Polepole Kuhusu Changamoto Zinazoikabili Tanzania, "Wahuni Bado Wapo" |Jenerali Ulimwengu Exclusive

  Рет қаралды 46,639

The Chanzo

The Chanzo

6 ай бұрын

Katika sehemu hii ya pili ya mahojiano na Balozi Humphrey Polepole, mazungumzo haya yamejikita katika safari yake kutoka ubunge hadi ubalozi, sakata la Shule ya Uongozi aliyoanzisha kufungiwa na changamoto mbalimbali zinaoikabili Tanzania katika kutumia fursa zilizopo nje ya nchi ambazo zingeweza kuisadia nchi kupiga hatua.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2022 © All Rights Reserved.

Пікірлер: 165
@SamsonBrigitar-yu4jv
@SamsonBrigitar-yu4jv 6 ай бұрын
Kuna watu Mungu aliwaumba kuwa viongozi wa watu wake.Wewe ni mmoja kati yao Kazi yako ni njema.Mungu abariki juhudi zako za kutimiza kusudi lake kwenye maisha yako
@felistakitomari1272
@felistakitomari1272 6 ай бұрын
Inafurahisha sana kuona Watanzania kama hawa wakiongea kisomi, ki uwazi, n.k. Hongera sana Jenerali Ulimwengu na Humphrey Polepole. Mnatufurahisha na kutuelimisha sana. Mungu aendelee kuwabariki. Big up Mr Jenerali Ulimwengu and Humphrey Polepole❤
@nassersaid920
@nassersaid920 6 ай бұрын
Mahojiano mazuri ambayo na yana mengi ya kujifunza. Hongera sana Balozi H/Polepole. Big up
@user-tn7ic2ky3i
@user-tn7ic2ky3i 6 ай бұрын
Mungu akubariki mweshimiwa polepole na homba Mungu sikumoja uwekiongozi wanchiii
@tnczoommediatv5578
@tnczoommediatv5578 6 ай бұрын
Hongera sana kwako Generali Ulimwengu pamoja na Humphrey Polepole hakika imekuwa interview nzuri sana, natumai utatuletea exclusive interview nzuri zaidi, Mungu Mwenyezi akubariki.
@sophiamahenge8716
@sophiamahenge8716 6 ай бұрын
Mungu akubariki sana kaka wewe ni Yusuph wetu nilibahatika kukuona mahali kumbe wewe kinachokusaidia ni ile HOFU YA MUNGU ndani yako, Mungu akuweke kwa ajili ya taifa hili
@user-cr3up8uc3m
@user-cr3up8uc3m 4 ай бұрын
Mh. Ulimwengu nimevutiwa na kipindi ulichokifanya na mh. Balozi wetu Polepole ; kweli shetani wa maendeleo yetu tunawo wenyewe tuko nawo na wataendelea kuwako "but days are numbered".
@kimalinganomhelela8377
@kimalinganomhelela8377 6 ай бұрын
Namshauri Mheshimiwa Rais kuwa " Mchawi mpe akulelee mtoto".Amteue Pole pole kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje.
@ajmagowaajetha
@ajmagowaajetha 6 ай бұрын
Awe waziri wa mambo ya nje so katibu mkuu
@davidmpiluka5224
@davidmpiluka5224 6 ай бұрын
Hongera sana mh. Polepole. Kuna njia kuu moja ya kuwashikisha adabu WAHUNI ambayo kwayo hakuna MHUNI hata mmoja atanusurika, labda aache UHUNI.
@mysteriousgang3594
@mysteriousgang3594 6 ай бұрын
Big Brain with big vision
@LovelyOmbreSky-pu4jt
@LovelyOmbreSky-pu4jt 6 ай бұрын
Huyu mtu ni muhim sana ktk taifa letu mungu amlinde binafsi napenda sana kumfatiria ili nijuwe mengi kupitia yeye
@rev.josephatmagori7209
@rev.josephatmagori7209 6 ай бұрын
HP uko vizuri. Shule ya Viongozi iendelee tu, usikatishwe tamaa.
