HOUSE GIRL EP 66 | S3 | LOVE STORY 💞💕

  Рет қаралды 21,456

BUSATI TV

BUSATI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 488
@Dorcas-w2b
@Dorcas-w2b 18 сағат бұрын
watu wa kibendu na keina pitieni hapa ❤❤❤❤❤❤❤
@MwanamisiMuna
@MwanamisiMuna 18 сағат бұрын
Yaan mpka raha kapendeza kinoma snaa mashaallah 🎉🎉🎉y mpambaji kajitahid snaa 🥰🥰🥰
@AminaMjeni-iz8uo
@AminaMjeni-iz8uo 17 сағат бұрын
Tuko sanaaaa harusi tunayo na tunatamba nayo ❤️😂😂
@SarahHappy-k1o
@SarahHappy-k1o 17 сағат бұрын
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@ZenaMustapha-tj8yn
@ZenaMustapha-tj8yn 17 сағат бұрын
❤❤❤❤❤
@AidatAmadi
@AidatAmadi 16 сағат бұрын
Tukakule ubwabwa🤣🤣
@JescaDenis-d2r
@JescaDenis-d2r 17 сағат бұрын
Eeeh mungu mnusuru Tasha wetu na huyu mnyama chiko like kwaajili ya maombi Kwa tasha😢😢😢😢
@VioVdn
@VioVdn 15 сағат бұрын
Chiko chiko jamani muache tashaa aaaah😢mungu musaidie tasha mmmh 20:40
@mouna6920
@mouna6920 15 сағат бұрын
Zaidi ya mnyama😅😅😅😢
@sussymtunga3673
@sussymtunga3673 15 сағат бұрын
Hii harusi nilikuwa nimengoja Kwa hamu na ghamu💃💃💃🌹🌹🌹🌹🎉🎉🎉🎉❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️ mashalla. Kibendu
@Esther01-g1h
@Esther01-g1h 17 сағат бұрын
Atakaesoma comment hii mungu amvushe mwaka salama,,,,Nawapenda❤❤❤❤❤❤😊
@PeninnahPendo
@PeninnahPendo 17 сағат бұрын
😢😢😊
@elvinakalu6991
@elvinakalu6991 17 сағат бұрын
Keina umewaka mama Masha Allah ❤❤❤❤
@annnafula7476
@annnafula7476 15 сағат бұрын
Enyewe Keina amewaka sio mchezo ❤❤❤
@priscillakatana7339
@priscillakatana7339 18 сағат бұрын
Naomba like jaman. Tangu nianze kufuatilia hii kipindi sjawai pata ata Moja😢
@HadijaMaulidi-k9s
@HadijaMaulidi-k9s 17 сағат бұрын
Jamani keina amependeza anayesema keina ampendeza like❤❤❤❤
@LovesweetThuva-qj4tb
@LovesweetThuva-qj4tb 16 сағат бұрын
Keina nimuzur bana
@danDaud
@danDaud 15 сағат бұрын
Tena kapendza sana jaman Mashall ❤️♥️
@RehemaSalim-m8s
@RehemaSalim-m8s 16 сағат бұрын
Kaka kibendu pole sana unatufanya tukumbuke mama zetu hongereni sana biharusi wetu mashaalah ❤❤❤❤❤
@SamiraMohd-h9y
@SamiraMohd-h9y 18 сағат бұрын
Harusi tunayo tunatamba nayo like jamani kwa busat tv 🎉🎉🎉🎉🎉wanatupa raha kwa kwel
@KongoJefwa
@KongoJefwa 17 сағат бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉Mashallah mnaleta story flani amazing Sana yaani Kila kukicha mnazdi kubuni kitu safi Allah awape nguvu moyo maelewano na subra ili mzidi kutuelimisha
@aishaallyaishaally3220
@aishaallyaishaally3220 17 сағат бұрын
Ila keina amependeza sijawahi ona mashaallah kama mhindi ❤❤❤❤❤❤nimependa hii kali jaman 🎉❤❤❤❤
