BURNA BOY kweli ni African Giant! Watu 80,000 wahudhuria tamasha lake London Stadium

  Рет қаралды 15,272

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 148
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 3 ай бұрын
alaf Kuna bundi Wana SEMA hooo daimondi anamuezaa bunboy iyo Dunia sio ayoo mavi yenuuu
@FredrickMatiku-xf2uk
@FredrickMatiku-xf2uk 3 ай бұрын
Yaaani huyu burnaboy ni li dude li kubwa sana anampa sana stresss diamond platinum anachanganyikiwaaaaa anakuwa kama kichaaaa adi anavaaaa vitu vya ajabu anakuwa kitukooooooo burnaboy ni Moto mwingine harmonize anamheshimu kama baba yake simba ataweza kushindana na burnaboy
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 3 ай бұрын
Big up Burna boy❤
@Michealfarah-n1w
@Michealfarah-n1w 3 ай бұрын
Anaitwa burna moto,🔥🔥🔥🔥
@DissahPlusson-jp2qj
@DissahPlusson-jp2qj 3 ай бұрын
Burna boy I will see you my artist, champions
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 3 ай бұрын
Noma sana
@kshayofurniture2941
@kshayofurniture2941 3 ай бұрын
Akitoka hapo anaenda kununuaa private jet na chenji inabaki ya kutosha kabisa pesa ni ndefu mnoo hiyo
@EdsonyMashaka
@EdsonyMashaka 3 ай бұрын
Uwezo wa mxanii Taifa lugha vinawabeba xana
@Symoob5c
@Symoob5c 3 ай бұрын
Kumaanisha wenu hawajui kiingereza ama😂😂
@samuelmwatsuma4462
@samuelmwatsuma4462 3 ай бұрын
Jamaa za tswala bam wanafurahia goma lao kubigwa live... alafu mnasema wangefanya na Asake wa tandale
@DewGroupTech
@DewGroupTech 3 ай бұрын
Nimependa stage walivyo design it's burna boy opposite Double B stands for "BurnaBoy"
@MakameJumaa-f2y
@MakameJumaa-f2y 3 ай бұрын
Juzi tu kunamtangazaji kasema wabongo tumewakomesha wa Nigeria akiwemo banaboy😂😂😂
@shabanimataka8418
@shabanimataka8418 3 ай бұрын
Nani middle?
@josephndunguru6290
@josephndunguru6290 3 ай бұрын
Duhhh huyuu mwamba ni atali Sanaa,
@dannysengata2298
@dannysengata2298 3 ай бұрын
Kuna mtu juzi kasema amewakomesha 😂😂😂😂
@ghettolandentertainment7701
@ghettolandentertainment7701 3 ай бұрын
Kumbe na wewe ulimskia 😅😅
@humbleshoal
@humbleshoal 3 ай бұрын
​@@ghettolandentertainment7701 Jamani naombeni niambie ni nani
@ibrahimjustine3771
@ibrahimjustine3771 3 ай бұрын
Mwambino chizi tuh
@khamso-254
@khamso-254 3 ай бұрын
😂uchokozi sasa😂
@priscamrekoni3451
@priscamrekoni3451 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂🙈🙈🙈
@michaeljuma254
@michaeljuma254 3 ай бұрын
Diamond ni msanii mkubwa ila hajafikia ukubwa huu, diamond platnumz ana safari ndefu zaidi
@wekezauchumi7440
@wekezauchumi7440 3 ай бұрын
Ni mkubwa na amefikia huo ukubwa kwa sana tu
@شيخالروحانيسيدميططرون
@شيخالروحانيسيدميططرون 3 ай бұрын
Allah amembariki mondi si shetan Iko siku atapita hio level ❤❤❤❤❤
@mustaphakhamisikhamisi
@mustaphakhamisikhamisi 3 ай бұрын
Mungu kahusika tena 😢😢😢?
@mustaphakhamisikhamisi
@mustaphakhamisikhamisi 3 ай бұрын
وَلَيَحْمِلُنَّ أَثْقَالَهُمْ وَأَثْقَالًا مَّعَ أَثْقَالِهِمْ وَلَيُسْتَلُنَّ يَوْمَ الْقِيَامَةِ عَمَّا كَانُوا يَفْتَرُونَ )
@GreysonMdee-wm8tn
@GreysonMdee-wm8tn 3 ай бұрын
Hivi huoni hata aibu kumtaja Allah kwenye vitu vya namna hii?
@HakisaniTv
@HakisaniTv 3 ай бұрын
Burna Boy ni NAMBA 1
@theresekwizerimana4044
@theresekwizerimana4044 3 ай бұрын
Nyinyi wajingasana mukose kumupongeza mu tanzania wetu mupongeze mwenye hanahatasamanikwenu
@MajutoElliasi
@MajutoElliasi 3 ай бұрын
Mond arijaza kuriko bana boy kweri vituko na vichekesho kuwafikia hawa kizazi kitakacho kuja
@hamishatibu699
@hamishatibu699 3 ай бұрын
Yule alieimbishwa mchana na watu 64 tu, anajisikiaje akiona hii video 😅😅😅
@kshayofurniture2941
@kshayofurniture2941 3 ай бұрын
Hawa jamaa hatuwawezi bana we better join them
@salehally-y8p
@salehally-y8p 3 ай бұрын
Hii tabia ya kusema tumewakomesha wanaijeria tuache kusema wenzetu wako mbali sana tena wanaimba hawapigi kelele.
@albertkadyanji9722
@albertkadyanji9722 3 ай бұрын
Watu kama nyie kwenye maisha halisia huwa maskini sana uo ndio ukweli hahahaha
@aboudasilver6541
@aboudasilver6541 3 ай бұрын
Mwambieni Simba aache mdomo 😂😂😂
@ghettolandentertainment7701
@ghettolandentertainment7701 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@ghettolandentertainment7701
@ghettolandentertainment7701 3 ай бұрын
Eti amewakamata 😂
@ghettolandentertainment7701
@ghettolandentertainment7701 3 ай бұрын
@d255tv watu wanajaza viwanja then wasanii wetu wanashangilia TikTok challenge ya Chris brown..
@albertkadyanji9722
@albertkadyanji9722 3 ай бұрын
​@d255tvuyo bundala nae si choko kama machoko wengine hahahaha Comasava
@collinndabi1914
@collinndabi1914 3 ай бұрын
@d255tv bundala kangata na kupuliza hapo hapo
@johnsonzuma4932
@johnsonzuma4932 3 ай бұрын
Haliye kuwa Norway kasema ali wakomesha 😃😃😃 bado sana kwake huyo ni kinda😄😄😄😄
@athumaniamani9905
@athumaniamani9905 3 ай бұрын
Mpen Salam Mr mwambino
@zubeaslay6566
@zubeaslay6566 3 ай бұрын
Alafu Asake wa Tandale na Komasava yake eti atamuweza huyu😂😂😂
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 3 ай бұрын
Yule ni kumasava
@FredrickMatiku-xf2uk
@FredrickMatiku-xf2uk 3 ай бұрын
Wale wasaniii wa zamanı wakina chid benz, A.y Mr nice wanaosema eti zamani kulikuwa hakuna mitandao ya kijamiiii kamera 🎥 na walishawahi kujaza nje ya tanzania maelfu ya watu kwenye viwanja aya wafanye tena tuone mitandao ya kijamiiii ipo kamera tuwape heshima zao
@FrankSamson-r6s
@FrankSamson-r6s 3 ай бұрын
Mwanenu asingekuwaga kiredio tungekuwa nae sako kwa bako tatizo mdomo😅😅😅😅
@wekezauchumi7440
@wekezauchumi7440 3 ай бұрын
Hiyo pesa kwa huku ni sawa elf 10 ya kibongo...uwe A3 ndo uelewe nililichomaanisha
@MohammedBwanga
@MohammedBwanga 3 ай бұрын
Hapana watu wengi hawaelewi ukiacha bahati na kipaji lkn kubwa Zaidi ili ukubalike kimataifa ni kuimba kw kutumia lugha za kigeni km English,,french,Spanish NK burnaboy ni muimbaji wa kawaida Tu ila Zaidi ni namna ya kuwasilisha ujumbe wa nyimbo kw lugha zao ivi km huyo mondi angelikuwa nondo zake anaziwasilisha kw lugha za ulaya ingelikuaje?ivi km anakuja kutumbuiza East Africa unadhaani wengi watamuelewa Nani?
