IF YOU WISH TO WATCH THIS RECIPE IN ENGLISH , KINDLY FOLLOW THIS LINK kzbin.info/www/bejne/p5Swk6Cshstnp6s
@Dr.SheilaRamadhani5 жыл бұрын
MashAllah tunashukuru kwa mapishi mazuri,naomba recipe ya tandoor masala kama ipo
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
@@Dr.SheilaRamadhani tandoori masala ndio hiyo nilotumia hapo nimeandika nimetoa viungo kwenye hicho kikopo nilloonyesha lakini sio vyote kuna baadhi sivijui kwa kiswahili kwa hivyo sijatumia
@chosenzion39365 жыл бұрын
siagi kuku na tui la nazi. tusijesahau kiswahili mama
@Dr.SheilaRamadhani5 жыл бұрын
@@aromaofzanzibar jazakallah khayra
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
@@chosenzion3936 Sio kusahau kiswahili, Kuna baadhi ya mapishi ni vizuri kutumia jina lake la kiasili bila kutafsiri kuipa nguvu ile recipe. Butter chicken ni pishi la kihindi na ni maarafu sana sikutaka kutafsiri watu wanaotaka kujua pishi walikose.
@saeedmassoud2563 ай бұрын
Mashallah Allahubarik
@mwanaishambili2415 жыл бұрын
Mashaallah shkran bi aroma
@humphreykarua52412 жыл бұрын
Lovely of rays by a good way IRS most Frank ly H
@jokhaissa80604 жыл бұрын
Mashaallah habitiy tabarakallah🥰
@mariamissaahmed76754 жыл бұрын
Wow! Mouthwatering Thank you Allah Ibarik
@shammoha52975 жыл бұрын
MashaAllah. Nzuri n Tamuu 🤗.Shukran 🙌🏽👏🏼👌🏽
@saysophyfarm1780 Жыл бұрын
Dada unajua halafu unajua tena. This is mouthwatering 🤤🤤🤤🤤
@aromaofzanzibar Жыл бұрын
Shukan sana kwa support
@biyemaalim62234 жыл бұрын
Salams. MashaAllah u made cooking easy. Barakallah
@aromaofzanzibar4 жыл бұрын
Alhamdulilah
@OnlyRuky5 жыл бұрын
Wawoo Mashaalah and asante kwa pishi hili
@umiabubakar83275 жыл бұрын
Masha allah nzuri na nimeipenda sana allah akupe afya uzidi kutufunza na mengine mengi
@alikhamis40555 жыл бұрын
Maashallah
@zahraally18535 жыл бұрын
Mom am new here and I like your cooking mashaa Allah
@shakilaalamin93325 жыл бұрын
Mashallah looks yummy thnks dear
@fauziahlaazizi35135 жыл бұрын
I wonna try this
@hafsahcletty59685 жыл бұрын
Mashaallah
@halimamshami32795 жыл бұрын
MashaaAllah the meal looks yummy,Allahibariqfii
@sweetaromakitchen81945 жыл бұрын
Mashaallah..nmezidi kuwa mpishi mzury kwa kufuata recipe zako...barakat umri nizdi kunufaika kwa video zako..
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
Amin
@arasa9045 жыл бұрын
Maa Shaa Allah so yummy
@safianassir38435 жыл бұрын
Mashaallah😱
@khadijasaid43035 жыл бұрын
Masha allah... inavutia, upate na mkate wa butter naan.
@raudhanaly13525 жыл бұрын
mashaaallah pishi zuri
@khadijaabdulqadir16625 жыл бұрын
Assalamu aleikum. Mashaallah kama kawaidaa sina la kusema mdomo umenijaa mate 🤤😋😋 shukraaan mpenzii ALLAH AKUHIFADHI. Saum makbul
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
Alhamdulilah
@galantsoldier92585 жыл бұрын
you are the best
@sophyyustin81975 жыл бұрын
I real like it mmy Allah bless you najifunz meng kupitia mapish yako
@jikonimagic5 жыл бұрын
Yumm!! Nimependa hii twist kwa hili pishi. Kawaida mimi napika na heavy cream. Ahsante, sasa nimepata variation ya kufurahisha watu.