@ASHABAKARI-bu1fj
@ASHABAKARI-bu1fj 14 сағат бұрын
❤olive You❤❤❤
@MariaSalim-u5z
@MariaSalim-u5z 17 сағат бұрын
Ndugu zangu tujifunzeni kuwa watoto Bora kwa wazazi wetu kabilahawajaondoka duniani
@priscahmahenzo642
@priscahmahenzo642 16 сағат бұрын
𝐒𝐮𝐫𝐞❤
@AyshaSalumu
@AyshaSalumu 17 сағат бұрын
Keina kapendeza maashallah nimependa rangi ya gauni la keina
@SomyaS-q9t
@SomyaS-q9t 18 сағат бұрын
Alhamdulillah leo nimerauka jamani kutoka Kenya namiguu mpa tz sio kazirahisi wadau 😂😂 basi nihongeni like nami nijidai huku harusini kwa kibendu 💃💃
@FghgRyy
@FghgRyy 17 сағат бұрын
😂😂
@NyokaDeGal
@NyokaDeGal 17 сағат бұрын
Hakukua na usafiri kwani 😂😂😂
@AishaMbodze-b8g
@AishaMbodze-b8g 16 сағат бұрын
😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣sema humuu tuu mpaka harusini we huogopi
@machozimukucha
@machozimukucha 15 сағат бұрын
Unapendeza sna keina ❤❤🎉🎉🎉❤❤
@FaisalAlrefai-u2y
@FaisalAlrefai-u2y 17 сағат бұрын
MR Tasha nakupenda sana kakangu mungu akulinde na kila jambo baya 🎉🎉🎉❤❤❤
@MalkaNinik
@MalkaNinik 14 сағат бұрын
Amin
@Zebuu-kp
@Zebuu-kp 18 сағат бұрын
Nakukubali sana mwamba kama unamkubali mwamba weka alam ya upendo na sapoti zenu muimu sna 🎉🎉🎉
@MBOMAWE2
@MBOMAWE2 18 сағат бұрын
Haaaa bro mnakimbiza kinyama kazi zako nzuriiiii mpaka bas kp
@MBOMAWE2
@MBOMAWE2 18 сағат бұрын
😂😂😂😂😂
@SheduboyJames
@SheduboyJames 17 сағат бұрын
Nawakubal sana halaf napenda kilamba san
@DelphinaJeremiah-ii1rv
@DelphinaJeremiah-ii1rv 18 сағат бұрын
Nimewah na mm 363 naomba like na mm😂😂😂
@Madam255
@Madam255 17 сағат бұрын
Mimi wa afu 7500
@MariamJ4-y2w
@MariamJ4-y2w 18 сағат бұрын
Nimekua wakwanza leo naombeni like, zenu jaman ❤❤
@ValelianaKayombo
@ValelianaKayombo 16 сағат бұрын
Anadanganyaaaa😂😢
@MariamJaberi-g5y
@MariamJaberi-g5y 18 сағат бұрын
Mr Tasha nakupend san brother mungu akupe umri mrefu ❤❤❤❤
@Saumu254
@Saumu254 18 сағат бұрын
Pole kibendu😢😢😢😢 Kw uchungu wa mama kukosa ndoa yenyu ❤❤😢😢😢
@munira-yn3uu
@munira-yn3uu 17 сағат бұрын
Mashallah keina umependeza sana,pole sana kaka kibendu mungu akupe nguvu twakupenda sanaa❤❤❤❤❤
@NuruSalum-x2t
@NuruSalum-x2t 18 сағат бұрын
Keina na zuu alopendeza zaidi ni nani like japo moja
@jenivajacob7460
@jenivajacob7460 16 сағат бұрын
Kei
@ashahassanhiribae1527
@ashahassanhiribae1527 16 сағат бұрын
Keina kapendeza sana
@FaustaGilba
@FaustaGilba 16 сағат бұрын
Keina❤❤❤
@josephinamarko3323
@josephinamarko3323 16 сағат бұрын
😂😂😂wivuuu ila Keina halooooo🎉🎉🎉
@TashaCosy-gc1fs
@TashaCosy-gc1fs 15 сағат бұрын
