E yesu msaidie butiku kuwa na maisha marefu amina, watanzania wote wamekuelewa sn,
@richardrobert2203Ай бұрын
Kweli SHIKAMOO BUTIKU
@PherollanceErnestАй бұрын
Safi sana Mzee Butiku,you're so honesty.ila wahandiishi wetu wapuuuzi sana.
@FellaMbogelaАй бұрын
WAZEE KAMA HAWA TUWAOMBE WARUDI KAZINI ILI KULINDA KATIBA NA AMANI YA NCHI
@hashimuuhehwa4252Ай бұрын
Piga hao ni wahuni mzee Butiku heshima yako
@YahayaKishakwi-q7bАй бұрын
Huyu ndo mzee wengine vizee
@aloycemisigalo3983Ай бұрын
Laaa mzee Butiku umeongea vizuri sana, ningependa wazee wengine waige mfano kama huyu mzee.
@musa-v3fАй бұрын
Mzee Kikwete Jakaya na wengineo ilibidi nae afanye kama haya lakini analinda mkate wa siagi na trips za nje anazopewa na Samia
@omarymnuru8746Ай бұрын
Butiku na Warioba ni Vijana wa Nyerere...huongozwa na kweli tupu... huwa wakiona jambo baya hawaogopi kusema hata kama limetendwa na Serikali...
@godluckgmanartist-ju7jpАй бұрын
Me nimekukubali sana mzee wangu Butiku unaongea toka moyoni tn kwa isia kali mauwa yako 🎉🎉🎉
@deborahmgedzi632Ай бұрын
Kweli nashukuru Kwa uwazi. Jitathimini ndugu zangu na kumtanguliza Mungu Baba Mwenyezi Atazidai Roho hizi zinazokatishwa kabla wa wakati Aliouweka, ila Baba hurusu Kwa kusudi Lake. Amina
@fxmeddy9567Ай бұрын
Samia must go
@PaulinaRaymond-f6sАй бұрын
Mzee shikamooo
@JoshuaLaiza-t4zАй бұрын
Mungu akubariki sana kwa kusema ukweli kabisa
@happinessmosala2217Ай бұрын
Mzee nimekupenda bure👏👏👏
@loishiyesamwel1374Ай бұрын
Ahsante sana Mzee Butiku kwa kuwakumbusha Wajibu wao, hawajui uwajibikaji.
@SmilingCityMap-xb9mdАй бұрын
Ya kale ni dhahabu mzee wangu butiku mungu akupe maisha malefu ailinde roho yako na hao wasiojulikana ameni
@dennisezakiel3380Ай бұрын
Tena aibu kubwa sana , hatuna tena na imani na uongozi wa samia rais wa katiba
@PauloAlfayo-qi1gnАй бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉shikamooo mzee wetu wa wtz
@musa-v3fАй бұрын
Mzee Butiku ni mbabaishaji unawezaje kusema tumuunge mkono Rais wakati nae anausika??hivyo vyombo vya ulinzi viko chini ya nani na nani anayewateua??
@JamesGisiri-h6wАй бұрын
H awa ndo aina ya wazee tunaowahitaji na wenye uthubutu, mungu akuzidishie maisha marefu .
