Group la kutumiwa Links tu chat.whatsapp.com/Jf3PLbJkKbTLEiNFD1aJ3o
@marthasamson4622 күн бұрын
Tunakuomba utuongezee Dakika hata ifike nusu khaaa
@raajtz80732 күн бұрын
Sure@@marthasamson462
@SadaNusra-dt5tx2 күн бұрын
Masikini zu
@Norah-dee2 күн бұрын
Wanao amino candy uchiz utamrudia ni wngp tujuane mgonge like hapa twenden kwa mwamposa 🎉🎉
@saumodzumbo96712 күн бұрын
Tupo hapa
@onesmusfondo76792 күн бұрын
Candy sio mwanamke wa kuolewa,arudi tu bar aendelee na umalaya hko...
@user-gu2yu2wp1z2 күн бұрын
🤚🤚🤚
@Fayzer-yb4ic2 күн бұрын
Mm hapa uchizi candy utampata mwenyew tu
@Rahema1232 күн бұрын
😂😂Yani nimecheka kwa saut 😂heti twendeni kwa mwamposa 😂😂
@user-mv6vi1gv6f2 күн бұрын
Wanao amini zuu naomba like ❤🎉❤🎉
@mohamedlopa84102 күн бұрын
Kama una iman zuuh atamshindwa candy kwenye hii vita tujuane kwa like zakutosha na dua nyingi kwa zuuh.....😅😅😅❤❤❤
@mohamedlopa84102 күн бұрын
❤
@ClarisEdgar2 күн бұрын
zuuh atashinda tuuu
@mohamedlopa84102 күн бұрын
❤❤❤
@mohamedlopa84102 күн бұрын
❤❤
@mohamedlopa84102 күн бұрын
😢😢😢
@RichardMuteke2 күн бұрын
Anae Amini kama zuu ata Rudi kwa hali yake ya kawaida gonga link hapa😂😂
@tigejuma98652 күн бұрын
Tunao amini mungu kwmba nguvu za giza haziwezi shindana na NGUVU za mungu...gusa like apo na twende pmoja 😅
@user-qd7ey5cp5s2 күн бұрын
Watu mko na ma ubaya huku😢 yaani mtu hawezi tangulia kwa amani😢team strong kama unakubali yarudie kendy gonga like hapa😂😂😊
@user-tj9gk6rr8w2 күн бұрын
😂😂😂😂😂Joto limeshika
@user-qd7ey5cp5s2 күн бұрын
@@user-tj9gk6rr8wJamani😂😂😂
@HidayaMbodze2 күн бұрын
Yatarudi tu na tubaki kwa amani
@user-qd7ey5cp5s2 күн бұрын
@@HidayaMbodzeAmen dear
@user-ee5ek3se1s2 күн бұрын
Tena afe kabisa huyo cendy
@marthacharles35392 күн бұрын
Asante kwa movie nzuri yenye mafunzo
@ZabibusuphianialisuphianiAlly2 күн бұрын
Team zuu twende kazi na uchizi kumenoga huku 😂😂🎉🎉❤
@CarolineWanjala-tp1tx2 күн бұрын
Wangapi wananiunga mkono kwamba zuu atashinda hii vita nguvu za giza hazilingani na za mungu🙏💪
@besuramahenge60322 күн бұрын
Nimewahi. Na Mimi jaman tunao mkubali zuuh tujuane kwa like
@user-qv7dm4ok6g2 күн бұрын
Leo wakwaza naomba like zenu mashabiki wenzangu
@zawadisaid34542 күн бұрын
Leo mimi wakwanza nipeni like zangu nikiwa saudia Arabia Riyadh ❤❤❤❤❤❤❤
@johariabdalla30992 күн бұрын
Wa 75😂 tunao mpenda zuu like hapa
@AvinethEdward2 күн бұрын
Nimekua wa Kwanza jomon😢😢😢😢😢 like naomba
@nancyg86642 күн бұрын
😢 oko jomoni
@MerryBallet-lj9cz2 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@jacklineshayo39622 күн бұрын
Daaahhh wa2 mko speed. Nmechelew dakka 6 ty lakn kumejaa. Naomben likes za wachelewaj 😂😂🎉🎉
@user-sz4uu7su4i2 күн бұрын
Wa kwanza .. M niwape pongezi uongozi wa Kaz hii mko poah sanà hususani kwenye suala la mda na mpangilio wa kazi ❤❤❤
@user-hc7nc1hj6y2 күн бұрын