Keinah
@AishaMbodze-b8g
@AishaMbodze-b8g 16 сағат бұрын
MashaAllah mpambaji yuko vizuri keina umependeza hadhi rahaa vile hii ni ndoa ya ukweli sio ya kwenye sanaa chukua mauwa yako 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@MwanamisiMunnah-x3v
@MwanamisiMunnah-x3v 17 сағат бұрын
Pole sana KIBENDU😢😢😢maneno yako yamenikumbusha mbali sana 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢mama ni muhimu katka hii dunia Allah awarehemu wote walotangukia 😢😢😢😢😢
@SaudaNassoroali
@SaudaNassoroali 15 сағат бұрын
Amiin amiin amiin 🤲🤲🙏
@salamamwazuma315
@salamamwazuma315 17 сағат бұрын
Tunaolia na kibendu tujuane 😢 kwel mui hua mwema 🤲
@JoyceKayombo-y3g
@JoyceKayombo-y3g 18 сағат бұрын
Wapii keinaaa chombo yamaaana 👌👌👌👌❤️❤️❤️❤️❤️❤️ yaan mhinduuu kabisaa keinaa
@Popo-p3b
@Popo-p3b 18 сағат бұрын
Mabrouk kaka kibendo❤❤❤
@aishaomar2287
@aishaomar2287 17 сағат бұрын
What i can say "MASHALLAH TABARAKARAHMAN "🎉🎉🎉🎉
@BethwanjiruNganga
@BethwanjiruNganga 18 сағат бұрын
kama umefurahishwa na ndoa ya kibendu nipeni likes 🎉🎉🎉🎉
@MdHossen-q8c
@MdHossen-q8c 18 сағат бұрын
❤❤mashall
@MwanaMwana-f8f
@MwanaMwana-f8f 17 сағат бұрын
Keina kadamsh mashallah
@ElinahChama
@ElinahChama 15 сағат бұрын
Congratulations kibendu umepata jiko nimefurahi sana hakikaa mungu ni mwemaaa mashaallah
@Leytbarakah-dw7xd
@Leytbarakah-dw7xd 16 сағат бұрын
Ila sania hadi raha Jamani ❤❤❤❤
@AshrafuHaruna
@AshrafuHaruna 15 сағат бұрын
Moto 🔥 🔥 🔥 anaowasha chiko nihatari apewe maua yake😅
@FatmaWeko
@FatmaWeko 17 сағат бұрын
Mrs kibendu umependeza ma shaa allah
@stellahmwanza3221
@stellahmwanza3221 17 сағат бұрын
Mashallah keina na kibendu❤
@biommy6700
@biommy6700 17 сағат бұрын
Ma Shaa llah tabbaraka llah keina kapendeza hatari... Pole Kaka kibendu yenyewe inauma harusi mama, dada hawapo,,, candy alijitia mwingi wa habari akosa arusi,,, tindi kali itawarudia hawa manyangaa.. Gonga dole km unakubali
@EmJesho
@EmJesho 18 сағат бұрын
Waoooooo harusi tunao na tunatamba nao🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@Beatrice-z4c
@Beatrice-z4c 16 сағат бұрын
Nimechelewa ila nimefika team keina mashallah kapendeza sana ila pole kibendu kwa kumfikiria mama ila yote n ya dunia mungu akupe wepesi kwa kila jambo ❤❤❤❤❤
@mariambakari-h9n
@mariambakari-h9n 18 сағат бұрын
MAASHALLAH MAASHALLAH TABARAKALLAH Da keina umependeza wallah iwe ya kheir Inshallah kibendu be strong kwa kwel pia mm umenitoa mavhoz kwan mmako alitamn hio siku kwa hamu na ww chiko mwisho wa ubaya ni aibu utaumbuka wenzio wanasonga mbele kimaisha ww bado upo hapo ulipo kwa sababu ya roho yako mbaya
