BUKU 5 YAMTOA KIMAISHA KWA BIASHARA YA JUICE

  Рет қаралды 66,731

DJTee 255

DJTee 255

Күн бұрын

Пікірлер: 61
@WinfiridaNyasingo
@WinfiridaNyasingo Жыл бұрын
Good sana nataria una akili unajituma san pia unaweza una akili sana wewe dada, me ni sekeletary lakini pia nina mdada anaeniuzia juice nimemuajili nafikilia kufanya mwenyewe badae ili nifike mbali zaidi, huku kuajiliwa tunadidimiatu my friend thank you
@linahwense2246
@linahwense2246 3 жыл бұрын
Hongera Sana upo vizuri
@patrickojany8978
@patrickojany8978 3 жыл бұрын
Nakutakia kilalaheri kwa kazi nzuri
@aniphaally5017
@aniphaally5017 5 жыл бұрын
Nmependa
@reginakarema8584
@reginakarema8584 5 жыл бұрын
Natalia umenena kweli kujituma na kufanya kitu unalolipenda, passion is very important in everything we do, nothing is impossible as long you believe in yourself and work extra ordinary
@JamalFx790
@JamalFx790 7 жыл бұрын
Its good idea
@nanajoseph2356
@nanajoseph2356 Жыл бұрын
Dah umeniinspire sana
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 4 жыл бұрын
Ahaa kumbe uyu dada, nilijuwa, mwingine nikataka Sema wengi wameanza elfu tano kumbe.
@sophylaurian8186
@sophylaurian8186 6 жыл бұрын
Dada nathalia kweli umenipa challenges zakujituma kama msichana nimekuelewa nanimejifunza kitu kutoka kwako asante napiga hatua sasa kufanya kitu
@elizabethpeter4328
@elizabethpeter4328 2 жыл бұрын
Nathalia nakupenda sana na nimejifunza mengi kupita ww asante naimani ipo siku nitakuwa kama ww
@mazura3896
@mazura3896 3 жыл бұрын
Sawa lakin ingependezaa kuonesha namna ya kutengeneza hiyo juice
@awesukhamis7442
@awesukhamis7442 5 жыл бұрын
Big up cn natalia umenipa bonge la somo nikiwa mm ni mjasiamali ambae bado nipo chuon
@enockkagomba1261
@enockkagomba1261 5 жыл бұрын
Thanks you inspire me
@rodgersphinias7789
@rodgersphinias7789 7 жыл бұрын
my inspiração
@hasnaabduly4945
@hasnaabduly4945 5 жыл бұрын
Inshallah siku moja m Nitakua kama ww
@uwimanalouise3054
@uwimanalouise3054 4 жыл бұрын
Hongera nahitaji namba yako natamani kujifunza
@dominicakamwela8181
@dominicakamwela8181 5 жыл бұрын
asante dada natalia Kwan Kututia motor sisi vijana wenzio, nmekpenda bure dada anguu
@freddymello3227
@freddymello3227 5 жыл бұрын
Umenipa moyo na Mimi kesho naanza!
@nassirmohamed8492
@nassirmohamed8492 Жыл бұрын
Ulianza😂😂
@starnewstvtv1126
@starnewstvtv1126 6 жыл бұрын
Nimepat kitu
@jimmymarwamatjr491
@jimmymarwamatjr491 6 жыл бұрын
Beautiful Zanana
@elishacharles5609
@elishacharles5609 4 жыл бұрын
Inspired cs
@leahkabululu4496
@leahkabululu4496 6 жыл бұрын
Nimependa san
@dinamartin9035
@dinamartin9035 6 жыл бұрын
Umenihamsisha dada....
@ibrahimzuberi1029
@ibrahimzuberi1029 6 жыл бұрын
very motivatv
@twaibutwaibu6727
@twaibutwaibu6727 7 жыл бұрын
naomba ujuzi Wa kutengeneza juici
@kariburental3064
@kariburental3064 7 жыл бұрын
Twaibu Twaibu m Makita
@kairetugekenerikahakiemma4937
@kairetugekenerikahakiemma4937 6 жыл бұрын
Google
@kato_tz
@kato_tz 7 жыл бұрын
I can see the Passion in your eyes Natalia, But I don't know where it is ah ah Uko pouwa sana Natalia. Naamini nikipata mke kama huyu ntatisha sana aisee
@suzanjuma5942
@suzanjuma5942 6 жыл бұрын
Uko poa sana
@sigaliyejoyce6268
@sigaliyejoyce6268 7 жыл бұрын
Go baby 💪
@maryamdounga2290
@maryamdounga2290 7 жыл бұрын
