Anae amini kuwa Mr kilamba ni handsome gonga like hapa
@zuleykhasaid967Ай бұрын
Weee kay Kay Kay nimekwita mara tatu 😂😂unatufanya sie tujione ni mayatima wa mapenzi nyiee 😂😂😂 ila nawa❤❤❤❤ wote
@user-pu5he5he7xАй бұрын
Kweli jamni
@abelymzumbweАй бұрын
Like Kwa zuu tafadhali
@user-ys3wz1sf7sАй бұрын
Mtu akiomba like simpi,, candy kinazidi kumramba nataman papa atokezee apoapo pakiwepo chiko
@oman1oman179Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@user-mv6vi1gv6fАй бұрын
Jamani leo 92naomba like 🇧🇮 mwenye atakuja nyuma 🎉❤🎉
@lydiahnyongesa69Ай бұрын
Leo nimewahi jamani ....naomba like kwa leo tu😂😂 kutoka kenya🇰🇪🇰🇪
@user-mo9fl7mi2qАй бұрын
Itapeleka wapi likes
@user-wz8vt6xl2lАй бұрын
Leo naomba like 100 jamani mimi mitu wa Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮💪💪💪
@user-wk5yv4um4mАй бұрын
😂😂😂😂jamen mbona hamujaongelea paparaizu ya baba like zake jamen kai nakubali sana ❤❤❤ pamoja na wenzako woteeee🤜🏼🤜🏼
@BucumiGabriel-ni5qxАй бұрын
Kai juu, hadi nimeweka Bando ya mwezi kwaajili yako I agree bro,gaby from 🇧🇮
@MohammedyJuma-wf3jcАй бұрын
Candy sio mwanamke wa kuoa ata iwe serious kias gn 😂😂😂
@Miriam-kk6lrАй бұрын
,😂😂 pia wewe umeona ivyo 😅
@MohammedyJuma-wf3jcАй бұрын
@@Miriam-kk6lr hamna mke pale nikama vile amekosa radhi za wazazi kwel 😂😂😂😂🤗🤗
@Sultanasuzie-uo3ccАй бұрын
Mmmh ni move tu bhanaaa 😂😂😂
@AishaAlmas-cm5bfАй бұрын
😂😂😂😂. Umeacha nimecheka kwa sauti@@MohammedyJuma-wf3jc
@Grace-kt3ypАй бұрын
Muongo WWE ukikutananaye live utampenda
@HalimaJafari-yv2thАй бұрын
Wapi zuu na Kai kwamistari nawapa maua yenu❤❤❤
@merinazyd0532Ай бұрын
Jamani hizi raha za family ya kai ziendelee ili movie izidi kunonga ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Mungu awasaidie tupo na nyie
@JoharySizyaАй бұрын
Zuu punguza mapozi, wew mnzuri mapoz sasa, ila nakupenda 😘
@mohamedlopa8410Ай бұрын
Harus tunayo hatuna ila msisahau mwandaz nitakuwa kitengo ....ww uogopi Gonga like nying kwa muandazi.....😂😂😂
@mohamedlopa8410Ай бұрын
❤
@Kimwana255Ай бұрын
Mm Kila siku naomba like sipewi😢
@DanielMichael-op9zjАй бұрын
Aya kimwana ❤ngoja nikupe like
@user-yk9xn5nd3zАй бұрын
Nshakupea like
@HusseinAlly-so1bwАй бұрын
Pole
@mercyassy5469Ай бұрын
A cha kuombaa
@HudhaimaYussufАй бұрын
Unataka ujalizie nin Kwan eti 😂😂😂
@elizabethobaigwa9521Ай бұрын
Harusi tunayo am happy niliona kai akiwa hai
@elizabethobaigwa9521Ай бұрын
Aki wengine n wachoyo ebu likes hapa
@simbasportsclub6653Ай бұрын
Wakwanza naomba like zenu
@MwanalimaAbdallahkeaАй бұрын
Khai na zuu hayo mapenz yalipofikia Mash Allah mwaniumza mm niliye kuwa mbali sasa 😂😂team strong hamjaskia kafiling fulani hivi 😂😂
@zainabusabas7421Ай бұрын
Kanini 😂😂
@MwanalimaAbdallahkeaАй бұрын
@@zainabusabas7421 🤣🤣🤣🤣
@AngelMbarakaАй бұрын
Na nyiny mnatak kumujua mmiliki wa Nyumba kama mm twenden kwa like Tujuane 😢
@rosemarenga832Ай бұрын
Isije ikawa ni Tasha😅
@wemakorogwe6900Ай бұрын
Zuu na kai mnanipa raha kwakwel kwa mala ya kwanza wanaofrahia mapenzi ya kai na zuuu gonga like hapa
@IsmaelOkongo13Ай бұрын
Wenye walikua wanajua candy kitamramba wako wapi 😂😂😂😂😂