@japhethcharles5791
@japhethcharles5791 6 ай бұрын
Hamphrey ni kiongozi mzuri sana ,msema kweli na mzalendo ,Mungu ampe nguvu
@mathiasmahenge6047
@mathiasmahenge6047 6 ай бұрын
Siku moja Amb. H.P ikimpendeza Mungu utakuwa Kiongozi MKUBWA nchini Tanzania. Marais takribani Watatu wa nchi hii wamekuamini na kuendelea kukupa mwanga zaidi.
@user-ql3yr6fi7o
@user-ql3yr6fi7o 6 ай бұрын
Napenda sana kumsikiliza bwana hamphrey...hongera
@davidbenson661
@davidbenson661 6 ай бұрын
Mungu akubariki sana Mr Jenerali na Mr Pole pole kwa mahojiano mazuri
@noelbryson7840
@noelbryson7840 6 ай бұрын
Generali Ulimwengu aka The living Legend 💪..
@GilbertNgungulu
@GilbertNgungulu 6 ай бұрын
Mimi kwa kweli naomba sana Mungu, Humphrey Polepole uje uwe rais wa Tanzania, kwa kuwa niliumia sana Magufuli kufariki mpaka leo msiba huu moyoni mwangu sijui kama kuna siku utaisha naumia sana kila siku, na Mungu akija kukupa urais naomba ulinzi wako uwe kama wa kim Jong un na zaidi wasikuue kama jembe langu magu, jembe langu lenye mpini magu lala salama, tena usiwape mikono watu na wajumbe maalum wanaotoka manchi Makubwamakubwa japo mimi sina uelewa wa mambo kama wewe. Asante.
@magesachacha8596
@magesachacha8596 6 ай бұрын
Mweshimiwa humphrey polepole uko vizur sana
@pascalpetro6623
@pascalpetro6623 6 ай бұрын
Tunakupenda sana Polepole wakati wa Mungu waja atakuinua,Amina
@jeaninekabano9190
@jeaninekabano9190 6 ай бұрын
Wow love sooo much Mwenyezi Mungu akukumbatie wewe na uzao wako Mungu Ibariki 🇹🇿 Tanzania
@IsayaIlomo-ib1yh
@IsayaIlomo-ib1yh Ай бұрын
I appreciate you
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 6 ай бұрын
Barozi, pole pole your the best. Tumekuelewa
@mkagolawassociates4551
@mkagolawassociates4551 5 ай бұрын
Mheshimiwa Polepole, Mungu akubariki na kukulinda.
@PaulMagere
@PaulMagere 6 ай бұрын
Mungu akusaidie sana. Ninyi ndiyo kizazi kinachoweza kuitengeneza nchi hii. Mungu azidi kukuonyesha njia na kukupa wengine makini wa kuongeza nguvu ktk maono mema,Amen
@philipomushi4766
@philipomushi4766 6 ай бұрын
Vyama vya siasa ni vizuri sana ila vinaweza pia kutumika kama shimo la kumeza dhamira na nia njema za watu ambao Mungu alitupa ili watutoe sehemu moja kutupeleka pahala fulani.Nafikiri tupate katiba mpya hio moja, lakini pia tupate na mgombea binafsi.Sina wasiwasi kwani katiba ita weka utaratibu na namna ya hawa wagombea binafsi watakavyo wajibika na kuwajibishwa kwa haraka pale watakapo kwenda kinyume na viapo vyao na katiba yetu.
@Chillverse1312
@Chillverse1312 6 ай бұрын
Raisi wangu 2030
@AdrianoStephen
@AdrianoStephen 5 ай бұрын
Hakika
@gidionkatulumla4022
@gidionkatulumla4022 6 ай бұрын
Taifa Letu, wengi tumekuwa wanafiki ...niwachache Sana wakweli na wawazi kama Pole pole 🙏 Mungu ambariki Sana na azidi kumweka juu ili Taifa hili lije kuwa juu....🙏🙏
@felicianfrancis9895
@felicianfrancis9895 6 ай бұрын
Duh, yaani nahis hata muda haukutosha. Safi kabisa, natamani kuona wahuni wanapungua sana ktk hii nchi.
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 6 ай бұрын
Humphrey Polepole ni smart na alikuwa na msimamo wake ambao ulichora picha fulani aina ya mambo ya jovyo
@elfacechongera6648
@elfacechongera6648 6 ай бұрын
Real Brother ❤
@allykassim1120
@allykassim1120 6 ай бұрын
safi sana! pole pole Kwa kuwa muwazi big up nakukubali jembe!
