Daah mziki mtamu enzi za ujana wangu ,nani mwingine anasikiriza nyimbo tamu mwaka 2025.
@annanyassin574211 ай бұрын
2024 kuna yeyote anaenjoy mzuri gonga like
@denismasele41307 ай бұрын
I remind you to come back and listen this beautiful song 🎉🎉🎉
@bettyaltho27145 ай бұрын
Zamani jamani mpaka namiss nyie hapo tupo disco unarukaruka tu
@FrancisLupande-ku9dp4 ай бұрын
September 2024
@GoldenButterfly-zu9ke3 ай бұрын
November 5 2024
@ambelemwakipesile13942 ай бұрын
Tupo bado those were the best moments
@shabanhafidhu19517 жыл бұрын
Daah.! Mi naumia kuona muziki mzuri tumeuacha nyuma. Yani beat, mashahiri na mpangilio wa sauti vyote fresh. Mika Mwamba amefanya makubwa kwenye muziki wetu wa Bongo utafikiri sio mzungu yule jamaa. Najua kuna watu wengi hamjui kuwa Mika Mwamba ni Mzungu na ni raia wa Finland. Kama unajua gonga like yako
@dahkitambosanapazi83545 жыл бұрын
mi sijui ila nimegonga like ya nguvu 2019
@siphaherymsogoya20395 жыл бұрын
Daaa inaumiza daaaa hivi unajua hawa akina domo sijui huwaga wanapima wanavyosema wanaimba au wanajipoyezea muda huu ndo muziki
@lawrencebundala57695 жыл бұрын
Shaban Hafidhu Nimekuja kujua kwamba jamaa ni mzungu baaadae sanaa
@arymixologyservice98995 жыл бұрын
Kweli
@tatumpita62845 жыл бұрын
Mi pia ndio nimejua leo
@linuspastory5597 Жыл бұрын
22/01/2024 daaha nakumbuka maisha flaaan ya amani sana daaah mika mwamba ❤❤❤ Respect sana
@chachamturi259 Жыл бұрын
Sio wepekeako unaeumia, mepia. Alafu sasa hawawasanii wamewatelekeza gizani. Wengne hawajiwezi kimaisha ukiwaona baadhi yao wamechoka wamechakaa. Jaman me nilkua natoa ushauri kwenye baraza ra muzic basata pamoja na wazili wamichezo. Iwaangalie hawa wazanik wakongwe. Maana wanamchango mkubwa sana kwenye hiii nchi. Nawaomba sanasana muwajali wasannii wetu kwakuwa ni kioo vhajamiii
@BiornProductionsАй бұрын
@@chachamturi259 Hii nchi kila kitu siasa,wachumia tumbo ni wengi kuliko wenye ubinaadam unaostahili.
@kaputaakida47217 жыл бұрын
i wish to turn back hands of time! anaesikiliza leo gonga like
@omariabeid32914 жыл бұрын
Mikka Mwamba
@jumafox-mu1dd22 күн бұрын
Tanzanian kweli mziki mzuri tunao cjui kitu gani kimeingia kwenye nyimbo za siku hizi dah😂 ngonga like kama bado unaenjoy mziki mzuri January 2025
@evarist8477 Жыл бұрын
1 am leaving a comment so that after a month, or a year, or a decade when someone likes it, i get a reminder to listen to this beautiful song again..
@BiornProductionsАй бұрын
@@evarist8477 After 11 months ago listen 👂 it again.
@vascomartin110311 ай бұрын
Hii ngoma kitambo Sana na ilikaa pw Sana 2024 ipe like
@BiornProductionsАй бұрын
@@vascomartin1103 Still alive let's enjoy
@allymohamed44255 ай бұрын
Kiss fm hii ngoma ilijua kupigwa Jmn mishale ya jion now 2024 aug Bdo tunaenjoy 🔥🔥🔥
@bettyaltho27144 ай бұрын
Nipo hapa naipenda mpake Leo
@BiornProductionsАй бұрын
@@allymohamed4425 We keep good music alive and enjoy mzee Baba
@BiornProductionsАй бұрын
@@bettyaltho2714 Amen Kula ngoma na uendelee ku enjoy
@victorfocus69425 ай бұрын
Hii ngoma nikiisikia namkumbuka marehemu Dada yangu na marehemu mama yangu rip vipenzi vyangu
@BiornProductionsАй бұрын
Mungu aendelee kuwaweka mahala salama..Amen
@mustaphajuma68214 жыл бұрын
Hii nyimbo daaaah Hardmad....namkumbuka sana marehem baba yangu....R I P....nilikuwa nikiskiliza hii song kutoka mikocheni B hadi mwenge kwa mguu nenda rudi...LIFE ilikuwa tight sanaa...huwa nikiskia machozi hunilenga lenga......basi tena.!!!
