Waombeni radhi watanzania kwasababu mliwadanganya kuwa Lissu anafaa kuwa Raisi wa nchi leo hata huyo Mwenyekiti wenu anatuaminisha kwamba Lissu hafai kuwa Mwenyekiti wa Chama Taifa
@ValeriJummane25 күн бұрын
Tunaenda na Lissu popote pale
@lusajomwaipopo504225 күн бұрын
Lissu kwanza
@zaxonygm770025 күн бұрын
Kama ccm mliweza kuwasema public kuhusu corruption, why ya chadema asiseme public kisa kulinda taasisi
@ramadhanyassin439625 күн бұрын
Nakuona kama kinyaaa
@adamsurioh911325 күн бұрын
Yan bas tu....em warudishe kwanza Kisu awe kiongozi alfu mengine tutajua huko mbelen
@MsabahAli-d6u25 күн бұрын
Mkimpa mboe tutabaki na lissu atakapoenda tutaenda
@elikyusimsigwa660823 күн бұрын
Kama mna pa kwenda mnahusikaje na chama hiki?, toeni hoja za msingi sio mihemko ya mitandaoni.
@abbassalum682425 күн бұрын
Kichaa wew
@nestor38425 күн бұрын
Wapiga porojo kama huyu hawajui kama akili finyu kama hizi hazitakiwi tena katika jamii Mpuuzi kabisa wewe huoni hata aibu!
@JoelKilemile25 күн бұрын
Huyu jamaa kachanganyikiwa na kimbunga Cha lissu.
@adamsurioh911325 күн бұрын
Mjinga tu....watu kama hawa wanakuaje viongozi
@JibeMwaijibe-p1z25 күн бұрын
Liiiiissssuuuu🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@BongoCryptos25 күн бұрын
Poleni sana
@Allyiddsud25 күн бұрын
Tunahenda na mbowe.❤❤❤. Naumeonge vizur kaka
@FortiMtolela-xl2nb24 күн бұрын
Mbowe oyeeee ✔️📚
@EvanceDamdam25 күн бұрын
Mbowe n kambi ya ccm tunahtaj mpinzan wakweli lisu, Katiba mpya itapatikana tu, mboe atoke miaka 21 aliyotumikia inatosha Hana mpya. Atoke tu tunahtaj mabadiliko
@PetroPmibulo25 күн бұрын
Hili ndiro zuzu kweli mitano tena akafanye nn 21, inatosha arafu acha kuijadili ccm ambayo ina wenyevi watatu mbele ya mbowe mmoja awamu tano
@mosesibrahimu-kg1ib25 күн бұрын
Pumbavu, yan sisi tukunje ngumi, ninyi mkunje noti? Tunasima na wabangaizaji wetu, lisu na heche.
@Peterchipemba24 күн бұрын
Jamani mungu katupa lissu,,ni mda walissu sasa,,mbowe alisha zoea kushindana na wagombea wadhaifu,,
@onlythestrong865925 күн бұрын
Lissu🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@SaruniKutandawa25 күн бұрын
Umechelewa wp nilisu chaguo la wengi
@GasperKapungu24 күн бұрын
Safi sana.MBOWE jembe sana
@frankminga930725 күн бұрын
Hovyo
@nditiPeter25 күн бұрын
Mbowe nidikteta nawa shangaa watu wanamuunga mkono amewasaliti wapigania haki walio umizwa kwaajili ya chama watu wametekwa wameuwawa wamepotea kumbe yeye amewatoa kafara kwamanufaa yake inaumiza sana
@sebastianmwantuge559725 күн бұрын
Kabla ya kwenda kwenye media ulipata maoni ya wanachama wa chini na wananchi kwa ujumla?
