjamal71233 ай бұрын
Mashallah inapumbaza mpaka roho😊
@issambarak8931 Жыл бұрын
Hongereni sana vijana mumeisoma kwa hisia kubwa mno kama vile bwana mtume muhammad s.a.w yupo mbele munamuona safi sana
@safihilalai84863 ай бұрын
Nimeipenda saaana ALLAH awabarik hawo vijana kwa kumsifu mtume wetu MUHAMMAD SWALALAHU ALAIHI WASALAM.
@roseanajohn71388 ай бұрын
Mwenyezi mungu atujalie atukutanishe naye peponi mtume wetu muhammad S.A.W na aali zake na masahaba na familiya yake
@omarmohd-wf3xt9 ай бұрын
Safi sana hii kaswida mungu awazidishie mung awalipe kila laheri 🤲
@mwanatumuathmani1837 Жыл бұрын
MASHAALLAH TABARAKALLAH mola awazidishie na awajalie kila munalo liomba kutoka kwake
@user-td3kt5lx7r Жыл бұрын
Swalla llahu alayhi wassalam.... Rehma na amani zimshukie bwana wetu mtume Muhammad
@ruksali3251 Жыл бұрын
Mashaallah 🥰 muko na sauti nzuri nimeipenda hii qaswida
@hafidhabrishaabrisha84811 ай бұрын
Ohoo yapendeza zaidi kwakweli hapa tumewashinda Indonesia inaburudisha roho twajihisi tuko junnatul fridausi. Mashallah+2Allah awazidishia tupate zaidi kama hizi.,😍😍👍👍👏☺️
@descairodescairo6770 Жыл бұрын
Wanagpi wapo hapa kwa mazazi ya mtu leoo❤️❤️🥺
@hamdansalum94295 жыл бұрын
Kila nikiisikiliza inanikumbusha mbali kwa bakathir m/mungu amsameh mazambi yake amjaalie kaburi lake kua nimiongoni mwa bustani za peponi amin
@osmanaidarus69074 жыл бұрын
Amin
@kassimbakari9903 жыл бұрын
JIna la Mwenyezi Mungu liandikwe kwa ukamilifu wake halina kifupi ni dhambi
@ruwaydaruwayda42462 жыл бұрын
Ameen ya rabb
@fatumabakari26404 ай бұрын
Kweli@@kassimbakari990
@halimamakame30204 жыл бұрын
Mashallah kasida nzuri mwenyezmungu(s.w) awajaalie kila la kheri vijana hawa duniani na akhera kwa kuzibaini na kuzitangaza sifa za nabii Muhammad (s.a.w)....Amin 🤲
@riamaali7612 Жыл бұрын
V
@mohamedjuma50016 ай бұрын
Nilifundisha wanafunzi Baringo Hii qaswida walikua wakipiga kwenye hafla,mara Kua mara Mashallah tunakupenda saana
@halimajuma55154 жыл бұрын
kama na ww umerudi kuiskiliza tena ndani y mwaka 2019 naomba tujuwane.
Waallahi tamu sana, Hakuna kama Mtume Muhammad S. A. W ❤❤❤❤
@eduomar9638 Жыл бұрын
Wallahi I keep watching this Qaswida 10 times a day .I don't know why. I guess I love this very much.. Imagine I was praying and deeply thinking of how prophet was created and how he looks like..
@RioIpo Жыл бұрын
Masha Allah
@aminashariff8784 Жыл бұрын
Me too here more than 10 times..
@BimJuma Жыл бұрын
Mungu awazidishie kipaji marshallwah
@abdallahkuppa6322 Жыл бұрын
I recommend you read a book called Shamaa-il Tirmidhi, you'll find it fascinating
@suabdul8108 Жыл бұрын
MashaAllah barakallah..such a beautiful nasheed❤
@sadamsellem30374 жыл бұрын
MASHAALLAH sikatiki kiu WALLAH kuiskiliza hii kasida nzur sn hkika MTUME MUHAMMAD ( S.A.W ) amekamika NABIA ❤️❤️❤️❤️MASHAALLAH NAKUPENDA SANA MTUME WETU KIPENZI CHETU NAKUPENDA MOLA WETU PIYA YA RABBY TUHIFADHI NA UTUKUTANISHE NA MTUME WETU MUHAMMAD( S.A.W. ) siku ya mwisho AMIN THUMMA AMIN 🙏🙏 🙏❤️🌹
@amneothman23012 жыл бұрын
Amiin 🤲🏼
@yurop96ynwa97 Жыл бұрын
2022 and still one of my favourites 💚. MashaAllah beautiful!!! Mtume wetu hashimu Alikuwa muadhamu Mbele ya Mola karimu Kuliko kila nabiya... Mtu aendeleze please
@maryammussa82266 жыл бұрын
Wallahi haichoshi kusikiliza hizi sifa za wetu Nabia (SAW) ni bora kutazama hii mara kwa mara kuushibisha moyo kwa mapenzi ya wetu Nabia (SAW). MashaAllah kwa walioghani.
