This pastor is a real man if God, I can feel his energy, very powerful
@richardhoseni26434 ай бұрын
Amina Mungu atende tumechoshwa na huu unyanyasaji, uonevu, ukatili, dhuluma na uporaji wa raslimali za watanzania
@BraxedaDomina-xn4zc3 ай бұрын
Correction sio Watanzania. Ni Tanganyika
@TexnoNames29 күн бұрын
Na kutekwa kuuwawa
@TexnoNames29 күн бұрын
Tanganyika ndo nn
@AverinaShirati26 күн бұрын
Tanzania @@TexnoNames
@aminielyusufu43514 ай бұрын
Amen Amen Amen Amen Amen Amen in Jesus mighty name I truly believe & trust that everything shall be divinely fulfilled as declared to me
@MagrethMussa-z3sАй бұрын
Ktk manabii Bwana aliojisazia hawaabudu miungu baali miongoni mwao ROLINGA,,God bles you man of God
@janetomari2405Ай бұрын
Please naomba tuwasiliane, kuna jambo naomba nielewe
@lulanjamd38864 ай бұрын
Yesu Kristo tupe viongozi wazuri wenye nia nzuri na Taifa letu.
@mariamgodwin71863 ай бұрын
Namuelewa sana mtumishi Huyu utabili wake haundagi kinyume hakika Mungu bado ana manabii wake wa kweli ❤
@misanamaige16 күн бұрын
Mungu ametenda makuu na uchaguzi wa serikali za mitaa mambo yameenda vizuri. Tuiombee nchi amani, ili watu waendelee kuhubiriwa neno la Mungu. Vijana watafute kazi za kujiajiri.
@timothykatunz71954 ай бұрын
Mungu awakumbuke waTanzania,awatoe kwenye utawala wa miungu,awapeleke kwa Mungu wa kweli,ma kuabudiwa siyo maagano ya miuungu
@LucyKapinga-fg4dk3 ай бұрын
Haswaaa Hakika
@judithnjunwa66683 ай бұрын
MUNGU Baba kupitia jina la YESU turehemu na watoto wetu,tupe kiongozi Jasiri na wenye upendo wa kuongoza Nchi yetu,,Amen
@LucyKapinga-fg4dk3 ай бұрын
Ameen Ameen
@marygregory75664 ай бұрын
Mungu hafanyi Jambo pasipo kuwajulisha watumishi wake manabii
@sonnyr18994 ай бұрын
Mmmmm
@trophywilson72114 ай бұрын
huyo sijui Mungu tu
@KassimAlly-xp4dz4 ай бұрын
Unamjua Nabii ww
@humbimusisa-db1tg4 ай бұрын
Eti nabiii 😂 Daaah
@ashurasaid84094 ай бұрын
Muogope mungu nabii toka lini na Leo iwe ya pili anaenda uwani ana Fanya machafu ambayo anayajuwa yenye mwenyewe na anaanzaje kuwa nabii acha ukipofu
@KilonzoJohn-mg7cw3 ай бұрын
Mtu wa mungu barkiwa sana na mungu aendelee kukufunulia mambo mengi na zambi za watawala nchi inanuka damu watawala hawa mikono Yao inanuka damu ee mungu tuokooe na watawala hawa wanaotutawala Kwa kumwaga damu ee yehova tusaidie
@stephanSandika4 ай бұрын
Mm mtumishi kwenye kutabiri mambo ya nchi Sina shaka
@erickkanana54934 ай бұрын
Wanadamu tumuombe mungu kwa ajili ya shida zinazokuja mbele zetu mungu asaidie kwa ili
@christophermsekena6164 ай бұрын
Amina baba Tanzania chini ya Yesu ni salama
@NeemaJanga4 сағат бұрын
Amen
@TEDDYmichael-z8f4 ай бұрын
AMINA MTUMISHI, MUNGU NA ATENDE, PIA ATUCHAGULIE VIONGOZI WANAOFAA, ATUONDOLEE MAFISADI
@barakaellaseko37913 ай бұрын
Ningefurahi kama angesema ukiwa na shaka muulize Mungu, siyo niulize mimi.