@HappyNass-mu3luАй бұрын
Kitamramba zaidi
@joycegodfrey4683Ай бұрын
Zuu na wigi lake piga like kwa zuu ake 😂
@MohamedBakari-fv3usАй бұрын
Badili kanzu iyo kk aumna semaje jaman km unakubalian na mm gonga laik ap🎉😢😮😊❤😢
@peterphilipo5103Ай бұрын
Leo kama kawaida nimekuwai wa kwanza hongereni tim Busati Kwa kuendelea kutoa huduma iliyo Bora tena ya uhakika na wakati
@mwanakomboomari1145Ай бұрын
Nasema leo pia mimi mnione jamani ❤❤ hata km ni moja like
@Khadija-kr9hxАй бұрын
Wa kwnzaaaà
@janathykamarizaАй бұрын
We kaï na zu tafadhali bhana muache hayo maneno yenu ya mapenzi wenzio ma single huku tunaumia😂😂😂😂❤❤❤❤❤
@Roby-nw8szАй бұрын
Jaman pole saaan tuko wengi tunatesema usife moyo ipo siku tutakuwa kama Kai na zuuu
@muhsinhassan5273Ай бұрын
Hhhhhhhhh msinisahau na mm huku single mwenzenu
@lutfiyahsaidi6666Ай бұрын
😂😂😂 bora ww upo cngle mm mwezio nipo cngle, singenge, singeli, sengerema na hata cjali 😂😂😂😂😂
@ZamzamMusa-ve5tcАй бұрын
Wakwanza like zenu
@MwiraqKuncellyАй бұрын
Zuu na kai kwe swal la big bom wametixha aliyeelewa naomb like zenu
@emmahmoraa4884Ай бұрын
Akuna mwenye anaongelelea kuhusu Khai na zuu kushare sweet kama umegundua ivo gonga like hapa mapenzi weuh❤❤❤❤❤
@user-pg8og1gp1uАй бұрын
Wakwanza kabisa ata ka like kamija jamani
@abelymzumbweАй бұрын
@@user-pg8og1gp1u Lakini ndo kamija🤣
@elizabethobaigwa9521Ай бұрын
Pia nipe like yako
@mary-lx3hrАй бұрын
😂😂😂lakn Hawa wakina mpumbavu mwenzangu Si wanapendana sana jamani
@user-mr4et4vw6pАй бұрын
Wakwaza jamani like zangu 🎉🎉🎉
@Sofiashabani780Ай бұрын
Nitaagalia badae nimeenda 😂😂😂
@DaisyNyabutoАй бұрын
Sasa candy Tena umejikaanga ukasahau Sania ako na picha za papa😢❤❤❤🎉🎉🎉 congrats chiko chako Kiko motoni zatiti usijali ❤❤❤❤
@RehemaKakuluАй бұрын
Leo nimewai jamni naombeni at like mbili ndugu zangu 😂
@suleyanderherrera9510Ай бұрын
Haman kendi mito unamuwakia muwakia😂nipeni like zangu kwa kendi
@TedySangaАй бұрын
Kil sku like semeni mnajifunza nini😢😢😢
@SabrahNibukaАй бұрын
Haswaaaa
@hadiaamiri-ig9xmАй бұрын
Tunajifunza kuwa tamaa mbaya na ukitupacho kwako kwamwengine dhahabu❤
@SabrahNibukaАй бұрын
Asa family ya kai
@CeciliaMatanda-z3mАй бұрын
Eeee plz
@EverlinNamalwa-ml4oeАй бұрын
True...
@EsterEster-mo3hdАй бұрын
Ila Zuu na Kai anaeza fnya ujichomeke kwenye mahusiano ya siojulikana nia nn 😂
@s.aaa-y8wАй бұрын
Khaaaah halafu ukosee Nina upatane na tapali la mapenzi kumbe mwenzio alikuwa mvumilivu tu mbona utakoma wewe😅😅
@sharifabahar9905Ай бұрын
😂😂😂sasa candy pua kama mm kwann umetoboa pua
@marymele9714Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@LatiffahHassanАй бұрын
😆😆😆
@NeemamussaMaitaleАй бұрын
Naomba like zenu
@irenestephen399Ай бұрын
Jamani nipo ndani ya dk 20 dk 18 jaman mnipe likes basi khaaa
@user-yk9xn5nd3zАй бұрын
😂😂😂naona movie ikilekea pazuri zaid masha Allah tabark Allah
@TausiMonicaАй бұрын
Good job 👍👍
@kalonduKilyungiАй бұрын
Wakwanza Leo,naomba likes pia
@abedysteven4930Ай бұрын
Kwenye movie saw 2taachiana nyumba lakn maisha ya kawaida c rahis ntakuchomeamo!! Yan ujenz ulivyo mgumu hvyo nkuachie nyumba Tena kirahs hvyo weee hujanishawish!!
