HOUSE GIRL EP 24 | S2 | love story💞💕

  Рет қаралды 133,650

BUSATI TV

BUSATI TV

Күн бұрын

#bongomovie #housegirl

Пікірлер: 866
@busatitv
@busatitv Ай бұрын
Habari kuna Mtu amefanya uhuni katika Group letu la Busati Tv Fans hivyo jiunge kwenye group jipya la Busati Tv Fans na jitoe kwenye hilo la hawali Mtumie na mwenzako chat.whatsapp.com/JyrN7hIxoagKiVTISAAdm0
@RehemaMwakisyala-k9u
@RehemaMwakisyala-k9u Ай бұрын
Ok
@RehemaMwakisyala-k9u
@RehemaMwakisyala-k9u Ай бұрын
Rehema toka Oman mbona mumetuacha njia panda 23 iliishia Tasha amuwah zatiti inakuwaje tunaanzia Kai anakula tunatoka kujua zatiti imekuwaje jaman usitulishie matukio tunataka kuona Kila atua
@FunnyHelmet-yd2hj
@FunnyHelmet-yd2hj Ай бұрын
Nimewahiiii
@khafidamkambeKhafidamk-dq7nj
@khafidamkambeKhafidamk-dq7nj Ай бұрын
Mwenye ashamuona sania kwa ubaya wake na maketasha ila mr tasha nakubali kwa mawazo yko ila matasha nakukubali sana mama nakupenda sana
@user-pi9ji6tm7s
@user-pi9ji6tm7s Ай бұрын
Kabisa tunatakatujue imekuwaje zatiti​@@RehemaMwakisyala-k9u
@rehemashinsi
@rehemashinsi Ай бұрын
haya sasa mama Tasha na chamkondooooo kimewaka huku njooooni nyie na like zizingatiwe
@mohamedabdallaseif
@mohamedabdallaseif Ай бұрын
Mm sijapenda kitendo cha Bosi kuenda nyumbani Kwa kaii wasiopendezwa na hili wanipe like tafadhali
@نيجي-ن1د
@نيجي-ن1د Ай бұрын
Anakera huyo boss mm simpendi
@SadamuLyuma
@SadamuLyuma 26 күн бұрын
Bos mby
@VenahBonah
@VenahBonah Ай бұрын
Sania mama upo kimekuramba hongera mama Tasha 🎉🎉😂😂😂😂😂😂😂 wanaokubaliana na mm gonga like❤❤
@BashiruRamadhani-p7l
@BashiruRamadhani-p7l Ай бұрын
Anapenda Tasha amuoe zatiti agonge like hapa
@LeilaAdija
@LeilaAdija Ай бұрын
Oyoooo zatiti na Tasha Kama nawaona 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@SwaidathThabith
@SwaidathThabith Ай бұрын
Anaekelwa na tabia za boss wake kai gonga like apa😜
@mmnimshindi
@mmnimshindi Ай бұрын
😢😢😢anakera anataka amuharibie zuu
@AgnessBenard
@AgnessBenard Ай бұрын
Yahani sijapendaaaaaaaa
@TeddyJames-rh6cl
@TeddyJames-rh6cl Ай бұрын
Yaan anakeraaa baraa
@JoyceKayombo-y3g
@JoyceKayombo-y3g Ай бұрын
Yaan anakera Sana na uzee wakeee😢😢😢
@jenniferzakaria3884
@jenniferzakaria3884 Ай бұрын
Bibi zuu yupo huwez kupitisha lake pale
@zafriiy
@zafriiy Ай бұрын
Dahhh nimependa bibi zuu aliposema harusi ya kai kesho mana nimechoka kuisubiri km na wew umependa gonga like
@DuliYeba
@DuliYeba 29 күн бұрын
Ata mm natamani harusi ifike
@user-el1nt8yi5n
@user-el1nt8yi5n Ай бұрын
Sijachelewa jmni kazi nzuri kusema kweli 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Wenye tunaomba sania kimurambe gonga like hapa
@BankuwihaZilfa
@BankuwihaZilfa Ай бұрын
😂😂😂
@HudhaimatHaji-wf8nh
@HudhaimatHaji-wf8nh Ай бұрын
😂😂
@priscahmahenzo642
@priscahmahenzo642 Ай бұрын
😂😂😂😂𝑯𝒕𝒎𝒂𝒚𝒆 𝒏𝒆𝒏𝒐 𝒍𝒌𝒐 𝒍𝒊𝒎𝒆𝒆𝒏𝒅𝒂𝒂😅😅😅😅
@johariabdalla3099
@johariabdalla3099 Ай бұрын
Niseme tu ukweli 😂😂napenda sehemu ya tasha na zatiti ❤❤❤ kama na wewe unapenda twende na like hapa 🎉🎉
@saumJuma-q3e
@saumJuma-q3e Ай бұрын
Hunishindi naipenda kwel hata mimi😊😂
@johariabdalla3099
@johariabdalla3099 Ай бұрын
@@saumJuma-q3e 🥰🥰
@aliceaugustine1327
@aliceaugustine1327 Ай бұрын
Hata mm jamn😂😂😂😂Yaan me napend nimuone zatiti na tasha tu
@zeyadazeyada8050
@zeyadazeyada8050 Ай бұрын
Kai tumia akili sio kila kitu una mwambia boss wako
@johariabdalla3099
@johariabdalla3099 Ай бұрын
@@zeyadazeyada8050 kwa kai sio muda kunavurugika maana maadui wamekuwa wengi
@TatuBaya-jy8jl
@TatuBaya-jy8jl Ай бұрын
House girl kumewaka moto mama Tasha shikamoo mamangu ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉hyo Sania hajazaliwa maan sio kwa kkosa adabu uko hana wazazi uyo akky ni kumoto🔥🔥🔥🔥 house girl hongereni kazi nzuri
@SaumuJumwa-u4v
@SaumuJumwa-u4v Ай бұрын
Sania anakichwa kama cha nyoka 😂😂😂kama umefurahishwa na mama Tasha gonga likes 😀😀
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m Ай бұрын
Sania ni ibilisi😂
@MoureenRogers
@MoureenRogers Ай бұрын
😂😂
@SaumuJumwa-u4v
@SaumuJumwa-u4v Ай бұрын
@@JeannetteManirambona-o6m shetan 😅😅😅
@SaumuJumwa-u4v
@SaumuJumwa-u4v Ай бұрын
@@MoureenRogers 🤣🤣🤣🤣
@fatumakamwendo7894
@fatumakamwendo7894 Ай бұрын
Kanfurahisha uyooo😂
@jobsimpamba71
@jobsimpamba71 Ай бұрын
Vizuri sana mama tasha mufukuze Sonia hafai mm nataka zatiti weka like zangu hapa❤
@AnnaAmanda-v4q
@AnnaAmanda-v4q Ай бұрын
Asante Mungu kwa asubuhi ya leo tumeona siku njema ya leo kama mzima sema ameeen 🙏❤️❤❤❤
@user-wp7uk5mb1m
@user-wp7uk5mb1m Ай бұрын
Amen
@MwanakhamicElisha
@MwanakhamicElisha Ай бұрын
Ameen
@InnocentJohn-u4e
@InnocentJohn-u4e Ай бұрын
Amen
@UmaziSalim
@UmaziSalim Ай бұрын
Amen
@suzan2929
@suzan2929 Ай бұрын
Amen 🙏 🙏 🙏
@IlhamShaban-vq3kx
@IlhamShaban-vq3kx Ай бұрын
Ubaya ubwela I am a first one ❤naomben like zen jaman
@AminaNgumba
@AminaNgumba Ай бұрын
Jmn mm nilikuw napendez kw cku mtoe vpand v3 jmn sisi mafans wenu tunapend san kz yenu km kun yoyot ameyapend mawaz yng like jmn🎉❤
@JanetBange
@JanetBange Ай бұрын
Wanao amin kuwa zatiti ataolewa na Tasha gonga like hata moja
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m Ай бұрын
Mimi niko hapa
@HAWAMAULIDI-zl5xd
@HAWAMAULIDI-zl5xd Ай бұрын
Tusha amini sana inatosha sasa bhana
@SospeterAmosy
@SospeterAmosy Ай бұрын
Jaman Leo naombeni hata like 10 tu
@thomasmwaipale2621
@thomasmwaipale2621 Ай бұрын
Bibi Zuu amlinde Kai asichepuke
@Johar903
@Johar903 Ай бұрын
Yaani mie ananikera boss wa kai anataka kuaribu
@LighySteven-gd8wo
@LighySteven-gd8wo Ай бұрын
Zatiti anateseka jamn mpaka namwonea huruma ila naamini wakati unakuja nayeye atafrahi wanaomkubali zatiti gonga like
@DelphinaJeremiah-ii1rv
@DelphinaJeremiah-ii1rv Ай бұрын
Zatiti anawafariji wanaopitia changamoto za mahusiano
@UpendoLenard-rw9dd
@UpendoLenard-rw9dd Ай бұрын
Big up kwa kazi nzuri, tunajifunza mengi kupitia house girl ni mengi ambayo yapo katika maisha halisia
@SaadffasellOmaan
@SaadffasellOmaan Ай бұрын
Nimekupenda bule mama Tasha😂😂😂😂😂😂wapi mama wakweee vijana pga keleeeeeeeee😊😊😊😊😊😊sania kayatimba alijuwa km babaake kai kwa cend😂😂😂😂
@LadyKCG
@LadyKCG Ай бұрын
Wakwanza leo much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Jenniffer-m9k
@Jenniffer-m9k Ай бұрын
🎉🎉sijachelewa jaman .🎉wenye wanatam tash amuoe zatiti munipee like🎉🎉🎉🎉
@KambaleTemauzenge
@KambaleTemauzenge Ай бұрын
Sania kayatimba leo kakumbana na mama wamjini😂
@SandrineIngabire-j7c
@SandrineIngabire-j7c Ай бұрын
Wakwanzaa leo .❤❤much love naombeni tu like angalau tudogo 😂
@Djikondj-on4le
@Djikondj-on4le Ай бұрын
Washa biki ote wa clam vevo kama mimi tu musapoti zuu🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@RuthMutheki
@RuthMutheki Ай бұрын
Tunangoja snake boy 33
@JamesZakayo-o2f
@JamesZakayo-o2f Ай бұрын
Nyie waomba like kwann msihoji kuwa zuu kaenda kwa kai usiku na bibi akasema harusi ni kesho na kumekucha kai tena anasema harusi ni kesho kwann msihoji hilo mnaomba like tu
@SuzanneOg-yj1nr
@SuzanneOg-yj1nr Ай бұрын
Jamaniii kesho hazifiki hata sielew,😏
@SharonMokeira-ij7iq
@SharonMokeira-ij7iq Ай бұрын
Jamani yani kila komenti kila mtu anataka like jamani wanaboo 😮
@annetvuseletse4509
@annetvuseletse4509 Ай бұрын
Harusi tunayo
@user-mw8nq1ye5z
@user-mw8nq1ye5z Ай бұрын
ilo nalo neno
@KabelaZainabu
@KabelaZainabu Ай бұрын
Ilikua niusiku wasanane ao satisa manaak ni siku imekua imeshapit
@AdijaRumonge
@AdijaRumonge Ай бұрын
Boss bwana acha kutuariabia movie. Tafuta ma Babu wenza koo bwana
@ElizabethEliza-d4e
@ElizabethEliza-d4e Ай бұрын
Yaan napenda sehem ya zatit n tasha 👏👏 kam n ww unapend like hapo
@Zai-q7i
@Zai-q7i Ай бұрын
Namb Moja Leo naomben like hata tano
@YusraSiyaleo-yk2fz
@YusraSiyaleo-yk2fz Ай бұрын
Kama ulimuona chiko akicheza mpira yanga day gonga like hapa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@DidaAlly-iz1it
@DidaAlly-iz1it Ай бұрын
Uyu bosi wake kai kwenye hause girl simpendi na piata hata kwenye worng hause simpendi pia maan kakaa kiumaraya maraya2 😂😂😂😂😂😂
@zeyadazeyada8050
@zeyadazeyada8050 Ай бұрын
Hata mie kwa kweli
@maureenndeti6365
@maureenndeti6365 Ай бұрын
Hata kwa wrong house ni husband snatcher😂😂😂
@DidaAlly-iz1it
@DidaAlly-iz1it Ай бұрын
@@maureenndeti6365 yeah😂😂
@DidaAlly-iz1it
@DidaAlly-iz1it Ай бұрын
@@zeyadazeyada8050 😂😂😂
@suzan2929
@suzan2929 Ай бұрын
Eee ni maraya tuu
@SelinahKeny
@SelinahKeny Ай бұрын
Oh my god I was just waiting for it's am number 1 for kenya
@YusraThomas-cb6ll
@YusraThomas-cb6ll Ай бұрын
Sania kachafukwa 😂😂 kasahau km anaepigana nae ndo mzaa chema
@ummycheedy2809
@ummycheedy2809 Ай бұрын
Nmechekaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@YusraThomas-cb6ll
@YusraThomas-cb6ll Ай бұрын
@@ummycheedy2809 🤣🤣
@Anna-me4kc
@Anna-me4kc Ай бұрын
Hay sas mama Tasha kimekuramba kwa Sania 😂😂😂 mke Bora kwa Tasha uliekuw unataka ndo uyo 😂😂😂😂
@BankuwihaZilfa
@BankuwihaZilfa Ай бұрын
😂😂😂😂
@Anna-me4kc
@Anna-me4kc Ай бұрын
@@BankuwihaZilfa 😂😂😂
@FaithJoshua-n8n
@FaithJoshua-n8n Ай бұрын
Weee sania mbwa mdogo😂😂😂❤ jamani mama Tasha mkwe wako uyo ndo ulikuwa unamuona mzuuri😊
@user-lz1qv1xe4w
@user-lz1qv1xe4w Ай бұрын
Naona watu mnawahi kweli kweli 😂😂hamlali mnafikiria tu house girl pongezi sana kwenu nyote mnao tazama busati tv ❤
@rehemashinsi
@rehemashinsi Ай бұрын
habari zenu wapumbavu wenzangu mko poa lakini like kidogo basi naombeni wqpumbavu wenzangu ili tuendelee
@Rehemamakuka
@Rehemamakuka Ай бұрын
Pumbavuu
@JudithSimiyu-ps7ee
@JudithSimiyu-ps7ee Ай бұрын
Komaa mpumbavu mwenzetuu😅😅😅😅
@mwanamisikifogo869
@mwanamisikifogo869 Ай бұрын
We boss usitutatiziye zuu wetu au tukusem kwa mizimu ushulikiwe kwani c wapo waume wegine mbon wakazania kai?😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤mm sijapend kabisa😢😢😢😢😢
@AwadhAdam-j5f
@AwadhAdam-j5f Ай бұрын
Sania amechoka kuigiza jamani nakupenda sana sania umeigiza vizuri chukua mau yako 🎉
@millicentwairimumuriuki8638
@millicentwairimumuriuki8638 Ай бұрын
Jameni naomba like dada zanguni na ndugu zangu
@farajaelias-g2n
@farajaelias-g2n Ай бұрын
Jaman
@user-oi2qc7gr2d
@user-oi2qc7gr2d Ай бұрын
Nipo bampa tu bampa na house girl❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
@mourinemusungu-w5c
@mourinemusungu-w5c Ай бұрын
Hatimaye sania amechoka kuishi maisha ya kuigiza,kaamua kuonyesha true colour mwenyewe
@JudithSimiyu-ps7ee
@JudithSimiyu-ps7ee Ай бұрын
Apo sawa
@zainabalex9810
@zainabalex9810 Ай бұрын
Amefanya poa ili zatiti apate nafasi
@stellaayiera8038
@stellaayiera8038 Ай бұрын
Jamani boss wa kai
@Djikondj-on4le
@Djikondj-on4le Ай бұрын
we boss we simutu muzima tu una taka kuaribu arusi y'a zuri we vipi😂😂😂😂😂
@user-tx6ir9oe6u
@user-tx6ir9oe6u Ай бұрын
Bibi atamuonyesha war kama malaika😂😂😂😂
@DivineIngabire-lj3sr
@DivineIngabire-lj3sr Ай бұрын
Hajawahi kumuona we muace ajitambik mbere kitamuramba kwa bibi zuu😂😂​@@user-tx6ir9oe6u
@hanifahkhamiss8485
@hanifahkhamiss8485 Ай бұрын
Aishi na baba yke kai sio kai kwa umri wake😂😂😂
@MohaMohamed-gk4hy
@MohaMohamed-gk4hy Ай бұрын
Leo ni mimi tu na hata sina mambo ya likes mie naenjoy tu.
@SifaKahindo-i6q
@SifaKahindo-i6q Ай бұрын
Nafurai sana mama Tasha ameanja Kubali ya kwamba kamukonde nimutu mubaya
@AminaPtg
@AminaPtg Ай бұрын
Chisa mwepes kaa nguo zakulalia😁😁😁😁😁😁😁😁😁
@marthanassari3524
@marthanassari3524 Ай бұрын
😂😂😂
@LinaLina-uu5pw
@LinaLina-uu5pw Ай бұрын
Kazi nzuri mnayoifanya nasi mafans twajifunia mafundisho,sijui mafans wenzangu mnasemaje....
@محمدالقحطاني-ظ3ط1ص
@محمدالقحطاني-ظ3ط1ص Ай бұрын
Huyu boss wa khai ananiudhi sana sukae kwako utulie hutakiwi aaah kuu
@user-ch6nv3mf5k
@user-ch6nv3mf5k Ай бұрын
Wa Kwanzaa jmonn
@winifrdarichard
@winifrdarichard Ай бұрын
jaman mimi wakwanza leo naomben like
@lovenessmichael7098
@lovenessmichael7098 Ай бұрын
Wakwanza leo jaman ❤❤
@MiriamSamita
@MiriamSamita Ай бұрын
Nmewai mim nataka kuona sania n uongo wake🎉🎉
@CellineDige
@CellineDige Ай бұрын
Hachelewi kujitetea yule wakamwelewa 😂😂😂😂😂famasiyara wewe😂😂😂😂😂
@ashuramuhammed3257
@ashuramuhammed3257 Ай бұрын
Mama Tasha kiboko kwel good ulivomjibu sania
@NeemaDenja
@NeemaDenja Ай бұрын
Jaman na mmi nipo naombeni laiki zangu nawapenda sana malafiki zangu 🙏🙏🙏🙏🙏
@KambaleTemauzenge
@KambaleTemauzenge Ай бұрын
Jamani namimi sijachelewa leo
@AgnesDavidmtalemwa
@AgnesDavidmtalemwa Ай бұрын
Jaman kila nikiwah nakuta mmenitangulia ila naomben tu like hata 20 nawapenda
@R0dah-z3q
@R0dah-z3q Ай бұрын
Mm ningependa tasha amuowe zatiti
@GildohilarioMaurus
@GildohilarioMaurus Ай бұрын
Uyu mwamba mkongo ananoguexa 😅😅 papai na yupo sírias
@ScholarRukas
@ScholarRukas Ай бұрын
Tasha na zatiti mnanogesha move hii jaman❤❤❤ Nawapenda
@jovanmasika5450
@jovanmasika5450 Ай бұрын
Hamna baya Busati mpo vzr mno
@GladysKarembo
@GladysKarembo Ай бұрын
Ak mama Tasha umenifurahisha kwa kweli, hongereni nyote kwa kweli.
@nurucinemax
@nurucinemax 3 күн бұрын
Boss anaumia sana😂😂😂
@YusrawhiteWhite
@YusrawhiteWhite Ай бұрын
Uyu bos nae vp jmn anatak kutuharibia shuguli😢😢
@saniambaraka
@saniambaraka Ай бұрын
Kai nae.....Wala asingemwambia boss kama harusi ni kesho😂
@HappyTimotheo
@HappyTimotheo Ай бұрын
😂
@HellenHamza
@HellenHamza 28 күн бұрын
Me mwenyewe kaniuzi sana hata kama ni movie khaa
@lavenderokunani
@lavenderokunani Ай бұрын
Kwanza jamani n pewe like
@YasmeenKhalifa-zq1zk
@YasmeenKhalifa-zq1zk Ай бұрын
We tulia
@yamunguprince7923
@yamunguprince7923 Ай бұрын
Una pata
@جاااحظمجنون
@جاااحظمجنون Ай бұрын
Usjali ni zako leo
@WardaSalumu-xl8dz
@WardaSalumu-xl8dz Ай бұрын
Wakwanza Leo nilikua naisubili Sana nimemis candy
@user-mq7tf5xh8y
@user-mq7tf5xh8y Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂mama Tasha shikamoo mama asante mama 🙏🙏🙏🙏♥️♥️♥️♥️♥️ beach zote mama mjin umeogelea mpashe Sania mama 🥰🥰🥰🥰🥰🥰💯💯💯💯💯🤸🤸🤸🤸🤸
@AgnesAjabu
@AgnesAjabu Ай бұрын
Wa kwanza leo🎉🎉🎉🎉😊
@FarizanaRichard
@FarizanaRichard Ай бұрын
Jamani leo naomba like za brother kai
@NaomyBahati
@NaomyBahati Ай бұрын
Cendy ana pua jaman ❤❤ like kwa wale mnaona pua ya kend ilivo kubwa
@aminaadam6964
@aminaadam6964 Ай бұрын
We ndio umemuumba
@CharmingAngel-wx2sk
@CharmingAngel-wx2sk Ай бұрын
Kwenda huko like hatukupei sawa ,kwani wewe ndo Mungu ulimuumba😂😂😂😂
@NyambeleHalimeshi
@NyambeleHalimeshi Ай бұрын
Lakin Ni mzuri 😅😅
@MawazoJustin-fw2ws
@MawazoJustin-fw2ws Ай бұрын
Uyu boss wakay kila saison inakuwaka kubeba wa bwana zawatu waliyo kubali tugonge like apa
@Mr.franckayo
@Mr.franckayo Ай бұрын
First off alll Like hapa jamn
@JenifaKithuka
@JenifaKithuka Ай бұрын
Wakwanza Leo kutoka Nairobi kenya
@elizabethkabanda4105
@elizabethkabanda4105 Ай бұрын
We mwenye kichwa kama nyokaa 😂😂😂Sania kimemramba 😂😂😂
@HanifaHabibo
@HanifaHabibo Ай бұрын
Tunaeomba Tasha amuoe Zatiti tujuwane maana sio kwa nizamu hizi mbaya sania ameonyesha Yani kupigana na mama Ake Tasha sijapenda ndoa ya Zuu iko lehani😂😂😂boss kaingia Kati sijui Zuu atajisikiaje
@Swamyhassan_sy
@Swamyhassan_sy Ай бұрын
Mama Tasha kimemlamba😂😂😂
@JoannyBreezy
@JoannyBreezy Ай бұрын
Anae Tama mama Tasha amfukuze Sania Tena ammamate makofi kama mia iviii Malaya huyu Sania mnafki na mchonganishi mkubwa WA familia za watu gongen like hata 5 tu
@IrakozeOlene
@IrakozeOlene Ай бұрын
WE sania kuwanaeshma nawatu wazima
@Mwana85Mwana85-wz1ol
@Mwana85Mwana85-wz1ol Ай бұрын
Sania Sania Sania 🔥🔥🔥🔥mpemba mpemba na cend na mpemba 😂kumbe ana cm pia chisa chisa cend kafika
@MwanaikiSwalehe
@MwanaikiSwalehe Ай бұрын
Huyu boss WA kai Ana kera sana
@ggfwtgg1652
@ggfwtgg1652 Ай бұрын
Waooooo mma tasha maua yako 🎉🎉🎉umejua kanifulahisha leo zaa tity anahangayika sanaaa ipo siku yatakwisha 😢😢ila huyu boss wa kai anahalibu mambo😅❤❤
@JoyceMwita-e3w
@JoyceMwita-e3w Ай бұрын
