These songs has restored back my hope 🙏🙏,,, Anyone listening to the music in 2025 weka like ❤❤
@carenshibia61699 күн бұрын
Anyone worshipping with me January 2025 be blessed
@monicahngaruiya30848 күн бұрын
Here
@paskolinenjuguna19247 күн бұрын
Amen
@bibianwamutira59545 күн бұрын
Be blessed Mightily too.
@carenshibia61695 күн бұрын
@@monicahngaruiya3084 be blessed 🙏
@carenshibia61695 күн бұрын
@paskolinenjuguna1924 God bless you
@RebeccaJohn-h8c8 күн бұрын
Asante bwaya yesu Kwa kunivush mwaka 2025 pamoj na familia yangu na watoto wangu na kaz yangu jina lako liendelee kuhimidiwa
@SophyNyaulo25 күн бұрын
Ansante bwana yesu haikuwa rahisi kuuona mwaka ninakushukuru kwa kunivusha mimi pamoja na familia yangu❤
@JaneSamwel-v2l6 күн бұрын
Mungu nioshe ww nitakase
@GladysAori2 күн бұрын
Bwana sante kwa uzima huu nlionao pamoja na familia 🙏🙏naomba mwaka huu baraka zako ziwe na mm bwana mapenzi Yako yatendeke juu yangu bwana.
@EugenieKABURAКүн бұрын
Umenitendeya mi hujiza sana, Kwa kuniokowa katika HALI ya ugonjwa uliyo Ni kamatiya inje ya Inchi yangu Ninasema Asante sana Mungu wetu uliye juu mbinguni, Wewe unaweza yote, Wewe ni Mungu kama wewe, Ueendeleleye unanipiganiya Kwa kunifunguliya njiya zangu zote, Nilirushiye HAKI zangu ,Nyota yangu iliyo hibiwa n'ama ADUWI tofauti, Wakiwa wanatumikiya kwenye Bahati yangu, Arapfu wanaikaa ndani ya OFSI yangu, Eeeeeh,Mungu Mkuu unaweza yote, Hakuna mwengine anaweza yote bila wewe, Unipiganiye niludichiwe sehemu yangu, Nirudishiwe kazini kama wengine, Unilinde kwa uyu mwaka 2025 ,nione mafanyikiyo,Amani ndani ya Familliya yangu,AFYA njema, Uniponye uyu ugonjwa wa PRESHA ulinikamata gafla Amen
@ketsiataty870323 күн бұрын
I thank you Jesus Christ for the crossover. You allowed me to enter 2025 with my entire family let your name be glorified. I also Lord ask you to bless those who put these songs on KZbin to be listened by everyone.
@PauletteSwedi2 күн бұрын
uabudiwe Mungu wangu , haufananishwi haulinganishw , baba uko mwema yesu❤❤❤
@PatieRehema6 күн бұрын
Asante kristo haijawa harisi kuvuka mwaka ss niko 2025 pamoja na Familia yangu ni mkono wa neema na rehema nashukru yesu
@NanaMumbesa10 сағат бұрын
Quel adoration merveilleuse et puissant suis béni. Seigneur merci pour le souffle de vie et la protection, grâce seigneur merci pour la santé 🙏🙏🙏🙏
@seku_finest3 күн бұрын
This songs have made my 2025 despite challenges
@MaryMkinga5 күн бұрын
Asante mungu kwa kunitowa kwenye kipindi kigumu 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿 naona mwanga kwenye maisha yangu.amen❤
@PauletteSwedi4 күн бұрын
Alfa na Omega haufananishwi na chochote baba , Mungu wavisivyo wezekana na vinavyo wezekana , Mungu muweza yote ,hakika uko Mungu uabudiwe ushukuriwe mwamba wa maisha yangu ,mlinzi wa familia yangu , asante Mungu wangu unastahili sifa nashukrani baba 🙏🙏🙏🙏
@tresormutombo69518 күн бұрын
Thank you lord for everything and thank you for ministre lucas kaaya for this songs❤❤
@MadeleineKaswera8 күн бұрын
Aksanti bwana wangu ,kwa wema na makuu unazo tenda ndani ya maisha yangu na familiya yangu .Nasema aksanti kwa zawadi ya ushai ,bariki kazi za mukono yangu katika huu mwaka 202🙏🙏🙏❤❤❤
@bititiforeman612Күн бұрын