@jalxs6745Ай бұрын
Tena ata mtoto awanaye 😂
@user-wb4um3jz1oАй бұрын
Leo nimewahi naomba like zangu nawapenda sana wana busati🎉🎉🎉
@LadyKCGАй бұрын
Weee leo wa kumi pitieni mkunywe maji please 😂
@Tynamnyilis9824Ай бұрын
Nimewahi Leo naomben like zangu😂😂
@zawadikimaro4087Ай бұрын
Kay injoy baba MUNGU Akubariki Sana
@MiltradeDavid-dg9vwАй бұрын
😂😂nimengoja saana
@abdulmbapeАй бұрын
Jamani mmoja atueleze like znafaida gan
@lavenderokunaniАй бұрын
Mapema kama kawa,,kendi kimekuramba
@everlynechirindo8126Ай бұрын
Habari zenu,,,habari zenu tena💃
@MariamMusa-jz6usАй бұрын
Jamn mm nimesbria zawad kumbe pipi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@patridabernard9148Ай бұрын
Hongeren sana kai na zuuh mungu awajalie afya njema
@user-cy2rb4pf7eАй бұрын
Leo mimi wa kwanza, naomba like zenu
@HelenaMbwamboАй бұрын
Ivi candy anabaki kuzurura tuu muda wa kwenda clinik ahaaaaa 😂😂
@Lovekidoti32Ай бұрын
Wala muda wa kutapika aahaa 😂
@JosephineMegoraАй бұрын
Yaani
@NeemaMwotelaАй бұрын
Leo nimewah kai❤
@user-sy9cu5ef5qАй бұрын
Jamani naona wivu kwa mapenzi ya khai na zuu hongereni sana 🎉🎉🎉❤nawapongeza nikiwa 👉👉hapa Kenya 🇰🇪
@MwendeMunyao-zi1iyАй бұрын
Nimewai naoba like❤❤❤
@merinazyd0532Ай бұрын
Leo nimewahi 😂😂😂😂😂😂Cendy kaumbuka 😂😂😂
@user-mm2oe3tx4jАй бұрын
Asante sana team busati munawahi kutoa tunazidi kupata burudan ganga like hapa ❤
@UmayyaNkya-ze3riАй бұрын
😂😂😂Ndo tuseme mnalalaga humu
@kaninisalome8174Ай бұрын
Pia ww umeona😅
@Restuta-o8hАй бұрын
Kwa mara ya pili tang nimeanza kuangalia hii series nimekuta wa mia4
@user-iq6fz6uw7xАй бұрын
Kazi nzur san kai na zuu nawapenda san
@faithkaluluАй бұрын
waaao,wa kwaza apa,nipeni likes wadau 😂😂
@ChotyGuddanSharukukhanАй бұрын
Mashaallah mwenyezi mungu awazidishie
@MatridaPaschalАй бұрын
Bado mn feli kenye dakika tuuu move iko good sana
@ChristineMwende-t4xАй бұрын
Wow,! Kai na zuu ❤❤❤ congratulations
@millicentwairimumuriuki8638Ай бұрын
Nashukuru kwa kuwaomba likes na mkanipa jana ata leo mkinipa nitashukuru
@JumaRashide6 күн бұрын
Yani tangiya nimezaliwa sijaona splaizz Kama hii we hii noma kabisa waokubali wagonge like
@zainabuomary9085Ай бұрын
Maneno ya zuu na Kai👌😅
@NasraJuma-b4vАй бұрын
Kazi mzuri kwa zatiti,zuu,Kai,na cand na makalakta wot wahii muvi,,sharout kwenu❤❤❤👏🤛🤛
@PhilosLove-cb1ojАй бұрын
Dakik mbil tuu mshajaa duuuh mnashinda online
@HAMIAKAJIBAАй бұрын
Waooooo movie tamu kinomanoma❤❤😂😂😂
@user-ky7cf6nm8dАй бұрын
Kazi nzuli sana nainamafunzo🎉🎉🎉
@RealMe-w5tАй бұрын
Kai amemuona iziraheli😂😂 bro usinitanie bwana ajali hiyo kwioo❤nawapenda sana
@nassoraly5296Ай бұрын
Wa kwnza
@user-pp2xh5cg1mАй бұрын
Kai na zuu mnatumaliza team strong 💪🏆🎁🔥 akih
@SarahAtyanga-jc3jrАй бұрын
Huku syllabus inakimbia mbio jaman 15 minutes views 2k nawapenda sana kutoka 254 kenya