@albertkadyanji9722
@albertkadyanji9722 3 ай бұрын
Bora wewe umeliona ilo wao kama ni wakubwa waimbe kinaigeria ndio watajua hawajui ivi unazani lugha yetu ingekuwa kingereza mbona pasingetosha wabongo wengi ubongo wa kufikiria na kuwazua mambo ni mdogo sana
@MohammedBwanga
@MohammedBwanga 3 ай бұрын
@@albertkadyanji9722 kabisa
@shongatv1224
@shongatv1224 3 ай бұрын
Kwan diamond hajaimba nyimbo za kingereza jaman ​@@albertkadyanji9722
@HASSANBAKARI-q9c
@HASSANBAKARI-q9c 3 ай бұрын
MNAWAPAISHA WENYEWE KUMBE,,,AFU BADAE PYOKO PYOKO
@chiragahmbura9523
@chiragahmbura9523 3 ай бұрын
Ingekua Msanii wenu hapo Tanzania🇹🇿 amefanya hivyo Dunia na Mass na Pluto zingejua 😂😂 Anyway acha nifate mambo yangu
@DannyElias-t3v
@DannyElias-t3v 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@NELEWARDYMWASILE-dn1ll
@NELEWARDYMWASILE-dn1ll 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@marleshjimmy1972
@marleshjimmy1972 3 ай бұрын
Umemaliza vizuri 😅😅
@MOREDI2024
@MOREDI2024 3 ай бұрын
Yeye anapewa ngapi?
@bryanzeconfesor5476
@bryanzeconfesor5476 3 ай бұрын
Wabongo bana... Mnapenda kusimanga vya kwenu
@albertkadyanji9722
@albertkadyanji9722 3 ай бұрын
Umeona yani tatizo wabongo wengi wana maisha magumu sana chumba kimoja kajitahidi sana chumba nasebule ivyo wakiona mtu anaejipambania kajipata badala ya kumsupport wao hutamani harudi chini hahahaha ndio mana fanya research wanaomponda Mondi asilimia 80 wana maisha magumu sana komenti zao ni za kimaskini maskini na chuki nyingiiiiiiii
@abedarakaza9017
@abedarakaza9017 3 ай бұрын
​@@albertkadyanji9722akuna bana huwezi kupinga uwasilia. Kwani kivyako na wewe unaweza kukubali kama mondi anaweza kushindana na wanaigeria ao siyo🤣 daah iyo nikuringanisha mbingu n'a ardhi bro
@albertkadyanji9722
@albertkadyanji9722 3 ай бұрын
@@abedarakaza9017 ukiwa na mawazo hayo hasi utabaki ivyo ivyo na mafaniko kwako utayasikia kwenye bomba tu kabla ya uyo b boy kulikuwa na wizkd davido huyo tukawa hatumjui ss ameanza na kuja kufanya collable na Mondi na harmonize tz alikuwa wakawaida tu ila kwakuwa alikuwa na strategy zake za kufika mbali kapambana na pdidy akamshika mkono na kumtambulisha na yeye ninafsi katia nguvu zake kafika apo pamoja na wananchi wao wamempiga support kafika apo alipo na kumbuka awaimbi kinaigeria hao wanaimba lugha inayotambulika duniani kote sasa kwanini Mondi asifike uko siku moja pamoja na kwamba watanzania wenyewe ndio kama nyinyi wenye akili za kufeli kimaisha hahahaha Mondi atatoboa tu japo wachawi nyie ni wengi ila kwa uwezo wa MUNGU atatoboa
@wekezauchumi7440
@wekezauchumi7440 3 ай бұрын
​@@abedarakaza9017akili zako ndogo sana
@emmanuelmmbaga5209
@emmanuelmmbaga5209 3 ай бұрын
Diamond, analia na nyerere, 🤣😭😂😂 Kiswahili ni kizuri lakini inakost sana Hiyo ilikuwa ni kwa diamond km na sisi tungekuwa tunazungumza kingereza.