@gooddeeds1622 жыл бұрын
Pole sana Mzee, Mungu ni mwema I hope unafanya poa sasa , Mungu asimame na wewe
@muhidinhassan54192 жыл бұрын
Daah pole sana mungu asimame na ww
@Aboodjan4- Жыл бұрын
Pole sn😢
@susancharles1660 Жыл бұрын
Pole sana
@BiornProductions Жыл бұрын
That's what music brought to us,pure memories but sorry
@Saidy-omaryxmshambo8 ай бұрын
Nakumbuka nilikua kigoma kasulu kabanga mwaka 2009 mpaka leo 1/6/2024❤❤❤❤😅😅😅🎉🎉
@BiornProductionsАй бұрын
@@Saidy-omaryxmshambo It's December now 2024, Mungu atusimamie tufungue 2025 ngoma ipo wazi endelea ku Enjoy
@sharlensherif64475 жыл бұрын
Duh! Yani nimeutafuta huu wimbo miaka mingi bila mafanyikio , niliamua ku give upp, ila leo kama surprise umejitokeza. Old is gold 🙏
@BiornProductions5 жыл бұрын
Husijali dada yangu wazee wa kutunza kumbukumbu tupo mtembelee tu account hii na ku subscribe...enjoy. Kweli vya kale ni dhahabu
@Pedeshee014 жыл бұрын
Ila umezifuta nyingi sana why?
@dannysaimon95844 жыл бұрын
Sina jisi
@alfarismickidadi9512 Жыл бұрын
The same
@alfarismickidadi9512 Жыл бұрын
@@BiornProductions🎉
@jamesmatiko8676 Жыл бұрын
Hii instrumental inanipa msisimuko fulani hivi wa ajabu na wakipekee ❤❤❤❤
@BiornProductionsАй бұрын
@@jamesmatiko8676 Mikono ya dhahabu Mika international
@simongambaloya1727 Жыл бұрын
Popote pale walipo hawa jamaa heshima kwao ktk bongo flavor itadumu dahali, huu wimbo hata nikiwa na hasira, stress n. k huwa nikiusikiliza tu napata relief, my #1 song kwny count down za miaka yote
@BiornProductionsАй бұрын
@@simongambaloya1727 God bless you all the time Cheers 🥂
@dyevachkakyekaka3878 Жыл бұрын
2023 October and am still here 🔥🔥🔥 old good days
@giftgadiel9191 Жыл бұрын
Legendary music..😢 Inanikumbusha udogoni nipo na mzee tumetoka shamba tupo na baiskel ya phonex.kanipakiza kwenye bomba radio yetu kwenye staring kigiza kinaingia anachochea kupandisha nyumbani inapiwa ngoma hii ooh old is gold..
@BiornProductionsАй бұрын
@@giftgadiel9191 Mungu aendelee kukubariki,na upatapo comment hii kula ngoma hii tena kufunga 2024 na kufungua 2025 bless 🙏
@Wakusoma3 ай бұрын
Mika mwamba alikuwa mbele ya wakati, very good
@BiornProductions3 ай бұрын
Wachache mnooo mnaitambua haya
@victorkiiru12375 ай бұрын
leo tar 25/8/2024 nmekuja kuusikiliza mziki huu kutokana na mwanadada Fatma mnonji kuwa kwenye kipindi cha #back intertain kwenye station inayo itwa BONGO FM zamani TBC FM.before sikujua unaitwaje but nakumbuka miaka ya nyuma nikiwa primary darasa la tatu mzee anawasha redio free africa saa kumi na mbili asbh kwenye radio ya mbao mziki huu unapigwa dah sasa ni mwalimu naupiga kwenye smart phone nimeconnect kwenye Bluetooth na bado tamala ipo ila mziki wa zamani nyie hadi tumachozi kwa mbali ukikumbuka maisha ya nyuma😢
@BiornProductionsАй бұрын
@@victorkiiru1237 Enjoy hadi sasa kwenye kuuaga mwaka 2024 na kuukaribisha 2025 Mungu ni mwaminifu muda wote Victor.