@VirginiamueniPeter
@VirginiamueniPeter 15 сағат бұрын
Waow keina umependeza kwa kweli wp like za keina
@HappyNass-mu3lu
@HappyNass-mu3lu 17 сағат бұрын
Waoo 🥰🥰🥰 kibendu na keina mependeza sana
@FinindyFiana
@FinindyFiana 18 сағат бұрын
Kibendu shemej yangu mbona ujanialika,hata ww shoga angu keina😂😂Haya zawadi hiyo🎉
@AsmasaidiTitu
@AsmasaidiTitu 16 сағат бұрын
Niwambie tu kibendu ndie mpenz wangu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ nimenongewa kwa keina
@ZainabuMohamedy-w9n
@ZainabuMohamedy-w9n 17 сағат бұрын
Wawoo keina umependeza ndugu Dah!❤❤❤❤❤❤
@MwanakomboHamisi-wt3yc
@MwanakomboHamisi-wt3yc 18 сағат бұрын
Mashallah Bibi harusi keina kapendeza mungu akuepushie jicho la husda lipite mbali❤❤❤
@everlinenjuguna2281
@everlinenjuguna2281 16 сағат бұрын
Jamani harusi tunayo hatuna,,,,wapenzi wa kaka kibendu na mtarajiwa wake keina mpoo❤❤❤❤❤
@FghgRyy
@FghgRyy 17 сағат бұрын
Pole sana Kibebebekibe kibendu sa mbona nami nalia umenikumbusha pia mama yangu kipenzi😭😭 nahis ndio mie vile nikija kuolewa hatohudhuria ndoa yangu Subhana Allah Namuomba Allah Mtukufu azidi kulipamba qabri lake nour ala nour Aamiyn ya'Rabby
@Mamuuu-y7z
@Mamuuu-y7z 15 сағат бұрын
Jaman keina umependeza sana.ndoa zote za house girl lkn ya kibendu na keina imeweza🎉
@mouna6920
@mouna6920 15 сағат бұрын
Yni duu ingekua mama kibendu bado mzima angefurahi sana ila nina imani ata uko aliko anatabasamu kwakua mwanae ametekeleza ombi alolitaka toka enzi za uhai wake😢🎉❤❤❤🎉🎉hongera sana mr&mrs kibendu 🎉🎉🎉🎉🎉
@TausiEme
@TausiEme 17 сағат бұрын
kibendu pole sana ,wallah umenifanya natoa machozi,❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@MariamHamisi-h4g
@MariamHamisi-h4g 18 сағат бұрын
MashaAllah nmesubiria kwa hamu yote❤❤❤
@FatmahRmdan
@FatmahRmdan 14 сағат бұрын
Mashallah kibendu iwe ya kher inshallah ❤❤❤❤❤
@SalumOmar-z3x
@SalumOmar-z3x 17 сағат бұрын
Hongera kipenz kibendu .kwa kufanya jambo la heri❤❤❤❤❤❤😊
@ceciliawilly8573
@ceciliawilly8573 18 сағат бұрын
Congratulations keina and kipendu 🎉❤
@DivineIngabire-lj3sr
@DivineIngabire-lj3sr 17 сағат бұрын
Mr tasha naomba mungu akulinde jamani chiko utajutia madhambi unafanya siku yako yakiyama😢😢
@McT-m1m
@McT-m1m 16 сағат бұрын
Mashaalah mwenzenu hapa nafurarahi kuona kibendu anapata jiko
@haluarahma3071
@haluarahma3071 18 сағат бұрын
Mashallah bibi harusi keina kapendeza kapendeza tena❤❤❤kaka kibendu be strong wew ni mwanaume nawe😢😢😢unalia Lia.