@scolarketer83533 ай бұрын
am watching live from Kenya glory be God 🙏🙏
@hoseakayinga20904 ай бұрын
Asante sana mtumishi umetumia lugha ya kihekima ya hali ya juu sana. Be blessed
@neemaKyabona12 күн бұрын
Big point I really like you Hapo kwenye ajira gongelea nyundo vijana ni wengiiii mnooo
@WilbrandBoneza3 ай бұрын
Mungu atende sawasawa na mapenzi yake🇹🇿🙏🙏🏼🙏🏼
@alfredbee79674 ай бұрын
Asante Mungu Kwa kutupa maisha ya mtumishi wko Rolinga tumejua mengi kupitia yy by Alfred Bee kutoka BBT Manyara
@GabrielAmma-jp1oo3 ай бұрын
Wewe n Alfredi yupi?
@HeavensGlow-j2o3 ай бұрын
Asante Alfred kutoka babati na mm nikitokea manyara nakubali sana sana familia yangu ya BBT Mungu awatangulie
@GabrielAlfayoАй бұрын
Kweli kabisa wamama Mungu awabariki sana baba angu alipata strock 2019 mama angu hajawahi muacha wala kumtelekeza na nimeona kwa wengi je' angekuwa baba angeweza kuvumilia
@SaudaSaudaAmiri3 ай бұрын
Mashaallah ww ni mtumishi wa Mungu kweli kabisa ❤ Maana maono yako na muungozo wa Mitume ya kwenye vitabu vya dini
@adriantimothy99094 ай бұрын
Mungu naomba urehemu taifa letu Tanzani
@jacquelinegeorge5388Күн бұрын
Bwana Yesu tusaidie.
@IbrahimShan-qu3um4 ай бұрын
Jamaa aongeagi uongo namfatilia sana aisee inshallah 🙏
@samlae70893 ай бұрын
Sasa hiyo nguo ya bafuni ya nini😅😅
@personpeter22213 ай бұрын
@@samlae7089 ww umeona hyo nguo ya bafuni
@goliathmwalongo89383 ай бұрын
😂😂😂
@agnesspaul18663 ай бұрын
Kabisa hajawai kosea
@pascaljonathan68653 ай бұрын
Sahihi kabisa nampata vzr
@neemataris32734 ай бұрын
Mambo ya roho hayo hatari sana maombi yanahitajika
@OnesimoFrance4 ай бұрын
Asante Mtumishi Wa Mungu Mungu zaidi kukutumia kama mjumbe wake
Daaa kweli kabisa prophet yote uliyo ongeza tumeyaona Mungu atusaidie
@laismayasek33873 ай бұрын
This makes a lot of sense!!
@ManasemichaelybanigwaMichaelyАй бұрын
Nachoamini Mungu asimame akawe kiongozi wetu kupitia viongozi wetu nao wasiwe kama hawajui ukuu wa Mungu na kuwatumikia wananchi wao❤
@ramadhaniathumani10254 ай бұрын
Mungunuulinde uhai wangu na familia yangu!
