Duu kweli huu wimbo unagusa Roho zetu saana hadi unajihisi uko mbinguni hongereni saana saana Mungu azidi kuwa bariki mtunzi wa hii Nota avumbue zaidi nyimbo za Misa ili tuzidi kubarikiwa na Mungu azidi kuinuliwa juu zaidi❤❤❤❤❤❤🙏🙏
@bonifacemanditi97698 ай бұрын
Amina
@st.peterscatholicparish-lo869615 күн бұрын
Kazi Safi.... Tunaomba Nota ya wimbo tafadhali...tumtukuze Mungu Kwa pamoja. Asante
I listen to this song on repeat mode. I love this version more. Good job.
@kathbetmgao75908 ай бұрын
Betha kama betha shemela nakukubali na mzeee mwita, ukimuweka na shemela mama Mtongole fire na nusuuuuuuu
@Fortunatus_Bonn8 ай бұрын
Naweza kupata mawasiliano ya Mwita
@Bether_Michael8 ай бұрын
Asante 😅😊
@beatricemayala82178 ай бұрын
Nawapenda sana natamani kuimba nanyi ili nijifunze zaidi🥰
@mutongoreprostudios8 ай бұрын
karibu sana,
@veronicamanoni42878 ай бұрын
Hongereni sana Wapendwa, Bwana utuhurume mmeutendea haki. Leo nimeusikiliza zaidi ya mara 10 na sichoki
@waromokello8 ай бұрын
A perfect solemn Have Mercy.
@redemptaruta16918 ай бұрын
Safi saana Pro studio. Mnafanya kazi nzuri saana na uimbaji mzuri. ❤❤❤Mungu awabariki saana.
@mikekingoo35138 ай бұрын
Pro Studios🎉🎉Kazi safi kabisa 👏🏼 Natumahi kuona utukufu ya misa hii hivi karibuni.
@mutongoreprostudios8 ай бұрын
Soon this week
@abelmochama6808 ай бұрын
Tamu sana watu wangu. From Nairobi Kenya 🇰🇪
@mutongoreprostudios8 ай бұрын
Shukrani sana. karibu
@BenedicteLwamba4 ай бұрын
Bonsoir je suis très content de vous, si je suis cette chanson me fait réfléchis la vie de ce monde vanité.
@KwayayaMt.PetroKAKOLA8 ай бұрын
Nawafuatilia kwa ukaribu sana. Hongeraaaa
@cezaliabuyanza-mwidima62262 ай бұрын
Hui wimbo unaniinua imani sana. Sichokibkusikiliza. Nikihisi nimemkosea Mungu hupwnda kuusikiliza. Hata nikifurahi sana. Mbarikiwe sana
@mutongoreprostudios2 ай бұрын
@@cezaliabuyanza-mwidima6226 Mungu akutunze
@AnthonyKiatu8 ай бұрын
Amina... Mwenyezi Mungu aendelee kuwainua Kwa viwango vya juu sanaaaa..
@mutongoreprostudios8 ай бұрын
asante sana
@bonifacemanditi97698 ай бұрын
Wow...Kaka Mwita Hongereni sana kwa uimbaji. Yaani Wimbo mmeuimba vizuri zaidi ya nilivyoutunga!
@Mwita_Isack8 ай бұрын
Pamoja mkuu
@martinnganga8 ай бұрын
Naomba nota mkuu. Hongera kwa utunzi huu
@janethgenes10748 ай бұрын
Misa nzuri sana. Naomba nota yake tuimbe hata kanisani kwetu bosi.
@geraldncheye20947 ай бұрын
@@janethgenes1074mmeshapata nota za hii misa
@triffproductions43486 ай бұрын
Hongera sana kwa utunzi mzuri mkuu
@abelmochama6808 ай бұрын
Mimi nangoja utukufu na roho yangu itapona ❤❤❤😊
@mutongoreprostudios8 ай бұрын
Soon this week
@abelmochama6808 ай бұрын
Amen 🙏
@augustinemutua71654 ай бұрын
Kazi safi❤️.. Sauti nyororo, Sauti ya nne, iko tamu sana🔥💯. Harmony of Alto is so sweet😍
@fidelisluvanda35858 ай бұрын
Jamani em imbeni utukufu yake😢😢😢, yaani mmenifanya nibubujikwe na machizi ya furaha
@mutongoreprostudios8 ай бұрын
Utukufu yake inatoka soon
@tempochoir8 ай бұрын
Hongereni sana mmetisha ❤
@jamesmwita29958 ай бұрын
Kiukweli navutiwa na uimbaji wenu ,,sauti tamu
@luisevarist48198 ай бұрын
Saut ya 2 mtunzi umeuhamon vizuri Sana
@bonifacemanditi97697 ай бұрын
Asante.Huwa napenda kuimba sauti ya pili
@kathbetmgao75908 ай бұрын
Mungu awabariki sana
@SirJames0658 ай бұрын
Safi sana..