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 3 ай бұрын
Izo ni idea za kijinga mnooo kama ishu ni English Kenya, Uganda, Malawi, Zimbabwe kote Kuna wanamuziki na wanatumia English kuimba nyimbo zao haya msanii gani kutoka izo nchi anaweza jaza uwanja kisa tu anatumia English? Ni zaidi ya hayo mnayodhani jamani Kuna sababu lukuki kwanza icho kizungu wanachoimba wanigeria hata hao kina mondi wanaweza kuimba ila mbona hawajajaza sehemu kama hiyo fikirini nje ya boksi sio kuganda na hoja ndogondogo tu izo
@albertkadyanji9722
@albertkadyanji9722 3 ай бұрын
​@@FahadAbubakariAcha kuongea pumba wewe unatumia ubongo kweli kwenye kutafakari Kiswahili kina impact gani Kiswahili lugha ndogo sana kuna nchi unaenda hawajui icho Kiswahili kinatoka nchi gani utafananisha na kingereza kimetapakaa duniani kote punguza chuki na mihemuko
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 3 ай бұрын
@@albertkadyanji9722 sawa muongea point , narudi palepale Kenya, Uganda, zambia, Zimbabwe Hawana wanamziki? Coz wao wanajua kiingereza na wanaweza imba kwa kiingereza, kingine Nigeria 98% wanatumia pidgin English ambayo pretty much mtu mwingine ambaye si mnigeria kuelewa it's damn hard
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 3 ай бұрын
@@albertkadyanji9722 mnashindwa kujua strategy wanayotumia winegeria kabla ya kuanza kuongea icho kiingereza sisi huko wanakojaza hivyo viwanja tupo na ndo tunapoishi , mkianza haraka na fikra zenu hizo mmeshiba Mchicha n kusema eti ishu is only English that is absurd
@albertkadyanji9722
@albertkadyanji9722 3 ай бұрын
@@FahadAbubakari choko wewe huna point yoyote ya maana hahahaha eti upo sasa ukiwepo nifanye nini unaongea non sense k mkubwa wewe pambana na hari yako
@youthmediatv1
@youthmediatv1 3 ай бұрын
Kuigizia maisha mbaya mno
@asawoasawo517
@asawoasawo517 3 ай бұрын
Simba anajiita mkubwa afrika ajaze kama burna boy basi
@hamisibakari342
@hamisibakari342 3 ай бұрын
MOND,MOND,MOND NAKWITA MARA 3 NJOO UTAMBE HUKU MASHALIKI.UKIVAA HAYO MACHENI NA MABWANGA UNAJIKUTA WADUNIA😂😂😂😂😂
@albertkadyanji9722
@albertkadyanji9722 3 ай бұрын
Katafute hela ya ugali wewe acha kelele za umaskini hizo unamwita Mondi ukute ata hela ya kula mlo mmoja ni mzozo hahahaha mwenzako kashatoboa choko wewe
@Symoob5c
@Symoob5c 3 ай бұрын
😂😂😂
@selemanirashidi-sc3pp
@selemanirashidi-sc3pp 3 ай бұрын
Nipo ndani hapa 80% yawaliyo humu ndani niwa Nigeria kweli wanasapotiyana sana leo ndo nimehamini nipo hapa ndani nihari
@lisawilliam2491
@lisawilliam2491 3 ай бұрын
Hatar
@philipotieno9996
@philipotieno9996 3 ай бұрын
Achaa leo niwaambie ukwelii huyoo😂😂 😢 mzee wa Komasavaaa hata afanyee nini haweeeziii fikia hizi levels Burnaa sio riiika yake tena kwa chochotee kilee.
