Пікірлер
@sudysuleiman8028
@sudysuleiman8028 24 минут бұрын
Wewe ni mnafiki mkubwa Slaa
@ExodusMarcStanley
@ExodusMarcStanley 35 минут бұрын
Mbowe anapoozesha upinzani hana kauli ya kukemea baada ya kuywa chai ya ikulu, safari hii atashidwa vibaya mno na Lisu
@reginaldmapunda6702
@reginaldmapunda6702 Сағат бұрын
Lissu hawexi kumshinda Mbowe ila anaweza kupata kura nyingi kuliko Mbowe lakini hazitamsaidia kushinda uenyekiti wa chadema.
@SALUMKHALFAN-z4f
@SALUMKHALFAN-z4f 2 сағат бұрын
SLAAA SKILIZA UNASEMA MBOWE KUWA HAKEMEI SERIKALI NA UNASEMA KUWA ANAKATAZA WATU WASIITUKANE SERIKALI NAKUULIZA MBOWE ANAONA KUWA SERIKALI INAFANYA VIZURI KWANINI IKEMEWE KWANINI WEWE BABU SLAAA HUMKEMEI LISU ANAITUKANA SERIKALI NA VIONGOZI WAKE NA PIA KWANINI HUKATAZI NDOA ZA JINSIA MOJA AMBAYO LISSU NI MUUMINI WA HILO MIRADI YOTE ALOACHA MAGUFULI MAMA AMEIMALIZA NA MENGINE IMEFANYWA AU HUONI WEWE BABU MBOWE ANAJITAMBUA NYIE MNATAKA KUUWA CHAMA CHETU MNA SIRI ZENU ZA NDOA YA JINSIA MOJA NA MABWANA WETU ULAYA TUTAMPA KURA MBOWE NA PIA SIE WANACHAMA WAAMINIFU SERIKALI YETU INAFANYA MAZURI TUTAISIFU
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 3 сағат бұрын
Mnaowataka watoe katiba mpya nao ni sehemu ya umma wa Watanzania. Tusigawe umma kwa wanufaika na katiba na wasionufaika na katiba hivyo tukabaki kudaiana kati ya wanufaika na wasio nufaika. Katiba ya umma ndio mpango mzima inayowagaidia wote watawala na watawaliwa.
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 3 сағат бұрын
Msuli mnaotumia kupingana ktk vyama vya siasa utumieni kuuelimsha umma uje pamoja kutaka katiba kama tulivyoutaka uhuru bila kumwaga damu. Kama tulipata uhuru kwa Mwingereza kwa nini tusipate katiba ya umma bila kuuwana?
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 3 сағат бұрын
Mjiifunze kwa RIP Dr. Masumbuko Lamwai. 4R ndio mpango mzima sio kukemea. Matusi, kejeli, ubabe, kuona kila mtu hana ufahamu, kufikiri mahakamani kwa kukimbilia na hata kutokuona wenye rungu hawana ufahamu . Siasa ziendeshwe kwa ustahimilivu na kustahiana. Msitake kuamini kuwa mkemiaji ndio bora. Kuna vyama zaidi ya chadema mbona hamvizungumzii mnang'ang'ania mlikokosana. Mnadhani katiba ni ya wanasiasa ndio maana hamfanikiwi madai ya katiba. Umma ndio udai katiba yake Tumieni msuli kuuelimisha umma kuwa ndio uliopokwa katiba na sio vyama vya upinzani msing'ang'ane na upinzani wa kivyama. Katiba sio mali ya wanasiasa watawala.Wazee msipoteze mda mkicharuana mitandaoni. Potezeni mda mwingi kuelimisha umma kutafuta haki zake msingi na sio wanasiasa kugombana. Mnauhakika umma haufahamu mnapigania maslahi na mkiyapata mnakaa kimya mkiyakosa ndio mnachachamaa .
@masumbukosiyougomvi7900
@masumbukosiyougomvi7900 4 сағат бұрын
Slaa kumbe umezeeka kias hiki!!!???? Si uache siasa?
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Сағат бұрын
Halafu iweje wewe utaweza kufanya siasa?
@masumbukosiyougomvi7900
@masumbukosiyougomvi7900 Сағат бұрын
@ramadhanmahongole9293 kama mbowe hafai. Slaa anatushauri nini?
@albertinamichael6123
@albertinamichael6123 4 сағат бұрын
MBOWE hajawahi shujaa Ni mpiga dili tu.
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf 5 сағат бұрын
SLAA WEWE ULITUSALITI CHAKULA MEZANI KTK UCHAGUZI WA 2015 LEO UNAKUJA NA MISTARI MINGI KAMA WEWE SIO CCM B NI NINI?...
@honestthomas1549
@honestthomas1549 5 сағат бұрын
Kwa Sasa nashauri nguvu kubwa itumike kutafuta kura kwa wale wajumbe ambao bado hawajatangaza upande wao. Wapo waliotangaza kuwa na upande ila wale waliobaki kama swing tuwekeze nguvu huko.