Wallah nimeipanda tunasulibika kwaarabu naaiman nitatusuwa jaman muwe mnatupa namba tupewe nass somo
@anetikapami4228
@anetikapami4228 6 жыл бұрын
Maryam Dounga, kabisaa, hata mi nimejifunza kiyu hapa
@maryammaram2612
@maryammaram2612 6 жыл бұрын
Maryam Dounga kweli kabisa maryam
@salmaalimusa547
@salmaalimusa547 5 жыл бұрын
Kujiajiri nakuamini ufanyacho ndo kila kitu
@omaryrajabu2970
@omaryrajabu2970 5 жыл бұрын
Nomba number yako dada nami nina ndoto ya kuanza hiyo biashara ili unijuze kidogo plz
@mauwakauleni5207
@mauwakauleni5207 6 жыл бұрын
dada na mie nataka nije kazin kwako ili nije nijifunze kutengeneza juice
@annestamwinuka
@annestamwinuka 5 жыл бұрын
Nataka kujua yuko wapi huyo zanana
@legatz
@legatz 7 жыл бұрын
good mamy
@allyrutunga4452
@allyrutunga4452 7 жыл бұрын
niko inspired kinyama........!
@masyrehema1868
@masyrehema1868 6 жыл бұрын
Hii ndio maono yangu baada ya masomo
@dorinjonh8055
@dorinjonh8055 6 жыл бұрын
Tunasulinika kweli hawa waarabu shukurani hawana shida tp
@moniedwese5778
@moniedwese5778 6 жыл бұрын
Uko wapi?? Unafanya kazi
@rasuliiddy2002
@rasuliiddy2002 7 жыл бұрын
nimependa sana na kazi unayoifanya kwa moyo moja nakujituma
@ashalaurent6562
@ashalaurent6562 6 жыл бұрын
Hongera san
@judykitenge6509
@judykitenge6509 6 жыл бұрын
I wish nifike hapo mahali jijifunze jambo natalia plz do me a fvr
@judykitenge6509
@judykitenge6509 6 жыл бұрын
Ur cntact
@lovetarimo7752
@lovetarimo7752 4 жыл бұрын
Daaah nimekuelewa my dada
@nyanzalakaporo2504
@nyanzalakaporo2504 7 жыл бұрын
HONGERA SANA DADA NATARI
@michaelmmassy7762
@michaelmmassy7762 7 жыл бұрын
keep it up mama zanana
@mcluciana4554
@mcluciana4554 7 жыл бұрын
Hongera sana mumy natamani uwe rollmodel wangu
@victoriajackson7061
@victoriajackson7061 6 жыл бұрын
m mweeee upo hadi huku
@victoriajackson7061
@victoriajackson7061 6 жыл бұрын
mweeee upo hadi huku
@victoriajackson7061
@victoriajackson7061 6 жыл бұрын
mweeee upo hadi huku
@koromiyaruka3662
@koromiyaruka3662 6 жыл бұрын
Koromiaruka
@linahlymo7285
@linahlymo7285 6 жыл бұрын
NAOMBA ujuzi
@surayammanga8190
@surayammanga8190 6 жыл бұрын
dada wewe umenigusa sana
@lachelmethusela8533
@lachelmethusela8533 7 жыл бұрын
lov u nitumie no yako
@rehemahassan8414
@rehemahassan8414 5 жыл бұрын
Natama nipate MTU wa kufanya nae kazi
@MPONDAKOMARY
@MPONDAKOMARY 5 жыл бұрын
0743130132
@abdullkareem5612
@abdullkareem5612 5 жыл бұрын
Dada umeniexper xaan natamn kuifanya xaana sema kila kitu ni kujifunza BT natamn kuifanya naomba mxaana uniajiri hata kama utanilipa pesa kidogo BT sio mbya namba zangu hzooo 0713109146
Clean and healthy! Fruit juice making / Korean street food
11:44
푸드킹덤 Food Kingdom
Рет қаралды 14 МЛН
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН
Quando eu quero Sushi (sem desperdiçar) 🍣
00:26
Los Wagners
Рет қаралды 15 МЛН
MWONGOZO WA JUICE//A GUIDE TO A SUCCESSFUL JUICE BUSSINESS
14:23
Je, nitumie njia gani kukuza biashara yangu?
6:24
BBC News Swahili
Рет қаралды 2,1 М.
HANDSOME AFUNGUKA ANAVYOPIGA PESA KWA KUUZA UJI MTAANI!
14:30
Global TV Online
Рет қаралды 9 М.
MREMBO AMESOMA MASTERS MAREKANI ILA ANAUZA MAKANDE MWANZA
18:47
Millard Ayo
Рет қаралды 598 М.
KAZI NI KAZI | Utamu wa makande-nyama uko hapa
24:31
Azam TV
Рет қаралды 4,7 М.
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН