PROBLEM [21] FINAL

  Рет қаралды 27,020

CHADO MASTA FILM

CHADO MASTA FILM

6 күн бұрын

Пікірлер: 195
@mohamedlopa8410
@mohamedlopa8410 4 күн бұрын
Kama unakubali series ya ploblem kuanzia mwanzo mbaka leo final tujuane kwa like zakutosha...😂😂😂❤❤❤❤
@YohanaLutta
@YohanaLutta 4 күн бұрын
❤❤
@mohamedlopa8410
@mohamedlopa8410 4 күн бұрын
❤❤
@MariamMZIMBA-zf5ev
@MariamMZIMBA-zf5ev 4 күн бұрын
Nimejifunza mengi sana kupitia hii kwakweli Kazi nzuri History imemfanya ata mume wangu kutoka kwenye mawazo potofu Alikuwa anafkiria kutafuta utajiri wa aina huu na sasa kaacha kabisa kuwaza ayo mawazo kwakuona hali ya mkeo
@mohamedlopa8410
@mohamedlopa8410 4 күн бұрын
​@@MariamMZIMBA-zf5ev❤❤❤
@AbelFrancis-ww7cb
@AbelFrancis-ww7cb 3 күн бұрын
Kuna chakujifunza
@user-fw2jk3mx7g
@user-fw2jk3mx7g 4 күн бұрын
Chado kazi nzuri sasa leo ndio mwisho wa mchezo sasa naomba like zenu zote za hanifa na huyo aliyekuwa anauguza hanifa wote nipeni ili nipate kusubiri tamthilia mpya
@AdijaRumonge
@AdijaRumonge 4 күн бұрын
Wallah naombeni like zang Leo wakwanza sijawai kupata like🙏🙏🙏🙏
@luckylucky7153
@luckylucky7153 4 күн бұрын
Kama tulianza pamoja hadi tamati pitisha like tukisonga chado ww ni mkali wao
@user-ul5jk5gr2d
@user-ul5jk5gr2d 4 күн бұрын
❤❤❤ nwakubal nyote..kaz nzur sana, ila uyo ustadh hakuwajibka kwa chochot kile zaid kuboesh😅😅
@macatao
@macatao 4 күн бұрын
Tuna subili kazi nzuli nyengine Bado tupo macsho
@user-tc5le7sv7t
@user-tc5le7sv7t 4 күн бұрын
Atimae tumemaliza Salm Allahmdhulilah asanteni sana kazi ilikua moto moto mulipo nipo kutoka omani nasubiri zaidi ya hii kaka ❤❤
@user-qq2oc4bt3i
@user-qq2oc4bt3i 4 күн бұрын
Kazi nzuri Sana... mwanang chado...ongereni nyote mlio shiriki Kwa kukamilisha kazi nzuri Na yenye mafunzo kwetu...by Mr okay 1time
@SusanJulius-cu8xp4vx4m
@SusanJulius-cu8xp4vx4m 4 күн бұрын
Shukran Kwa kazi nzuri na pia poleni Kwa changamoto ila mmenifunza kitu kubwa sana heri nipate hela Kwa jasho langu acha ning'ang'ane na waarabu wangu ni Kenya nipelekee ushindi
@SelemaniIddy-nc1nf
@SelemaniIddy-nc1nf 4 күн бұрын
Chado master unajuwa kuingiza naomba move inayokuja igiza kama msela sawa
@AminaReylah
@AminaReylah 4 күн бұрын
Duuuuh hongera chado kwa kaz nzuri
@azizakabago8108
@azizakabago8108 3 күн бұрын
Kaz nzur san bro, naomba hyo nyimbo ya problem tafadhali
@zainaalmahlruqy5829
@zainaalmahlruqy5829 4 күн бұрын
Kazi nzuri sana lakini ombi langu kaka zetu wanaume muache kuvaa macheni shingoni NA mikononi sasa hatujui mwanamke ni nani ..... mjidhalilisha sana mwanaume RIJAL SHAKHSIA AWE MKAKAMAVU SIO KUJIREGEZA NA HAYO MACHENI YENU .....KWA KWELI HANIFA NINAKUPENDA NA KWELI UNAJUA KUEKTI NA NI MZURI SANA
@SittaMnhogolo-dw3os
@SittaMnhogolo-dw3os 4 күн бұрын
Sikatai Mimi ni wa7 nipeni like zangu nife nazo
@PROFESSOR_OF_THE_CENTURY
@PROFESSOR_OF_THE_CENTURY 4 күн бұрын
Big up kazi nzuri sanaa pia nimependa tulikuwa atusubirii sanaaa yaan weka tuweke
@mejumaabaraza3989
@mejumaabaraza3989 4 күн бұрын
