If you would like to watch this recipe in English language press the link ➡️ kzbin.info/www/bejne/hGeZYaB-iNRpY5I
@zaynababdul71243 жыл бұрын
Nitumie hio blender yako da rukia
@linetkerubo29753 жыл бұрын
Naipenda
@luckymwas17773 жыл бұрын
Elezea kwenye videos zako quatity ya glass za juice inayotoka kwenye matunda hayo baada ya kublend tafadhali
@gerardndumba93402 жыл бұрын
BP
@michaelsamsoni81472 жыл бұрын
Mashaallh
@fatmazullu4933 Жыл бұрын
Asantee sana na hivi nipo mbioni kuanza biashara hii eeh Mungu nisaidie niweze kufanikiwa mie!
@nasrachimamy3 ай бұрын
Amiin me mwenywe naipend hii biashar
@Aminaomar-lw4cz Жыл бұрын
Mashallah nimezipenda naomba kutengeneza za biashara bt vipimo shida
@nasrachimamy3 ай бұрын
Mmh asa vipimo apo vya Nini mamy we mwenywe ubunifu wako
@amrahschannel55993 жыл бұрын
mashaAllah mashaAllah hbbty....varieties zote...ni ss tu sasa kutengeneza...yummm... nimependa ya matundaa mashaAllah
@RukiaLaltia3 жыл бұрын
Thank you soo much boo boo ❤️ 😘 inshallah 🙏
@hermandemello22007 ай бұрын
Sksante Sanaa Rukia Laltia kushea Supper 5 juices!! Wow kutoka TANGA Tanzania love all ur cooking recipies.
@fooddiarytz3 жыл бұрын
Mashallah Nike penda sana hii recipe ntashare kwa wengine tujifunze zaid ❤️
@nshimirimanadjamilla72703 жыл бұрын
Masha allah vizur jazaakallahu khayra da Rukiya
@lestherusitukanesanasomaam13392 жыл бұрын
Asante sana je unauzaje kama hivyo
@godlovenyeka-ph6jr Жыл бұрын
nakupenda sana rukia na pia napenda kujifunza kutoka kwako
@yohanawilliam19423 жыл бұрын
Napenda saaan hyoo biashara
@zuleiyahemed82263 жыл бұрын
Mashaallah unafundisha vizur alafu usafi upo juu Sana 👌👌👌
@RukiaLaltia3 жыл бұрын
Asante sana ❤️
@LilienDakka7 ай бұрын
Mashaallah naomba vipimo nifanye biashara
@irankundadevotte600 Жыл бұрын
Asante sana Dada kwamafunzo yako Mazuri♥️
@FabianiFaidaFabianiFaida-t4z8 ай бұрын
Asante san❤ dada kwa mafunzo yako
@salvationmwamba24383 жыл бұрын
Thank you so much my sister Your explanation was very clear 🔥🔥🔥
@Aminaomar-lw4cz Жыл бұрын
Assalamualaikum vp dear naomba vipimo kwa juice ya biashara
@fezabwaro-qd8nc Жыл бұрын
Asant kwa mafunzo mazuri
@agathasanga13792 жыл бұрын
Kazi nzur my dear
@BushiriMkwenjera3 ай бұрын
Maashaallah,
@swabrahnjoroge8556 Жыл бұрын
Shukran jazakah Allah
@abuuabuu39292 жыл бұрын
Hayo ni passion
@rachelpeter62092 жыл бұрын
Asante kwa ujuzi Mungu akubariki sanasana.
@SalmaKiyaka7 ай бұрын
Mashaallah Asante sana vipimo vya biashara inakuaje nataka nifanye ya biashara
@RukiaLaltia6 ай бұрын
Mm simfanyi biashara sijuwi viwango vyake
@nasrachimamy3 ай бұрын
Juice han vipimo Mamy me hii biashar nilishafany ww mwwnywe to mchanganyiko ambao utapemd kuchangany
@paulinacherement25342 жыл бұрын
Mashallah ALLAH barik
@perpetuakoboba8593 жыл бұрын
My sister thanks I need to learn on how to cook biriani
@esthermsacky3323 жыл бұрын
Woow tantee kpenz👌👌😘😘
@RukiaLaltia3 жыл бұрын
Karibu sana
@lobaemmanuel10162 жыл бұрын
Kwakweli kazi hii nikazi nzurisana kabisao Naitaji uwe mwalimu wangu naishi cingo
@minahkishai37192 жыл бұрын
Nzr sana
@kajinjirashid55902 жыл бұрын
Ile mate yanitoka jameni..hee😜😜..sweet sana haki..