Nime barikiwa pia utukufu umurudilie Mungu pekeyake, Amen 🙏🏼
@AlexNgumbau-z4r2 күн бұрын
What a wonderful and powerful worship 🙏 am blessed
@elsaodhiambo36508 күн бұрын
I thank you Lord I am blessed with these praise and worship songs Hallelujah continue blessing my heart ❤️
@FedhaRehema-w1s7 күн бұрын
Asante MUNGU kwakunipa pumzi ya uhai nakunilinda nakila vita ninavyo viona na nisivyo viona sistahili mbele zangu ila nakuomba baraka zako zitawale maisha yangu nina wewe tu YESU
@JostinaNyondo24 күн бұрын
Those songs made my first day of 2025🙏
@marchalenefuraha79259 күн бұрын
Asante kubwa kwako YESU KRISTO 🙌🙌🙌🙌👏👏👏👏 Asante sana kwa nyimbo izi
@VictorSaro-n2m9 күн бұрын
Mubarikiwe waimbaji ❤mungu azidi kuabudiwa mana aliyotenda kwangu na familiya😢nashukuru2 mungu hizinyimbo acha nimuabudu mungu2😢😢I love you God❤❤❤❤❤
@Marths-t8w9 күн бұрын
We thank God for everything 🙏 🙌 May his name be worship and spread in the truth 🙏 asante kw hizi nyimbo mwenyezi mungu akubariki sana (anyone listening in Jan 16 2025
@rose_wangari15 күн бұрын
Oh dear Jehovah, receive this beautiful worship😭😭🙌🏾♥️♥️
@AliceBinja23 сағат бұрын
Merci seigneur 🙏 pour l'amour que tu as envers moi Guide Moi seigneur 🙏 aide Mon fiancé à accomplir sa mission Jésus Christ 🙏 j'ai confiance en toi seigneur soit avec nous jusqu'à l'éternité seigneur 🙏
@RosemaryMayunga5 күн бұрын
Asante yesu wangu uliy e mlinzi wangu.fadhili zako ni za milele
@VeronicaMichael-g1h8 күн бұрын
Yesu muweza wa yote fanya njia pasipo na njia kwenye maisha yang
@RehemaKomba-d6t6 күн бұрын
Asante Mungu kwa kunipa afya mimi pamoja na familia yangu amen
@BlessingSikaumbwe-k8iАй бұрын
This song mix has taken me to another level .ooh thank you Jesus Christ
@delinamshai29393 күн бұрын
Blessed beyond measure.please make this downloadable
@hekimarobertwilondjaАй бұрын
Katika nyimbo za kuabudu munaukuu Wa Mungu,,, Amina sana tumebarikiwa sana KIROHO Karibu YESU katika maisha yangu
@AngelCute-p2b2 күн бұрын
Asante mungu nashukulu kwa uliyo nindendea bila ww mungu cyo kitu kwangu 🙏🙏🙏
@leticiamasuda19292 күн бұрын
Hakika mungu nimkuu haufananishwi nakitu kingine unafanya mambo makuu baba wa mbingun namshukur kwakutuamsha salama nakuiona siku mpya me pamoja nafamilia yangu Asante yes kristo🙏
@Margretyounglazy24 күн бұрын
Asante yesu kwa uhai,ulinxi wako tangu tuanxe mwaka adi sahii tumemalixa,naomba ukajidhihirishe kwa familia yangu ili watu wakujue ni wewe
@NathBasubi15 күн бұрын
Mungu ni Mkubwa 🙌Ahsante Yesu kristu kwa yote unaendeleya natenda mu maisha yangu. Amen❤❤❤❤
@Mercyakinyi-p6e17 күн бұрын
Asante bwana kwa uzima wako pamoja.na familia yangu🙏🙏bila ww hatungefikia mahali hapa,jehova unafanya mambo ambao mwanadamu haezi.fanyauunatoa faraja ambao meanadamu hawazi fanya
@gracecolyvas39211 күн бұрын
Hakika Mungu ni Mkuu sana hulinganishwi, hakika nyimbo hizi zinainua sana moyo wangu, Naombq sana mt8 akiandika Yesu weka herufi japo kubwa ili kutofautisha unazungumzia Yesu yupi,au Mungu yupi asante sana kwa kazi.kubwa ya nyimbo hizi
@JohnSadiki-d8rКүн бұрын
Kweli Mungu amenitakasa nakuondoa uso ya shetani abao nilikuwa navaa nakunivika uso mupya hakika anajibu kupitiya maombi na nyimbo ,Mungu awabaki nanyi.
