Already season one of BTW is coming to an end,,If you have wtched all the 10 episodes hit the thumps up🎉🎉🎉🎉🎉
@manassehitegi26 күн бұрын
Njugush "I'm not tall but..." Celle : "Aaaah we wacha" IYKYK 🤣
@MWANGIJWARUGURUBESEPT28 күн бұрын
Halloooooo is what finishes me
@jacquelinecontactcare633628 күн бұрын
I know 😂😂
@LIDYANJAGI27 күн бұрын
hata Mimi 😂😂😂😂
@dennoh_phennal575426 күн бұрын
Alooooh😅😅😅😅
@JanetNekesa-h3r26 күн бұрын
😂😂😂😂😂@@jacquelinecontactcare6336
@dambo1226 күн бұрын
Nowdays I use it 😂😂
@elizabethmuhuga951228 күн бұрын
Talk dark and handsome expert allooooo😂😂😂
@celestinendinda27 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@bbeast880527 күн бұрын
Short term pleasure Iko sawa as long as haubreak the bank ,,,sio ati una live forever 😂😂
@MaryNdungu-w2r28 күн бұрын
Tall,dark and handsome 😂😂 Team napitia kila mtu mwenye atani pitia ☑️ let's go 🎉🎉
@jc._garage00128 күн бұрын
Mapenzi niko nayo kwa hawa wawili no Gai uìì 😅😂,❤
@nathanimanikyalo2726 күн бұрын
Someone trying to argue with me... Meanwhile me:Haloooooooooooo😂😂😂😂
@hannahw476927 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣 today I laughed, that thing of not reading the small prints or whole description is a real thing. Everyone who can relate gather here🤣🤣🤣.
@tracyloveofficial670128 күн бұрын
😂😂😂😂Hyo story ya drone😂😂😂anyway keep going Cele and njugush this by the way is my stress reliever ❤❤❤
@celestinendinda27 күн бұрын
Glad to hear that
@graceawuor238125 күн бұрын
I agree with you Kimani, kwanza hio part ya kuomba pan. unajua that is what community is all about. Coz utaenda kwa neiba uombe pan. you wont just get the pan and leave..youll ask them how they are na mpige story one two..na utapata kama huyo neiba maybe alikua worried about something, mkipiga story ata atakua distracted in a way acheke ata, you know. Maybe ata in that conversation, unaweza kua na solution ya shida yake.. that is how we lived kitambo and we did not have much. Lakini si tuliishi...We can really save alot, when before we buy something, unajiuliza kama you really need it na kama being without it itakuinconvenience. Story kama ya hio blender. Ju sio kila siku mtu yublend vitu, you can just go hapo kwa center, upromote ule msee wa fruits. Hatakama mkona wageni. unamwambia tu leo nakupea order. you see. Ju yeye akona hio expertise ya kumake juice, he or she will do it so well, in a short time na in return umemsaidia kumake doh yenye inaweza support familia yake.. and so on. Na wewe hio uchovu ya kublend, kwanza kupeel matunda ...you kno..Mimi hii topic nawezaiongelelea sana, lakini wacha niachie tu hapo. Thanks for this platform btw. Its Genuine.