@shabanadam4476Ай бұрын
Mzee Butiku tunakuheshimu sana upate maisha marefu
@DellerdoneDellerАй бұрын
Mungu akulinde sana
@chesconkwera2005Ай бұрын
Amina
@pendobruno111Ай бұрын
Aibuuuu sana
@meiruzibwe9145Ай бұрын
Ahsante sana mzee Butiku
@HabibuOmary-u5gАй бұрын
Maneno ya busara sana ya mzee butiku
@MkingaJuliusАй бұрын
Mzee umeongea vizuri lakini CCM na serikali yake hata mngepiga madebe haitasikia
Mzee ni full Intelligence na very technical maswali yake
@mosesmwakika5206Ай бұрын
When an interviewer is turned an interviewee😂😂😂. Butiku amewageuza wahojiwa sasa😂😂😂
@RobertMelekaАй бұрын
Mungu akubali kwa uwazi Madarasa kwa wandishi wasiojielewa majukumu yao
@chidampiri1012Ай бұрын
Sensitive speech
@MatronaThomas-wz5siАй бұрын
Asante baba Butiku ndo mliobakia kusaidia AMANI yetu ya Mwalimu
@gowekogoweko5803Ай бұрын
WAANDISHI WA HABARI MMESUTWA HUKO NA MZEE WA BUSARA BUTIKU FAÑYENI WAJIBU WENU KITAALUMA
@yuzzomanboyАй бұрын
Waoga hao mzee
@MdidiMdidiАй бұрын
Wazee awa wamebakia wachache sana hapa Tanzania. Ongera sana mzee wetu butiku
@MkingaJuliusАй бұрын
Ccm wakisia watu wanaandamana wasema fateni katiba lakini wao hata hiyo katiba hawaijui
@NimlaMbanguАй бұрын
Mzee Butiku mungu akulinde hekima zako tunaziona ,
@RichardKilepo-xj1syАй бұрын
Apewe kazi mjumbe
@davidrweyemamu938Ай бұрын
Ubarikiwe sana mzee wangu maana nyie ukimya wenu unawafanya wahuni walio kwenye sare za serikali kuendelea kuchafua taifa mlilopigania kwa jasho. Angalau leo umeonesha vichembechembe vya Mwl JK Nyerere ambaye hakuona soni kukemea upumbavu hata baada ya kutoka madarakani!
@MosmwampaАй бұрын
Kimsingi hao viongozi wateule wanatakiwa kuwajibika lakini kwa namna utamaduni wa viongoz wetu ulivyo hawawez. Rais ndie anatakiwa awawajibishe
@PeterLyasweyeАй бұрын
Umeongea kweli
@AmosNyamaisaАй бұрын
Asante mzee butiko maneno ya busara sana
@FanuelyDalaliАй бұрын
Hawajamaa kwasasa sio viongozi Bali niwatawara nawapenda madaraka. Ndio maana hata maovu yao hawayaoni. Hongera sana mzee wetu, iposku mungu atatujibu watangamyika
@jongosalehe1036Ай бұрын
Congratulations sana Mzee wetuuu
@makungamapalala7982Ай бұрын
Butiku alikuwa ndg wa damu kabisa wa mwl julius kambarage nyerere.anaijua serikali vizuri sana
@marwaerassi2561Ай бұрын
Hawaa wanaume wa mara Wana nchi yaoo km kenyaa
@ndimimaskati3641Ай бұрын
Mambo kama hayo yakifanyika Ulaya Kiongozi lazima anajiuzulu.
@FransiscoKaizaАй бұрын
Mungu akupe afya mzee we2 mauaji mauaji mpaka lini🇹🇿😭😭😭😭😭😭
@alexjohn693Ай бұрын
Nakutakia maisha malefu na mungu akutunze mzee butiku
@JuliasMwita-c2lАй бұрын
Mi nasema kama mzee butiko hajapangwa. Mungu ambariki.
@KassimAlly-xp4dzАй бұрын
Wandishi wa habari wa Tanzanian wanafiki sn kwann wasende kumuhoji IGP na Mkurugenzi wa usalama wa Taifa woga sn sn
@MchungajiNzelaniАй бұрын
Wazee wengine wapo wapi akina mzee msekwa mzee John walioba nk wapo wapiiii? Asante mzee
@HusseinSaguti-sj9nhАй бұрын
Msekwa ucmtaje Yy kalewa ccm Nandio inayotuma polce kutenda Haya Lisu alipgwa risas ndani ya nyumba za viongoz waserkali na ulinzi upo Wtz tatzo mnasahau sana
@KibabuJanabi-cu2bpАй бұрын