@yustomwaisomania25876 ай бұрын
2004 to 2024 chuma bado ya motoooo🔥🔥🔥🔥🔥♥️♥️💪💪
@BiornProductionsАй бұрын
@@yustomwaisomania2587 balaa tunaingia 2025 Chuma inazidi kuiva 😂😂😂👏👏👏 enjoy sana
@rachelsimon71824 ай бұрын
Hardmad ukwap rafaki tunga tena basi kama ivi tumemis nyimbo nzuri kama izi
@BiornProductions3 ай бұрын
Wakati ni ukuta, tuombeane kheri vitu vizuri haviishi vipo. ❤❤❤
@neural_harmony-w8mАй бұрын
Itabidi ni Producer Mika mwamba ahusike maana bonge la ngoma - melody, lyrics, vocal, beat kali sana
@kambwiwamwaduifc77466 жыл бұрын
dah ngoma za zaman zilikua zinaleta isia hata kama ulikua na mawazo ukisikiliza bsi yataondoka kwa muda
@ntopangonyani69647 жыл бұрын
Nasikia sauti ya Fatma Mnonji kwa mbali akiitikia kiitikio. Alikuwa school mate wangu huyu Biafra High School, alikuwa ni binti mwenye haiba ya upole.
@mrfinest50046 жыл бұрын
ntopa ngonyani nice
@kiun086 жыл бұрын
Mnonji kaimba wimbo gani mwingine?
@faustersanga66276 жыл бұрын
alishirikishwa pia na 20%kati ya nyimbo zake
@edwinkakwezi2846 жыл бұрын
Alikuwa na sauti nzuri sana ila watu hatukutambua kipaji chake
@edmundisaack69025 жыл бұрын
Ni mdogo wake na hard mad pia ameimba chorus kwenye nyimbo ya Ziggy de enomic
@davidtandi87485 ай бұрын
This song reminds me a certain radio representor by the name kid buoy from Radio free Africa from Tz.from Zambia.
@BiornProductionsАй бұрын
We keep good music alive and enjoy sana
@evenlightjumanne19096 жыл бұрын
Daaaah huu wimbo tangia zamani naupenda mpaka sasa bado ninao kwenye sim yangu wakati unatoka nwaka 2004 mm ninamiaka nane ndani ya Zanzibar mpaka sasa 2018 Nina miaka 22 bado ninao naupenda sana na mda wote nausikiliza ndani ya sim yangu daaaah aiseeeeee
@marjentertainment20316 жыл бұрын
Ulitoka 2002
@BiornProductions5 жыл бұрын
U,are a real fun
@khamyclever49295 жыл бұрын
Tamala
@marjentertainment20314 жыл бұрын
Umetoka 2002
@johncelestine83664 жыл бұрын
Evenlight Jumanne hongera kaka
@ajuayelubano95953 ай бұрын
Moja ya wimbo ambao nikiusikiliza unanikumbusha enzi za utoto wangu.
@BiornProductions3 ай бұрын
Just welcome and enjoy
@aeyzee4ever6078 жыл бұрын
huyu mshakaji anajua as Mimi nimtoto was kitaa tulipokuwa na washkaji zangu tukiskia nyimbo za hard mad humsalute mbaya ..big up to him mbaya
@BiornProductions8 жыл бұрын
One love
@samwelmussa11198 жыл бұрын
nyimbo haina uwezo wa kuchuja
@veronicavenance31593 жыл бұрын
Natamani kulia hii ni classic since 2002
@MeshackDivioshi10 ай бұрын
Zamani tulikua na wasanii wakali mno sijui wamepotelea wapi! Daaa god bless Tanzania and bongo flava to the world.
@BiornProductionsАй бұрын
@@MeshackDivioshi Time goes on and got no limit It's all about Generation's.. Enjoy good music.