@prnkrtq
@prnkrtq 6 ай бұрын
Nzuri sana. Na ile metaphor yake ya Daudi na Goliath, so befitting kwa vita vyake na mfumo mzima wa wahuni. Asante sana Jenerali...
@jumambazi7173
@jumambazi7173 6 ай бұрын
Polepole,China Cha pua,hakulaza zege Katika kipindi chake ndani ya CCM,Mungu amuongezee hekima.
@user-gj6sx7hw5p
@user-gj6sx7hw5p 6 ай бұрын
Thanks my lovely guy of Tanzanian
@anafikamugisha8834
@anafikamugisha8834 6 ай бұрын
Yaani NAKUPENDAAAAA Sanaaaa pole Pole Mungu akutunze kaka na MTU wa haki sanaaaa
@migerajacob581
@migerajacob581 6 ай бұрын
Viongozi wa Africa ni jipu ,,
@Chrisblaze-beats
@Chrisblaze-beats 6 ай бұрын
Very nice Conversation ❤❤❤
@ngasikajoel9576
@ngasikajoel9576 6 ай бұрын
Very nice joint nimependa maudhui pia na sehemu nahisi ni seronera wildlife Lodge... interesting 👊
@HamisiHussein-nx7is
@HamisiHussein-nx7is 6 ай бұрын
Namkubali sana Pole pole 🎉namfananisha na Julias Malema
@homeboybeyondtheborders4935
@homeboybeyondtheborders4935 6 ай бұрын
Polepole akiwekwa na "vigogo"wengi tu bado anabaki kua kiongozi bora.Hata matendo yake sio kwa sababu ya mitazamo na fikra za kijamaa lakini yupo kwa niaba ya wananchi hapo ndo tofauti yake na wengine wengi...ila kiongozi hata akiwa bepari vipi ila msukumo sahihi kabisa wa kiongozi mzuri ni lazima uwe ni ujamaa kwa sababu asili ya ubinadamu ni ujamaa japo "ubinafsi" yaani ubepari nao ni sehemu ya asili ya binadam.
@achiliadinan430
@achiliadinan430 6 ай бұрын
Balozi Akili nyingi japo mwili mdogo barikiwa sana ndugu balozi polepole
@SarahKapella-rm2of
@SarahKapella-rm2of 5 ай бұрын
Tunampenda polepole kwa maana ni kiongozi jasiri na mkweli.
@user-cw8zn2dn6m
@user-cw8zn2dn6m 6 ай бұрын
Kiufupi ni kwamba umepotezwa!! Magufuli angekuwepo ww usingekuwa balozi. Hii ni njia ya serikali ya samia kukupoteza ww kidogo, ili usijaribu kuharibu dili za wenyewe. Hivi ww unaijua hii nchi kweli? Viongozi wa CCM wa sasa ni wachumia tumbo tu. Hakuna uzalendo tena!!! Mzelendo alikuwa ni mtu mmoja tu!! JPM!!! Huyu tu!! Pole sana ndugu yangu polepole!!
@dimaonlinemedia
@dimaonlinemedia 5 ай бұрын
Mungu awalinde kwa ajili ya Taifa la Tanzania, chini ya Rais wetu Dkt Samia
@kelvinmacha1663
@kelvinmacha1663 6 ай бұрын
This Guy is Supersmart, absolute a stateman
@JosephChacha-kk1it
@JosephChacha-kk1it 5 ай бұрын
Kwakweil nakukubali sana
@saidmajeba9791
@saidmajeba9791 6 ай бұрын
I really appreciate you
@kasaisatv9765
@kasaisatv9765 6 ай бұрын
Shukran sana Prof. Ulimwengu kwa interview ya kisomi isiyo na ukasuku. Unaitendea haki taaluma yako. Tunahitaji waandishi kama wewe.
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 6 ай бұрын
Kwa huzuni kabisa hawa wazee wakiondoka sjui nani atashika Mikoba maana hawa waliopo waandishi wa sasa ni chawa na wenye uwezo mdogo kabisa.
