Hongereni Sanaa. Hongera kwa mtunzi Fr Michael Nchembi, Ingawa bado hujaamua kutumia kipaji chako inavyo paswa tunakuomba Baba tunga nyimbo nyingi maana unao mziki wa kanisa ndani mwako
@IgnasBerenaldo-v3u Жыл бұрын
Hongereni Sana Kwa Kazi Nzuri.. Sema Kinanda Na Mtunzi Wametulia Sana❤ Ila Kuna Chizi Sijamuona Humu @salvatory😂
@PendoSimfukwe-n4k21 күн бұрын
Amina mbarikiwe sana Mungu azidi kuwainua mzidi kumpendeza zaidi kupitia uinjilishaji
@hisyakatepan5045 Жыл бұрын
Hakika wakat wa mungu ukifika hakuna wakupingana na ilo hongereni sana wana nankanga nawapenda ivi punde tutakuwa pamoja tumwimbie bwana
@EfesoMyemba Жыл бұрын
Mungu awabatiki
@JaphetChambanenje Жыл бұрын
Asante sana
@joycemericia5878 Жыл бұрын
Kazi nzuri
@athanaspastory6342 Жыл бұрын
Hongereni sana ,Mungu aendelee kuwainua
@OscarKamanga Жыл бұрын
Hongereni sana mungu azidi kuwaombania katika utume
@JaphetChambanenje Жыл бұрын
Hakika mungu ni mwema kazi nzuri wimbo mzuri na waimbaji makin barikiwa sana
@avemariaproductions201 Жыл бұрын
Hongereni sana wanakwaya kwa Kazi nzuri
@salvatorykayola8633 Жыл бұрын
Mungu azidi kuwabariki katika kazi zenu hongera sana mtunzi fr.Michael Nchembi pia kwa waimbaji mumeutendea haki huo wimbo
@KesyRamadhani-on2fe Жыл бұрын
Kazi nzuri..mungu azidi kuwatiaa nguvu katikaaa uinjilishaji wenu
@tempochoir Жыл бұрын
Mmependeza sana mandhali nzuri, mmeimba kwa utulivu hongereni sana.
@gracedesdely3177 Жыл бұрын
nilikuwa nasubili hii kazi kwa hamu San ,kazi njema San tena San Nankanga fire
@KwayayamtyohanambatizajiIzimba Жыл бұрын
Shukrani sana ndugu yetu katika Utume. Barikiwa
@ludovikondayisabha7238 Жыл бұрын
Naam, kuna nguvu ya Mungu katika tungo hii. Hongera mtunzi(maestro Fr. Nchembi), waimbaji na studio makini(Kashusha Jr una kiti chako mahala....)😅