@margaretmwangangi419927 күн бұрын
😂😂😂just reminded me venye nililala kwa kiti first day I bought it
@zakayomungai22 күн бұрын
Are we learning how to be tolerant na watu? Beautiful episode.. Team we buy things and use them well till we upgrade. Kudos 🎉
@ministeredwin425411 күн бұрын
Hallooooo 😂😂 That drone part got me cracked up🤣
@peninahmunyiri461128 күн бұрын
kimani nikama kahoma kajawai isha tangu uvae vest kama wale wazungu wa kwenyu😅😅😅😅tonduuuu
@Segohpretty28 күн бұрын
Cele,, already nimekuwa addicted kwa video zenu ,,, nawapenda 🥰
@celestinendinda28 күн бұрын
Santii
@tabithawanjiru342728 күн бұрын
Sio not so expert pekee😂😂huwa nashinda nimejipima nguo zangu mpya hadi usiku😂😂 super excited
@Smodestar27 күн бұрын
Hio short excitement ni sisi healing our trauma 😅😅😅😅, you can't believe you can now afford.. 😂😂😂
@mercypatelz113726 күн бұрын
😂😂😂😂 hapo kwa cooker that's so me ...na kubake cake
@silviangari329127 күн бұрын
Tall, dark n handsome ...allooooooo🎉🎉 Uongo kimani wewe si mrefu you only taller than me😂😂😂😂
@madiwafinnest856723 күн бұрын
This episode had me in tears from laughing so hard-the chemist is unmatched,😂😂 a pure genius. I didn’t want it to end😅😅💔relatable 💯💯
@mirimish436727 күн бұрын
I remember when my kids were back in Kenya, they really stressed me so much that they wanted a cooker, that they always wanted to bake cakes, cookies, i was like okey, go shop around and let me know which they liked,, mimi huyo, i sent money and they bought,, let me tell you Maina, these kids only baked twice and that was it 😂😂😂😂😂,, but after all their hearts were satisfied
@ms_nduku27 күн бұрын
ile siku nilinunua fridge wueeh, the excitement. Karibu nifanye photo shoot nayo😂😂😂
@celestinendinda27 күн бұрын
Ungefanya aki😂😂😂
@beatricechege398627 күн бұрын
@@ms_nduku yetu ni ya kustore nyanya na mende😂😂😂
@ms_nduku26 күн бұрын
@@beatricechege3986 mpaka una realise hata chakula ya kuweka kwa hiyo fridge hauna 😂
@beatricechege398626 күн бұрын
@ms_nduku maaaahn
@Jafarugas24 күн бұрын
Hi episode mmeamua kuchomeana😅😅
@carolgich574427 күн бұрын
Living realistic life but that part of new clothes reminds me when I was a kid😂😂😂😂
@jacintamwangi66227 күн бұрын
😂😂😂😂Toys WEeeeeeeh hizo vitu zinaweza kuhumble ...
@veendunge695427 күн бұрын
I agree with cele,have it first ndio ujue haina maana Ni kama kuambiwa masomo haisaidii...have the papers first ndio ujue haisaidii
@celestinendinda27 күн бұрын
💯💯💯
@judyngendo502725 күн бұрын
I really loved the fact that cele talked more on this episode.She is a vibe.
@dianahm.652427 күн бұрын
Tim the explorer😅😅😅😂😂 I also have your twin in the house😂😂😂.... Kwanza hapo kwa kuchoma nyama... Hahaa Wacha tu😂
@prudencekomu25 күн бұрын
The way I have burst out laughing after kusikia drone ya 3,000! 😅😅😅😅
@EvalyneKioko-vh8pn26 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂hio story za drone😂😂😂😂imejaazzzz alooooooo!!!
@damarisokenyuri27 күн бұрын
thats my hubby akinunua trouser mpya anasema hizo za kitambo ni buggy🤣🤣🤣
@celestinendinda27 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@Harryaggy27 күн бұрын
Aloo 😂
@faithjeruto799026 күн бұрын
Aloooo😅😅😅
@njeriwambugua971727 күн бұрын
Me here watching with my two accounts 😂😂😂😂and also commenting with both love you cele....addict of bytheway 😅😂😂
@annie-uo9rn28 күн бұрын
The love I have for this guys😂😂😂😂😂😂😂😂the not Soo expert ako na nuks
@Jebichii828 күн бұрын
Hapo Kwa drone wuuueh 😂😂😂💔
@MERCYMAKAU-q1s26 күн бұрын
😂😂😂
@sarahnjambi560327 күн бұрын
haloooooo😂😂😂🎉🎉 Cele's laughter is ❤❤🎉🎉 Njugush yu can sing You're doing great job #BYTHEWAY
@Goshenite.28 күн бұрын
😂😂😂😂njugush ati mimi nimejujua na wewe.life is spiritual .😂kujitetea
@millicentnalondo361725 күн бұрын
I remember buying a portable blender...am sure by now it always pray niitumie but weee fruit salad nayo ..... blending ni kama iliisha...😂😂😂😂😂😂
@Enlando16 күн бұрын
Uwezi kua mrefu kila mahali😂😂😂😂
@NephOG27 күн бұрын
It's the absence of something that matters, not really its presence... Ndio maana we buy something use it once alafu inakaa apo😂😂
@eglahmuthoni40028 күн бұрын
Cele hapa tuko kimoja... Mimi bwanangu akinunua kitu mpya atavaa mpaka uchoke... Mimi pia huficha...