Nipeni like zangu Leo team zuu tumeumia jamani
@AlylenShitamu-tc2ng2 күн бұрын
Mm nmeskia vibaya sana ju ya zuu na kai lakini mungu yuko pamoja na wao
@cindy-uc5dp2 күн бұрын
Like zako ulimpa nani
@AdolphinaNgasa2 күн бұрын
Sana😢😢
@everlyneouma-ss5zc2 күн бұрын
Sana😢
@LeahMussagagi2 күн бұрын
😢😢😢
@Aishybeb2 күн бұрын
Team saudy niko sijachelewa viile ❤❤❤kwa kai n zuu tukisonga mbele
@user-gn6zc8wy7e2 күн бұрын
Me wa kwanza jamn naombeni like zenu kutoka arusha❤
@Messia-ws4er2 күн бұрын
Nimekuwa wakwanza like Zang ❤😂🎉
@cindy-uc5dp2 күн бұрын
Like zako ulimpa nani
@Messia-ws4er2 күн бұрын
@@cindy-uc5dp zuuh Pamoja na ww😂🙈
@habibahabiba46932 күн бұрын
Wakwanza Leo jamani naomba like zenu
@LilyMbembat2 күн бұрын
Leo nimewahi naomben like
@Lily-rn6xc2 күн бұрын
Nimewah naomben like zenu😅
@cindy-uc5dp2 күн бұрын
Like zako ulimpa nani toa maoni unalilia likes kwani Ni chakula au
@anithamsigala83952 күн бұрын
Candy nakuita tena candy......... Yatakukuta mambo mazito🏃🏃🏃 nipo hapa
@edwardokanga82782 күн бұрын
Nimekuwa wakwanza Leo wapi likes zangu jamani
@RahimaMct-ik8mr2 күн бұрын
Mie ndio wakwanza najipa like mwenyewwe❤❤❤
@cindy-uc5dp2 күн бұрын
Vizuri jipe mwenyewe Wacha shobo mitandaoni
@GivenessJamal2 күн бұрын
Jmn Mungu amsaidie zuu na kai
@Ismaelmeja2 күн бұрын
Jamani toeni maoni hacha kuomba like because hizo like hakuna mahali sinatujukua🙏🙏🙏🙏🙏
@wemaruth60682 күн бұрын
Wanaboo
@Ismaelmeja2 күн бұрын
@@wemaruth6068 Yes ety Mimi ni kwanza naomba like jameni 🤣😅😅😅
@hadijamohd60282 күн бұрын
Yaani mm sipendi kila mtu nipeni like ndio nini sasa team strong ebu ache ni ujinga bwana
@MhindiSayi15 сағат бұрын
Siku zote mazuri hushinda mabaya, kwo candy lazima ashindwe kabisa
@Ismaelmeja12 сағат бұрын
@@MhindiSayi Amen 🙏🤚🙏
@AishaMohamed-xh7uf2 күн бұрын
MASHALLAH kaz nzuri❤
@Rehemajumanne-qy5mk2 күн бұрын
Pande za dubai hapa leo nimekua wa kwanza jaman naomben like zangu
@cindy-uc5dp2 күн бұрын
Huko Dubai hakuna like mpaka ulilie watu hivo
@Rehemajumanne-qy5mk2 күн бұрын
@@cindy-uc5dp pole naona umeumia Mimi kuwahi🤣🤣🤣
@cindy-uc5dp2 күн бұрын
@@Rehemajumanne-qy5mk una kichaa wewe I'm talking about to comment about the video instead of that you're here crying all in the name of likes mbwa wewe
@cindy-uc5dp2 күн бұрын
@@Rehemajumanne-qy5mk unalilia likes kwani Ni chakula badala utoe maoni jielewe wewe kanyau
@cindy-uc5dp2 күн бұрын
@@Rehemajumanne-qy5mk wenzako tunatoa maoni kwenye video wewe upo hapa kulilia likes kwani Ni chakula
@SabrinaSabrina-ji1cb2 күн бұрын
Nimekuwa wa kwanz jmn naomben like zang
@MerryBallet-lj9cz2 күн бұрын
Okay🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@cindy-uc5dp2 күн бұрын
Like zako ulimpa nani
@SabrinaSabrina-ji1cb2 күн бұрын
@@cindy-uc5dp weng niliwapa like jmn