@KandangaKandanga7 ай бұрын
Hii ngoma ilikuwa inapigwa sana radio free kipindi Iko tuko kjjn ..mtangazaji aliitwa Fredrick Bundala😂😂usiku tunaota moto na redio yetu risingi "life"
@linuspastory55976 ай бұрын
Fredwaaah tumemskiliza sana sana sana RFA daaaah ❤mpaka machozi yanataka kunitoka
@linuspastory55976 ай бұрын
Na Kiss FM jumapili daaah 🙌🙌🙌
@BiornProductionsАй бұрын
@@KandangaKandanga Live long and enjoy good music 🎵🎵 pamoja
@BiornProductionsАй бұрын
@@linuspastory5597 relax and enjoy good music mazee
@BiornProductionsАй бұрын
@@linuspastory5597 pamoja sana mzazi
@SelemaniLingamka6 ай бұрын
Nakumbuka kitambo icho tunaluka na wachumba ztu wajukuu wa nyerere
@BiornProductionsАй бұрын
@@SelemaniLingamka 😂😂😂😂 Nimecheka sanaaa 👏
@TBCLINICKYELA18 күн бұрын
Ulikuwa ukiruka na nani?
@Ngulo-bp5tf4 ай бұрын
kipindi nipo primary school 2006 nakumbuka mbarii sanaa now 2024
@BiornProductionsАй бұрын
Muziki na maisha yamesonga 😂😂😂 endelea ku enjoy
@paulmboje2677 Жыл бұрын
Mika mwamba pokea maua yako kwa hili beat💐
@Wakusoma3 ай бұрын
Mika mwamba alikuwa mbele ya muda
@BiornProductionsАй бұрын
@@paulmboje2677 Hakika anastahili 2024 to 2025 ngoma inazidi kuwa ya Moto.
@BiornProductionsАй бұрын
@@Wakusoma Siyo kidogo ndiyo maana neno Mwamba wanalitumia leo ambapo yeye alipewa kitambo tuu
@BebaKulwa5 жыл бұрын
The true definition of classic music...whoelse listening in 2019!!
@wantedcarter10034 жыл бұрын
2020
@salluxicitegetse22584 жыл бұрын
2020
@Cinemalitics3 жыл бұрын
@Sallux ICitegetse 2021 after Christmas 🎄 hapa😅
@sekakigala36132 жыл бұрын
2022
@terrygabby89766 жыл бұрын
2019...who’s with me?
@BiornProductionsАй бұрын
@@terrygabby8976 Hope you are doing well. We say goodbye 2024 Welcome 2025 Come back and enjoy your music when you get this comment ♥️♥️♥️
@kareemsijaona44747 жыл бұрын
Hii ngoma daah reminds me back in 2004 when I ws in stnd four 🔥🔥
@issahabunu1973 жыл бұрын
Same here..😭😭😭😭😭
@Chekanamimi_3 жыл бұрын
Mimi nilikuwa darasa la 5..... Habari zenu madogo @kareem sijaona na @issah abunu
@Cinemalitics3 жыл бұрын
@WILLARD MMBANDO Duh basi balaa maana mm nlkuwa chekechea sawa wakubwa🙌🏽
@samuelbeti79632 жыл бұрын
Me too
@josikinyala44252 жыл бұрын
What a song. Hard man. Verse ya 3 ndio u can fell the real dance hall. Who is listerning right now at 10 :38 PM on 5th August 2022?
@fadhilingalu30016 жыл бұрын
Heshima kwako bila kumsahau producer mika mwamba Saluti kwenu uliitambulisha ulimwengu kama mukiamua kufanya kitu kizuri kinaoneka
@shabanally697310 ай бұрын
Maisha ya kitambo yalikuwa matam sana jmn,,nataman kuyarudia
@ezekielokuku99816 ай бұрын
Ni kwa sababu ulikuwa unatafutiwa,wewe kazi yako ilikuwa ni kucheza tu na shule...
@siraaronmallya425 Жыл бұрын
Huu wimbo ulinitesa sana...niliupenda sana ila nilikua sijui kaimba nani.. Then juzjuz hapa ndo najua mika mwamba ni mzungu baada ya kufanya mahojiano na millard ayo...kweli maisha yamebadilika.
@geraldsanga7093 Жыл бұрын
Hard mad ndiyo muimbaji.......