@SelemaniEmail
@SelemaniEmail 3 ай бұрын
Atambe pande zake pande zetu atambi
@ghettolandentertainment7701
@ghettolandentertainment7701 3 ай бұрын
Kuna mtu eti amewakamata wanaijeria 😂😂
@godfreysudi7264
@godfreysudi7264 3 ай бұрын
Safari hii tunaomba aende Mond mzee wa kuwanyosha 😁
@simbaedouardo8499
@simbaedouardo8499 3 ай бұрын
Lakini kama naona ni mchana apo
@Oldskulgemini9991
@Oldskulgemini9991 3 ай бұрын
Hiyo ni shoo yake mwenyewe hajaalikwa Mzee, jua kutofautisha😅
@rehemajuma6008
@rehemajuma6008 3 ай бұрын
Hahaaa ety kawakomesha
@ghettolandentertainment7701
@ghettolandentertainment7701 3 ай бұрын
Hivi burnaboy Chris brown amewahi cheza wimbo wake kwenye TikTok 😂
@Zanzibar2023Zanzibarzanzibar
@Zanzibar2023Zanzibarzanzibar 3 ай бұрын
Burn Mziki wake unachezwa na Ma legendary kina Shikira Mwaka Jana Snop Doggy aliulizwa Msanii yupi ungelipenda kufanyanae Collaboration akasema Burn boy ni Kama Bob Marley wa Africa ni Maneno ya Snoop hayo
@Asamtz360
@Asamtz360 3 ай бұрын
Chris kacheza on the low ya burna kaitafute
@NemesMasawe
@NemesMasawe 3 ай бұрын
On the low na Anamuombaa cokabo
@wabackali2494
@wabackali2494 3 ай бұрын
3:35 ​@@Zanzibar2023Zanzibarzanzibar
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 3 ай бұрын
Watanzania tujitambue sio wasanii wetu kazii kupiga kelele2 kumamake wameingia kwenye mfumo kwa kukata viuno sitejiini watu awaelewii unachooo imbaaa au kupagawa kucheza chalengee kirsibrowni sasa je uyo muuni bonboy kirsi kachee ndo ujue tz atujielewiiiiiii wenge jingiii kuimba lugaaa zilooo etiooo koma sava wanaelewa bunjuuu pekeake Amna ki2
@albertkadyanji9722
@albertkadyanji9722 3 ай бұрын
Wewe choko punguza domo ilo unaongea kama shoga
@neltone
@neltone 3 ай бұрын
Tanzania tuko vzr mfn n huy burna
@BenjaminMetanyau
@BenjaminMetanyau 3 ай бұрын
Huku mashabiki viazi wakiona chirs brown amecheza komasava😏 wanakaza makalio🤣🤣 utasikia diamond ameshindikana afrika💀 wakati akienda ugaibun anafanya shoo kwenye vilabu vya pombe mashabiki 150 tena kiingilio cha dola1 mamae 🙆 tanzania nchi ujinga maladhi umasikini kweri ndo janga letu
@Oficialkb
@Oficialkb 3 ай бұрын
Kuna mtu kase wameingia kwenye mfumo😂😂😂😂
@princedrama7
@princedrama7 3 ай бұрын
kutangulizwa mchana tu, usiku aaah aaah 😂
@luisojr3480
@luisojr3480 3 ай бұрын
Uchokozi😂
@samiusiraj4587
@samiusiraj4587 3 ай бұрын
Anaitwa barn shona domo,ndy
@BakariAlly-dm1vf
@BakariAlly-dm1vf 3 ай бұрын
Mond au😂
@collinndabi1914
@collinndabi1914 3 ай бұрын
Show za mchana na kelele kibao
@vibetz9991
@vibetz9991 3 ай бұрын
Mwanetu kapiga show ya nyongeza kwenye show za watu lakini wapi 😂😂😂😂af anajiita giant
@collinndabi1914
@collinndabi1914 3 ай бұрын
Ooh wameingia kwenye mfumo 😂😂😂😂 Shenzi kafanye homework
@mohamednabahan9031
@mohamednabahan9031 3 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 mamamake
@MikidadiKimilike
@MikidadiKimilike 3 ай бұрын
Kwa mnaijeria kujaza hivyo sio ajabu sababu zinaeleweka wengi mnaokoment humu hamuijui nigeria na historia yake dhidi ya nchi za ulaya
@othmanibnabdullah
@othmanibnabdullah 3 ай бұрын
Eti wamejaa kwenye mfumo wamejaa kwenye mfumo na matusi juu kawatukana wanaija haya kikowapi sasa....
