CHADEMA WANAJIBU MASWALI MAGUMU SABABU YA MSIGWA KUHAMIA CCM. CATHERINE RUGE KAFICHUA MAZITO

  Рет қаралды 8,980

Chanzo Tv Online

Chanzo Tv Online

27 күн бұрын

Пікірлер: 41
@ambitiousholyspirit395
@ambitiousholyspirit395 23 күн бұрын
Msigwa alizinguliwa Kwa sababu intelligence ya chama Iko matured
@pennymahombo9528
@pennymahombo9528 25 күн бұрын
Ammekubaliana na mbuga za wanyama,bandari,misitu,uwanja Wa Kia,nk nk
@fadhilimoshi5754
@fadhilimoshi5754 25 күн бұрын
Msigwa ni msaliti mbinafsi mwenye matamaa na mtu anaependa utumwa hovyoooo
@DanielMasubo-bv7zf
@DanielMasubo-bv7zf 25 күн бұрын
Tamaa na ubinafsi
@mpefu_4936
@mpefu_4936 25 күн бұрын
Njaa
@user-ig3bu6lb5i
@user-ig3bu6lb5i 25 күн бұрын
Mmeumia sana wana chadema
@albertvalentino130
@albertvalentino130 25 күн бұрын
Kwakweli Msigwa,kama mchungaji,kwa maana ya kiongozi wa kanisa,amenitia mashaka kuju
@abdallahkihanza482
@abdallahkihanza482 25 күн бұрын
Msigwa kazoea vya kunyanga, ndio maana uzalendo umemshinda, ameona huko ndio atapata anachokitaka
@user-eu9cj5ho8d
@user-eu9cj5ho8d 25 күн бұрын
Msigwa nazani anayasikia hayo yote. Yatosha tuendelee na talents zetu jamani.
@ezralameck4150
@ezralameck4150 24 күн бұрын
Ata huko akikosa cheo atahama tena😁
@DenisonTheonest-yj3mk
@DenisonTheonest-yj3mk 25 күн бұрын
Msigwa ni Malaya ananunulika anatabia za kimalaya acha aende
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 25 күн бұрын
Msigwa ni mroho wa madaraka sana
@user-cz7bd9tc5k
@user-cz7bd9tc5k 25 күн бұрын
Msigwa Ana fanana Sungura Alipo shindwa kuzifikia ndizi Aka Sema sizitaki kwanza Mbichi hazi fai kuliwa
@rasnchimbi
@rasnchimbi 25 күн бұрын
Ili kujiheshimisha ni eidha angeamua kuachana na siasa arudi kulima au angeanzisha chama chake kwa kuwa anajiamini kuwa na wafuasi wengi au angehamia chama kilicho dhaifu akakistawishe,basss! Kulikoni kuyarudia matapishi alokuwa anayatukana na kuyalaani.🤔
@AnnaMtulo-fc5tg
@AnnaMtulo-fc5tg 25 күн бұрын
Yule fisadi kama fisadi wengine
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle 25 күн бұрын
Alitika ccn amerudi CCM huyu ni malaya wa kisiasa
@domymerinyo8165
@domymerinyo8165 25 күн бұрын
Unapoteza muda kujadili mwenye tamaa zake binafsi anaangalia faida zake,na sio mtu wa kuangalia kusaidia raia na kesho yao
@user13375
@user13375 23 күн бұрын
Msimjibu msigwa huyo ana njaaa yake
@odoieriasmonga6591
@odoieriasmonga6591 26 күн бұрын
msemaji wa mwisho umenikosha sanaa
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko 26 күн бұрын
Pesa inaua mziki wa kenya
@albertkamala6843
@albertkamala6843 25 күн бұрын
Ubinafsi ni hali halisi ya kibinadam lkn maswala hayo..matakwa binafsi kisiasa, ki-taasisi na kijamii huwekewa utaratibu unaopaswa kuzingatia haki na democracy!
@kaburi920
@kaburi920 25 күн бұрын
Mbowe ni tatizo Chadema kwa nn hataki kupisha wenzake nao walete mawazo na maono tofauti katika chama. Lissu anakubalika zaidi ya Mbowe. Mbowe ampishe Lissu na hakika atamwangusha Samia na CCM. Wewe Cathreen ni mmoja wa watu waliotumwa kumwangusha Msigwa. Mimi ni mshabiki wa Chadema na naona chama kinaenda kuanguka tusipokuwa makini. Bwana Zitto baada ya kipindi cha uongozi kwa mda fulani ameachia na wengine wanasukuma chama kwenda mbele. Kwa nn Mbowe hataki kuachia uenyekiti kwa wengine. Je ni kweli kwamba Anataka kugombea urais badala ya Lissu ambaye anakubaliwa na Watanzania wengi across the board.
@c2vconnection
@c2vconnection 23 күн бұрын