Hii film cjaiona na kosa lolote wallahy nzuri toka mwanzo mpaka hii finally big up nyote mlio shiriki
@ChanceMarie-Claire
@ChanceMarie-Claire 4 күн бұрын
Hongera saaana Mista Chado kwa kazi nzuri
@labunaabouna6122
@labunaabouna6122 4 күн бұрын
Hii nzuri sana.kuliko kwakweli mafunzo ya kutosha
@FarajiJackson
@FarajiJackson 4 күн бұрын
Nakubar mze baba
@user-ji6cp1ng8g
@user-ji6cp1ng8g 3 күн бұрын
Ilitakiwa muonane na mkeo umuombe msamaha
@MkasyswallehsaidSwalleh
@MkasyswallehsaidSwalleh 3 күн бұрын
Hongereni kwa kz yko nzr mr chado....mungu awalinde hpo na penginepo inshallah ❤❤
@chiefnumborecords4819
@chiefnumborecords4819 4 күн бұрын
Anifa kiukwelibunajua sana mungu AKUBARIKI sana wewe na chado na wengine woote hongereni sana
@user-by6bg2fq6b
@user-by6bg2fq6b 4 күн бұрын
good job jamn 2nasubr kazi nyibgineee nzuuuri zaid ya hiii
@user-wv3du7ld2p
@user-wv3du7ld2p 4 күн бұрын
Safi Sana chado nimekuwa nanyi mwanzo adi mwisho licha ya kuwa Niko busy kwa kazi zangu ila huwa sichelewi kabisa, Asante Sana nimejifunza mengi Sana katika hii tamthilia thanks Sana,, Ila chado ombi langu ni siku moja nipate nafasi ya kufanya tamthilia moja pamoja nanyi ndashukuru Sana kwa kweli❤❤❤❤❤I'm from Kenya
@user-rs1pf1zi9d
@user-rs1pf1zi9d 4 күн бұрын
Nilipenda umuombe msamaa anifa na muwe psmoja tena❤❤ nawapenda sana. Ngadara nimempenda yeye na jina lake... Baba mwenye nyuma❤❤ Ostazi❤❤
@RizikiZiki
@RizikiZiki 4 күн бұрын
Asante sana chado kwaujumbe mzito ulotupa kwakweli tuace tama kutaka utajiri kwaharaka tutafute kwajasho letu mungu akupe nguvu uzidi kutuelimisha isha Allah
@user-ly8tg7fc3w
@user-ly8tg7fc3w 4 күн бұрын
kazi vizur sana tulikuwa pamoja ❤❤👌👌
@Kidawa-cn7rm
@Kidawa-cn7rm 4 күн бұрын
Jamani chado hongereni sana from mtegon to probrem umefanya vizuri mno, series Ina mafinzo mafinzo na ujumbe mzito katika jamiii
@ZakyaBakari
@ZakyaBakari 3 күн бұрын
Walahii Leo mmenifuraisha kazi nzuri🥰🥰
@falmaliciousfoods4638
@falmaliciousfoods4638 4 күн бұрын
Kazi nzuri sana zaid ya sana....big up guys...hongereni tamlithia nzuri sana yenye mafunzo makubwa ndani yake❤❤❤❤❤
@BienvenuAmisi-dl7oh
@BienvenuAmisi-dl7oh 4 күн бұрын
Ongera sana mr chado kwa kazi hii, kwakwel tumeweza kufatilia movie mzim mpak tumemaliza vizur, ongereni saan ,from USA
@nelsonandanyi
@nelsonandanyi 4 күн бұрын
Khanifa Dee Queen nakupenda sana dadangu
@esterkimalio8846
@esterkimalio8846 4 күн бұрын
Kazi nzuri sana kaka CHADO
@ShadiaBashiru
@ShadiaBashiru 4 күн бұрын
Kazi nzuri kaka chado
@BoniphacyKapuga
@BoniphacyKapuga 4 күн бұрын
Kazi nzuri hongereni
@hellenConstantine-gx7vy
@hellenConstantine-gx7vy 3 күн бұрын
Hongera sana. Inafunzo kubwa sana
@user-le8fq7vb3o
@user-le8fq7vb3o 2 күн бұрын
Chado unajua kuigiza sana mungu akubariki sana.probrem imenifundisha sanq
@KhamisiOmari-yo7jx
@KhamisiOmari-yo7jx 4 күн бұрын
Chado seris imekua nzuri sana haijakua na makosa kabisa ila imetoa mafunzo watu kupunguza tamaa na kujipambania kiualali.