Heheheheheheeee mama tunae tuna tamba nae weweeee mama tasha leo umeamini maana we nae ni mmbishi 😂😂😂
@DoreenWakesho-g2r
@DoreenWakesho-g2r Ай бұрын
lakini huyu mpumbavu mwenzetu kwa kweli mbona mnapenda kumpa mda mrefu sana wakuongea yani kwanzia kipindi kianze ata huwa na scroll ikifika kwao hebu wapunguze maneno
@DoreenWakesho-g2r
@DoreenWakesho-g2r Ай бұрын
kwakweli hiyo part yao inachosha wanaongea nakutumia mda mwingi sana kuliko part zote😢
@WiniSanga
@WiniSanga Ай бұрын
Safi sana sania kimemramba atoke
@RoseNamataka
@RoseNamataka Ай бұрын
Nimefurahi sana kukuona mama thasha akimchamba Sania anakichwa kaa nyoka Kam munakubaliana na mm gonga like hapa
@user-fo6zw6ru9e
@user-fo6zw6ru9e Ай бұрын
Nilikuwa nikipenda sana sehemu ya zuu na kai ila sss hii napenda sehemu ya tasha na mamaake ambae yupo pamoja na mm ngonga like
@HadijaHadia
@HadijaHadia Ай бұрын
Ahaaa! Jaman house girl inazidi kunoga kila cku
@patricksamba6831
@patricksamba6831 28 күн бұрын
Tasha unajua sana hongera bro kwa kazi nzuri movie nzima umeibeba wewe
@CresensiaEnock
@CresensiaEnock Ай бұрын
Mama mkwe kayatimba 😂😂😂😂😅
@ashuramohamed1895
@ashuramohamed1895 Ай бұрын
Kuna nini jamani Kila mtu wa kwanza
@ElizabethEliza-d4e
@ElizabethEliza-d4e Ай бұрын
Sania uzalendo umemshinda sasa makucha yanatoka 😂😂
@patricksamba6831
@patricksamba6831 28 күн бұрын
Nakukubali sana brother Tasha unakuja hongera jitahidi bro
@miguelrosarioyessa7327
@miguelrosarioyessa7327 Ай бұрын
Leo nimekuwa wa kwanza.😂
@santosagost5018
@santosagost5018 Ай бұрын
Por aqui?
@GildohilarioMaurus
@GildohilarioMaurus Ай бұрын
Sania amegusa pabaya 😂😂 na mama taxa mze amepita vilabu viote
@FadhiliChunchu-x6g
@FadhiliChunchu-x6g 25 күн бұрын
Jaman mam Tasha na mkwewe huko kumeshachangamka 😂😂😂
@RamCharan-wk4qc
@RamCharan-wk4qc Ай бұрын
😂😂😂 twendee kwa Mama Tasha na mkwewe Sania mamboo yamewaka ukuu
@AshaJumaa-ej7ri
@AshaJumaa-ej7ri Ай бұрын
Ila mama tasha kanikosha kwamb hiko kichwa cha habar na hapa habar umezikuta 😂😂😂😊
@ميريالشمري-ح9ب
@ميريالشمري-ح9ب Ай бұрын
Sania atimaye umeonesha makucayako yote mama tâcha ongera kwakutazama inje kuliko ndani😂😂😂
HOUSE GIRL EP 25 | S2 | love story💞💕
24:43
BUSATI TV
Рет қаралды 132 М.
HOUSE GIRL EP 23  | S2 | love story💞💕
21:27
BUSATI TV
Рет қаралды 130 М.
Фейковый воришка 😂
00:51
КАРЕНА МАКАРЕНА
Рет қаралды 7 МЛН
Cute
00:16
Oyuncak Avı
Рет қаралды 10 МЛН
SIRI YA MAPENZI- Episode [1] LOVE STORY ❤️ ❤❤
18:43
Kaboma Tz
Рет қаралды 185 М.
MISSION IMPOSSIBLE [39]
27:06
CHADO MASTA FILM
Рет қаралды 108 М.
PLAY BOY FULL MOVIE || love Story💕💕
51:02
Tam Tam Tz
Рет қаралды 121 М.
THE HOUSE GIRL   EP - 1
9:36
MSALE TV
Рет қаралды 8 М.
OgaObinna Killer Performance at KAMBA FEST
7:43
Obinna TV Updates
Рет қаралды 55 М.
HOUSE GIRL EP 30 | S2 | love story💞💕
21:05
BUSATI TV
Рет қаралды 137 М.
Фейковый воришка 😂
00:51
КАРЕНА МАКАРЕНА
Рет қаралды 7 МЛН