@celestinendinda28 күн бұрын
🤣 🤣 🤣
@QwatezzGithua-c7x27 күн бұрын
After saying "welcome back to by the way 😊..bona siku hizi hucheki cele😊
@marywanjikuthuita179117 күн бұрын
29: 06 Kanini kanatoka ka Miriam Makeba kamechomoka Mama Africa 😂😂😂😂😂😂
@Carolsaimo-25427 күн бұрын
ALOOOOOO CONGRATULATIONS CELE FINALLY 100k SUBSCRIBERS AM HAPPY FOR YOU 🎉🎉🎉
@Gichiritrizah_Ke23 күн бұрын
The things you grew up wishing to have unajipatanga tu ukipata doo umebuy hata ukiitumia once bora your heart is content.I think we try to excite the inner child ❤. Loving your episodes sana 😂.
@rembotrish738324 күн бұрын
Unanunulia mtoto toy anachagua kucheza na vichungi😭😭
@dainamwaniki936625 күн бұрын
😂😂😂😂Hapo kwa oven kutumika kama storage i m guilty as charged
@emeraldmaish.997324 күн бұрын
This is so accurate. Ata mm nikiwa na my wife io time ndio nakuanga clumsy. Managy left right and center. Na Nikiwa pekee yangu nakuanga tu sawa.
@rhonamukami979225 күн бұрын
you two are very authentic, I love It
@bilhahnjeri642725 күн бұрын
Hapo kwa pinned mpaka Cele anablush IYKYK😂😂😂
@annmuiruri234727 күн бұрын
I have been here since episode 1 but sijawai comment..but I love u guys..ur my favorite couples ❤
@christinenaanyu800226 күн бұрын
Achana na oven kabisa ,mbona unashout ukweli😂😂😂
@christinewanjiru290727 күн бұрын
The way Njugush complimented cele❤🥹
@princessann560126 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂 excuse umeona remote
@Samwel-c1n27 күн бұрын
Wow you look awesome guys dressing iko🎉
@mosesmuchiri730927 күн бұрын
Me watching hii episode after nimeenda kununua ps5 na games mbili nimekuja nayo very excited to play, naassemble ps yangu vizuri na nikasign in, mimi huyooo, nikachukua game disc nieke kwa ps, sema kupigwa na butwaaa, nimetafuta spot ya kueka disc sipati mpaka nikajiona fala nikaamua kuangalia you tube venye inafanywa, kumbe ps nimenunua ni digital version, haitumii disc, mimi hapa karibu ningoe ps nikijaribu kueka disc😅😅😅😅😅😅😅😅
@millyshiro845927 күн бұрын
I like when cele shy😂😂😂 just 📌 😊😊😊
@_Cl.ar.e27 күн бұрын
Love how there's always lessons in these fun stories❤be content as you work towards your goal
@TinaChris-x8t28 күн бұрын
Huyo room mate lazima ni njugush😂😂😂
@TimothyMugambi-r8x27 күн бұрын
hapo kwa mwisho i love it
@Fidey_Kokonya27 күн бұрын
The not so expert,Aloooooo😂😂❤❤... I love watching the by the way episodes 🎉
@lewisndubi77826 күн бұрын
Our not so expert hapo kwa story ya drawn wacha tu ,,nishawai order trouser ikawa ya mtoto aki 😢wacha tu 😢 but hiyo trip ya Nigeria hapo kwa kuvunja mlango wacha tu 😅😅😅
@stellahmalesi667827 күн бұрын
Thank you for making me crack my ribs 😂😂😂😂
@Titus-gh1ny28 күн бұрын
😂😂drone part iko funny
@rachaelchirindo164520 күн бұрын
😂😂😂 that's my son ukienda nae mahali usijaribu kutamka neno 'usi' ukijaribu utaona moto
@KarehNduku28 күн бұрын
Team lebanon🎉❤❤ much love tuko safe no war 🤍🤍🤍💃🙏
@Ruthbaraka90227 күн бұрын
Tunashukuru Mungu aki
@RoseKihiu-mj5xh27 күн бұрын
God is great we are safe
@estherhadassah490625 күн бұрын
Stay safe guys❤
@KarehNduku24 күн бұрын
🤍🙏
@charitymargaret81727 күн бұрын
Am saving up for that cooker even if i cook once a week 😅, i must feel that ka excitement
@catherinendungu445127 күн бұрын
😂😂😂😂 wueh drone .....Cele now be recording this scenes kama evidence juu it's too funny 😂😂😂😂
@peninahmunyiri461128 күн бұрын
aki celle i really love her laughter🤣🤣🤣🤣🤣uneza chekelea kimani alie😂
@samwelkamau312528 күн бұрын