@nelsonandanyi
@nelsonandanyi 4 күн бұрын
Kali kuu noma 2024 East Africa
@WilliamMokili-u5f
@WilliamMokili-u5f 4 күн бұрын
Chado tumejifunza mengi sana mungu akubariki
@rastarocko
@rastarocko 4 күн бұрын
Movie kali sana kiukweli mmefanya vizuri sana 🔥🔥🔥
@YeriKahindi
@YeriKahindi 4 күн бұрын
Kazi nzuri saana wana movers mumecheza kama nyinyi nimeipenda saana,, japo sp 21 iliboa kidgo baada ya shem yake chado kuingilia kati... Big up saana
@rizikichantal-wi2jw
@rizikichantal-wi2jw 4 күн бұрын
Ungekutana namkeo ndo ifike mwisho lakini hongereni sana kazi zuri
@justineshirietso1952
@justineshirietso1952 4 күн бұрын
Kazi mzuri sana,tunategea filamu ngine sasa
@SamuelAloo-qv3kg
@SamuelAloo-qv3kg 4 күн бұрын
Chado master, wewe ni master kweli kweli
@AsliCell-sg4wt
@AsliCell-sg4wt 4 күн бұрын
mashallah nzuri sana
@freddywizzyTz255
@freddywizzyTz255 4 күн бұрын
Pole anifa na shekhe kwa majeraha
@ButoyiRukiya
@ButoyiRukiya 4 күн бұрын
Chado sikuwahi kucelewa hata second kwakufatiliya problem hakika uko vizuri Kaka. inamafunzo saaana
@user-dh2rv2rf9c
@user-dh2rv2rf9c 4 күн бұрын
Good message thank you am Joram black from Nairobi Kenya ❤❤❤❤❤ one love
@user-pv5sy7wu7s
@user-pv5sy7wu7s 4 күн бұрын
Chado master chafu hatli USA GASTER.KANZIZENU MZULI SANA NAKUBALI SANA WAPI HANIFA DADA ANGU UNAJUWA SANA NAKUFTILIA MDAMLEFU TANGU UPO MKOJAN GANG .YANI YA AUJAWAHI KUWALIBU .YANI TAMSILIA UKIKOSA WEWWE APO BASI NAIYONA MBAYA .KWENYE TAMSILIA USIKOSE DADA ANGU UKIWA HAUPO HATA SIANGALII ❤BLESS .CHADO MSHINE
@shidashida6060
@shidashida6060 4 күн бұрын
Shukran sana,nijifunza kitu pia,mnaweza sana na problem ni story ya uhakika inaendanae na maisha ya sasa yalijaa ushetan.