@ChristineOchwoto4 күн бұрын
Dear lord thanks for your marvelous mercy u have shown to my life...now stretch your hand am tired ..🙏
@marthabubi420214 күн бұрын
Listening to this as I get ready for church. Totally a blessing. May everyone listening be blessed in a mighty way
@evalynewandia86616 күн бұрын
So wonderful to worship the Lord ...He alone deserves our worship...am. Blessed
@evalinemmary7070Күн бұрын
asante Yesu maana wewe ndie uliyenipa kibali cha kuanza mwaka mwingine hakika nalitukuza jina lako kwaajili ya familia yangu
@MaryShuma-m2k21 күн бұрын
Mungu wa mbingini wewe haufananishwi na yeyote wewe ni mungu mkuu hakika umetamalaki katika maisha yangu sifa na utukufu zikurudie wewe ee bwana
@WazohilllUhasibu12 күн бұрын
Nyimbo hizii huwa zinapeleka uwepon mwa mungu maana ukiimba kwa hisia lazima kuna kitu ujazwee1🙏🙏🙏
@MaryOchieng-o3x7 күн бұрын
Nasema asante yesu❤ Ooohh my beautiful God I love you God
@davidphiri12946 күн бұрын
Ahsanteni sana ❤ mungu ni mkuu hakika huwezi mfananisha na kitu kingine
@MercyMedina-k2k9 күн бұрын
Thanks lord umenitoa mbali ni asubui na neema na baraka tele
@mathewthomas31596 күн бұрын
so so so inspirational and soul upliftinng. 🙏🙏
@ZyliaBinti18 күн бұрын
Ces chansons m'ont vraiment amener dans une dimension soyez béni
@deboraanyango558412 күн бұрын
Asante Mungu wangu 😢😢😢😢naku shukuru sana Mungu kwa kila kitu umenifanyia, umekua,na mimi kila siku naku inua baba
@emiltonndanshau762020 күн бұрын
Thank you very much for these songs.May the almighty bless you abundantly.
@MelisaJamesy-je6fw48 минут бұрын
Asante Yesu wangu kwa uzima tuko salama Ameeeeeeeen👏👏👏👏👏👏
@TitusMeja21 күн бұрын
🎉🎉naishi kubadirishwa completely very great Gospel songs Mey you God all Grory reserved 🎉🎉🎉
@yveskanobana42115 күн бұрын
Asante mungu baba kwa zawadi ya uhai, zawadi ilio ju ya zawadi zote 🙏🏾
@alinebarhalengehwa21515 күн бұрын
Sijue ni kushukuru namna gani Mungu wangu kwa makubwa na maajabu yako maishani mwangu asante kwa nyimbo hizi za kumuabudu Mungu ❤
Ahsante yesu kwa kunivushsa na ckuona mwaka2025 pamoja na familia yangu..hizi nyimbo zinanibariki sana na ninaomba ziniinue kutoka chino kwenda ju♥️🙏
@Wiliksternyabonyi16 күн бұрын
Asante yesu mwana wa mungu sifa na utukufu wacha sikirudie wewe nasema asante mungu wangu kwa mambo makubwa umenitendea,,, wewe ni alifa na omega 🙏🙏
@JoyceHamisi-h8p8 күн бұрын
asante yesu ❤ sifa na utukugu xikifuate ssante kwa uzima naidh8 kwa neeema yako 🙏
@RosadaMseke3 күн бұрын
Kv
@RosadaMseke3 күн бұрын
Yesu nisaidiee
@SoniaMasetaКүн бұрын
Ahsante mungu kwa uzmii
@MariaAllure-z5v16 күн бұрын
Ni kwakweli Mungu yupo na uwepo wa roho matakatifu upo katika hizi nyimbo
@lydiageorge68326 күн бұрын
Those are encouraging songs me i.have no.words to.