Laugh therapists 😂😂😂
@Rosebella410927 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂 ghaaaii so true But i really enjoy this episodes for Cele and Kimani. Keep doing it Yaani everyday am just thinking of this episodes 😂😂 Nicheke
@EuniceNgotho-i4t27 күн бұрын
The drone part for me😂😂😂
@Atienoand28 күн бұрын
Halloooooo,kumbe I don't need xmass tree 😂
@mercyduncan929418 күн бұрын
Hapo kwa drawn nimecheka loud sana😅😂
@wanjakiiru69759 күн бұрын
Justice for Njugush 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@gracendumia235021 күн бұрын
Walai i'm watching this as i wait for a new wardrobe,na nguo za wiki ziko kwa floor juu nataka nizikuje zikiingia kwa wardrobe😂😂😂
@mukinacrochetlifestyle14 күн бұрын
Njungush is more of work with what you have and for the necessity 😊
@margaretndirangu896717 күн бұрын
Aty cele anacheka hadi anaviblate 😂😂😂😂
@ianthairu21 күн бұрын
usiniite kwa hii show ingine 😂😂😂😂😂😂
@nurahjayandjoy88325 күн бұрын
This is me nikiguuza kitu laxima ivunjike ama ianguke nimeharibu vitu kubreak vitu vikombe sahani
@irenekimani69227 күн бұрын
Njuguna ni gaslighter😂😂😂😂😂😂😂😂🤣
@jacintah125427 күн бұрын
@@irenekimani692 For sure😂😂😂😂
@Jus_faith27 күн бұрын
As a first time mom I realized you don’t need alot of new born clothes because babies really do outgrow them very quickly.
@mwaikadu747428 күн бұрын
😂some things hapo kwa mtu kufura njugush is right...Kuna time kumekua na wave ya kununua air fryer😂wueh before that there was this electric chapati maker aaah kwa mitandao unaona ni sawa ukipika nayo chapati ngumu kuliko kichwa ya Ruto then air fryer came wueh Iko kwa cabinet imejaa vumbi tu
@Rehema-d1g28 күн бұрын
@@mwaikadu7474 😂😂😂
@Rehema-d1g28 күн бұрын
@@mwaikadu7474 😂😂😂
@victoriawanjala28 күн бұрын
And the double pan 🤣🤣
@lilianliviah834118 күн бұрын
Kichwa ya must go has suffered😂😂😂😂😂
@zakkush673026 күн бұрын
Mamaz alileta noma na pacifier ya mtoto,kununua akakataa ekabidi atumiange yeye sasa,punch elienda hivo.
@florencemugoh42226 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 aaiiii
@wanjirunyambura834028 күн бұрын
On that finishing note!Tupewe special episode ya dereva series
@CWhardware22 күн бұрын
timo si wewe huaonyesha cele vituko🤣🤣🤣...sasa toilet sit ulivunja aje sasa?🤣🤣🤣
@mrstverag11598 күн бұрын
Sunlight is important, curtains have to be opened, otherwise you welcoming depression pole pole.. that light is important 🎉
@maricruzndichu958128 күн бұрын
Aki ni kama mimi l was so excited to buy a very cute high heel can you believe l wore it once during a certain wedding since then nikaregesha kwa box, bought it at 2000 mtu ata ako na thao anidm nimpatie
@amosmutahi403026 күн бұрын
Cele,,,,, justice for boy child hio place ya mguu
@DeltaSelta-y4e27 күн бұрын
Timo tunafanana nuks na excitement ya something new ....
@johnkungu816824 күн бұрын
aty light nyumba iamke 😂
@KamsoKamum28 күн бұрын
I just love this fam❤❤❤
@Esther-te9yg27 күн бұрын
Haloooo😂😂😂alafu hako ka " we listen don't judge"kametrend.😅haloooo
@wambuiwairi643327 күн бұрын
'floor yetu ilikuwa ya dunia...' 😂😂😂
@AlfayoOliibo23 күн бұрын
Love love this episode 😂😂
@ZackTechVentures25 күн бұрын
😂😂😂😂that's why Amazon has full description Please soma Kila kitu
@gabbynyamai810627 күн бұрын
😅😅😅 hiyo haloooo it's already a psych-up for a laugh
@Eve_la_dj_25428 күн бұрын
I thought ni mm pekee yangu, I tell you even nikienda mtush nibuy new clothes or shoes zinanipeanga motivation ya kufanya laundary.