@njombehc4 ай бұрын
Mungu yupo upande wetu Asante YESU
@NeemaRabsoni3 ай бұрын
Mungu wa mbingu na dunia na akutunze sana
@StevenMasunga-fd7xf3 ай бұрын
Mungu afanye wepes, tumechoka na utawala huu,
@CafeJohn-n9o3 ай бұрын
Mwenyezi mungu ametowa mafunuo kupitia mutumishi wake niwe hivyo kwa jina la yesu mungu wetu nimwaminifu hawezi kutuacha kuna watu wanjisahau kabisa kuwa hii nchi ya watanzania wanafanya nchi kama ya kwao Mwenyezi mungu shuhurika nao nao nadamu ya yesu ikanene mema kwenye haki maaana wewe mungu unajuwa tataongozwa na nani mungu usiyamaze wewe mungu ndo hakimu wa kweli 🙏
@HappyPaul-nj9ri4 ай бұрын
Mungu ponya Tanzania
@BabaFarzan-ml4er4 ай бұрын
Asituponye Atutolee CCM basi
@LucyKapinga-fg4dk3 ай бұрын
@@BabaFarzan-ml4ersema AWATOE WATESI WALIOPO UMO HILO MUNGU YUMWEMA ATATUBARIKI
@elishanovemba2 ай бұрын
Natamani mtumishi wa Mungu ufike mwanza naomba sana
@malcomg10044 ай бұрын
Uchaguzi ujao ndo wataona madhara ya kumuua mh Rais John Magufuli,I swear to God
@Boj8424 ай бұрын
Kabisa
@stellahwilfred57623 ай бұрын
Acha MUNGU ajilipie kisasi waTz tulishindwa kumlinda yule Mtumishi mwema
@issacklyandala70232 ай бұрын
@@stellahwilfred5762magu nae ameumiza watu wengi
@didasmajor928818 күн бұрын
😢😢😢😢
@imakitori3993 ай бұрын
Amen mtumish wa bwana
@killylevenson4 ай бұрын
Asante sana Nabii❤
@christabellamalima61043 ай бұрын
Mungu akutunze baba uliwahi kufundisha mzaliwa wa ñne alivyo na anayopitia nikama uliniona na nikafunguliwa fasta mungu wako anatisha
@patrickJosse-t7h4 ай бұрын
Kweli mtumishi ni kweli ,tupo nyuma yako ,na mungu atuhepushe na huyu kiongozi aliyopo madalakani sababu hatuna haja nae
@thedosiamremi26073 ай бұрын
Mungu akulinde nabii umena ya roho wapinzani wanateseka sana waccm ni watekaji hawafai katika jamii.
@mariethapeter74644 ай бұрын
Asante sana Yesu
@BENEFITMATERIAL4 ай бұрын
MUNGU akubariki sana.
@FrolianFrolence-r4n3 ай бұрын
Nakukubali nabii Huwa hukwepeshi, muombe mungu hatuondolee na hawa maana hawana manufaa kwa hili taifa
@priscajeremiah7510Ай бұрын
Be blessed man of God
@eunicefurahini3 ай бұрын
Mtumishi nimekuelewa sana,Mungu tusaidie
@evaristmgaya92003 ай бұрын
Safi mtumishi Bora uwaambie sija akasema haukusema mambo sasa yamekua hayaeleweki Yaani ni utekaji bila hata huruma mungu utulipie Haya machozi yetu kwa watawala wabovu kama hawa😢
@AlfonceGwambiyeBilantanye4 ай бұрын
Amina Mtumishi Mungu azidi kukutumia kama jicho la Taifa.
@HanifaOman-oo4pl4 ай бұрын
Mungu ndiye mjuzi anamuongoza amtakae. Kwani mamayetu kachaguliwa na Mungu naakipenda Mungu ataendelea mitano5❤❤ lnshaallah naakama Mungu ajapenda atatoka kilakitu Mungu ashakipanga kwabla mwanaadam ajazaliwa
@MichaelMajura-k1qАй бұрын
Amen tuzid kumuomba mungu
@BenedictKadege3 ай бұрын
Amen tumechoka kuonewa
@BahatiMwl4 ай бұрын
Asante sana baba, mi nimeelewa
@veromichael779Ай бұрын
Mungu tunaomb utujalie amani hao viongoz wanajali maslaah yaao na familia zao Mungu wafutilie mbalii
@DanfordNdunguruАй бұрын
God bless u
@AmerdaKavishe-pu3cf8 күн бұрын
Nyinyi mungu kawapa nchi au dunia namaono ila mjui kua wakweli nimafumbo badala yakutibu tatizo uwa mimi nasemaga nibora ukajiusulu inawezekana
@ClarenceHilaly3 ай бұрын
