CHADEMA WAZUNGUMZIA KAULI YA JESHI LA POLISI NA KUMJIBU EMMANUEL NCHIMBI

  Рет қаралды 13,911

Chadema Media TV

Chadema Media TV

Күн бұрын

Пікірлер: 59
@richardgervas2310
@richardgervas2310 4 күн бұрын
Chadema Sheria wapo vzr,,ccm wanajikanyaga tu
@danielpaul4108
@danielpaul4108 4 күн бұрын
Safi sana mr Mrema.
@mbegesemwalupani6460
@mbegesemwalupani6460 4 күн бұрын
Hapo sawa Safari ianze mapema kwa mmoja mmoja sio kusubili tarehe ya karibu Mtu anae enda kufanya uharifu huwa hatangazi sisi chadema tunaenda kutetea haki yetu,
@TrustElbashil
@TrustElbashil 4 күн бұрын
Safi sana police wasitutiishe kama ndivyo wamtoe ndani kombo, soka na we zake ndipo watoe ujinga
@Jeremiahlukumay
@Jeremiahlukumay 4 күн бұрын
Wacha tutoke watuuwe sisi zote tufe watawale wanyama na wajitawale wenyewe.
@MustaphaSeleman-z7c
@MustaphaSeleman-z7c 4 күн бұрын
Nakubar sana
@allymohamed2724
@allymohamed2724 4 күн бұрын
KAMA UNALIJUA LITAJE, DAR NI YA KIBIASHARA KWA SASA SIYO YA VURUGU. MSIBANI TU MLIANZA VIRUGU. DAR ACHENI WATU WATAFUTE MAISHA YAO. WAAMBIENI TPDF WAO WALISAKE HILO GENGE, KAMA WALIVYO WASAKA KULEEEEEEE NA KWA MAFANIKIO MAKUBWA
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 4 күн бұрын
Bora maitu ziokotwe barabarni kuliko kuliwa na mamba tumechoka
@FilbertLyamuya
@FilbertLyamuya 4 күн бұрын
safi sana mkuu
@chrysanthushakaunga6560
@chrysanthushakaunga6560 4 күн бұрын
Very sorry my fellow Tanzanian at home you are on bias God will keep you safe amen
@suleimanabdillah7490
@suleimanabdillah7490 3 күн бұрын
Hakuna Serekali 2 zinazoongoza TAIFA hili,kumbukeni kauli ya Mzee Pinda,kama mmezuiliwa na mkatumia nguvu MTAPIGWA yaani MTAPIGWA vizuri huku wajerumani wakiwatizama
@MagakaManyanya
@MagakaManyanya 4 күн бұрын
Hakuna maendeleo bila maandamano
@user-rf5jg2xd6t
@user-rf5jg2xd6t 4 күн бұрын
Safi sana
@GoodTeck90
@GoodTeck90 4 күн бұрын
Maandamano yapo pale pale, tunawakaribisha polisi na marungu yenu na silaha kuja kutulinda
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 4 күн бұрын
Kwani dar ni nyumbani kwa mtu una hati milik ya mkoa wote
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 4 күн бұрын
Hii nchi siyo ya mafisi em tanganyika ni yetu sote
@abubakarimussa9131
@abubakarimussa9131 4 күн бұрын
Tutakuwepo kama kawaida
@Jeremiahlukumay
@Jeremiahlukumay 4 күн бұрын
Tusitishwe, tusitishwe, tusitishwe tusiuziwe uwoga maana hatutaki.
@peterjohnson167
@peterjohnson167 4 күн бұрын
Rwanda ya RAIS Paul Kagame amechukuwa nchi kwa mfumo huu wa Chadema kuuwa wa Tutsi wa hutu ili ionekane mauwaji ya kikatili na waungwe mkono naaaaaaa.
@peterjohnson167
@peterjohnson167 4 күн бұрын
Chadema nyie wajinga kweli kabisa mnateka watu wenu zaidi mnawauwa wenyewe kwa sababu ya uchu wa madaraka na mpate huruma ya kutawala Tanzania...
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 4 күн бұрын
Watapigwa watu kipigo cha umbwa koko huku sio kenya
@ceciliamagalabajimmy4391
@ceciliamagalabajimmy4391 4 күн бұрын
Loooooooooo, 😢😢😢😢 kumbe eee, sawa.
@muddyausi8470
@muddyausi8470 4 күн бұрын
Mbona. umeanza. kulia kabra. haujaandamana
@IreneRama-jp6pm
@IreneRama-jp6pm 4 күн бұрын
Sawa babaaaa
@SuzieMavoco-ju9iv
@SuzieMavoco-ju9iv 4 күн бұрын
T😊
@IsackDominiko_
@IsackDominiko_ 4 күн бұрын
🔥 M4C (255)
@WillKilulya
@WillKilulya 4 күн бұрын
Sheria unajua wewe?mtapigwa Sanaa na naomba utangulie mbele.
@Zanzibar-e4h
@Zanzibar-e4h 4 күн бұрын