@davidmwipopo27438 ай бұрын
Nikajiuliza mbona siwasikii ndugu zangu wiki 2 zunataka kupita😀. Safi sana Bwana Utuhurumie Imesimama pahala pake❤
@KwayayaMt.PetroKAKOLA8 ай бұрын
Tupo full ndugu yetu
@abelmochama6808 ай бұрын
❤❤❤❤ they were cooking 😊❤
@charlesmwas44648 ай бұрын
hii nayo nimependa sana🎉🎉🎉🎉
@bobrobert33748 ай бұрын
Bwana utuhurumie
@lucasshirima28808 ай бұрын
Amina...nasubiri vipengele vya hii misa
@KwayayaMt.PetroKAKOLA8 ай бұрын
Vipengele gani?
@bonifaceelias92878 ай бұрын
Daaaa hii nzuri balaaa yaani Natamani Kesho nikutane na utukufu, matakatifu na mwanakondo mtatisha sana❤❤❤
@mutongoreprostudios8 ай бұрын
Utukufu inakuja soon this week
@paulmukhwana51814 ай бұрын
Bwana Mutongore. Nisaidie Nota za misa hii tafadhali kiongozi
@gagnenyanjom8 ай бұрын
kazi safi sana mtunzi pia waimbaji.Mimi mkenya. Naomba nota zake tafadhali, na pia utukufu yake kama ipo.
@jescaemmanuel86718 ай бұрын
Kazi nzuri,hongereni
@mutongoreprostudios8 ай бұрын
Asante sana
@francoadam73948 ай бұрын
Oooh waaoh
@bobrobert33748 ай бұрын
Hongereni
@ConsolathaJames-v2d8 ай бұрын
Kutoka shinyanga VIJIJINI nawapata vizurii sana kaka Mwita kazi nzuri sana msalimie saana Bro Anthony kiatu shy bugisi wanamkumbuka sana kwa utunzi wake mzurii
@mutongoreprostudios8 ай бұрын
Ubarikiwe
@ConsolathaJames-v2d8 ай бұрын
Amina sana ninyi pia
@emmanueladriano20346 ай бұрын
Naombeni nota za hii utuhurumie
@djkuokoa23488 ай бұрын
Safi sana tunaomba na mtakatifu yake🙏🏻🙏🏻
@mutongoreprostudios8 ай бұрын
SOON
@djkuokoa23488 ай бұрын
Sawa na utukufu yake pia🙏🏻
@veronicanyangwilamalindila8 ай бұрын
Bwana utuhurumie safi. Hongereni sana pro studio❤
@mutongoreprostudios8 ай бұрын
Shukrani saana
@evaalute25568 ай бұрын
Hongereni sana👏👏👏
@MuthuriBrian8 ай бұрын
Kazi nzuri waiting for utukufu❤❤❤❤
@geraldkalinga94628 ай бұрын
Nzuri mnoooo mbarikiwe ❤️❤️
@GrevisseKasongo6 ай бұрын
Nawapenda sana ndunguzangu partition svp
@odethachambi11878 ай бұрын
Nzuri ❤
@angelinajulius-h8p8 ай бұрын
Waoooo nice❤🎉🎉
@Arati38 ай бұрын
Moto sana❤❤❤
@monicamarco58008 ай бұрын
Kazi nzuri
@jastinpeter67428 ай бұрын
Sijawai kuwapinga ninyi ata sku moja
@mutongoreprostudios8 ай бұрын
Ubarikiwe sana
@NobertMichael8 ай бұрын
Kazi nzuri
@hiporituskyaruzi58796 ай бұрын
Tuwekee nota iko vzr ongeren
@jameskame19943 ай бұрын
sijawai guswa roho hivi❤😭😭
@remigiuskahamba74408 ай бұрын
Amina
@yulianarichard87918 ай бұрын
Waaaaoh
@albanTz0018 ай бұрын
❤
@joanwambura6 ай бұрын
❤✨
@nyimbotamu8 ай бұрын
Mkuu mwita twaomba nota
@kathbetmgao75908 ай бұрын
Nicheki nikupe nmba ya mwita
@sospeterthomas33428 ай бұрын
Wimbo Huu unakukufanya ujione uko mbele yaungu live ukiomba msamaha
@KwayayaMt.PetroKAKOLA8 ай бұрын
Kabisaaaa. Pro studios wako vizuri jamani
@laurentlugema5938 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@ruthuushiro7898 ай бұрын
🔥🔥♥️♥️
@denisborgestv5 ай бұрын
Nzuri kweli
@masouddeule75588 ай бұрын
Kazi nzuli sana hongera sana
@SimonKaranja-m8f2 ай бұрын
Wow the song is fine
@nemeskimbe3767 ай бұрын
Utukufu yake lini?
@nicholauslupimo2851Ай бұрын
Mmasoma katiba yetu ya ukwakata kweli nyie au vichwa maji Tu mnakurupuka na kurecod kinachowaijia kichwani mwenu takataka kabisa
@fidelisluvanda3585Ай бұрын
😳😳😳ndugu em punguza makasiriko ase!!! Hiyo katiba yako siyo biblia, em ACHA watu tubarikiwe na kazi iliyofanywa lol
@bonifacemanditi976913 күн бұрын
Lupimo, huu sio ugomvi, ondoa hasira penye muwepo wa Mungu, sidhani kama hii imerekodiwa kwa nia mbaya. Tafuta namna Bora ya kuwasilisha maoni Yako na utaeleweka tu vizuri. Tunaendelea kupokea maoni Yako mazuri na kuyafanyia kazi.