@rebekakulwa615925 күн бұрын
Pesa ya abdul imepanda kichwani njaa mbaya kwa hiyo utampeleka mbowe kozi. Akajfunze uongozi
@ValeriJummane25 күн бұрын
Lissuuuuuuuu
@martinomwakyusa818425 күн бұрын
Lissu ata akishindwa ndio anabidi agombee urais ndani ya chadema sasa kitendo cha wanachama kutoa maneno mabaya juu yake wanajiharibia uwambie waache unafikii Wakae na mtu aliye bora
@joshuaswai820325 күн бұрын
Sema tu huyu jamaa ni mzushi na mropokaji hajajitambua yeye ni nani
@PeterJonathan-c8k25 күн бұрын
Asiwadanganye jambo tv njooni Arumeru muwahoji watu wengi tunamtaka Lisu, tunaenda na Lissu
@talpacompany835825 күн бұрын
Na Mimi najua,jambo tv nilidhaanza kumshitukia
@LenatussylivesterPetro25 күн бұрын
Niwakati wakuaibika mbowe ametaka mwenyew
@ZuzuTheGreat-e8d25 күн бұрын
Acha kuwa chawa kiraka
@Frankgamanuel25 күн бұрын
We unakula Bando huna point Sisi ndio wananchi tunawafatilia hule wenu mfanye makosa
@JosephMgumya25 күн бұрын
Lissu
@mfwimiekayuki869225 күн бұрын
Poleni sana ARUMERU.
@gastonjohn53725 күн бұрын
Njaa inaongea
@edwindezidery63225 күн бұрын
Mi namwamini tundu lissu asilimia mia lissu ndo mwenyekiti mpya cdm mungu amutangulie
@rajabungomoi319225 күн бұрын
We nimpumbavu kafungue tusheni
@NgendandumweAlouise25 күн бұрын
Mbowe kachoka acheni ushenzi mbowe hawezi kugeuza kutu chochote mbele ya ccm it’s over
@Carenhabibu25 күн бұрын
We mng'ang'anie MBOWE CHADEMA inawafia sisi wananchi tunaenda na LISU tu hakuna mwingine
@mosesibrahimu-kg1ib25 күн бұрын
Hakiri ndogo
@gsplundi132725 күн бұрын
Huna unachoongea apa
@daudimchileg30725 күн бұрын
Akipita mbowe, CHADEMA kwisha, ACT wanaenda kuwa chama kikuu cha upinzani
@ValeriJummane25 күн бұрын
Lissuuuuuuuu ❤❤
@felixboniphace328125 күн бұрын
Wananchi tuna mtaka lisu mkituletea tofut na lisu mtabaki wenyewe kwenye chana
@JibeMwaijibe-p1z25 күн бұрын
Huyu akili yake imeganda anawaza ukanda
@zaxonygm770025 күн бұрын
Wewe ruka ruka tu ila Kila mtu ni Lissu. Mambo yote yapo wazi
@rejobu972325 күн бұрын
Nasoma comment 😂😂
@chuchumeta837425 күн бұрын
Lissu for chadema
@SowetoBanks25 күн бұрын
LISSU TU, acha stories nyingi. NI LISSU TU
@tanzalandtv331125 күн бұрын
Mkileta tofauti na Lissu , lichama lenu libaki huko kaskazini , tushawashtukia
@ProsperReuben-fg6uh25 күн бұрын
Kaskazin ipi ww chuggar tupo na lissu kama mbaya ni mbaya
@ElibarikiMollel-t5k25 күн бұрын
Kumuunga mkono Mbowe haujafikiria vizuri . Kwahiyo 2020 Mlikuwa mnachagua Rais asie na uwezo? Kwahiyo Mbowe haijazalisha viongozi bora mpaka leo?
@malkavoice257025 күн бұрын
Umeongea kwa hekima nzuri mwanzo umekuja kuvuruga mwishoni,Kwann Lissu hujawasema hao akina Odero na mwenzie kwann wanagombe ni nyazifa gani wao wamekuwa nazo zinawaruhusu kugombea uenyekiti sawa na Mbowe?!! Mbowe ataongoza hadi lini ikiwa hakuna mtu anayeweza kuongoza hiki chama? Lissu hana kipi?