Wanahabari wa Tanzania mnawaonea tu Kwanza kunguru WANAOGOPA CCM kuliko Mungu Hawa si WAANDISHI ni WATOA Habari tu si WAANDISHI hawajui nini uwandishi wala Habari wao WAMO tu Dagaa Tonge ukiwasha TAA wamefika MBWISI Hawa Muandishi na Wanahabari alikuwa Ben saa 8 pekeake Hawa kunguru tu bora MAWIO na machweo tu
@GodfreyEvarestАй бұрын
Tanzania ninch nzur ila uku tunapo endea Bora niende zangu ata Congo nikaweata mkimbizi kwajili Tanzania na Congo karibia zinafanana sasa kwa matukio ya ovyo
@hemedbamja3197Ай бұрын
Hakika.unakuwa kama dereva wa lissu hadi leo alijichimbia nje,na hakuna mshukiwa yeyote alishakamatwa
@davidsibejo4916Ай бұрын
Mze shikamo
@RESTITUTAMOLLED-mp3ppАй бұрын
shkamoo Mzee wangu.wazee dawa,
@edennine446Ай бұрын
Akili nyingi❤
@NimlaMbanguАй бұрын
Waandishi wetu wa habari wana shida kubwa sana, mimi napata shida kujua mchango wao katika kulitumikia Taifa hili
@salummohamed2689Ай бұрын
Nani ajiuzulu sasa, mkufu ni mkufu tu, umetengenezwa kulinda kifundo kingine, hao waandishi wa habari unawaona jasiri hapo, wengi wao 😮ni wale waliochukuwa Chao mapema, wanashangaa ujasiri ulio nao kusema Ili wao kesho waandike Butiku kasema........... ili mradi tu siku iende na kuyaacha ya Butiku hapo!😮
@LAZAROSEBASTIAN-j8pАй бұрын
Mzee mwenye hekima zake,,,shida kuna vijana wengi hawajielewi hili taifa hawana uzalendo na uchungu wa taifa lao mzee imeongea point sana wanaoelezwa sasa duuh inatisha xn
@lameckrange-ol6uzАй бұрын
Leo Mzee umeongea yah muwe mnasaidia Taifa Kwan watu mamejisahau kama Nchi wao ndo wenye haki nayo!
@elibarikimollel7149Ай бұрын
Hongera Mzee Butiku kwa kuonyesha njia na wajibu wa utawala uliopo kikatiba, lakini jambo ambalo hukutaka kulijua ni ugumu wa kwenda kumuuliza mtawala au kiongozi wa chini yake anayehusika juu ya hatua aliyoichukua,au kutoichukua halafu ukabaki salama! Utaanza kuandamwa upewe jina baya na kukosa usalama kwa hatua hiyo uliyoifanya kikatiba! Na je,wewe mwenyewe ulichukua hatua hiyo kama raia mwenye taasisi licha ya raia mwandishi wa habari?!
@jumadinya3796Ай бұрын
Tanzania niya watanzania wawezi kujiuzulu acheni kuchochea vurugu
@ezekielmwadomba4675Ай бұрын
DA! MZEE WETU BUTIKU UMENIKUMBUSHA MBALI SANA ENZI ZA KIPENZI CHETU ALIYE KUWA RAIS WETU TANZANIA ,MWALIMU NYERERE.
@wiza2309Ай бұрын
Askofu wetu jamani hebu na sisi tumuone ajitokeze jamani kukemea hili suala. Mungu atusaidie sana
@fredyjeremia7074Ай бұрын
🙏🙏🙏👍👍
@RynoFire-w8kАй бұрын
Maandishi ya habar hata hayaelew yanachekacheka tu Kama mazezeta
@AnaniaMmariАй бұрын
Kweli mzeee unasema kweli wandishi wabari Awana maana
@MbarakaNyangarioАй бұрын
Mzee huko sahii
@medardkalinjuma5503Ай бұрын
Nimekuelewa sana, huna unafiki
@minazsaid2470Ай бұрын
Shikamoo mzee 🙌🙌
@karolikisaka8991Ай бұрын
Mungu tunayemuomba anatuonyesha mambo makubwa na magumu yalijificha ndani ya serikali
@saluuhansАй бұрын
Waandishi wetu ni waoga sana wanakazi yakuwahoji wasanii tu na machawa haya sasa mshaambiwa muende mkamuhoji IGP
@janejoel2465Ай бұрын
Na uchonganishi waandishi wa hbr sasa hivi
@pendobruno111Ай бұрын
Lakini mkono wa Mungu upo na si muda mrefu utajihirisha
@verdianabanabi2205Ай бұрын
Kweli hasa hilo ndiyo la msingi.