@EtieniRama
@EtieniRama 3 ай бұрын
alafu uyu mondi wenu eti ni mewakome sha😂😂❤
@HeriRamadan-qx2hk
@HeriRamadan-qx2hk 3 ай бұрын
Hata wajaze bado tutapambanao TU , IPO cku Moja Simba atatukomboa.
@Burner_Acc
@Burner_Acc 3 ай бұрын
Hizo show wanajaa wanigeria wenyewe nyie bongo hata passport kupewa ni ishu. Hamna cha ajabu hapo.
@bakarimakomola
@bakarimakomola 3 ай бұрын
Tofauti ya diamond na burna boy ni language tu, diamond angezaliwa Nigeria nawaambia angekua msanii mmoja hajawai tokea duniani. Kiswahili ndo kinamuangusha pamoja sio mbaya sana... ila wengi walio mbele marekani na nchi zengine za ulaya wanatumia Kimombo( English)
@zaidyabed
@zaidyabed 3 ай бұрын
😅😅😅😅
@LouisianaRiri
@LouisianaRiri 3 ай бұрын
Kwani amekatazwa kuimba English?
@rashidingole1588
@rashidingole1588 3 ай бұрын
Huwez linganisha Wa nageria na Watanzania, wenzetu wapo weng pia wametengeneza soko mapema ulaya! Kwa iyo tuache kufananisha na wasanii wetu hapa bongo😊
@aboudasilver6541
@aboudasilver6541 3 ай бұрын
😂😂😂
@mdedsm5522
@mdedsm5522 3 ай бұрын
Diddy made it😂
@selemanifaikii1276
@selemanifaikii1276 3 ай бұрын
Hao wanaijeria wameingia kwenye mfumo 😂 alisikika mtu mmoja anasema
@mnyampaa_kisasa
@mnyampaa_kisasa 3 ай бұрын
Hawa wajinga ndo maana matakiri duh😢😢😢 laki 3 kwa watu 80,000 sio mxhezo
@chinguilechinguile1501
@chinguilechinguile1501 3 ай бұрын
Minimal 24000000000
@mrenobishoo1118
@mrenobishoo1118 3 ай бұрын
Wameingia kwenye mfumo !!!!
@Zanzibar2023Zanzibarzanzibar
@Zanzibar2023Zanzibarzanzibar 3 ай бұрын
Ndo nini?
@FredrickMatiku-xf2uk
@FredrickMatiku-xf2uk 3 ай бұрын
Huyu jamaaa ndio maana ananunua magari ya kifahari kama pipi kifuaaaaa tu
@salimhassan3369
@salimhassan3369 3 ай бұрын
Kwani bado atuja amin kwamba wanigeria awana drama kaz kaz😂😅
@MichaelAlimasi-jz1wi
@MichaelAlimasi-jz1wi 3 ай бұрын
Awo wajamaa mondy hawawez peke yake,ata afanyej.