@user-od5xf1dp5yt
@user-od5xf1dp5yt 4 күн бұрын
Leo mimi ni wakwanza nipe hata like moja
@ClaireGeorge-iw8xi
@ClaireGeorge-iw8xi 4 күн бұрын
Kazi nzuri Mr chado much love from kenya 🇰🇪 plzz nmependezwa na iyo wimbo wa problem plzz nataka kuidownload naipata vipi
@sweetbabymwangi8373
@sweetbabymwangi8373 4 күн бұрын
Yaani gadaya alimzaba Hanifa kofi la kiukweli nilikuwa najuwa ni camera trick. Anyway hongereni kwa kazi nzuri. Movie hii ina mafunzo tele. Tusiwe watu wa tamaa na kutaka utajiri wa kirahisirahisi na wa haraka. Tutoe jasho na tutie bidii tutapata utajiri. Much love from Mombasa Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Kidawa-cn7rm
@Kidawa-cn7rm 4 күн бұрын
Mimi nimejifunza vitu viwili vikubwa, kwanza hakuna Raha ya maisha wakati familia yako inatesela, pili ni upendo wa dhati chado kwa mke wake, wadau natumaini yumejifunza kitu hapa, Mr chado tunaomba kazi nyingine bomba bila kuchelewa
@DamarisDammie
@DamarisDammie 4 күн бұрын
Nimechelewa lkn n xawa finali Sasa good job chado 👍 tunategea kitu kipya kabisa nimeipenda hii
@user-vz9cm1xy5g
@user-vz9cm1xy5g 4 күн бұрын
Pongezi sana Chado master
@user-wm9xn9iy4s
@user-wm9xn9iy4s 3 күн бұрын
Kazi nzuri sana
@peterfujokalogi7821
@peterfujokalogi7821 4 күн бұрын
Leo nimewahi like
@user-qq2oc4bt3i
@user-qq2oc4bt3i 3 күн бұрын
Chado Masterrr baba umeuaaa mamboo mazuriii nyinginee inatoka liiiniii baba
@HunchoQuavo-di4os
@HunchoQuavo-di4os 4 күн бұрын
Unajuwa sana brother 🎉🎉
@MonaaOm
@MonaaOm 4 күн бұрын
Kaka Chado congratulations kwa kazi yenyu ❤❤❤
@user-jx4rx6jy6y
@user-jx4rx6jy6y 4 күн бұрын
Asante sana nimejifunza kitu tuko pamoja mtuletee ingine tena nawapenda wote ❤❤
@user-qq4zr3sk2g
@user-qq4zr3sk2g 4 күн бұрын
Umaridadi huficha umaskini mwanangu Manyunga😂😂😂hongereni kazi ni 🔥🔥🔥🔥washiriki wameitendea haki 👏👏👏♥️
@luchoally6918
@luchoally6918 3 күн бұрын
Anaitwa Manyonga pia mcheki kwa youtube yake andika Manyo lee
@jamesmutali4356
@jamesmutali4356 4 күн бұрын
hapa mm nmesoma kitu kimoja heri maskini mwenye amani kuliko tajiri mwenye husuni na mashaka
@ShamsaGao-nn1ge
@ShamsaGao-nn1ge 4 күн бұрын
Nasisi 2nakushuru kwa kitu kizur🙏🙏TEAM CHADO🎉
@user-rh7hk4il2m
@user-rh7hk4il2m 4 күн бұрын
Ngadai angeli kuuwa kumbe anifa polesana tunashukuru saana nawapenda tunawasubiri tena from American Texas
@Bestudio-2
@Bestudio-2 4 күн бұрын
Kazi Kazi inaisha na utamu wake
@Mamajaula
@Mamajaula 4 күн бұрын
Anifa na kukubali sana minimsha bikiwa tunaomba mtowe namba mbili❤❤❤❤🥰
@Sadiq-lu8xs
@Sadiq-lu8xs 4 күн бұрын
Fresh mwisho ndo hua wengi wanajisau bt fresh mwisho umeisha vizuri
@user-zs1it4dr5k
@user-zs1it4dr5k 4 күн бұрын
Hongeleni sana muvi mzuli sana
@bishopsamuelmburuofficial.1145
@bishopsamuelmburuofficial.1145 4 күн бұрын
Tunamshukuru pia na tumejifunza mengi tamaa bele mauti nyuma ....sasa twakuomba uishikanishe iwe moja kubwa yani iwe moja tafadhali
@user-sd6gi1nb8w
@user-sd6gi1nb8w 3 күн бұрын
Imeenda vizur sana hio🎉🎉🎉❤❤❤❤
@MariyamMaslahi
@MariyamMaslahi 4 күн бұрын
Kazi nzuri bro pia hongereni kwawote mlo shiriki mpe hayy da hanifa
@fundimudy6325
@fundimudy6325 4 күн бұрын
Mmetisha sana
@nicholausadam5570
@nicholausadam5570 4 күн бұрын
KAZI nzuri Sana aisee mmeweza jitahidi Sana tunakuunga mkono Sana sana
@GaudenciaMadirisha
@GaudenciaMadirisha 3 күн бұрын
Picha inafunzo sana hii🙏🙏🙏🙏
@GERMAINSungurs
@GERMAINSungurs 4 күн бұрын
Hongela sana bro
@hamisishehe7235
@hamisishehe7235 4 күн бұрын
Big up bro chado am from 🇰🇪watching you from 🇰🇼
@user-rl5zb1jc9k
@user-rl5zb1jc9k 4 күн бұрын
Kweli tamaa n mbaya
@HusnaIsmail-pq6yf
@HusnaIsmail-pq6yf 4 күн бұрын
Umetisha kaka
@SCSI523X
@SCSI523X 4 күн бұрын
From Oman kazi nzuri wote mnajitahidi Mshikamane siku zote kuelimisha jamii.