@BiornProductionsАй бұрын
@@siraaronmallya425 Mwamba kama jina lilivyo Alikuwa mbele ya muda kinyama.
@tysongodfrey76007 жыл бұрын
2017 daaah this song .napataga hasira sana why why why wasanii kama hawawi respected
@siphaherymsogoya20395 жыл бұрын
Ndugu waweza lia daaaa
@konzoikweta10 ай бұрын
Mika Mwamba the Best Producer ever 🎉
@mussaismail12858 ай бұрын
Wanapiga makopo makopo wanajiita ma goat
@BiornProductionsАй бұрын
@@konzoikweta Jina la MWAMBA halikuwa kwa bahati mbaya mnooo na siku zilikuwa nyuma Sanaa 👏👏 2024 to 2025 still we are enjoying
@BiornProductionsАй бұрын
@@mussaismail1285 😂😂😂😂
@Zee_Njovu5 жыл бұрын
2020 and I’m still here, this song 🔥🔥🔥
@BiornProductions5 жыл бұрын
Enjoy love 👏👏👏
@aisharenatus16784 жыл бұрын
Me me me
@mariamzukas5004 жыл бұрын
Here l am listening away the from UK
@LeodegardMkenda4 ай бұрын
Welcome form one 2003
@BiornProductionsАй бұрын
Life goes on
@vicentmushi99066 жыл бұрын
HII NYIMBO INA historia kubwa sana katika maisha yangu siwezi sahau 2004 mpaka leo naipenda, big up hard mad na mika mwamba, mchango wenu ni mkubwa kwenye gemu ya muziki wa bongo .
@allyfatma73594 жыл бұрын
All the best
@victornjwango96832 жыл бұрын
@@allyfatma7359 hujakosea mzazi
@rajabumnubi32775 ай бұрын
Keeping the good music 🎶 alive
@BiornProductionsАй бұрын
Always and forever ❤❤❤
@Prettyloner_Z3 ай бұрын
This song reminds me of my big cousin sis's wedding ... the bridemaids we used this song as our entrace song❤ Nostalgia feelings😊
@BiornProductions3 ай бұрын
Waoooo congratulation for them and enjoy your moments... welcome
@muhesakazumba942610 ай бұрын
Sikuhizi tunaimbiwa nyimbo ambazo huwezi sikiliza au kutazama video mbele ya wazazi wako, eti weka mate niteleze Kama nyoka pangoni dah! Hovyo sana
@BiornProductionsАй бұрын
@@muhesakazumba9426 Generation za hovyo
@yonathanandrecus7465Ай бұрын
So far days nikiwa 2003 nikiwa 9 old now am 30 mbagala kiburugwa 2024
@BiornProductionsАй бұрын
Music and Life are moving simultaneously
@African511 Жыл бұрын
Muziki mzuri tumeuacha tukakimbilia muziki wakimapokeo aisee, me hadi leo napenda bongo muziki wa zamani
@paterandrea21466 ай бұрын
Kitambo Sana apo Kota za police mbeya line police disco letu bwalo la magereza DJ mganya kitambo sana
@TBCLINICKYELA6 ай бұрын
Kitambo sanaaaa.
@paterandrea21465 ай бұрын
Je we ni moja wapo mtoto wa Kota mbeya
@BiornProductionsАй бұрын
@@paterandrea2146 Isikilize tena ukiwa una funga na kufungua mwaka 2024 to 2025
@ikm39944 ай бұрын
Hii ngoma acha kabisa
@BiornProductions3 ай бұрын
Tunafanya mziki mzuri uishi.... pamoja sana mzazi
@allyKazimoto-im5hp10 ай бұрын
Upo ww hard mad TAMALA na dullayo BILA YULE naenjoy mnooo
@BiornProductionsАй бұрын
@@allyKazimoto-im5hp Enjoy good music 🎼🎼🎼
@peterdeogratius61225 жыл бұрын
Nikisikiliza hii ngoma nakumbuka nikiwa Darasa la saba Shule ya msingi makuburi 2004 tulikuwa tunaenda dhihara bagamoyo kwenye gari tuliyopanda hii ngoma ilikuwa inarudiwa mpaka raha
@allymjato89802 жыл бұрын
Dah log time sana Nlosoma Hapo but nilikua Mabibo
@lucymayelias31145 жыл бұрын
Still 2019 😘😘 napenda sauti ya Fatma inanikumbusha mbali
@elisamehecharles54324 жыл бұрын
Ogaaah! Huyu Fatma si ndo yule aliimba pia na Jaffarai na Joh Makini?