@AminaMan-u1k4 ай бұрын
Naitaji viungo vizr vya juic kwa mteja
@ashayummy22993 жыл бұрын
mashaallah mashaallah yummy my dear hapo utamu ju ya utamu 😋😋❤
@RukiaLaltia3 жыл бұрын
Asante sana habibty 😘
@khadijahomankweliyamjahaya74213 жыл бұрын
Sana utamu huu ni balaaa
@eatsamazingwithsusan3 жыл бұрын
Looks great thanks for sharing Friend here stay connected See u around
@felisterchuma1504 Жыл бұрын
Nimependa nilikua sijui kutengeneza juece
@ilhamhaji11252 жыл бұрын
Nmekupenda sana dada angu kwa kutupa recipe za umuhimu sanaa
@mngwalibakari40492 жыл бұрын
Habari. Mimi nataka kujua hizo vanila dizanigani
@lucyboniphacmwakingwe24172 жыл бұрын
Nimependa sana
@hasinarashid50593 жыл бұрын
Ni nzuri nzuri Sanaa ajabuu!!!
@RukiaLaltia3 жыл бұрын
Asante sana ❤️
@mayahyusuf96253 жыл бұрын
Mashaallah....i love them all❤
@mohamediddi51263 жыл бұрын
Ahsante sana dear sister kwa elimu hii, hakika tumejifunza yalio mazuri kwa manufaa ya kujiendeleza kiuchumi
@RukiaLaltia3 жыл бұрын
Karibu sana 🥰
@salustiashayo34863 жыл бұрын
Gloves jaribu kutumia zile za karatasi Itakuwa vizuri zaidi kwa maaandaliz ya chakula
@najlaskitchen15723 жыл бұрын
Ma sha Allah..zote nimezipenda 😋😋😋
@RukiaLaltia3 жыл бұрын
Shukran habibty 😘
@sophiaismail84243 жыл бұрын
Shukran ukhty 😍 samahan naomb kuuliza baada ya kuchemsha maganda ya kwanza unasaga hivyo ikiwa ya moto au uache ipoe kwanza
@RukiaLaltia3 жыл бұрын
Yapowe kiasi
@taniascooknlifestyle3 жыл бұрын
Mashaallah me from Bangladesh 🇧🇩 thanks 😊
@RukiaLaltia3 жыл бұрын
Thank you
@rukianyange56573 жыл бұрын
Juis nzuri sana nimeipenda hiyo link haifunguki.
@SaraphinaSamwel-cu7nh Жыл бұрын
Ahsante sana dada nimempenda kipindi chako,, ila naomb kuuliza hayo maganda ya pili ya nanasi unasubilia yanapoa kwanza ndo unaweka kwenye blender au
@jumajuma15333 жыл бұрын
Nzuri
@RukiaLaltia3 жыл бұрын
Asante
@linkishish20573 жыл бұрын
Mashallah
@peterstano47593 жыл бұрын
Very nice daa
@fatmamuhiddyn1122 Жыл бұрын
جزاك الله خيرا
@nurabigirimana7282 жыл бұрын
Asante sana
@hatimalnaamani8763 жыл бұрын
Asante sana mamy
@Awatee3 жыл бұрын
Masha Allah
@annastaziayusuph38712 жыл бұрын
Nice
@IrakozeBella-c4o28 күн бұрын
😊😊😊
@rashidahmed3550 Жыл бұрын
👌👌
@ramayasly45843 жыл бұрын
Sister kazi nzuri
@RukiaLaltia3 жыл бұрын
Asante sana
@millicentwesonga70063 жыл бұрын
@@RukiaLaltia asante kwa SoMo nzuri. Swali langu ni vimto hupatikana wapi?
@hawasharifu49605 ай бұрын
kwenye juice hiyo ya tikiti kwa mfanya biashara kwa ambae anatengeneza juice zke ucku then mchana kesho yake anaenda kuuza kwenye kugandisha naweza pia still nkaweka hizo mint leaves kwenye vibobo vya juice then nkamimina juice alf nkagandisha then kesho yke nkaenda kuuza????
@catherinekyule4950 Жыл бұрын
Naweza tumia Asali badala ya Sukari
@LeocardiaDaniel-sj3wl9 ай бұрын
Mimi naishi Bukoba je nitaipataje na kwa bei ipi?
@heliethbunyaga90602 жыл бұрын
Thanks sister😋😋
@kahambujulie7131 Жыл бұрын
❤❤
@mwajumashabani83723 жыл бұрын
Sorry waweza sema ni kwanini unapendelea tumia malimao kwa juice zako...ina umuhimu gani kwa juice,just tell us plz
@ilhamhaji11252 жыл бұрын
Nmependa juice 🥤 nzuri sanaa .naomba kujua tukichemsha hayo maganda ya nanasi inakua tunaondosha kitu gani!?
@nasrachimamy3 ай бұрын
Muwasho man nyanatabia ya kuwasha
@joliea29563 жыл бұрын
Love it
@AnnoyedFriendlyRobot-nb3ge9 ай бұрын
👍👍👍
@eshamohd41773 жыл бұрын
Mashallh nyc nauliza iyo juice ya nanasi,carrot,chungwa na tangawizi.naeza kuchemsha carrot? Au
@RukiaLaltia3 жыл бұрын
Ndio waeza
@eshamohd41773 жыл бұрын
@@RukiaLaltia shukran
@قناةفوتوغرافيا3 жыл бұрын
تسلم ايدك يا قمر ❤️🌹
@carlsjbhinz64062 жыл бұрын
🕓
@JoiyceMassawe-bu6oi Жыл бұрын
Natamani Sana biashara ya kuuza juice
@khadijampogole46302 жыл бұрын
hio mint leaves siez sagia na tikiti?