@DaudiEmanuel-yv3jt
@DaudiEmanuel-yv3jt 4 күн бұрын
Huyu manyonga n Nan mbn sijawaig kumwona kabla
@AlexNdumia
@AlexNdumia 4 күн бұрын
Nakubali filamu ya chado
@TantineZuzu
@TantineZuzu 3 күн бұрын
Nimekubari sana iyi series ❤❤🇧🇮🇧🇮
@OmanOmani-el2os
@OmanOmani-el2os 4 күн бұрын
Ndoimeisha
@francksylvester7844
@francksylvester7844 4 күн бұрын
Wa kwanza na mimi naombeni koment zeni
@falmaliciousfoods4638
@falmaliciousfoods4638 4 күн бұрын
Tunasubiri kitu kipya na kizuri 🎉🎉🎉
@user-rl5zb1jc9k
@user-rl5zb1jc9k 4 күн бұрын
Nawakubali sana team chado
@AdijaRumonge
@AdijaRumonge 4 күн бұрын
Asant sana chado master kwakazi nzur kabisa mung akubarikiii❤❤❤
@rggghc
@rggghc 4 күн бұрын
Congratulations 🎉🎉🎉🎉🎉
@abdulazizitwalib5859
@abdulazizitwalib5859 4 күн бұрын
Hatimae tumemaliza salama
@MatokeoEmmanuel
@MatokeoEmmanuel 4 күн бұрын
Kazi nzur sana
@OmarShevo
@OmarShevo 4 күн бұрын
Life is all about problem 😅 nakubali chado master
@user-pg6jr7kp2w
@user-pg6jr7kp2w 4 күн бұрын
Chado apewe mauwa yke🎉🎉🎉🎉🎉❤
@IbrahMligo-fu3om
@IbrahMligo-fu3om 4 күн бұрын
Chado wew ni noma
@user-on8cb8qq9o
@user-on8cb8qq9o 4 күн бұрын
Good job ❤❤ mr chado we really appreciate your work 😊
@aishaomar2287
@aishaomar2287 4 күн бұрын
Pamoja mwanzo hadi tamati Alhamdulillah
@Roze-so4he
@Roze-so4he 3 күн бұрын
Kazi tamu
@user-vo7yb6wp1m
@user-vo7yb6wp1m 4 күн бұрын
Nimewai Na mimi Leo kazi nzuri sana Mr chado🎉🎉❤
@PeterJoji-bi8jn
@PeterJoji-bi8jn 4 күн бұрын
Kanzi nzur San💯💯🇹🇿🇹🇿
SNAKE BOY | ep 26 | SEASON TWO
35:19
CLAM VEVO
Рет қаралды 303 М.
PLAN B _ Episode 2
26:28
kp wa Aquino
Рет қаралды 105 М.
버블티로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 92 МЛН
KUFULI | EP 2 |
20:56
KIM VEVO
Рет қаралды 12 М.
FALL IN LOVE | EP 3|
29:04
BHAILAM
Рет қаралды 42 М.
KIPEPEO WA #LOVE BITE AKIELEZEA MAMBO USIYOYAJUA KUHUSU YEYE
2:27
DIRECTOR MAYA CREATOR
Рет қаралды 2,2 М.
Zaidi Ya Rafiki ( more than a friend) Full Movie 2024| Love story | Bongo Movie
53:02
HAKUNA NDOA
11:49
Joti TV
Рет қаралды 169 М.
MKOBA WA MAMA Episode [  6  ]
24:35
TANU PLUS+
Рет қаралды 33 М.
WAMEYATIMBA [3]
11:02
CHADO MASTA TV
Рет қаралды 6 М.
MIMBA YA MIEZI 12 ({ Ep 04 })
23:56
DOKO
Рет қаралды 29 М.
HOUSE GIRL  EP 23 || love story💞💕
18:37
BUSATI TV
Рет қаралды 118 М.