@edimaralupenza9172 күн бұрын
Wa kwanza mie Leo like zangu naomba😂😂
@Kimwana2552 күн бұрын
Jamani Leo nimewai nipeni like zangu apa
@KemmyMercy-my9uf2 күн бұрын
Eti Mungu amesikia kilio chako we kendy 😂😂sema mganga amekusikia.........wachawi,waganga na washirikina wote mabaya yao yawarudie mapema hii kwa jina la YESU somebody say AMEN 🙏🙏
@NajaribuZamaradi2 күн бұрын
Wakwanza mimi nipen like zangu
@user-nl8ef7oi7u2 күн бұрын
Wa kwanza Leo jmn naomben like zangu
@user-gt8ys8gj7e2 күн бұрын
Can't wait to watch these ❤❤❤ gonga likes
@Lucky_japhet2 күн бұрын
Like zng faster ata ishilini jaman au sio
@user-fh5ko7he2z2 күн бұрын
Nimefika basi mm ila kendi jamani ana roho mbaya kwa kweli😢😢😢 mm sijapenda aki
@DanilovianaViana2 күн бұрын
Mimi pia Léo jameni likes zangu nimewaihi
@SwaumMapunda2 күн бұрын
Mm sjui wangap emb nipen namba bas😢
@LightnessUrio-fo7mq2 күн бұрын
Yani nyie minyani kila siku mnakua wakwanza mnakera nyie wote wa mwisho mm ndowakwanza sasa mnipishe mnipe like❤😂🎉❤❤🎉🎉🎉 nawapenda a
Ila busati Mambo yenu mazuri hii movie imenifundisha kitu
@patrickkavughe33132 күн бұрын
Good
@hlimaa51822 күн бұрын
😢😢😢😢zuu kawa chizi 😢😢ila Candy fimbo uliopiga kwa mbele umeona ila inapo rudi nyuma hujui nani itampata furai ni wakati wako ila ujue mwisho wa furaha ni kilio 😢😢😢 Busati TV nawapenda mno 🎉🎉🎉maua yenu
@user-sr7pk7vb8o2 күн бұрын
Jamanii ilo buyuu mngeweka kwenye mfuko basii😅😅😅linatishaa
@aishaomar22872 күн бұрын
Wameliacha wazi peupeeee😂😂😂
@IreneLudani2 күн бұрын
Wanaoamini kwamba zuu atarudi kuwa mzima mnipe like zangu hap
@IleneWami2 күн бұрын
Nimekuwa wap Hamani naombeni like zenu🎉🎉
@BeatriceMvaty2 күн бұрын
Jaman mi Niko kwenye maombi ap naomben bx at like moja😢😢
@user-te1tk8yp6v2 күн бұрын
❤❤❤❤
@LuluFwalo2 күн бұрын
Nami Leo nimewah naomba like zenu🎉🎉🎉🎉
@busatitv2 күн бұрын
🙏🙏
@AdijaWashuma2 күн бұрын
Nimekuta wakwanza naombeni like Zang opless
@cindy-uc5dp2 күн бұрын
Likes kwani Ni chakula
@HalimaSalehe-cd5emКүн бұрын
Jamn zuuh wangu😢 upone haraka my girl ukawe mke mzuri Kwa khai❤
@buru12352 күн бұрын
Mm Naomba hizo mauchawi warundishe Kwa kendy Wallai Na Niko shua atarudi kwake tna Niko n Imani zuu atapona in Jesus Name Amen 🙏
@FurahafutakazaGloria2 күн бұрын
Ovyo kabisa iyi stories inanifanya naona siipendi Tena iyi sini ya zuuu
@AvinethEdward2 күн бұрын
🎉🎉🎉Leo nimekua wa Kwanza pls team zuuu
@JastonnaruweniJaston-cu5rm2 күн бұрын
Savi sana
@PendoRobert-ph6ux2 күн бұрын
Ila wew candy
@user-bv4bw1wp2e2 күн бұрын
Candi unajua sana Hadi unakera yaani unacheza kama kweli jitu lenye roho mbaya yaani noma sana❤
@Jackiline-kw3zq2 күн бұрын
Wakwanza leo nipeni like acheni uchoyo
@user-ox1gn7us9d2 күн бұрын
Moto Kama pas wako wap watu wa zuu
@TausiMonica2 күн бұрын
Nice
@user-ww1cm2pi8i2 күн бұрын