@kingj9606
@kingj9606 6 сағат бұрын
Anayeseme mbowe atoke ni slaa aliyekubali kuhongwa ubalozi na ccm. Na anayemuunga mkono anakimbia nchi kila mambo yakiwa magumu. Ndo hawa wa kuwatoa ccm 😂?.
@nicholauskilosa5336
@nicholauskilosa5336 6 сағат бұрын
Lissu ni mwamba tunamtaka
@Sammy-xu9sb
@Sammy-xu9sb 9 сағат бұрын
Huyu mzee umeshaishi tuachie nchi yetu. Dr Slaa anakisasi na mbowe kwasababu ya lowassa. Compromise is what makes a person into a leader. We only have one Tanzania. Dr Slaa and all top leaders of Chadema have family abroad and citizenship. Some of us, we only have Tanzania!
@iddysekamba
@iddysekamba 8 сағат бұрын
Umejenga hoja kwamfano dhaifu sana..
@HumphreyNyiti
@HumphreyNyiti 11 сағат бұрын
Mbowe pumzika asee kwasasa Huna mvuto
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 11 сағат бұрын
Mwacheni Mbowe agombee ana haki hiyo.Kina slaa walinunuliwa lakini Mbowe hakununuliwa.
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 11 сағат бұрын
Too much noise .Sera ndiyo hiyo ya kiongozi miaka 20. Subiri kura iamue.Hajachakuliwa bado
@anosiata8242
@anosiata8242 11 сағат бұрын
Mbowe akae pembeni. Miaka 20 aliyoongoza inatosha aachiye wengine waongoze chama .
@hasanimkamba8377
@hasanimkamba8377 11 сағат бұрын
wewe mwenyewe ni ccm umetumbuliwa tu acha kutuleta
@rahmamikidadi2213
@rahmamikidadi2213 12 сағат бұрын
Kaka mbowe pumzika
@kassimomary216
@kassimomary216 12 сағат бұрын
That is points Mh Dr Slaa
@samwelmachaka936
@samwelmachaka936 12 сағат бұрын
Hunajipya dr
@JfourHumbi
@JfourHumbi 12 сағат бұрын
Kombaini hii ndiyo tulikuwa tunaitaka lisu vs Heche
@The1979bornagain
@The1979bornagain 12 сағат бұрын
Bwana Freeman Mbowe kama hawezi kuelewa ushauri huu, basi atakuwa na roho ngumu sana . Labda ana maagano na Ibilisi wa CCM
@tumsifuweraufoo5380
@tumsifuweraufoo5380 12 сағат бұрын
Huyu silaa anajua anachohongea kweli
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 13 сағат бұрын
Miaka 21 lazima awe kinganganiz anajiona hakuna mwingne
@Peterchipemba
@Peterchipemba 13 сағат бұрын
Mbowe alifaa kwa wakati wake,,mda huu amwachie lissu,,na heche,,hawa myamba ni manabii na mitume walio tumwa na mungu kuliokoa taifa la tanzania
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 11 сағат бұрын
Mbowe bado anafaa sana na Lissu pia anafaa ila Lissu kauli zake zina utata sana.
@Mkopi-TZ
@Mkopi-TZ 5 сағат бұрын
CCM watawala Lissu na Heche for breakfast, MBOWE the only reasonable person in CHADEMA Slaa acha lugha za kibabe will get you no where!!
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 13 сағат бұрын
WAPOTOSHAJI WANAHITAJI MIUJIZA YA WACHUNGAJI NA MAASKOFU 😢😢😢😢😢KARMA
@williammwamalanga1065
@williammwamalanga1065 13 сағат бұрын
DR SLAA UMEWAHI NAKUSIHI TULIA
@annamnanka-qk1bx
@annamnanka-qk1bx 20 сағат бұрын
Grace kagoma kwani shida ya lisu nini kugombe uwenyekiti wanachadema tumemuchoka mbowe acha wengine waongoze apumzike kwani mbowe chadema ni kampuni yake pekeake au ni chama cha wanachama acha vijanawaongoze mbowe amezeeka
@OS-pf6op
@OS-pf6op Күн бұрын
Lissu ni mtu aliyenyooka, anafaa sana ✔️ Slaa uko vizuri brain team!
@fidesndunguru8605
@fidesndunguru8605 2 күн бұрын
Mungu akutunze namin kabisa mungu anamakusud makubwa na ww
@MrKhatibu
@MrKhatibu 2 күн бұрын
Sijawai kukiunga mkono CHADEMA, ila wanayopitia sio mustakabali mzuri wa uhai wa chama chao. Tatizo la CHADEMA ilitakiwa wa some yaliowstokea akina NCCR na CUF. Nchi tunahitaji vyama vyenye kuleta mabadiliko endelevu na sio mivutano ya wenye kwa wenyewe huku wakimnyoshea mkono CCM kama kwamba fitna za CCM haiwezi kuepukika. Ikiwa upinzani utaendele hivi kila baada ya miongo hakika CCM itakuwa milele madarakani kama jamii ya wanasiasa hawatozirudisha akili zao kutoka matumboni kurudi kichwani.
