Bwana Misosi - Mabinti Wa Kitanga (Official Music Audio | Video Lyric)

  Рет қаралды 135,447

Bwana Misosi

Bwana Misosi

Күн бұрын

#BwanaMisosi - #MabintiWaKitanga (Official Music Audio | Video Lyric)

Пікірлер: 54
@hyasintkisika8848
@hyasintkisika8848 11 ай бұрын
Wanaosikiliza hii ngoma hii 2023 like hapa
@frankvianey2438
@frankvianey2438 7 ай бұрын
It is now 2024 and I am listening to this amazing song
@MrNicho2011
@MrNicho2011 4 ай бұрын
mwaka ni 2024 bado twasikiza.
@DaltonOdari-ue9vq
@DaltonOdari-ue9vq 8 ай бұрын
Niliisikia 2007 nikiwa primary but still on top 2024
@WilondjaKashindi-t5e
@WilondjaKashindi-t5e 26 күн бұрын
bwana misosi kweli kweli, hiyo ngoma hiyo ili tuchezesha huko lugufu on camp in Tanzania nikiwa kwenye shule la msingi EP: kalembelembe , kwasasa Nina hisikilia sasa congo DRC, nikiwa kwenye chuo kikuu,
@vuvuzelajordankhasindu2963
@vuvuzelajordankhasindu2963 6 ай бұрын
2024 but bado ni big hit. Peace.
@Jumamustafa-ur7uv
@Jumamustafa-ur7uv 20 күн бұрын
Alikua anaitwa mikka kali na hii kali kwa kikwao inamaanisha mwamba wa bahari ndo wahuni enzi hizo wakapita nayo wakatoa mikka mwamba
@MwinyiAbdahalah
@MwinyiAbdahalah 28 күн бұрын
Naipenda hapa nilipo naiskiliza KZbin nikiwa pande za lusaka zambia
@joharijj2164
@joharijj2164 Жыл бұрын
Mume wangu mtu wa tanga, Leo mtoto Kalia akaanzaimbiwa mabinti wa kitanga, nimekuja youtube kutafta nyimbo za kitanga nimekuatna na huu wimbo kumbe alikua yuaimba wimbo ambao upo 😂😂mashemshem nawapenda 😊
@bukavusongs6012
@bukavusongs6012 11 ай бұрын
😜😜
@user-ml1lt3tj1m
@user-ml1lt3tj1m 4 ай бұрын
This one it's the fayaa till now...... Gothaa company 🎉
@gthirty
@gthirty 2 ай бұрын
OG bongo fleva... Bwana misosi hongera kwa hii kazi nzuri bado inaishi mpaka leo 2024
@Saidy-omaryxmshambo
@Saidy-omaryxmshambo 3 ай бұрын
Wewe mwanvua ulitesa sana mwaka 2005 sasa 2024 nina pesa mbaya hahahhaa
@RachelAimee-dt7hj
@RachelAimee-dt7hj Ай бұрын
❤❤❤
@NYAWATSUMA
@NYAWATSUMA 6 ай бұрын
I'm listening this song like it❤❤
@davidlusambya1631
@davidlusambya1631 10 ай бұрын
Nyimbo za Kitambo sana wakati naishi afrika nilikuwa napenda ku sikiliza top10 duh
@mtaostephen3660
@mtaostephen3660 Жыл бұрын
Nyimbo kubwa sana hii
@eltonchisengo8480
@eltonchisengo8480 2 жыл бұрын
Safi Mzee pini haichuji
@Apollowmoves
@Apollowmoves 12 күн бұрын
30/8/2024 Bado tupo nayo
@user-ig9yk9xv4k
@user-ig9yk9xv4k 8 ай бұрын
Home sweet home tanga raha,...kutoka germani
@user-ki1bk5yv8c
@user-ki1bk5yv8c 9 ай бұрын
Yaniwimbo huu nikiboko tanga oyeeeeeeeeeee kamamtuwatanga usiachekusapoti
@joshuajeremia3045
@joshuajeremia3045 8 ай бұрын
heeeeeeeee. bwana misos
@mauriceirahinyuza-ox4cu
@mauriceirahinyuza-ox4cu 5 ай бұрын
Ngoma hit sana since 2006
@coolmwangwina9960
@coolmwangwina9960 2 жыл бұрын
Mkali wa siku zote... Bwana Misosi, mzee wa nitoke vipi....
@nestorymatogwa9255
@nestorymatogwa9255 5 ай бұрын
2007 had 2024 bado ngoma iko fire 🔥
@user-wv2mo2ef4q
@user-wv2mo2ef4q 5 ай бұрын
It’s now 2024 still listening to it
@olingapaul9301
@olingapaul9301 5 ай бұрын
This hit who has the video please.
@D-Man.B-Free
@D-Man.B-Free Жыл бұрын
Unanikumbusha MBALI daaah
@mohamedmwinjuma
@mohamedmwinjuma Жыл бұрын