@margarethpolepole743825 күн бұрын
Toa maneno ysko ya utumbo watu wanamtaka Lisu Mbowe ni Nkurunzinza akachokwa kila kona hawantaki kabisa
@JoelKilemile25 күн бұрын
Kweli nimeamini hawa wengine ni takataka,Eti mbowe ndio muheshimiwa pekee hawa wengine sio waheshimiwa,Jitahidi kurudi shule.
@benedictoshadrack257322 күн бұрын
Unachokisema ni sahihi kabisa Tundu lissu haina uvumilivu kwani siasa siyo kutumia maguvu bali hekima na busara na uvumilivu wa mwenyekiti Mbowe ndo umeifikisha hiyo tasisi ya chama cha chadema vinginevyo tasisi hiyo ingekuwa imekufa pia
@chayogasperi978325 күн бұрын
Wanufaika na janjajanja mtajulikana wote .
@EmanuelJohn-o3d24 күн бұрын
polen arumeru mwakididmz chama chet chadema tliyo ipenda jmn
@HaroldTarimo-g6f25 күн бұрын
Wewe huyo Mbowe alijifunzia wapi uongozi ambapo lissu hawezi Acha kupotosha watu
@JuliasMsongole-c5k25 күн бұрын
Huna jipya ndugu yangu upo mbingu ya Saba kweli,
@kigesomichael806125 күн бұрын
Ukanda unaksmbua
@EdwardUrassa-xc6gz25 күн бұрын
Kaka nimekuelewa sana Isanja na umeongea point nyingi
@GasperKapungu24 күн бұрын
Lissu anakazi ya kumpandikizia chuki mbowe na kumletea siasa chafu.ila mbowe yupo tu kimya.huo ndio uwongozi
@hoseap.gambojnr526825 күн бұрын
Kwamba Mwenyekiti Mbowe aliweza kuzalisha wanasiasa mashuhuri kwa mikakati ya upekee wake nadhani halina upingamizi. Ninamaanisha kwamba, aliweza kuingia kwenye taasisi nyeti kama vyuo vikuu na kuwashawishi wanachuo wenye hulka ya siasa kuwa wanachadema. Huu ni ukweli usiopingika. Lakini, mh. Mbowe kushindwa kumwandaa kiongozi anayemwamini kushika madaraka ya juu ya chama kwa miaka 21 ni anguko la kisiasa. Kushindwa kuandaa mrithi for 21yrs inakata zaidi ya 75% ya uwezo mkubwa wa kuzalisha viongozi ndani ya CDM. MBOWE INATOSHA SASA; TENA NAMSHAURI ASISUBIRI UCHAGUZI; RETREAT AND JOIN TAL BY THE TIME.
@ElisanteOlemboko-t5x25 күн бұрын
Nyamaza
@UrioStanley25 күн бұрын
WEWE NI KENGE , WATANZANIA TUNAMTAKA LISSU
@SowetoBanks25 күн бұрын
Siyo MANGARIBI we sijui uliupataje Uenyekiti?
@EmanuelJohn-o3d24 күн бұрын
Nyie hamfai Tena popt pale tna tafuta lisu ppt
@EmmanuelKuzenza25 күн бұрын
Zilipendwa.
@JonathanMwacusa25 күн бұрын
Wee jamaa akilindogo sana.
@ValeriJummane25 күн бұрын
LISU Daima nyuma mwiko
@JosephSaidJikolo25 күн бұрын
Mlimwaminije kugombea urais angefanikiwa kuwa rais mgesemaje
@faridsalehmohamed123025 күн бұрын
Watu wa kaskazini wote ni wabinafsi na wabaguzi
@FortiMtolela-xl2nb24 күн бұрын
Mnaosema lisu mnapiga Kura?
@mnadanchege708925 күн бұрын
Fanyeni mzaha ili chama kiwafie tukibatize jina jipya chama cha ukabila
@JumaSha-w5w25 күн бұрын
Mpo wangapi?