@peterjosephat6685Ай бұрын
Waandishi waoga sana na wengine wanalazimishwa kutoa habari zinazo wafuraisha watawala
@ndogoroedson199Ай бұрын
Kwa hiyo wanatoa habari za kuwafurahisha chadema za kusema kila anayetekwa basi ni polisi wakati ni kundi la chadema wenyewe
@jimmyhabarugira4232Ай бұрын
Inaweza kuwa vizuri ukaisaidiya polisi kuwataja hao viongozi wa Chadema wanaofanya huo uhalifu@@ndogoroedson199
@ezekielmwadomba4675Ай бұрын
SIJAJUWA KAMA ANAWADHIFA WOWOTE NDANI YA SERIKALI,KAMA HANA BASI MAMA YETU RAIS SAMIA AMUANGALIZIE KANAFASI KOKOTE TU,KAMA INAWEZEKANA, ANGALAU TUWE TUNA MSIKIA NASAHA ZAKE,MAANA WAZEE NI HAZINA NA LULU YA TAIFA.MUNGU AKUBARIKI RAIS WETU,PIA MUNGU AKUBARIKI SANA MZEE WETU BUTIKU.Asanteni sana
@IssacNtachoАй бұрын
Wazee wengine niwamuhim sana katika taifa hili,,nimekukubar mzee wangu
@PauloAlfayo-qi1gnАй бұрын
Unajua baba,saa hic. Tunaogopa ata ukisikia mwizi akija nyumbani kuuvunja banda la kuku nyumbani usiku kwani usalama. Ni mdogo. Uhuru umeishi kweli tumekuwa waoga ndni ya nchi yetu
@minazsaid2470Ай бұрын
🙌🙌
@badilikakijana4032Ай бұрын
Waoga hao
@Amospius-r3yАй бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@sammykateregga6238Ай бұрын
Well done Mzee Butiku nilitegemea kwamba wazee wenzetu wengine wangekuwa na hekima ya kukemea hili kwa nguvu zote.
@kigesomichael8061Ай бұрын
Hongera mzee butku
@anosiata8242Ай бұрын
Tunataka wazee kama hawa. Kwenye taifa. Wanaongea ukweli bila kumungunya maneno.
@FilbertMgazaАй бұрын
ANGEKUWA NDUGU YAKE ANGECHUKUA HATUA.KUNYATA ANYATE KINYONGA AKINYATA KICHECHE MWIZI WA KUKU
@KayongoOba-ht2rfАй бұрын
mzee wangu shikamoo
@charlesmugisha6529Ай бұрын
Naomba IGP awe suzani Kaganda uyu mama anaweza Sana Mimi namuamini.🙏🙏🙏
@themaestro-24Ай бұрын
MZEE SHIKAMOO.MUNGU AKUBARIKI WEWE MPAKA NA UZAO WAKO WA NNE.HAPATA KUA NA LAANA KTK UZAO WAKO.MIKONO YAKO NI SAFI NA MUNGU AMEKUONA.
@mweyoms5548Ай бұрын
Sijasikia masheikh wetu wakitoa tamko wala kukemea unyama huu unaoendelea.
@mchungajilwitikokatikilo4237Ай бұрын
Kabisa
@mr.yahzadochuno7914Ай бұрын
💔🇹🇿
@KibabuJanabi-cu2bpАй бұрын
Kuna mmoja anasema wazee wamfate Butiku hapa Tanzania wapo wengi Sana kaka kama kina Butiku lakini Sasa WOGA kunguru HAWAWEZI wala kusubutu kukaa Nafasi za kina Butiku Mwabukusi MAKONDA Tundu Sugu Mansour Mpina Spika Ndugai na wengine wengi tu wapo hapahapa Tanzania ukiwa na SERIKALI inoongozwa na watu kama Hawa mtapiga hatua lakini saivi hatari juu ya Balaa Mungu ibariq Tanzania inshaallah
@Mrmohadi.OFFICIALАй бұрын
😢 wanatumika vibaya san
@festokomba2390Ай бұрын
🙏🏾🙏🏾
@PendoMakundi-xv6nhАй бұрын
Mzee kitu chako mbinguni kipooo mungu akutunzee umesema ukwel 😢
@gabrielbonday7780Ай бұрын
Mzee butiku,jaji warioba,Mzee msuya,na mama ana abdala,wanafaa wawe washauri WA hiari ikulu
@PaskaliCharles-pz8dsАй бұрын
Nimeipenda sana busara za mzee huyu Hakika waandishi na watanzania wote kwa ujumla tuamke ambapo sipo tuseme hapana
@hassaniibrahim300Ай бұрын
Allah akupe barka zaid na Afya tele
@EliasCosmas-qp6gnАй бұрын
😅😅😅😅 shikamo mzee wangu butiku 😂😂😂kazi imekua kazi wandishi 😂😂😂