@judicalosika7642
@judicalosika7642 6 ай бұрын
Chawa!!!?
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 6 ай бұрын
@@judicalosika7642 yes watu wakusifia mida yote kujikosha ili wapewe teuzi wanaotumika kusifia hata makosa tuliona hapa issue ya dp world, sa tuwaitaje wale labda kunguni kama si chawa.
@TAMay-vf5xt
@TAMay-vf5xt 6 ай бұрын
Kwa kweli huwa napata faraja sana kukufuatilia; nilianza kukufuatilia tangu 1972 kwenye article ya 'The way I see it' by Generali Ulimwengu.
@aminburhankyaruzi731
@aminburhankyaruzi731 6 ай бұрын
Big up sana Balozi HP
@user-zv9sb2fj6s
@user-zv9sb2fj6s 6 ай бұрын
Jenerali jua fusa za nje ubaloz I inchini wako Sawa juu ya ukoloni technology sisi uthubutu wa Vizingiti au ki engineer insulator kuundoa au uwamuzi hatuna ni uwasijuu ya inchi
@SmilingHot-AirBalloons-em3mb
@SmilingHot-AirBalloons-em3mb 5 ай бұрын
Kwakweli mnatukumbusha mbali utendaji wake mzuri ndani ya chama!
@barakafundo9208
@barakafundo9208 6 ай бұрын
Polepole anajua
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 Ай бұрын
Unafiki ndio mnachojadili muda mrefu. Mtu mwema anapokuwa hakuchukua hatua ndio unafiki. Somo la unafiki muhimu sana nchi hii.
@JosephChacha-kk1it
@JosephChacha-kk1it 5 ай бұрын
Namkubali sana natamani sana kukuona ukiwa waziri mkuu
@femksenkoro3739
@femksenkoro3739 6 ай бұрын
Mwanzoni, enzi za JPM, nilikuwa simuelewi vizuri Polepole. Lakini muda unavyozidi kupita ninamuelewa SANA kama mtu mwema anayeitakia nchi yetu mambo mema.
@joshemman520
@joshemman520 5 ай бұрын
our PRESIDENT polepole
@azizimangara9024
@azizimangara9024 6 ай бұрын
Mwamba kama mwamba Mungu akulimde na akuongoze
@user-od6ry5nv2b
@user-od6ry5nv2b 5 ай бұрын
Huyu mwamba mungu amlinde amweke ulinz amin
@malickkasuga4805
@malickkasuga4805 6 ай бұрын
Mungu anakutengenezea njia endelea kuwa mkalimu ivoivo
@LoyceFundi-qf7iw
@LoyceFundi-qf7iw 6 ай бұрын
CHANZO HALISI AZIDI KUKUPA HEKIMA NA BUSARA... BARIKIWA
@robisonikadogo7371
@robisonikadogo7371 5 ай бұрын
Tuko pamoja sana mpolepore
@GilbertNhigula
@GilbertNhigula 6 ай бұрын
Polepole Unafaa Sana kwa Nafasi olio achwa wazi na Chomgoro , .!
@user-bu6or9ce6v
@user-bu6or9ce6v 6 ай бұрын
Mungu amuweke jamaayetu binafsi namuelewa Mungu amtunze polepole nikweli viongoz wasasahiv nikichekesho hatuwachagui wanajichagua
@user-od6ry5nv2b
@user-od6ry5nv2b 5 ай бұрын
Huyu mwamba mungu akulinde amin
@lwimikomwakasungula3222
@lwimikomwakasungula3222 5 ай бұрын
Nimependa sana maongezi yako
@sokastreet
@sokastreet 6 ай бұрын
Humphrey Polepole namkubal sana linapofka swala la maslahi ya nchi huwa hamuogop yoyote
@MCNgakungaJunior
@MCNgakungaJunior 6 ай бұрын
😂😂😂 JENERALI ANAMASWALI YA UCHOKOZI SANA.
@ssalimsalim3864
@ssalimsalim3864 6 ай бұрын
Ndugu balozi mimi nina suali kuhusu zile dawa ulozitaja zinapatikana Cuba kwakweli ni kazi nzuri uloifanya ila question: Kwanini ulisema kwawanaohitaji hizo dawa wakafanye au wakajisajili hospital ya Kairuki: sasa kwanini hii issue ya kiserekali leo hii registration ifanyike private hospital!! Kwanini isiwe registration kwenye Government hospitals km Muhimbili,Mw/nyala/Ilala,Temeke n'k kwanini iwe private?? hospital?