@TeddyCyprian-o1s25 күн бұрын
Lisu kwanza. Ukituletea mwingine hatuchangii tena
@IsayaJoseph-v3s25 күн бұрын
We mpuuz ukiona mtu mzima anazingumza nje ya chama jua ndani mlishazungumza sana hamtwkelezi wachaga wanajali sana masrahi ya fedha Zaid sio masrahi ya wananchi. Wachaga wamekifanya chadema kama bizaa ya kujipatia kipato sio kweli ahasisi ya kuawapigania wananchi
@uredmwasembo857924 күн бұрын
Kwanza ongea yako tu ni kwamba ujala njaa mbaya Sana ni lisu na heche ndo abali ya mjini
@ElisanteOlemboko-t5x25 күн бұрын
Nyamaza wewe, lisu alikiongoza chama mbowe akiwa magereza. Alikaimu nafasi ya mwenyekiti. Kwa hiyo nyamaza sisi ndio wanachadema wa arusha
@JaphetAndondile25 күн бұрын
Wachaga jamani kwahiyo kisa mbowe ,lisu hafai
@RichardBituro-x9g25 күн бұрын
Dishi
@OscarKasalile25 күн бұрын
Lugha mnayoongea niugha yenu ya uchaga na umeru
@eatlawe25 күн бұрын
CCM wajifunze siasa toka kwa Chadema na hasa demokrasia.
@JoelKilemile25 күн бұрын
Sasa unavyoongea eti hawezi kushika uenyekiti,wakati anagombea urais wa nchi aliaminiwa vipi,Watanzania tuache unafiki kama huyu jamaa.
@noelorgenes873825 күн бұрын
Mlimpaje kugombea uraisi kama hafai
@ignasmjie25 күн бұрын
KAMA SIMUELEWI IVI? NYIE MNAMUELEWA KWELI?
@EmanuelJohn-o3d24 күн бұрын
kama mnataka mbowe labda azaliwe TN is uyo tliye zoofk naye
@dennisungonella20525 күн бұрын
Pambaneni tu, mkileta nje ya lissu msilielie tena
@gsplundi132725 күн бұрын
Arf unanimalizoa bando
@ignasmjie25 күн бұрын
CHA MSINGI TWENDE KWENYE DEBE MANENO MENGI HAYANA MAANA KAKA POVU LA NINI?
@rajabungomoi319225 күн бұрын
Afiche Nini kumbe nyinyi ni washezi sana
@daudimaembe336024 күн бұрын
Huko ni kule kule kaskazini.
@gidionchami995825 күн бұрын
Broo chadema mtuage tu huyo Mugabe wenu akishinda ndiyo kwaheri
@jetymagereja405825 күн бұрын
Kumbe ayubu kama ayubu😢
@Saidmathayo-uv4gj24 күн бұрын
Fala tu huyo hajielew
@damymzuri998925 күн бұрын
Ukabila Kama siyo ukanda
@ignasmjie25 күн бұрын
UCHAFU UNALINDWA ILI IWEJE?
@hamisimkoma738025 күн бұрын
Arumeru kwa kumuunga mkono mbowe ninyi ni mafala
@issasimbira200125 күн бұрын
Tatizo ukanda chama syo cha wachaga
@DandasiKundi25 күн бұрын
Unajua kiongozi kipimo chake cha kuchaguliwa ni kuheshimu katiba na sio kupiga kelele kumtukana mtu anae comment na wengi wanaokejeli ambao anaemtukana mtu mwingine ni vilaza wengi.
@BARAKAKinana-n4y23 күн бұрын
ww kaka ww nimpumbavu sana rudisha akili maana ukisema demkrasia au ukweli ipo kwa lissu kaka ayubu pia ww nimtumichi wa mungu kama ulipo pewa jina ayubu kaka sema ukweli acha kumnga mkono mbowe usimdekese mbowe maana mbowe anakula hukunahuku ww kaka vipi ww