@RehemaMwakisyala-k9u
@RehemaMwakisyala-k9u 16 сағат бұрын
Hata kama mama anauma sikia tu kwa mwenzio
@SitiSaid-ol9rm
@SitiSaid-ol9rm 14 сағат бұрын
​@@RehemaMwakisyala-k9usana tenaa
@Naima-v6v
@Naima-v6v 15 сағат бұрын
Mashallah Keina umewaka kinoma adi yanitia wivu ❤❤🎉🎉🎉
@BenadethaPaul-s4n
@BenadethaPaul-s4n 17 сағат бұрын
pole kibendu lkn pia congrarulations mashaalah
@BeckyKerubo-254
@BeckyKerubo-254 17 сағат бұрын
Nilikuwa nasubiri sana kibendu na keina kufunga ndoa ❤❤❤❤❤❤❤
@OmanMuscut-ju3xp
@OmanMuscut-ju3xp 16 сағат бұрын
Mashaallah jitambikie kipnzi kama ujabatika kuipata ndoa basi inshaallah M/MUNGU akujalie uipate kiukweli ukweli umependeza sana K❤❤🎉😊
@sayunimnguruta98
@sayunimnguruta98 17 сағат бұрын
Kibendu pole sana ila shukuru Mungu unabaraka zote za mama pia umepata mke mwema Acha mama apumzike kwa Amani😢 Hongera keina hakika umependeza sana❤❤❤❤
@GuilaineWasso-q7t
@GuilaineWasso-q7t 18 сағат бұрын
Mashallah keina umependeza sn nakupenda
@HalimaAli-h4r
@HalimaAli-h4r 18 сағат бұрын
Harusi tunayo ama hatunaa🎉😘😘
@SALIMAMALIKAGHAJOK
@SALIMAMALIKAGHAJOK 18 сағат бұрын
Kibendu n keina hongereni sana kibendu ulipendeza usiliache hilo vazi kaka
@samhasuleiman7673
@samhasuleiman7673 15 сағат бұрын
Keinaaa❤
@ZZawadi-s5v
@ZZawadi-s5v 18 сағат бұрын
Keina ni mzuri sana waaaa nafurahia doa ya kibendu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@Lilian-k4s
@Lilian-k4s 17 сағат бұрын
Kazi nzuri jukueni maua zenu 🎉🎉🎉🎉🎉
@ahmednassor6887
@ahmednassor6887 16 сағат бұрын
Vigelegele jaman pamoja na like japo 3
@FloraMkumbo
@FloraMkumbo 18 сағат бұрын
Hongera dada keinaa umependeza🎉🎉🎉🎉
@MwanaishaChileta
@MwanaishaChileta 17 сағат бұрын
Mashaa Allah kibendu yuwaowa iwe ya hery baba umetisha
@janeburu6538
@janeburu6538 15 сағат бұрын
Keina umependeza sana❤❤❤❤ nakibendu halusi tunayôoo n'a tunatamba nayo
@MemoryKamutandi
@MemoryKamutandi 18 сағат бұрын
Waooo keyina umependeza sana dear ❤❤❤❤🎉🎉🎉
@everlinekenga437
@everlinekenga437 15 сағат бұрын
Hongera kibendu na keenah🎉🎉🎉🎉🎉
@EstherMzungu-b4n
@EstherMzungu-b4n 15 сағат бұрын
Uyu mpambaji wa keina amefanya kazi nzuri sana 🎉🎉🎉
@CarolyneMusuto
@CarolyneMusuto 17 сағат бұрын
Keina na Kibendu woeee💃💃💃💃💃💃🙌🙌🙌🙌👏👏👏👏👏
@Mwanamisi-q2v
@Mwanamisi-q2v 16 сағат бұрын
Umeniliza kibendu hata Mm nilikumbuka wazazi wng pole sana kibendu 🎉🎉🎉🎉
@Leilajepmtu
@Leilajepmtu 18 сағат бұрын
Kipendu Masha Allah 🎉❤🎉❤🎉
@HalimaMohamed-s3r
@HalimaMohamed-s3r 16 сағат бұрын
Keina umependeza sana jmn mashallaaa
@MwanajumaMajimbo
@MwanajumaMajimbo 17 сағат бұрын
Mashaallah keina kapendeza sana❤❤❤❤
@ianwizzen_
@ianwizzen_ 18 сағат бұрын
MY BEST MOVIE
@MaryMunyao-f3w
@MaryMunyao-f3w 15 сағат бұрын
Me too
@MilkaWambui-l7k
@MilkaWambui-l7k 15 сағат бұрын
Keina uko fiti na mekap nayo💋
@michelngendakuriyo2267
@michelngendakuriyo2267 18 сағат бұрын