@FatwimahAweyssssss23 ай бұрын
Kama namuona swalawatullah alyh...❤
@mirajibakari58575 жыл бұрын
Unavyo msifu alivyokua ni kama namuona wallahi,macho wakubwa,kimo cha wastani,mweupe pe pe pe,Ma shaAllah
@sulemohd48123 жыл бұрын
Uwislam raha jmni m mungu akikuchaguwa m wislm kakupenda
mashaallah mtume wetu kaumbika kwa sifa zake peekeee Muhammad
@farhiyasaid96054 жыл бұрын
asante kwa kumsifu mtume wetu hashimu. Baraka llahu fik
@omarrukia52252 жыл бұрын
mashaAllah,nairudia rudia 🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗
@twayibshaykhmuhammad10347 жыл бұрын
Mashaa allah Qasida mzuri saana mungu awa bariki waliyo isoma na sisi sotte waislamu mungu atupe Mapenzi yake na ya mtume amiiin amiiin amiiin Yaa allah
@shibblyhassan28266 жыл бұрын
ashrough hashim and
@abadhesaid50365 жыл бұрын
Mashallah
@alakhiabouuusi38494 жыл бұрын
Twayib shaykh Muhammad maaashaaallah
@abouda.r.79016 жыл бұрын
Sichoki kuisikikiza, nakumbuka tukiimbishwa kila siku assemble asubuh pale Madarasut Nnur Ukutani Zanzibar
@abdullmazrui904 жыл бұрын
Naipenda sana hii qaswida maana ina sisi mua sana na inafundisha mungu awape kila la khery kwenye maisha yenu💕💕💕❤️❤️🥰🥰🥰🥰🥰
MashAllah one of my favourite qaswidas 😊 reminds me wen i was young in madrasa☺.May Allah swt joins us all with him in jannatul firdaus Allahumma Ameen.
@hdh4383 жыл бұрын
Aaamiin
@ivyrehema32462 жыл бұрын
Same to me I really love it 💝
@zanzibartraditionalcooking256710 ай бұрын
Mashallah 😊❤
@suaadsahalejihaNsadya7 ай бұрын
sahalesuaadshadyajihanHaniHiani❤🎉
@fidubadi18046 жыл бұрын
MashaAllah nice voice bro 👍👍mzuri mno Nabia 😘😘
@situitiu465510 ай бұрын
Masha Allah mungu akuzidishie kipaji uzifi kumsifu mtume wetu
@ajeyfandhealthy88426 жыл бұрын
Mashallah nakumbuka mengi hapo nikiwa chuoni nikisoma historia ya mtume mwaswaha na maisha yao wallah
@habibtyhabibtykheir12426 жыл бұрын
Mashaallah naipenda sana hii kaswida mola akuinue darja kwa baraka za bwana mtume s.a.w
@babakiswaru4793 Жыл бұрын
Masha allah wamejitahid sana allah awazidishie insha allah 🙏
@madrasaturahmasec34965 жыл бұрын
Subhaanallah...Tabaarakallahu ahsanal khaaliqiin Ametukuka Allah ambae ndo mbora Wa kuumba..
@manalzaraiyah85842 жыл бұрын
Mashaallah tabarakarrahman
@zulfaabdulrahman Жыл бұрын
Nini niseme jamani hata pawe na fulani vzuri kuzibaini sifa za wetu nabiya... Allahuma swali wasalim aleeee
@hdh438 Жыл бұрын
Shukran
@ankalxam54952 жыл бұрын
Mashaallah qaswida nzuri
@wardarizik50145 жыл бұрын
Inshallah mungu awahifadhi kwa sauti zenu,big up guys💕
@jamilaomary36833 жыл бұрын
Ishaalla kwa sifa za mtume haujaacha hats moja mungu akubariki
@kursumbuda8012 жыл бұрын
May Allah bless
@mohdalijuma29907 жыл бұрын
Mashaallah Mungu amzidishie kipaji kijana wetu Ila tunaomba na nyengine zile za ramadhani
@aminaismail14193 жыл бұрын
Mashaallah
@sabramasoud94596 жыл бұрын
Mashallah mashallah , Amina ya rabbi amina mola atutakabalie
@zulfajuma98975 жыл бұрын
mashaallah nice qaswida, rangi yke ni nyeupe wala c weupe pepe hakika anasifa nyingi nabia
@asharamadhan36672 жыл бұрын
Mashaallah nzuri mno allah awape kher
@aminaabdikadir604411 ай бұрын
Masha Allah it is a beautiful Qaswida
@aminaabdikadir604411 ай бұрын
Allahu Baarik
@salehsuleiman12185 жыл бұрын
Masha Allah kaswida mzur sanaaa hakika imeleta ukumbusho wa uzao wa mtume na jinsi alivo imeipenda sana.
@madhihaswaleh4626 жыл бұрын
Ma shaa Allah mungu awabariki nzuri sanaaaaaaa qssida
@habibtyhabibtykheir12426 жыл бұрын
Mashaallah s.a.w
@bintmwanyello23502 жыл бұрын
Mashaaa Allah 2021 likeeeee
@mariammuthoni40393 жыл бұрын
Masha Allah....... I can't get enough of this.....
@akafeycyber4286 жыл бұрын
Masha Allah Abdul Hafidh Sauti njema kweli...basi tutole na zingine za kiswahili...
@hdh4386 жыл бұрын
Akafey cyber inshaallah zipo
@ktggtvgvtghadijaalifanichi13012 жыл бұрын
❤️❤️❤️
@mrchoroboymanp5446 жыл бұрын
Maashallah maashallah mungu awape muongozo huohuo
@nouralmustafatvzanzibar6 жыл бұрын
AMIN
@amneshebe34435 жыл бұрын
+Nour Almustafa Zanzibar ameen
@NINDAMUTSASalama3 ай бұрын
Asalaam alaikum warahmatullah wabarskatuh like kam bado upo mpak ss ukiiyangaliy 2024
@abdallahadam93775 жыл бұрын
Mashallah mzr qaswid yenu nanyi pia allah awazidishie 💘💘💘👌👌
@omanmuscat34614 жыл бұрын
Mashallah Allah 💕😘Allah utuweke karibu na kipenzii chake 😓 Nabia janat firdaus 🤲🙏💕😘