@evaristmbuya6220
@evaristmbuya6220 6 ай бұрын
Huyu jamaa ni smart sana ni vile mifumo yetu inawatenga
@user-xw1ul8ro5i
@user-xw1ul8ro5i 6 ай бұрын
Mmmh! Kama ndivyo, tutafute chaka mapemaaaaa.
@akingeneyeclement7897
@akingeneyeclement7897 6 ай бұрын
#Kataa wahuni
@user-ok6lv3je4b
@user-ok6lv3je4b 6 ай бұрын
Mimi simungunyi maneno polepole baada ya samia ndo avae. Viatu vyake make watanzania tunamkubali,
@user-du1me2de6l
@user-du1me2de6l 6 ай бұрын
Namuombea hawe kiongozi mkubwa
@dennisrwelamira1259
@dennisrwelamira1259 6 ай бұрын
Hongera Balozi Polepole. Rais Saimia waamushe na wale mabalozi wengine waliolala pono
@mickeykibabu6999
@mickeykibabu6999 6 ай бұрын
Mh.Balozi nimekuelewa sana ila mtangulize mungu Kwa kila jambo.
@brightonwaltermushi2570
@brightonwaltermushi2570 6 ай бұрын
Balozi umeongea vizuri! Kwanza umekiri mlishindwa/ ulishindwa kuwamaliza wahuni mimi nikutie moyo siku zao zinahesabika kwani historia inaonyesha huwa wana muda wao tu! Pili umekiri kuwa Mh Rais anadhamira nje mimi nakubaliana na wewe wasaidizi baadhi wanamwangusha
@user-zl3le1wz2u
@user-zl3le1wz2u 6 ай бұрын
Nakushauri ujiunge na sauti ya watanzania uwe waziri mkuu
@luganomwaigomole7441
@luganomwaigomole7441 6 ай бұрын
NI KWELI SHULE YA UONGOZI NDIO ILIKUWA CHANZO...AKILI NDOGO HAIWEZI KUIENDESHA AKILI KUBWA
@shingwahemed5290
@shingwahemed5290 6 ай бұрын
Nimefurahia mazungumzo haya
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru 6 ай бұрын
Polepole una nia njema LAKINI kahofu bado kapo bila kurekebisha mfumo wananchi wawe na nguvu dhidi ya viongozi wabovu ni bure tumeshuhudia viongozi wakilindwa na mfumo
@user-un2hm6my5x
@user-un2hm6my5x 6 ай бұрын
✊️✊️✊️
@deusdeditmakanta4685
@deusdeditmakanta4685 6 ай бұрын
Raisi wetu 2030
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 6 ай бұрын
#kataa wahuni
@ibrahimomari2458
@ibrahimomari2458 6 ай бұрын
Pole pole Katibu mkuu mpya wa ccm ajae...baada ya chongoro...
@vayeen
@vayeen 6 ай бұрын
Naomba sana kwa Mungu siku Humphrey awe Prime Minister mahala ambapo nchi itafaidika na utendaji wake in a very direct way.
@leoncebenjamin8107
@leoncebenjamin8107 6 ай бұрын
Kwa lipi haswa, Amna kitu hapo
@patrickrueben5585
@patrickrueben5585 6 ай бұрын
Sio tu waziri mkuu bali awe Rais wa Tanzania ili avae viatu vya JPM.....
@mimosapudica1894
@mimosapudica1894 6 ай бұрын
😂😂😂😂 hii nchi wajinga ni wengi sana
@shinipapaya846
@shinipapaya846 6 ай бұрын
​@@leoncebenjamin8107acha hizo jinga ww ukoo wako wote hauingii hata chembe 😂😂
@geofreynjanga6794
@geofreynjanga6794 6 ай бұрын
The government ruled under Magufuli and him were Crue , he doesn't deserve that position, we need free and democratic country not dictatorship rulling mode.