@SabihiMnyetuka
@SabihiMnyetuka 3 күн бұрын
Wewe ulikimbia ukatuacha ktk kipindi kigum ukaenda canada mara tu ukapewa ubaloz nasasa upo kama nan,nasiasa ulisema,huitaki tena
@GodfreyMwamaso
@GodfreyMwamaso 3 күн бұрын
CCM wanafurahi sana pesa ya Abdul imekipasua chama mangi na pesa utamwambia nini? Chadema kwishiney naiona chadema ikipasuka vipande viwili ikimfia Mbowe mikononi
@SengalaRajabu
@SengalaRajabu 3 күн бұрын
Na bado saaaana mpaka ajitambue yupo kwenye Nchi ya watu makini , huyo Lisu mabomu anayakanyaga mwenyewe asihamaki hii ni Tanzania wewe tukana tuu.
@SengalaRajabu
@SengalaRajabu 3 күн бұрын
Yeye Lisu anajinadi siyo wanamnadi hata wewe Silaa umo kisaikologia tunakujuwa ,Hilo halifichiki Domo la Lisu litampa haki yakeSilaa wewe hueleweki umejitoa mambo ya Siasa sasa inakuwaje upo upande gani.
@franksiame8441
@franksiame8441 3 күн бұрын
Lisu hawezi kuongoza chadema
@yustodonald9772
@yustodonald9772 3 күн бұрын
Lisu tupo nyuma yako
@josephbonday8510
@josephbonday8510 4 күн бұрын
MBOWE AKIENDELEA KUWA M/KITI WA CHAMA HIKI,...NATABIRI ACT WAZALENDO KUWA CHAMA KIKUU CHA UPINZANI NDANI YA MIAKA 10.
@frbm1729
@frbm1729 4 күн бұрын
Ccm mbele kwa mbeleeeeeeeee
@magnusnkomola5950
@magnusnkomola5950 4 күн бұрын
Watanzania tulichelewa kupata elimu, wenzetuuuuu wa kenya elimu waliipata mapema.Majitu yamesoma yanaleta ubishi tu ni kwa sababu wanazo zijua wenyewe. Lissu anasimamia misingi ya haki kwa kila mmoja .aGenge la wala rushwa chadema limeanza kuonekana sasa wanautofauti gani? Na hao wengine. Mla rushwa atapata wapi? Ujasiri wa kukemea rushwa na wakati wenyewe wanachukua rushwa.Tanzania wananchi wake ni watu wa hovyo kabisa tuangalie maslahi ya taifa na siyo ushabiki usio leta maana.
@FrankEdson-l2o
@FrankEdson-l2o 4 күн бұрын
Mbowe nimhuni, watuwote wanakataa yeye analazimisha. Sasa tunamwachia lichadema lake. LISSU tuko nawewe hama hawa wachaga hawa niwahuni.
@joscamwoshezi2986
@joscamwoshezi2986 4 күн бұрын
Mropokaji Lisu hana hakika na anachokisema anajichanganya au kachanganyikiwa
@joscamwoshezi2986
@joscamwoshezi2986 4 күн бұрын
Kichaa Lisu. Rudi kwa familia yako Ubelgiji hatutaki shari zako. Malidhiano ndio yamekurudisha Tanzania huna shukrani domo kaya wewe
@michaelmeela-tn4ew
@michaelmeela-tn4ew 4 күн бұрын
Herini Kwa mwaka mpya 2025 waungwana Mimi nauliza kwani uchaguzi no uhasama? Mbona hivyo Mh.Lisu akishinda Mh.Mbowe bado atakua na heshma yake h yake haitashuka kamwe awe tu mpole M.
@Ramadhanilawoga
@Ramadhanilawoga 4 күн бұрын
Aanzishe chama chake mbowe usmwachie huyo mropokaji umefanya kazi kubwa lisu hapanaaaa
@Ramadhanilawoga
@Ramadhanilawoga 4 күн бұрын
Mbowe ni mwelewa ww na hao wenzio changamoto haaas
@masanjaelias5829
@masanjaelias5829 4 күн бұрын
Hili chizi analiamin nani kwa sasa na linaisemea cdm kama mwananchi au mwana cdm ngombe huyu
@Leodimk-n5c
@Leodimk-n5c 4 күн бұрын
Sasa mie hapa mnisaidee sielewi msigwa na makala wanamtaka Lissu huku ccm wao kama chama wanamtaka Mbowe sasa hapo inakuwaje si wanapingana wenyewe 😊😊