Ila umberlulu hana nguo nzuri amekua mbaya yani amepoaaa jamani amechunda
@harunayusufu3226Күн бұрын
Carry mwili umekuja kaka
@12345678938129Күн бұрын
Hakuna cha kujutia.Yeye ndo alikuwa na myemuko ya mapenzi na imeshatokea . Aache kumuongelea vibaya na wakati amempa zawadi kubwa kuliko zote za hapa duniani