Wanaomba like mnaboa jamani kila mtu eti naomba like 😏
@carolinesidi-od4ni2 күн бұрын
Ety ata hawana haya
@JenniferMbulage-jy6br2 күн бұрын
Jmn nawapenda san
@FauziaSaidi-ow6cr2 күн бұрын
Jamn nimelia kajili ya zuu😂😂😂😂
@MwajumaOnesmo2 күн бұрын
Nikajua pekeangu😢😢 na Kai sijui itakuaje
@eunice18082 күн бұрын
Wa kwanza
@SuzanneOg-yj1nr2 күн бұрын
Asaiv mnatuwahishia kweliii ❤❤❤
@HelinaEdward2 күн бұрын
Wa kwanza leo❤❤❤❤❤
@MaryamAlly-u5o2 күн бұрын
Hongereni kwakazi nzuri🎉
@user-rv4zq7gn2i2 күн бұрын
👋
@renathakalamage49312 күн бұрын
Khaaaa watu hamlali kila nkitaka kuwahi siwahi mnaboa bhana aya naombeni like zangu ivyo ivyo
@happymkama22952 күн бұрын
❤
@-kagerayetubw9jx2 күн бұрын
Sijawai kubadika kuomba like 😢
@user-fw9vd3yo3v2 күн бұрын
jamani candy anaroho mbaya
@user-xo7ns7bc8c2 күн бұрын
Namchukia sana Candy
@user-cg8ti1re1t2 күн бұрын
lkn naona zuu atashinda kwenye hii vita .wenye wanaona zuu ndo mshindi kam mm munipee like🎉
@SarahBimuloko2 күн бұрын
Jameni nawapenda sana kwa sababu munatupatiya next épisode kwa haraka jameni mu like apo kama mupo pamoja na mimi from🇨🇩🇨🇩🇨🇩bendele
@RodaFrasinc-ze2dr2 күн бұрын
Leo nimelala hap😂😂😂😂
@AweiyBeauty2 күн бұрын
Shoga ake na Candy mzur masha Allah❤
@neemamakupa57642 күн бұрын
Jamani tumuombe MUNGU amsaidie Zuu na tuamini uchawi wa mganga utagonga ukuta🙏🙏🙏
@MaryamMaryam-ru1qt2 күн бұрын
Kiukwer nimelia xna dah uchaw mmbaya xna hya yapo kwenye jsmii zetu kabisa allah a2epushie mbli na wabaya
@priscilladama86862 күн бұрын
Hongereni washiriki nyote mko sw
@busatitv2 күн бұрын
🙏🙏🙏💪💪💪
@AdijaWashuma2 күн бұрын
Pole sana zuu🎉🎉
@glorymhanga87182 күн бұрын
Wakwanza leo nipeni hata likes bas
@glorymhanga87182 күн бұрын
Candy uchawi utamrudia mwenyew
@user-lw2ju5yp9l2 күн бұрын
❤❤
@juliethrobart94302 күн бұрын
Nimekuwa wa kwanza kuitazama naomba link zangu😂
@user-nl4ri8tj6z2 күн бұрын
Leo wa kwanza
@user-su5oi5wb6c2 күн бұрын
Haya zuu amekua chizi sasa kendi furahiya ila ujue malipo ni hapa duniani na umeyatimba kwa bibi akipona yeye ni wewe kendi 😢😢❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@JacklineMazonge2 күн бұрын
Jaman mungu tulindie zuu wetu na kayi
@JustineSilukala-io3nd2 күн бұрын
good nice jobu
@haniyathswai24382 күн бұрын
Jmn zuuuuuuuu
@user-eg1tz6xe5y2 күн бұрын
Inshallah zuu atakua sawa Kwa uwezo wa allah
@busatitvКүн бұрын
🙏🙏
@PillysalimSengo2 күн бұрын
WA kwanza Leo 🤍🤍
@fammamourchy21642 күн бұрын
😢😢😢😢 Machozi yanidondoka kwa kweli Ila poa Bibi fanya kitu basi urudishe ubaya kwa Candy
@uvccmsenetiiringa72722 күн бұрын
Boom
@FatumaSalimu-mm2jt2 күн бұрын
Leo nimekua WA kwanza kutoka tanzania
@SECILIAEZEKIELMREMA-mu8xl2 күн бұрын
Tuongezeeni muda jaman, filamu ni nzuri sana
@Tumasalo992 күн бұрын
Wanaoamn candy kitamramba mchana kweupe na rafiki yke amkane tujuaneee😂😂😂😂🎉