@brosataasisi36573 жыл бұрын
@@elisamehecharles5432 ni yeye huyo huyo dada yake Hardmad
@elisamehecharles54323 жыл бұрын
@@brosataasisi3657 Ogaaah! Ni Dada wa Damu??
@brosataasisi36573 жыл бұрын
@@elisamehecharles5432 Dada yake kabisa akitoka Slim(Hardmad) ndio anakuja Fatma
@bakarininga60528 жыл бұрын
hauwezi kuchuja huu wimbo kamweeeeee....big up hard mad
@barakaleader15506 жыл бұрын
Sometimes nilijifanya mwalimu sometimes..nkajifanya mwanafunzi sometimes..sina simu...hapo dah wanikumbusha mbalii
@johnsonJuly4 жыл бұрын
mwanangu nindikie lyrics full mwanzo mwisho ,nilipoteza uwezo wa kusikia 2008 alafu ninaupenda sana huu wimbo,,niandikie kaka
@barakaleader15504 жыл бұрын
@@johnsonJuly pole sana ndugu yangu
@owenoswald33984 жыл бұрын
Mikaa mwambaa he deserves a legend medal of the best producer of all the time his beats still lives up to right now 2020 and still am having feelings and the vibes with these songs that has been produced by him #MIKAMWAMBATHELEGEND
Najiuliza Mara 100 uyu Mika mwamba ni mzungu aliwezaje kukopi na music wetu kiasi hiki
@BiornProductionsАй бұрын
@@jamesmgimba7403 Music ni feeling kubwa na tafsiri itokanayo ndani ya ubongo kabla au baada ya muimbaji kumpa melody mtaarishaji..vikiumana huwa hatari
@allychande87167 жыл бұрын
Mika mwamba rudi +Tanzania bhana tumemis ladha ya bongo fleva za zamani mika mwamba vionyo vya mika mwamba nyimbo za sasa hiv havipo havisikiki walikutoa tz kwa majungu tu kk waliona unawafunika ila kaz zako bado zipo na hazichuji heshima kwako mika mwamba ngoma za cku hiz mwez tu zishachuja
@yassermbembo64035 жыл бұрын
Ally Chande PEACE LOVE
@josephcolt5715 жыл бұрын
Beautiful beautiful,,this song nimeisikilzaa back in the days nakumbuka nipo Kenya nasafiri with scandanvia express,,, the song has never left my mind
@Joseph-lu4yj4 жыл бұрын
hahaaaaaaaa !! na zile chuma zilivyo kuwa zinaamsha daaaaaaa !!
@josephcolt5714 жыл бұрын
@@Joseph-lu4yj Hatari mzee hii ngoma siwezi sahau
@ambrocemalya35515 жыл бұрын
Nakumbuka ilikua inaimbwa Sana Radio One nyakati hizo ndo Kwanzaa Nipo class 2, umbwe primary 2004, whaooooooo
@GeraldAndrew5 жыл бұрын
Ambroce Malya umenikumbusha mbali sana, umbwe primary nilisoma miaka ya 91-92 std 4-5. Huu wimbo umetoka nikiwa udsm, nakumbuka sana mabibo hostel .. good old days!
@MXI4EVER_25 күн бұрын
yan mgeoma nnavocheza hapa bafun😂😂kweli time flies😢 i miss going at the club im vibing this gold banger dah sjui nilie LOVE 🇹🇿keep winning happy 2025
@jeremiahmussa2178 Жыл бұрын
Mika mwamba anajua sana kutengeneza bite
@adrianhilary12416 жыл бұрын
Mungu wangu i used to love this song..i was a kid dahh those good old days!
@GiftIddy-k2f5 ай бұрын
Jmn nyuma kutamu yakale dhahabu cyo kwa midundo na mpangilio huu.