@MichellineMichelline-s8s14 күн бұрын
Asante yesu wangu kwa yote uliyo fanya kwangu na kwa yote unayo endelea kufanya🙏🙏🙏
@SarahJuma-e3f26 күн бұрын
Amen 🙏 🙏 a powerful song nitaingia ni hizi mwaka mpya
@EugenieKABURAКүн бұрын
Baba Mungu wetu, Ninasema asante sana Kwa Familliya yangu, Umetulinda Ku vitu vingi, Ninaomba utufunguliye safari ya Familliya yangu Ya kwenda inje,
@danielchofer5 күн бұрын
Bonjour mes frères et sœurs, vraiment je suis fortifiée, que Dieu vous inspirent encore, soyez bénis au nom de Jésus Christ
@InesIrakoze-wh5jfКүн бұрын
Asante yesuu kwa kumariza mwakq tuko wazimaà😭😭🙏🙏
@sellyraps205726 күн бұрын
Nimebarijiwa na hizi nyimbo mungu azidi kukupa kibali cha kumwabudu na kubariki watu wake
@TeddyAugustino-g7rАй бұрын
Utukufu na ukuu ni wako YESU 🙏 wangu mungu kupitia nyimbo nikapate kubarikiwa Kila kiitwa Leo 🙏
@nshimyumukizaevariste247226 күн бұрын
😅😅😅n .....n .😊
@edwardste16 күн бұрын
Amen
@ruthmakenajoseph271917 күн бұрын
Thenk you for nice worship songs
@nicodemianarose52164 күн бұрын
Asante Yesu cha. kutumaini sina ila Damu ya Yesu
@emiltonndanshau871812 күн бұрын
Nasema ahsante kwa Mungu wangu kwa watu wote...........
@NicolausMagabe-m5p8 күн бұрын
Wewe ni alfa na omega napokea baraka mako kupitia nyimbo zako za kuabudu
@albertamayo33568 күн бұрын
It's 03:04AM, haven't catch any sleep, up thinking left, right and centre 😢. Stuck with life, like never before. Wondering where I could ever run to, where I can ever lay my head, where I can ever hide from the wrath of the world. This combination soothes my heart, it gives me hope. It's reminds me there's something else to live for, it's tells there's somewhere to run to. May your name be lifted forever Lord. May you reign forever 🙏
@LucasKaaya8 күн бұрын
Jesus is here to help you, run to him, he will will help you and give you the desires of your heart.