@fadhiliromwald
@fadhiliromwald 6 ай бұрын
Kataa wahuni
@izamahmasaki4795
@izamahmasaki4795 6 ай бұрын
Naamini Iko siku Humphrey polepole atakuwa katika nafasi nzuri kiserikali hata kama ni chama kipya.
@jazzjeff8431
@jazzjeff8431 6 ай бұрын
Kuna awamu itakuja na hamphrey polepole atashangaza ulimwengu,huyu comrade ni hazina ya taifa ,wanajaribu kumkata makali lakini tusubiri just the time matter
@omaryramadhani6664
@omaryramadhani6664 6 ай бұрын
"Wahuni wako wengi na ni wabaya sana sawa na mahayawani na wako katika level tofauti" Umeeleweka sana balozi. Bila shaka mahuni haya yapo mengi zaidi kwenye 1) Wizara ya fedha 2) Tanesco 3)TRA na 4)Wizara ya afya Anza nayo! Halafu yule aliyekuambia usikate tamaa tena kwa tabasamu kubwa HUYO NDIYO PAPA LA MAHUNI ANZA NA HILO KABLA YA MENGINEE!
@gabriellyatuu847
@gabriellyatuu847 6 ай бұрын
Ukweli mtupu, Mh Polepole
@Salisalum
@Salisalum 6 ай бұрын
Kuna watu wana dhamira mbaya sana si tu na rais bali hata nchi yetu unaweza kumpa mtu fursa hii akaipiga teke mbele yako. Wako watu ndani ya mfumo wanahujumu nchi yetu waziwazi.
@apostlejoshuakuhanda5524
@apostlejoshuakuhanda5524 6 ай бұрын
Najua, LICHA YA KILA KINACHOMFANYA HUMPREY POLE POLE KUWA KIONGOZI MTENDAJI, HOFU YA MUNGU......
@amedeuskimario8895
@amedeuskimario8895 6 ай бұрын
Mtu simple Sana huyu hamphrey
@emmanuelburchard3153
@emmanuelburchard3153 6 ай бұрын
Kumbe Jenerali ni mhaya. "Kakitandugaho"
@alanusrespicius1796
@alanusrespicius1796 6 ай бұрын
JPM alijuwa anachujua watanzania konki sana. Tupo wengi tena ndani ya CCM, ni swala la mda tu.
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 Ай бұрын
Hawa viongozi walioko ground ( ndani ya nchi) na wanazuia mabalozi kuleta fursa nchini kwa nini ktk kongamano la mabalozi wasimshauri Rais kuwatumbua hao vigogo wahuni walioko ground na ni wakwamishaji fursa? Mabalozi hamjiamini kwamba Mh Rais kawaamini?
@user-hu9bf7nw4c
@user-hu9bf7nw4c 6 ай бұрын
Pole pole ww ni mmoja ya wanaotakiwa ktk nchi ktk kuongoza maana ww uko vzr ,japo unanyimwa uhuru wa kusemaga ukweli wa nchi hii
@biteyubwoba492
@biteyubwoba492 6 ай бұрын
Hak wenye ubinafsi ndio waliomshawishi kiongozi mkuu kumtoa nchi bwana pllepole ili asiwaumbue kulingana na kasi aliyokuwa ameianzisha kuelimisha umma kuwatambua watu wanaoitwa wahuni kwenye nchi hii.
POLEPOLE ATOA TAMKO HILI KUHUSU CYPRIAN MUSIBA/ NI FEKI
16:31
TimesFMTZ
Рет қаралды 213 М.
路飞被小孩吓到了#海贼王#路飞
00:41
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 72 МЛН
Каха и суп
00:39
К-Media
Рет қаралды 5 МЛН
КАРМАНЧИК 2 СЕЗОН 7 СЕРИЯ ФИНАЛ
21:37
Inter Production
Рет қаралды 553 М.
JUSSA AFICHUA SIRI NZITO YA MUUNGANO
34:06
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 56 М.
NYAKATI ZA MWISHO NA HUMPHREY POLEPOLE - WASAFI TV
42:23
Amb. Humphrey H. Polepole
Рет қаралды 276 М.
Jenerali Ulimwengu Anaifungua Shajara Yake Kwa Babbie Kabae
56:28
路飞被小孩吓到了#海贼王#路飞
00:41
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 72 МЛН