CCM YAPONGEZA HOTUBA ya RAIS SAMIA KUKEMEA UTEKAJI na MAUAJI - AMOS MAKALA - "WANAPOTOSHA"....

  Рет қаралды 388

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

CCM YAPONGEZA HOTUBA ya RAIS SAMIA KUKEMEA UTEKAJI na MAUAJI - AMOS MAKALA - "WANAPOTOSHA"....
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimempongeza Rais DK Samia Suluhu Hassan kwa hotuba yake aliyoitoa Kilimanjaro ya kukemea vitendo vya utekaji na mauaji huku akiliagiza jeshi la Polisi kufanya uchunguzi wa kina kubaini wale wanao husika na vitendo hivyo huku kikilaani vitendo hivyo vya upotoshaji wa hotuba hiyo vinavyofanywa na wapinzani hususan Chadema.
Pia, alisema CCM imejipanga vizuri kushinda kwa kishindo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kutokana na maandalizi makubwa waliyoyafanya na kazi nzuri iliyofanywa na Rais Dk.Samia ya kutekeleza miradi mikubwa na kupeleka fedha nyingi vijijini za utekelezaji miradi ya maendeleo.
Pongezi hizo zimetolewa jana na Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla alipokuwa akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya siasa Mkoa wa Dar es Salaam.
"Mheshimiwa Rais alitoa kauli ile, akiwa Rais, kiongozi mkuu wa nchi na Amiri jeshi Mkuu, alitoa kauli Ile lakn watu wenye Nia mbaya wamekuwa mitandao na wengine katika vikao vyao wamekuwa wakipotosha na kulipa maana nyingine...

Пікірлер: 7
@globaltv_online
@globaltv_online 3 сағат бұрын
MPIGIE DR.JJ.MWAKA SASA KUPITIA 0758 100 100 na 0785 100 100 UPATE MSAADA WA KITABIBU KWA GHARAMA NAFUU.
@ThomasAlute
@ThomasAlute 2 сағат бұрын
Yaani wewe ni mpumbavu sana katika hotuba mbovu iliyotolewa na Rais ni ya ovyo haijawahi kutokea
@KudraWanguvu-em1xw
@KudraWanguvu-em1xw Сағат бұрын
Ukosawa kabisa muongee zaidi kwani uongo anaongea mbowe na lisu kilasiku mwisho utaonekana niukweli
@lifardKombolela
@lifardKombolela 57 минут бұрын
yani ukiwa mnafiki ata ufaam unayoka
@fxmeddy9567
@fxmeddy9567 2 сағат бұрын
Kichw Kama boga
@jospehfabian7856
@jospehfabian7856 2 сағат бұрын
Tikit maji
TUHUMA NZITO KWA CHADEMA; ALIYETEKWA AWATAJA MBOWE NA TUNDULISU
18:27
'Matokeo ya Uchunguzi kuhusu kupigwa kwangu risasi bado mpaka leo'
51:24
BBC News Swahili
Рет қаралды 58 М.
If You Know These 15 Words, Your English is EXCELLENT!
7:39
Brian Wiles
Рет қаралды 2,3 МЛН
BlackRock: The Conspiracies You Don’t Know
15:13
More Perfect Union
Рет қаралды 407 М.