@MosesMutharimi-zt7os14 күн бұрын
Nimebarikiwa ninaona uwepo wa roho mtakatifu usiku huu❤🙏🙏🙏 God bless you
@mashaurijohn297713 күн бұрын
Sifa na utukufu ni kwako yesu . Kweli haufananishwi na kitu kigne Jehova . Ahsante kwa Kila kitu , Ahsante kwa nafasi nygne Tena Jehova
@SheilaLovega26 күн бұрын
Jehovah haufananishwi na chochote pokea sifa za moyo wangu
@CandyAmry17 күн бұрын
Eeee Mungu kupitia nyimbo nikazidi kubarkiwa kila iitwapo leo mimi na familia yangu🙏
@jerrysimon294621 күн бұрын
2025 nabarikiwa sana na nyimbo hiz Mungu asimame nawew pia unae sikiliza kwa mwaka huu 🙏
@ShukuruDaudi-ue6in2 күн бұрын
Amen 🙏 🙏 MUNGU awadhidishie na awabariki 🙏
@MidevaEmmamideva27 күн бұрын
God shower you with blessings to whoever is reading this❤❤
@AfoyorwothJudith-h6x9 күн бұрын
Thank you Jesus thank you for giving me new life thank you for everything my lord
@MercelineKemmy26 күн бұрын
Nasema asanti yaweh 🙏 🙏 🙏 kwa umbali huu umenileta na baraka zako za milele za dumu
@NgeziaАй бұрын
Amen Amen nyimbo zamaabudu kuwa zinanibariki sana 🙏 🙏🙏🙏🙌🙌👏❤️❤️
@PendoJames-v2p17 күн бұрын
Ee mungu kupitia nyimbo naombo ukajibu hitaji la moyo wangu
@ESTHERNEKESA-g7j11 күн бұрын
Nashukuru Sana mungu Kwa umbali amenitoa ❤❤
@silasmaingi972523 күн бұрын
This was our crossover 2025 with my wife..God still is on the throne we shall come with a testimony.
@emiltonndanshau762020 күн бұрын
Thankx
@emiltonndanshau8718Ай бұрын
Nyimbo hizi zimenibariki sana. Ahsante sana ubarikiwe!
@lazaremusasa16907 күн бұрын
Tu mérite l'adoration mon roi 🙇🙇🙇🙇🙇💪💪💪💪💪💪
@JoyNatasha-du9wr28 күн бұрын
Hakuna mungu Kama wewe ewe mungu wangu... ndio maana tunasema Asante 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿
@JoyNatasha-du9wr28 күн бұрын
Thank you lord for everything you done for me 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🤲🏿
@benjaminbantu493125 күн бұрын
Mungu ni mfalme😅🎉😊😮😢❤❤
@benjaminbantu493125 күн бұрын
Mungu ni alfa na umega❤🎉
@benjaminbantu493125 күн бұрын
A😊Santé
@florencenthenya639122 күн бұрын
Am blessed 🙌 wacha 2025 ikawe mwaka yangu mungu wangu usiniache 😢😢😢
@yonapascal462418 күн бұрын
utukufu, heshima, shukurani pokea Baba .Ahsante Mungu kwa yote una tenda kwetu. ZABURI 124:1-3 1.Kama si wewe bwana aliyekuwa pamoja nasi,israeli na aseme sasa 2.kama si Bwana aliyekuwa pamoja nasi,wanadamu walipotushambulia 3.Papo hapo wangalitumeza hai ,hasira yao ilipowaka juu yetu
@agneskhakali206927 күн бұрын
Hallelujah, glory be to Almighty Dad
@Aline-w1x3d26 күн бұрын
Merci beaucoup pour cette grâce que le seigneur vous bénisse 😊
@MoMa-c9z25 күн бұрын
Baraka zako ziwe Nami,mapenzi yako yawe na mimi ,,wow ❤❤❤Glory be to God,,Shalom Shallom
@TheaNemes12 күн бұрын
Nina kila sababu ya kusema asante Mungu wangu kwamema mengi ya ajabu uliyonijalia mwaka 2024 naomba baraka zako zikazid kuambatana nami mwaka huu mpya2025
@jacklinelyimo7407Ай бұрын
Amen nyimbo hizi zinauwepo wa Mungu ndo tumekuwa nazo Mungu tunakushuku sana
@naomimining2436Ай бұрын
Thank you Jesus. Every moment I'm grateful 🙏
@juliethamwenda3955 сағат бұрын
Asante sana Yesu kwa zawadi ya maisha
@winniehunnie726219 күн бұрын
Asante Mungu wangu, sifa na utukufu narudisha kwako🙏🙏🙏 unastahili kuabudiwa
@jeanalexiskarekezi816821 күн бұрын
Nimebarikiwa saaana na nyimbo hizi. That made my day may God bless you people mupate ufunuwo kuzidi
@brendasamson20864 күн бұрын
Ahimidiwe Mungu wetu kWa ukuu wa utukufu wake ❤❤❤❤❤❤❤