@BiornProductionsАй бұрын
@@GiftIddy-k2f Sure Old is Gold
@prettyerasto8733 Жыл бұрын
It is September 2023 but still listen this banger
@BiornProductionsАй бұрын
@@prettyerasto8733 Pamoja sana na tuifunge 2024 tufungue 2025 kwa ngoma hii 😂😂🎼🎼🥂🥂
@yakobohenjewele183510 ай бұрын
Mika mwamba alikua mwamba kweli kweli kutengeneza bit kali
@shabanilwei8416 Жыл бұрын
Enzi hizo Mika Mwamba alikuwa Mandonga yan Mtu Kazi 😃😃👋Beat alizitendea haki 👏✌️
@pendochris45768 жыл бұрын
Rosemary Benjamin,aloimba wimbo wa farida anaitwa eman
@Pandumasoftware5 жыл бұрын
True
@mussahancy65919 ай бұрын
Huo ndio mkono wa Msenge Mika mwamba yule mbwa hakuna mtu alikamata pale kwa mabeat yake,iko kwao FINLAND nilionana nayo mwaka 2021
@kareemdmartins77557 ай бұрын
mi nadhani hata majani hakumfikia mika mwamba,,,sikiliza hi ya duly na kikongwe ya piko au kajiandae ya mezb
@EliaThomas-m1g11 күн бұрын
Mwamba anajua hii ngoma itaishi milele congratulation had mard
@KikeleloJohnАй бұрын
Jaman acha mziki uitwe mziki
@BiornProductionsАй бұрын
@@KikeleloJohn Salute Mziki wa miziki 👏👏👏
@husseinramadhan35155 жыл бұрын
big up 2you had mad wherever youre
@davisdavid6205 Жыл бұрын
Mika mwamba arudishwe TZ beat kali sana hii
@Aboodjan4- Жыл бұрын
I'm crying 😢
@BiornProductionsАй бұрын
@@Aboodjan4- Enjoy nigga always Good Music is alive
@tatualmasi1175 Жыл бұрын
Jamaniiiii dah vya zamani vizuri
@BiornProductionsАй бұрын
@@tatualmasi1175 Funga 2024 Fungua 2025 na ngoma hii tena
@AzizDhahabu-ib5ci24 күн бұрын
Aisee ngoma ya kitambo sana jaman naikubal kinyama sio minyimbo ya saivi❤
@isaacklazaro37803 ай бұрын
Wanaondelea kuangalia 2024 shuka na like za kutosha
@BiornProductionsАй бұрын
Always Good Music is alive
@Fadnho3 жыл бұрын
i'VE BEEN LOOKING FOR THIS SHIT FOR YEARS TILL I CAME ACROSS BWANA MISOSI NITOKE VIPI, THATS WHEN I CLOCKED MY MAN HARDMAD. COULD'T HELP FEELING NOSTALGIA
@BiornProductions2 жыл бұрын
Subscribe to the channel and you will be able to access the old one vibes... Enjoy bror
@Fadnho2 жыл бұрын
@@BiornProductions Big up to yourself Bro
@shabanibussara84543 жыл бұрын
Ooh, DAAAMN..!!!! Hard Mad n' his sister 'killed it'.! 2021, Novembeeeer.!
@aniyujakaya91966 жыл бұрын
Dah kitambo Sana nakumbuka mbali enzi izo ndani ya fuji znz.
@caseyjason-ws3fr4 жыл бұрын
Fun fact: Aneetikia ni mdogo wake Hardman
@abbasmsafiri704 жыл бұрын
casey jason anaitwa fatuma au Fatma !! Kinondoni B mpaka Leo wanaishi hapo 👍🏾
@issaibony63865 жыл бұрын
Hahaha.... Kiukwli leo namamlizia 2019 kwa wimbo huu kwafraha zote kwani kwa wakati huo 2004 ulinitoa chozi😅ilah leo shavu 😘😘😘saluti mkali popote ulipo kuimba unajua.
@raphynovic3 жыл бұрын
Nakmbuka 2004 naenda zangu kampala Scandinavia primary enz izoo nilikaa siti moja na blaza mmoja jina Edwin alikua na zile walkman za cd akanipa headphones nkaiskia hii ngoma kwa mara ya kwanzaa haijawai kukauka akilin kwangu leo ni 2021 heshima kwa kila alieshirik kwenye hii ngoma