Rolinga nakukubali sana
@TinaNgongoro4 ай бұрын
Nimekuelewa
@chamlilemhando74783 ай бұрын
Uko vizuri ndugu nabii
@listonjiwe34673 ай бұрын
Mungu asimame na wananchi tuombe kwa ajili ya wananchi sio hawa kina ng'umbi na hawa wanasema tukiwapoteza wasitafutwa na ccm yao mungu awashushie ghazabu yake muda wa ccm kutawala ufutike kwa uovu wanaoufanya kufilisi nchi kutokujali wananchi Kuwafanya wawe masikini maisha yao yote kwa ufisadi wa rasilimali za nchi
@gsplundi1327Ай бұрын
God lead us in good way
@aminatanzanya74753 ай бұрын
Amina iwe kweli tumechoshwa nahaya yanayoendelea kweny Taifa letu
@pauloropian23674 ай бұрын
Mungu ibariki Tanzania mungu ibariki Africa 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@GeshomuMwamalili4 ай бұрын
Duu kweli mungu atuepushie na mkono wa ibilisi
@anethpeter136428 күн бұрын
Mungu atuondolee utawala huu Kwa kweli hapana ni utawala unaoumiza watu
@JosephMganga-z6n3 ай бұрын
Mungu aliangazie taifa letu tushateseka sana
@aishambuma17163 ай бұрын
Gu akuinue zaidi
@eliaspokoso83984 ай бұрын
Mimi binafsi mutumishi wa Mungu nimekuelewa amen kubwa 🙏🙏
@godfreydeya41404 ай бұрын
Haitakuwa Rahisi Rais awe Rais
@christinewomanoffaith54794 ай бұрын
😂 aisee
@wadeelegbogun30154 ай бұрын
Mama samia, hakubaliki, yaani 2025 akapumzike, asilazimishe madaraka, hayupo wa kumpa kura.
@michaelrweyemamu10684 ай бұрын
😆😆😆
@happinessmwaipopo74263 ай бұрын
Duh umenifungua aiseeee sasa do naelewa aliposema haweki neno lolote kwenye triangle 😅
@jescarwegoshola17543 ай бұрын
🤔
@princessprecious69954 ай бұрын
Amen mtumishi wa Mungu naamini Mungu atatuepusha mimi na uzao wa tumbo Langu na wazazi wangu na Dada na watoto wao na waume zao
@LuciaAgustino-pt5mg3 ай бұрын
Damuyamagufuri I ilimwagika pasipo nahatia kwanguvu za ubinafusi
@luganomwasiba5804Ай бұрын
Mungu akubariki sana
@glorymbise834 ай бұрын
Ee Mungu simama, juu ya Tanzania, iendelee kuwa nchi ya Amani
@ezekielmwamlinge91384 ай бұрын
Waache wavurugane maana wanakiburi sana mimi naomba mungu awaonyeshe ukuu wake
@majormajomjohn37754 ай бұрын
Amen,ikiwezekana wauwane kabisa
@happymrema74873 ай бұрын
Hakun kuomba acha moto uwake tunasubir
@gracebwimbo18893 ай бұрын
AMEEN
@pendobruno1113 ай бұрын
Mwanza 11:7
@AverinaShiratiАй бұрын
Mbona chadema ndio wanasalitiana wenyewe kwa wenyewe
@NgoshaZakiem22 күн бұрын
Nabii Kanisa limekushinda umekuwa mtabiri Amani analeta mungu Ajali analeta mungu WEWE NENDA CHADEMA wewe na unao wahubiri MBOWE HAWEZI KUWA RAISI YEYE NI. DJ TUUUU CCM JUUUUU
@GodfreyMwamaso16 күн бұрын
Unacheza na watumishi wa Mungu subiri unabii utimie si walitabiri kifo Cha Magufuli ni nini kilichotokea Magufuli Yuko wapi? Usicheze na watumishi wa Mungu
@DausonShensherwa3 ай бұрын
Amina mungu attended hivyo kwa maono ya mtumishi WA mungu
@PeterSirikwa22 күн бұрын
eee mungu turehemu taifa tanzania tupe viongozi sahihi
@SaidonKanyita3 ай бұрын
Tumechoswa na ujinga wa ccm mungu tuondolee viongozi wapovu wasiojua uchungu wa wananchi wanajali matumbo Yao kazi kumwaga damu ya wasio na hatia ee mungu baba tenda muujiza
@benithaBrighton4 ай бұрын
Mungu ndiye ajuae yote asimame mwenyewe katika kila jambo
@richardsoka24004 ай бұрын
I understand! Understood!