Nice one ni Mimi kutoka bururi last time
@Noella-p5u
@Noella-p5u 18 сағат бұрын
Manshallah ndoa tunao kwa kibendu ❤❤❤❤😢😢😢😢
@fatmamdihiri4164
@fatmamdihiri4164 18 сағат бұрын
Pole kibendu umekumbuka mama masikini hulitaman awepo mn alipambana sn ww humuoe keina😢😢
@sakina5550
@sakina5550 16 сағат бұрын
Jamn kibendu pole sana umenitoa machozi 😢😢😢😢 KEINA UMEPENDEZA SANA❤❤❤❤❤❤Mashaallah 💞💞💞 sania 🎉🎉🎉
@RahabuKal
@RahabuKal 17 сағат бұрын
Nyie nyie kujeni kwenye shuuli keina mremboo🎉🎉🎉🎉🎉
@Mjeni-n7r
@Mjeni-n7r 16 сағат бұрын
Waaah🎉🎉🎉hii harusi ya Leona moto jaman amapendaza 🔥🔥😍🥰
@hanifahkhamiss8485
@hanifahkhamiss8485 17 сағат бұрын
Keina kapendeza mashallah 😍 ❤
@HvgUgg-w1p
@HvgUgg-w1p 17 сағат бұрын
Mashalah keina kapendeza.kweli👌👌
@JuliethSanagala
@JuliethSanagala 16 сағат бұрын
Mashallaah keina umependeza sana kama kweli
@Mwanajumahassan-tg3zg
@Mwanajumahassan-tg3zg 17 сағат бұрын
Hongera kibendu na keina harusi ya kheri mashallah kibende mzurii❤❤❤❤ keina umependeza tunayo harusi❤❤
@Lucy-v3y
@Lucy-v3y 17 сағат бұрын
Keina kapendeza mashallah🥰🥰🥰
@AshaMohd-u7n
@AshaMohd-u7n 17 сағат бұрын
Haruc tunayo na tunatamba nayo hongereni waalikwa🎉🎉🎉
@HappyDickson-d2g
@HappyDickson-d2g 18 сағат бұрын
Me napita tu jaman❤❤❤🎉🎉
@MemoryKamutandi
@MemoryKamutandi 18 сағат бұрын
Waoooo jaman tunawapenda sana ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@ElizaShaline
@ElizaShaline 15 сағат бұрын
Walai napenda hizo muziki inaitwa aje KZbin hizo Ngoma 🎉🎉
@MwanarusiMohamed-m3w
@MwanarusiMohamed-m3w 15 сағат бұрын
Maashaallah keina kapendeza❤❤🎉🎉
@omazkaingwa6898
@omazkaingwa6898 17 сағат бұрын
Hongera kibendu
@EverlinNamalwa-ml4oe
@EverlinNamalwa-ml4oe 15 сағат бұрын
Kibendu Na Keina much love from Kenya ❤❤❤❤
@Rehemajumanne-qy5mk
@Rehemajumanne-qy5mk 16 сағат бұрын
Nimependa seen ya sania na kibendu sania amebadikika MashaAllah
Plan B _ Episode 27
40:18
kp wa Aquino
Рет қаралды 27 М.
DUNIA (Ep 24)
25:33
ASMA FILMS
Рет қаралды 112 М.
What type of pedestrian are you?😄 #tiktok #elsarca
00:28
Elsa Arca
Рет қаралды 36 МЛН
Hoodie gets wicked makeover! 😲
00:47
Justin Flom
Рет қаралды 139 МЛН
Salasya Having Lunch with Team in the Village Home
4:18
SALASYA TV
Рет қаралды 750
ANGALIA CHADEMA YAMKALIA KOONI MSOMA MATOKEO YA KULA
3:14
NTANTA EMPIRE ONLINE MEDIA
Рет қаралды 8 М.
MPENZI JINI-MKOJANI/KHANIFA/GALASA
13:48
OSO ONLINE TV
Рет қаралды 539 М.
HOUSE GIRL EP 64 | S3 | LOVE STORY 💞💕
23:49
BUSATI TV
Рет қаралды 90 М.
MISION IMPOSSIBLE [12] SEASON 2
29:36
CHADO MASTA FILMS
Рет қаралды 102 М.
#batek_official #юмор #pov #shorts
0:48
NAREZKYBATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 1,5 МЛН
Bro turned a crumb into a fortune ☠️ #motivation #money #inspiration
0:57
Winners_Mentality
Рет қаралды 19 МЛН
Говорящий замок на воротах🤣😆
0:24
Фильмач
Рет қаралды 3 МЛН