Mbowe awe mvumlivu ni waziri mkuu ajaee mbowe tundu lissu rais ajaee
@simonsadala2386Сағат бұрын
@@BonifaceBonala-w9j labda Rais wa Mashoga
@PonsianoNgaga-g4w2 сағат бұрын
Sijui kama Iko hivyo .ila lisu busara zako zitumie vizuri.kama utapita tumia busara kubwa kuongoza.unamamo mengi hayapo SAWA kwako.okok
@willymgaya76186 сағат бұрын
TUNAOMBA MUMALIZE TOFAUTI ZENU ILI MJIPANGE , NANI AWE NANI MKISHIKA DOLA .
@adelinelyaruu30366 сағат бұрын
KWELI KABISA
@rebekakulwa61596 сағат бұрын
Chadema saa hivi na chama cha watanyika kiko kwenye mioyo ya watu
@festokemibala58323 сағат бұрын
Hicho ndicho nilichokuwa nasubiria, huyu jamaa ni kichwa anajua kuangalia upepo! Kazi kwao wanachama kuunganisha nguvu zao. Biashara ya kutukuza mtu tufike pahala tuikemee,mtu anakufa lakini taasisi haifi. Tuweke miongozo mizuri itakayobana wanaoongoza kama huko USA
@mangashajunior2422 сағат бұрын
Mbowe wewe ni jembe jasiri mwachie Lissu...
@MohammedAwadh-gq9si6 сағат бұрын
Sasa!
@SalambaPeter6 сағат бұрын
Nashauri kwakua ccm wamemzoea mbowe tunatakiwa kumpa lisu tishio la ccm mbowe awe mshuri maanaye ni pia ni nguzo
@JuhudiNzowa3 сағат бұрын
Apumnzike abadili mwenyekiti mwingine itapendeza sana
@laninjeje82904 сағат бұрын
Linconmedia ni media ya mashoga tu, hakuna habari yoyote ya uhakika
@kaziburejuma831358 минут бұрын
Apumzike
@simonsadala23865 сағат бұрын
Jiulizeni vyama vingine vimepotelea wapi Amin amini nawambia Lissu hana uwezo wa kuwa mwenyekiti wa chama atawauza kwa mabeberu wakiwemo ma Ccm. Mdomo wake umebeba malakamiko tuuuuu akili zake zipo Kwa kuamini kuwa Magufuli alikuwa adui yake Chedema amkeni kwenye huu mtego
@masijamajogoro72315 сағат бұрын
Umejitega mwenyewe kafie mbali. Lissu all the way.
@masijamajogoro72315 сағат бұрын
Mabeberu my foot
@davidkawesa3594Сағат бұрын
Mgando
@MwakaHappy6 сағат бұрын
Mbowe must go
@pendomalisa93086 сағат бұрын
Eeeee mbona mnagombana wenyewe kwa wenyewe
@AthumaniAbeid6 сағат бұрын
Lisu must go
@usembiphonedar56323 сағат бұрын
Machawa mna kazi sana! Na anaewatuma mpelekee taarifa kwamba Tundulissu ndiyo mwenyekiti mpya wa chadema Taifa ajae!
@MwakaHappy6 сағат бұрын
Kama ni chama chake ahujumu uchaguzi aone atabaki yeye na familya yake asijidanganye tutaondoka na lisu jaribu uone mbowe
Mbowe ni kiongozi na Lisu ni msanii sana na Muongo
@monicamwita78656 сағат бұрын
Wewe ndiyo muongo wa kwanza huns aibu
@ephraimkalanje71055 сағат бұрын
Mbowe na Lissu hawagombani. Wanapitia mchakato wa kidemokrasia wa kupambanisha mawazo ili kupata kiongozi aliye muafaka kwa nyakati hizi na changamoto zilizopo sasa! (Endapo uchaguzi utafanyika kwa uhuru na haki). Wapambanishe hoja; apatikane kiongozi na baada ya uchaguzi warejee kitu kimoja na kukijenga chama kwa pamoja!
@MaguguStore5 сағат бұрын
@ephraimkalanje7105 Lisu ni msanii sana
@ephraimkalanje71055 сағат бұрын
@@MaguguStore Ni mtazamo wako! Kwa mtazamo wangu anazo kweli nyingi tu! Sanduku la kura liamue!
@masijamajogoro72315 сағат бұрын
@@MaguguStoremsanii ni wewe. Kafie kuleeeee
@InocentKimei4 сағат бұрын
Safi sana mbowe kwa maamuzi uliochukua ili kukata mzizi wa fitina
@InocentKimei4 сағат бұрын
Safi sana mbowe kwa maamuzi uliochukua ili kukata mzizi wa fitina
@InocentKimei4 сағат бұрын
Safi sana mbowe kwa maamuzi uliochukua ili kukata mzizi wa fitina