@saulimmbaga.safisana95564 ай бұрын
Naamini sana huyu nabii ni shida yuko bzr sana
@Wamoyothenumberone4 ай бұрын
Nishida kivipi
@nancykaseko4 ай бұрын
Yesu ingilia kati nchi yangu Tanzania in jesus might name.🙏
@joykapaya19703 ай бұрын
Jesus might name.
@jmastertz1613 ай бұрын
namkubar sana nabii hatabiligi uongo
@davidtupa6599Ай бұрын
AMOSI 9:8 Angalieni macho ya Bwana Mungu yanauangalia ufalme wenye dhambi,nami nitauangamiza utoke juu ya uso wa dunia, lakini sitaiangamiza kabisa nyumba ya Yakobo, asema Bwana .
@emmanuelmwandu.31264 ай бұрын
Watumishi wa Mungu wanahekima kubwa sana.
@agnesspaul18663 ай бұрын
❤❤❤❤🎉🎉 Ubarikiwe
@EricTrillz4 ай бұрын
Watanena kwa Lugha tofauti na atakayeiba kura ya mwingine akapate anguko kubwa.
@EsterChalale-uq4jh4 ай бұрын
Mungu aingilie kati huyu mama hatumtaki tena
@LucyKapinga-fg4dk3 ай бұрын
MUNGU ATATENDA
@RogasianStephen3 ай бұрын
Mungu atupe kiongozi mwenye hof ya mungu
@emmanuelmaungo69723 ай бұрын
Nasubiri huu mlipuko mkubwa kwakuwa ningali hai Mungu nipe maisha mema
@yusuphchankwa475912 күн бұрын
TANZANIA MPYA INAKUJA
@LizenMaker4 ай бұрын
Amina mtumishi
@JosephPolela4 ай бұрын
We must pray for our country
@WilsonNaano3 ай бұрын
mungu akulinde mtumishi wa mungu
@5flashesfilms3944 ай бұрын
Sio rahisi raisi alieko kwenye uraisi kua raisi 😂😂😂❤
@nurumohammed13103 ай бұрын
Inawezekan tuh
@patrobamalema86313 ай бұрын
Ohooooooo Angalia Usijepotezwa Na Wasiojulikana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃
@adrophwilliam32253 ай бұрын
Ni aiwehivyo kama ni mapenzi ya Mungu
@IsaacHelbert-dt8cl3 ай бұрын
Umetisha kwenye kutafasiri
@issaadinaniissa64873 ай бұрын
Hayo manne kaka
@mcmrtichaentertaimentgudi73313 ай бұрын
Takbeer Nabii Nakujua Rolinga
@LuciaAgustino-pt5mg3 ай бұрын
Namungu atajibu kupitia kukuu wake mwenyezi mungu
@wadeelegbogun30154 ай бұрын
Ni kweli mfumo unasema 2025 ndo awamu ya 6 ,kwa sasa wamelazimishia kuwa y 6 ni uongo, kingine tunaumia mnoo kwa kutuulia JPM 😢😢
@shabanibussara84543 ай бұрын
Duh! Dogmatism😢 on it's highest level
@gloriamongi30733 ай бұрын
Rudia kusikiliza Mtumishi
@hamoodhhamoodalsharji75843 ай бұрын
Kaeni kuwa sikiliza hawa MANABII wenu wa uongo mnachokitafuta mtakipata, siku nchi ikichafuka mkaanza kuwa wakimbizi ndio mtakumbuka.
@LatifaCharlesАй бұрын
@@hamoodhhamoodalsharji7584we nae kalale
@SamwelAgast-e4s23 күн бұрын
Human were Acha uwoga
@stanslauslupelele5726Ай бұрын
Mungu tusaidie utawala huu uanguke kwa jina la yesu