Mwanamuziki wangu Bora wa mda wote
@starbusinesslikondo1833
@starbusinesslikondo1833 8 ай бұрын
Joseph fanya mpango hii ngoma ufanye video kiukweli fanya hivyo maaana Bado ipo kwenye chat mpka Dunia iishe
@jaymapepefatma5936
@jaymapepefatma5936 9 ай бұрын
Love 🥰❤ from mozambique 🇲🇿🙌
@galatonetz
@galatonetz 2 жыл бұрын
Nimependa lyrics kaua sana jamaaaa
@desekepi
@desekepi 2 жыл бұрын
Mdogo wetu huyo shebby pro 🔥🔥
@silaliandrew1726
@silaliandrew1726 Жыл бұрын
Watanzania walimpeleka wapi huyu legend?
@ibrahimurichard377
@ibrahimurichard377 Жыл бұрын
Media zimeamua kuwapa wasiojua
@silaliandrew1726
@silaliandrew1726 Жыл бұрын
@@ibrahimurichard377ningali namfagilia saana huyu bwana
@officialmashalee4861
@officialmashalee4861 2 жыл бұрын
Nomaaaaa 🔥
@katulawadeus8328
@katulawadeus8328 4 ай бұрын
Produced By Mikka Mwamba 05:36pm Mikocheni Dar es salaam 2003
@animalflani
@animalflani Жыл бұрын
Yani sijawahi kukuchoka mzee wa nitoke vipi tangia enzi zile
@Saidy-omaryxmshambo
@Saidy-omaryxmshambo 3 ай бұрын
Nyie mbwa wa 2005 mko wapi uko
@rie_riroh2627
@rie_riroh2627 9 ай бұрын
Tuning in from Kenya, much love💫
@khadijamohamed8170
@khadijamohamed8170 5 ай бұрын
2025❤❤❤
@mwananyamalaz4427
@mwananyamalaz4427 Жыл бұрын
Mabinti wa gitanga misozi pamoza Sana ila umepotea
@kagirasta1476
@kagirasta1476 Жыл бұрын
2004 miaka 18 imepita
@shabanibakari9558
@shabanibakari9558 Жыл бұрын
Kwan huyu mwamba yupo wapi kwasasa
@josephatmwalongo6779
@josephatmwalongo6779 Жыл бұрын
Tajir
@salumungassa9217
@salumungassa9217 Жыл бұрын
Mziki ulikuaga huu bhn daaa
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 9 ай бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍.
@deogratiusbruno
@deogratiusbruno 8 ай бұрын
2024
@queenandchill91
@queenandchill91 3 ай бұрын
Kwani video ilienda wapi mheshimiwa?❤
@ibni_H2TL6r
@ibni_H2TL6r 2 жыл бұрын
Bro mmeshtuka sasa hivi ...!!!!?
@ratinojackson1555
@ratinojackson1555 Жыл бұрын
Bro video ya mabinti wa tanga mbona haipo KZbin?
@pharmbee1703
@pharmbee1703 Жыл бұрын
who is saadah saleh??
@ZanzibarOrchestra
@ZanzibarOrchestra Жыл бұрын
Muumini muinjuma's wife. The band star of that time.
Bwana Misosi Feat Hardmad - Nitoke Vipi (Official Music Video)
4:43
Dully Sykes Ft Josline & Mr Blue - Dhahabu (Official Audio)
4:39
Dully Sykes
Рет қаралды 274 М.
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Secret Vlog
Рет қаралды 14 МЛН
나랑 아빠가 아이스크림 먹을 때
00:15
진영민yeongmin
Рет қаралды 16 МЛН
ДОКАЗАЛ ЧТО НЕ КАБЛУК #shorts
00:30
Паша Осадчий
Рет қаралды 1,4 МЛН
Шок. Никокадо Авокадо похудел на 110 кг
00:44
Wauguzi
6:39
Wagosi Wa Kaya - Topic
Рет қаралды 57 М.
Hardmad  Tamala by Mika Mwamba production
4:52
Biorn Productions
Рет қаралды 408 М.
Barua (feat. Daz Nundaz)
5:26
Dominick DM7 - Topic
Рет қаралды 138 М.
Mr-Ebo/Masai, Bado
4:25
delmasus
Рет қаралды 1 МЛН
Suma Lee-Hakunaga HQ
4:25
fahmi salum
Рет қаралды 278 М.
Mabinti Wa Kitanga
3:19
Bwana Misosi - Topic
Рет қаралды 3,1 М.
Professor Jay ft Ferooz - Nikusaidiaje
4:57
ProfessorJay
Рет қаралды 7 МЛН
Dully Sykes - Hunifahamu (Official Music Video)
5:19
Dully Sykes
Рет қаралды 147 М.
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Secret Vlog
Рет қаралды 14 МЛН