Mm sina shaka na viongozi wa chedema na wana msimamo tatizo wafuwasi wa chadema ujiiiiii znz ikitishwa mandamano ikiwa chama kile cha zanan wananchi wafuwasi wanafanya mamuzi hila kuwa kiongozi ktk mandaman jazi ya viongozi sio kuandamana
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 4 күн бұрын
Mnaonaje haya maandamano yaanzie wilaya ya hai kwa akina Mbowe halafu ndio yaje Dar.
@pueblo148
@pueblo148 4 күн бұрын
Kwa sababu haujatekwa wewe Wala kyuliwa ndg zako.kilaza
@mbegesemwalupani6460
@mbegesemwalupani6460 4 күн бұрын
Ngoja tuanzie kwa mkeo
@rodsconehenry4249
@rodsconehenry4249 4 күн бұрын
Tuanzie hapo ndo pazuri bhana au
@suleimanabdillah7490
@suleimanabdillah7490 3 күн бұрын
Wachaga akili sana haijawahi fanyika maandamano Moshi wala Arusha kwasababu hakuna Mchaga anayetaka kuzuiliwa biashara yake kwa maandamano. Ndio sababu wanayapeleka kwa wasiojitambua
@IsackPeter-qq4xk
@IsackPeter-qq4xk 4 күн бұрын
Jitambue
@saidchaula1947
@saidchaula1947 4 күн бұрын
Hawa watu mbona wanataka kutupanda kichwani kwani hili taifa kila kitu wanataka tutembelee akili zao na mawazo yao
@JonathanMGAIWA-ow4py
@JonathanMGAIWA-ow4py 4 күн бұрын
Akina nani hao
@rasnchimbi
@rasnchimbi 4 күн бұрын
👇🏿 #katibampyanisasa #TUSIKUBALIKUSHIRIKICHAGUZIBILAKATIBAMPYA !Hiyo ni kushiriki Dhambi(kujikabidhi kwa shetani) !✍️🏿
@CalistusTitus-s5o
@CalistusTitus-s5o 4 күн бұрын
Maandamano ni haki ya kikatiba, polisi msilete taaruki, lindeni maandamano na watamaliza watalala kwa nini mnataka kuzua taaruki? Hofu yenu ni nini haswa?
@isayamwashibanda5819
@isayamwashibanda5819 4 күн бұрын
💪💪💪💪
@SalimAbdallah-mi1wc
@SalimAbdallah-mi1wc 4 күн бұрын
Tareh 23 kutakuwa Na kazi za serekali mji mzima ole wenu mjipendkeze kuingia mitaani nchi yetu Ni ya Amani hatutaki vurugu
@abubakarimussa9131
@abubakarimussa9131 4 күн бұрын
Nnchi yababayako
@yassinnabwera4273
@yassinnabwera4273 4 күн бұрын
Wapumbavu mpo wengi,Kama ndugu angetekwa na kuuwawa,maneno hayo ya kijinga ungeyaongea?
@EstherSamwel-vk4wb
@EstherSamwel-vk4wb 4 күн бұрын
Akitekwa baba ako,mama ako ,mke wako au mtoto wako ndo utajua
@SalimAbdallah-mi1wc
@SalimAbdallah-mi1wc 4 күн бұрын
@@EstherSamwel-vk4wb Sawa kama wewe ndo mtekaji Karibu Sana njoo private nikupe location
@rodsconehenry4249
@rodsconehenry4249 4 күн бұрын
Basi ukute umeajiriwa tu ndo kinachokupa nguvu
@jafaryshuigwa9162
@jafaryshuigwa9162 4 күн бұрын
Pointless
@emmapaul1766
@emmapaul1766 4 күн бұрын
In your mother's ass
@FredrickMnyakiwele-j1s
@FredrickMnyakiwele-j1s 4 күн бұрын
Sheria wapo vizuri mnadahau walivunja mkataba wao wenyewe waliuza ugombea kwa masaa na wakati katiba ya chama hairuhusu hakuna mlijualo ingieni balanalani ninyi na watoto wenu
@petertemu7136
@petertemu7136 4 күн бұрын
Kazi Kweli kweli
@AmaniKizinga-ew9mk
@AmaniKizinga-ew9mk 4 күн бұрын
Wewe kaandamane tu.
@Flaviosafari
@Flaviosafari 4 күн бұрын
Tunafuata sheria na katiba ya Nchi. Kwani katiba inasemaje? Imeisha hiyo mzee umeeleweka.
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 2 Серия
31:45
Inter Production
Рет қаралды 1 МЛН
Bend The Impossible Bar Win $1,000
00:57
Stokes Twins
Рет қаралды 48 МЛН
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 3 Серия
30:50
Inter Production
Рет қаралды 886 М.
Is peace possible with Netanyahu in Israel and Hamas in Gaza?
17:17
Channel 4 News
Рет қаралды 199 М.
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 2 Серия
31:45
Inter Production
Рет қаралды 1 МЛН