@peterstano47593 жыл бұрын
Na mint umeiwekwka wp? Juu haujaonyesha
@MethabelKusalula11 ай бұрын
Asante kwa darasa majani ya nanaaa yanasaidia nini? Nikiyakosa mbadala wake ni nini?
@alimakavira77553 жыл бұрын
Dada nataka kujifoza
@nasrachimamy3 ай бұрын
Mmh jamn si ndo apo anafundish kawarahisishia mwengin angekwambia mfate Whatsapp lakin yy apo anawafundish kabs utashindwa kukalili mpenzi
@LeocardiaDaniel-sj3wl9 ай бұрын
Majani ya nanaa yanapatikana wapi? Asante Sana Mungu akubariki wa kipawa chako kizuri.
@nasrachimamy3 ай бұрын
Kariakoo au nend karume
@nasrachimamy3 ай бұрын
Pale nje kunasoko
@ramayasly45843 жыл бұрын
Usikate tamaa tia bidii
@muhibatiazizi18673 жыл бұрын
Kwani hao kuku hawachemshwi?
@perpetuakoboba8593 жыл бұрын
Nataka kujifunza
@fardoshnassor78472 жыл бұрын
😋😋🤩
@TumainiLema-rc6ph Жыл бұрын
Dada una vitabu vya juice
@tausimakemba1617 Жыл бұрын
Nimejifunza
@sarahkhamesetz1577 Жыл бұрын
Masomo mazuri nimependa sana nina swali kuna siri gan kwenye limao naona kila juice inaekwa limao
@nasrachimamy3 ай бұрын
Limao zuri inanyonya mafuta pia mzur kwa vitamin Mamy
@nasrachimamy3 ай бұрын
Inapunguza mwili km mnene
@azizasuleiman3295 Жыл бұрын
Mbona hujaweka Yale majani
@renardamtayoba18062 жыл бұрын
Unaweka kwenye Brenda ukiwa BDO ya Moto?? Io uliochemsha?? Je haina shida ukiwek ya Moto kwenye Brenda???
@costantina-catherinekimaro Жыл бұрын
Hayo maji na Vinton nitavipataje dear
@angelmazanda85903 жыл бұрын
Hiyo vimto napata maduka gani?
@MariaMagele3 ай бұрын
Kwanini unachemsha maganda ya nanasi au inasaidia nini?
@EsterMwashitete-gt6nh6 ай бұрын
Je ni lazima kuwa na majani ya nana?
@nasrachimamy3 ай бұрын
Na na mzur man inakiarufu frani hiv juice inakuwa inaukia sana na inakuwa tamu
@peterstano47593 жыл бұрын
Kwanini hatuwezi blend mojakwa Moja bila kuichemsha?
@RukiaLaltia3 жыл бұрын
Maganda ya nanasi ni uboraa kuchemsha
@khadijamagika30742 ай бұрын
Vanilla ya juice ni ipi
@nolimittvonline6822 Жыл бұрын
Limao Lina ulazima kuweka
@SharifaLuzegea3 ай бұрын
Majani ya nanaa yanapatikana wapi
@nasrachimamy3 ай бұрын
Sokon mpenzi
@nasrachimamy3 ай бұрын
Ila masoko makubwa km kariakoo ilala
@queensiahclassicpoint1485 Жыл бұрын
Kama sukari imezid naweza ongeza maji
@RukiaLaltia Жыл бұрын
Ndio
@ashreysaid1793 жыл бұрын
Hello rukia! Naomba kujuwa kwanini maganda ya juice ya nanasi umechemsha?
@saumuimeda51813 жыл бұрын
Ili isilete ule uchungu wa nanasi, kwa sabb nanasi linatabia ukila ukinywa maji unaona ya uchungu
@amrahschannel55993 жыл бұрын
Kimm najua inafanya juice kuwa nzto kdgo na pia kuneutralise taste ya juice...na maganda pia iko na taste na mabaki ya nanasi bado
@MonicaMasoko-om8in Жыл бұрын
Eti Kuna sukari maalum Kwa ajili ya juisi na inauzwa wapi!?
@madamtee8700 Жыл бұрын
Ipo super market ni nyeupe ina nguvu sana unatia kidogo tu
@asilasaidsalim61382 жыл бұрын
Nataka kujua ni kitu gani kinachoitwa kikafanya juis isiharibika bila ya kutia ktk frij au keke za biashara zinazoweza kukaa mda mrefu au vileja ni kitu gani kinachofanya kutoharibika kwa mika km soda bila yakuweka ktk fridha haiharibik naombo habibty rukia kitu kinachotumiwa kufanya chakula au kinywaji kikae mieZ na miaka bila kuoza
@yusuphzungu92503 жыл бұрын
Nimependa sana darasa lako.Natengeneza juice ya biashara ila changamoto yangu juisi inaharibika mapema nakosea wapi dada.???
@nurumsoloni97113 жыл бұрын
Usitumie ndizi nyingi kwa mchanganyiko wa juice yako inachachisha haraka