@albertkadyanji9722
@albertkadyanji9722 3 ай бұрын
Nilichogundua apa Mondi ni mkubwa sana kwa level za wanamziki wa kibongo Mondi ndio Baba lao pamoja na wabongo machoko wana msifia uyo choko mwenzao boy nani sijui Mondi angekuwa mdogo basi wangemfananisha na msanii mwingine big up Diamond Platnumz
@MamboSuper
@MamboSuper 3 ай бұрын
Sasa vp mwambino mana Last week mulimupa sifa nyingi Sasa kulikoni masava
@donizzo9570
@donizzo9570 3 ай бұрын
Eti kuna msanii alitangaza kuwa ametapeliwa ndege Tanzania nikweli 😂😂😂😂
@nilufaallyhussein7678
@nilufaallyhussein7678 3 ай бұрын
Komasava 😂🤣🤣
@eliud21savage48
@eliud21savage48 3 ай бұрын
Diamond anakomesha kivp sasa
@aishabrondi236
@aishabrondi236 3 ай бұрын
Sns mwambieni boss wenu kuwa yéyé bado sana😂😂😂 yani domo akiwa bongo hujiona mkubwa 😂😂wa Nigeria wanakunyoosha bila kelele😂😂😂
@kadito-kenya
@kadito-kenya 3 ай бұрын
Hata Diamond namuona huku
@nzitogondwe9976
@nzitogondwe9976 3 ай бұрын
Shida wanapanga muda mapema mond angejaza
@kirengemnandi
@kirengemnandi 3 ай бұрын
SNS hamlali
@hashimuuhehwa1320
@hashimuuhehwa1320 3 ай бұрын
Kinachowafanya wasanii wa bongo kushindwa uchawa badala ya kufanya kazi yao waliochagua
@MajutoElliasi
@MajutoElliasi 3 ай бұрын
Wengine eti wajita wakimataifa ivi vituko kweri
@AkatendaAmbrosio
@AkatendaAmbrosio 3 ай бұрын
Baadae museme kwamba mondi ndio wa kimataifa,hona kazi ya mwamba iyo
@sponsor7882
@sponsor7882 3 ай бұрын
mwambino rudi tandale tu
@FredrickMatiku-xf2uk
@FredrickMatiku-xf2uk 3 ай бұрын
Yaaani huyu burnaboy ni li dude li kubwa sana anampa sana stresss diamond platinum anachanganyikiwaaaaa anakuwa kama kichaaaa adi anavaaaa vitu vya ajabu anakuwa kitukooooooo burnaboy ni Moto mwingine harmonize anamheshimu kama baba yake simba ataweza kushindana na burnaboy
@FredrickMatiku-xf2uk
@FredrickMatiku-xf2uk 3 ай бұрын
Wale wasaniii wa zamanı wakina chid benz, A.y Mr nice wanaosema eti zamani kulikuwa hakuna mitandao ya kijamiiii kamera 🎥 na walishawahi kujaza nje ya tanzania maelfu ya watu kwenye viwanja aya wafanye tena tuone mitandao ya kijamiiii ipo kamera tuwape heshima zao
@youthmediatv1
@youthmediatv1 3 ай бұрын
Kuigizia maisha mbaya mno
@FredrickMatiku-xf2uk
@FredrickMatiku-xf2uk 3 ай бұрын
Huyu jamaaa ndio maana ananunua magari ya kifahari kama pipi kifuaaaaa tu
OUR FIRST BURNA BOY CONCERT
14:36
The Kabs Family
Рет қаралды 20 М.
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 5 МЛН
NI GUMZO P DIDY NA WASANII WA AFRICA
4:18
IBRA TV
Рет қаралды 2,2 М.
Burna Boy Rema Does The Impossible Shut Down London Stadium
15:02
Daily Trend Africa
Рет қаралды 19 М.
За что любят «Крузак»🔥
0:45
ЯРКИЕ МАШИНЫ | Авто.ру
Рет қаралды 730 М.
Этот пакистанский механик гений
0:59
Бимс
Рет қаралды 3,1 МЛН
За что любят «Крузак»🔥
0:45
ЯРКИЕ МАШИНЫ | Авто.ру
Рет қаралды 730 М.