Msigwa hawezi kuwa sahihi even if Chadema is wrong!!Na ifahamike kuwa Mbowe Soo mpigakura wa Kanda ya Nyasa.Na kama alikuwa bado upande wa upinzani kwa nn amejiunga na kile alichokiita"ukoo wa panya"? Je kujiunga kwake CCM ndo ataibadilisha isiwe tena"ukoo wa panya" kama alivyosema yeye?
@bernardmushi4869
@bernardmushi4869 25 күн бұрын
MUNGU NI WA HAKI NA ANACHUKIA UONEVU.MUNGU YUKO UPANDE WA WANAO-ONEWA NA PIA ANAWAKOMBOA WANAO-ONEWA.GOD IS NOT ON THE SIDE OF OPPRESSORS.GOD SENT MOSES WITH A MSG TO PHARAOH THE OPPRESSOR "THUS SAITH THE LORD; LET MY PEOPLE GO!".
@c2vconnection
@c2vconnection 23 күн бұрын
Je huyo F. A. Mbowe hajawahi kuwa mwema kwa Msigwa?Je hakuna mema yoyote ambayo Msigwa alitendewa? Hana jema analoweza kunikumbuka kulikumbuka?Amepetwa na nini huyo? Mbona alikuwa so eloquent kutetea chama na wale anaowatukana leo?
@user-cx4nx7xi7s
@user-cx4nx7xi7s 25 күн бұрын
NI SAWA LAKINI LOWASA HAKUTUKANA NA KUKASHIFU. KWANINI ANAMKASHIFU MWENYEKITI? MCHUNGAJI HAJATUTENDEA HAKI ALITAKIWA ATULIE AAME KWA USALAMA KAMA LOWASA.
@albertvalentino130
@albertvalentino130 25 күн бұрын
Du kwakweli Msigwa,kama Mchungsji --- kama kiongozi wa kanisa,sikutaraji kama angeweza kufanya alilolifanya --- Mchungaji anatarajiwa kuwa rol model --- lakini hakuna shida " maisha lazima yaendelee " Nakubaliana na Biblia. 2 Petro 2: 22.
@JamesAbel-ig8wb
@JamesAbel-ig8wb 25 күн бұрын
Kama wamemuudhi wenzake angefanya kama W. Slaa na James Mbatia wameonyesha msimamo wao wa kutopenda ccm
@knight6757
@knight6757 26 күн бұрын
🐍
@user-ig3bu6lb5i
@user-ig3bu6lb5i 25 күн бұрын
Labda miaka50
@desiderihugo5704
@desiderihugo5704 26 күн бұрын
Ndyo nasema bora angeenda kwenye chama kingine cha upinzani .
@halimamasai2234
@halimamasai2234 25 күн бұрын
Inawakera sana Msigwa kwenda CCM na mtakerekwa sana na bado Hongera sana Msigwa upo sehemu salama CCM CCM CCM CCM 💪💪💪💪
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 26 күн бұрын
Waliomununua wamemwambia amtukane mbowe ili kudhoofisha chama atachemka hata huyo penyeza alitukana sana wanapewa psesa nyingi sana
@SaidAlly-uh4qw
@SaidAlly-uh4qw 25 күн бұрын
Chadema imeoza haina mvuto tena tangu nipate niwe mdogo mpaka leo mwenyekiti ni huyo huyo kiufupi mbowe na genge lake watafute kazi ya kufanya siasa imewashinda
@samuelmakara1475
@samuelmakara1475 25 күн бұрын
Nafikiri sasa umekuwa mtu mzima nakushauri ukamng'oe mbowe amekaa sana
@kaguripenina63
@kaguripenina63 25 күн бұрын
Inaomekana ccm inamuogopa mboe
@SaidAlly-uh4qw
@SaidAlly-uh4qw 25 күн бұрын
Chadema ni chama cha mbowe ni kweli ni mwenyekiti wa maisha mchungaji msigwa yupo sahihi
@NixonJohnson-zn8nk
@NixonJohnson-zn8nk 25 күн бұрын
Sawa waanzishe Chao sio kudandia vyama vya watu
@josephwilliammnyune5464
@josephwilliammnyune5464 25 күн бұрын
Kiongozi kama anafanya vizuri, aendelee tu. Mbona huko nako walipendekeza viongozi wao waongezewe muda wa kuongoza. Wala si ajabu.
@thembarikiwa
@thembarikiwa 25 күн бұрын
Karibu wa Kanda Ziwa nimependa maneno yako na nakupenda imeongea kwa UPENDO na Heshima kubwa Mchungaji Msigwa amechekesha KIFUPI
#LIVE: LUHAGA MPINA ANAFUNGUKA MAZITO MUDA HUU
Mwanzo TV Plus
Рет қаралды 51
КОМПОТ В СОЛО
00:16
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 31 МЛН
- А что в креме? - Это кАкАооо! #КондитерДети
00:24
Телеканал ПЯТНИЦА
Рет қаралды 8 МЛН
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 17 МЛН
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Lizzy Isaeva
Рет қаралды 66 МЛН
КОМПОТ В СОЛО
00:16
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 31 МЛН