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
Ahsante, hii variety kwa wale wasiopata heavy cream. Kwa kweli sijaona tofauti ya ladha kwa kutumia tui la nazi
@ummukulthumabdulhafidh95165 жыл бұрын
Asanteee my wetu ALLAH akulipe kheri
@weamabdoulnoor34815 жыл бұрын
So nice kiukweli nimeipenda
@florandossi40215 жыл бұрын
Maam. ... Asanteee
@faustadonasian27775 жыл бұрын
Ni nzuri!! Inavutia sana
@leilamohamed74455 жыл бұрын
Mashaallh bado tanduri tu
@mariamumuyunus995 жыл бұрын
Aslm alykm. Shukran
@mohamedayda77565 жыл бұрын
Mashaa ALLAH nzuri. Hio supu ya kuku wafanyaje naona unatumia sna hata kwa jollof rice uliweka.
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
Hiyo supu ya kuku yaani stock nimefanya video mda mrefu sasa lakini sijaaliwa kuipost sijui kwanini haina bahati
@mbwanamashaallah83655 жыл бұрын
mash Allah
@alizahranmohd40955 жыл бұрын
mashallah ipo vizurri sana
@TotyNassor7 ай бұрын
As veep hali aunt ningenda kuona butter unayo tumia kupika butter chicken plz
@aromaofzanzibar7 ай бұрын
Ni siagi ya kawaida tu its nit the main ingredient nimkidogo tu , mie nipo Marekani kuna siagi za aims nyingi sana
@ruthjmkombozi59905 жыл бұрын
Suuuuuh jamn sio kwa mchuzi huo, unakula uku unangalia mapishi😙
@marycosmas40435 жыл бұрын
kwanza nikuwaoo... mwaaaa mmy nakpenda Bree yaan hilo pishi umenikosha haswaa. nakuombea kwa Mungu azidi kkpa afya njema uendelee ktufunza
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
Amin kwetu sote
@habibuester92214 жыл бұрын
nic
@habibuester92214 жыл бұрын
naomba niulixe nikihitaji hivyo viungo vya aroma kama nina wafanyakaz wenzangu nawaagiza znz sehem waninunulie wanitummie kigoma kazin plx help me
@aromaofzanzibar4 жыл бұрын
Ahsante dear , mimi siishi Zanzibar na sina kibali cha kuuza viungo Zanzibar
@habibuester92214 жыл бұрын
sawa je hivyo viungo vya aroma zanzibar ntavipataje ?
@aromaofzanzibar4 жыл бұрын
Mimi nipo Marekani na sina kibali cha kuuza nje ya nchi nauza marekani tu
@f.almansour72405 жыл бұрын
Mashallah Appetizing 😋 im definitely gong to make this appetizing dish ..sina Almond nzima wala cashew, but I do have Almond flour and Almond butter? Naweza tumia hizo ? Kipimo? 2 tablespoons itakua sawa ? Samahani darling kwa swali refuu.?🤗😀
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
Hamna tabu dear, unaweza kutumia unga wa almond kiasi vijiko vikubwa 3 hivi
@rupyriri71575 жыл бұрын
Mashallah yummy 😋my love je naweza kutumia nyama yoyote tafauti na kuku?
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
Kwa kweli pishi hili mimi sijawahi , ni kitu ujaribu
@aminahali11065 жыл бұрын
A aleykum. Yaani asante nikikukosa hua naona taabu mami
@nabilasalim86615 жыл бұрын
Mashllah
@mommary24245 жыл бұрын
Masapta sapta hayo😋😋nitapka j.pili ndio nina mda hii inaonekana kwa ubwabwa ndo enyewe 😃😃😃
@harriethbarnabas47675 жыл бұрын
Mummy jina lingine LA zile ni nini? Asante kwa pishi zuri
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
Uzile ni bizari nyembamba ile ya pilau
@lapidothswai17775 жыл бұрын
Asante sana
@eqbalmima20445 жыл бұрын
Tnx
@wahidashabaz59825 жыл бұрын
jamani haya mapishi mimi nikitazama najionea raha sana kweli mwanamke jiko
@zaibonge78675 жыл бұрын
Dada angu mie unaokoa ndoa za watu hatareee 🙏.me nawaoneshaga walioolewa ..ila hawana smart phone kila wakitaka kupika wananitilia bando nawaachia simu ..wanawapikia waume zao👌....namie naanza kutamani ndoa ...chezea aroma muarabu 😘